Search This Blog

Sunday 19 June 2022

SIONDOKI MPAKA NIFE - 4

 





    Simulizi : Siondoki Mpaka Nife

    Sehemu Ya Nne (4)





    Suleya hakufahamu kama Titus alikuwa akifahamiana na Agape. Hakupata nafasi pia ya kufahamu jina la msichana aliye mateka ndani ya nyumba ya maliki alimokuwa akiishi. Hivyo hakujua chanzo cha Agape kuwa humo wala hakujua uhusiano wa utekaji nyara huo. Yeye akafunguka kila kitu kuhofia kifo cha risasi kutoka ndani ya bastola ya Maliki. "Ali.. Alinn.. Aliniita nd.. Nndiyo" Alikuwa akizungumza kwa sauti tetemeshi huku pia mwili wake ukitetemeka.CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ "Ndiyo mlizungumza nini nataka kujua" Alizungumza kwa wahka kiasi na kumfanya kila mmoja kujikunyata, Agape na Suleya. "Anataka kukutana na mimi usiku wa leo" "Mkazungumze nini?" Bado alikuwa amemnyooshea bastola uso wake ukiwa kama mbogo aliyejeruhiwa. "Sijafahamu Maliki. Nakuapia sijuhi chochote ninachokuambia ni kweli ila nadhani ana hisia na mimi" "Hisia" Maliki akacheka kwa kebehi na kikohozi cha kinafki kikasafisha koo yake "..za kimapenzi?" "Ndiyo Maliki na mimi pia nampenda sana Titus naomba niwe naye. Nakuomba uniruhusu unipe uhuru niweze kufahamu ladha yake ya mapenzi" Maliki akaushusha mkono wake wenye bastola na kumsogelea Agape aliyekuwa akilia. "Wewe unalia nini?" Akizipandisha nywele ndefu za bandia alizobandika Agape kwa bastola yake. Tabasamu baya, tabasamu lisilotofautiana na tabasamu la kichawi likiwa linavinjari juu ya papi za Maliki. Maliki akamuangushia Agape busu la kuudhi kwa kuunganisha papi zake yeye na za Agape. Agape akamtemea mate. Alijua ni lazima angepokea kipigo kama alivyotarajia kibao kilikuwa kizito kilichomponyoka Maliki. Maliki akasimama kwa ghadhabu na kumgeukia Suleya. "Suleya" Suleya hakuzungumza jambo. "Utaenda kwa Titus. Lakini kuwa makini na yue mtu juu ya chochote atakachokuuliza kuhusu mimi. Nafahamu fika sababu ya kufanya hivyo. Kama kweli unampenda fanya juu chini awe wako usije kumpoteza" Akamgeukia Agape aliyejiinamia akilia kwa kwikwi. Wakati huo Agape alikuwa ameshatambua sababu ya yeye kuwa pale. Akafikiri huenda Maliki(hamfahamu jina lake) na Suleya ni ndugu ambao Maliki anamfahamu Titus na anamsaidia ndugu yake, Suleya kumpata Titus. Akalia kwa uchungu sana aliposikia kuwa Titus alikutana na msichana huyu saa chache zilizopita. Angejua si angefanya chochote basi ili Titus afahamu kuwa msichana huyo anafahamu mahali alipo yeye. Akajiuliza sana kama Titus anahangaika hata kumtafuta au ndio anahangaika na kutafuta wasichana warembo kama Suleya. Akaukumbuka umri ulivyomtupa mkono baba yake. Kisukari kilichokuwa kikimtafuna taratibu kingeweza kumzimisha kabisa na kumpokonya uhai wake endapo asingeonekana nyumbani zaidi ya siku tano. Hakika ikawa hali mbaya sana kwa Agape. Hali ya kutofahamu nini watekaji walikuwa wakihitaji kutoka kwake. Suleya alirudi tena baada ya kutoka saa nzima iliyopita. Hakika alipendaza sana. Moyoni Agape akajiambia 'Anaenda kukutana na Titus wangu' Suleya akamuuliza Agape "Nimependeza enhe!?" Agape akatingisha kichwa huku akijitia simanzi akitafuta huruma ya msichana mwenzake. "Yaani shosti naenda kukutana na kijana shababi huyo! Sijapata ona" Suleya hakufahamu kama Agape anamfahamu fika Titus na ndiye mtu wake wa karibu. Suleya akajiondokea huku akimuacha Maliki ndani na Agape. Dakika chache baadaye Maliki akaanza kuuvua mkanda kisha akashusha suruali yake akabaki na nguo ya ndani tu. Ni hapo Agape alipoanbza kuhisi ubaridi fulani ukipenya katikati uya miguu yake na kukizui kitu hicho kisije kumuadhiri. Akiwa kifua wazi na nguo ya ndani pekee, Maliki alikuwa akimsogelea Agape huku tabasamu la kinafki usoni mwake.



    ...



    Baada ya kuachana na Suleya kule Mwabepande, Titus alielekea katika nyumba waliyokuwa wakiishi. Huko ndipo zilipo maiti mbili. Yaani maiti ya Dokta Wilson na Fredy. Aliwahi kufahamu chochote ambacho Fredy alikuwa anataka kuongeza kumsaidia katika kumpata Agape wake. Hakufahamu kuwa hata Fredy hakujua mengi zaidi ya alivyomwambia. Fredy hakumjua Agape wala hakujua ni ana uhusiano gani naye. Sehemu aliyoisema ndiyo alikuwa amemaliza ujumbe wake. Ujumbe ambao umempokonya uhai Fredy. Titus akawa amefika na kuingi moja kwa moja mpaka ndani ya chumba ambacho dokta wilson alikuwa akimfanyia matibabu Fredy. Hali ya ndani ya chumba hicho ikawa tafrani. Ikamchanganya sana na kuwa katika hali ya kutoamini nini kimetokea. Mwili wa dokta wilson ulikumbatia sakafu kwa mapenzi mazito huku midomo yake ikiibusu marumaru ndani ya chumba hicho. Fredy aliyelala juu ya kitanda cha wagonjwa hakuwa na kifaa maalumu cha kumsaidia kupumua juu ya pua zake. Pia aligoma kuamka kutoka katika usingizi mzito aliolala fofofo. Alilia sana Titus akalia kilio kikuu cha hudhuni. Akiwa katika kutoa kitambaa ndani ya mfuko wake wa suruali, akatoa ni kitu fulani kama picha. Picha iliyodondoka sakafuni na kuiona vyema taswira ya aliyepigwa picha hiyo. Picha ya sura ya Twaha ilikuwa ikimtazama kama inayomkebehi. Mawazo yake yakahama ghafla kutoka kwenye kilio cha kumpoteza Fredy na kufikiria ni wapi aliwahi kumuona huyo mzee aliyeathiriwa na mvi chache juu ya ndevu zake.



    Akakumbuka kwanza picha hiyo alipewa na Maliki kuwa ndiye mpelelezi anayewatafuta. Akaendelea kujiuliza ni wapi aliwahi kumuona? Anakumbuka kabisa kuna sehemu aliwahi kumuona. Ilikuwa ofisini? Hapana.

    "Sasa wapi?" Kichwa kikamuuma kwa kuwaza na kuwazua bila kupata jibu sahihi la wapi aliwahi kumuona Twaha. Akaitazama picha ile kwa dakika nyingi mpaka ambapo kumbukumbu zile zilizokuwa zinakuja na kupotea, kuja na kuganda ubongoni mwake. Hizo zilikuwa ni kumbukumbu ndani ya nyumba kubwa ya kifahari. Alikuwa na msichana pembeni yake aliyemuita mzee huyu baba. "..baba"

    'Ni wapi.. Wapi tena?'

    Nilikuwa Masaki nyumbani kwa Agape. Ndiyo Agape alimuita huyu baba. Hapo tumbo la wasiwasi likaanza kumuuma. Akili yake ikachemka na kusisimkwa vinyweleo vyake vilivyofanyiza mfano wa vipele vidogo vidogo.CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    'Ina maana hii ni njama ya kukamatwa? Au... Au?"

    Alibaki hewani akijiuliza maswali huku akiwa ameshanyanyuka ghafla na mawazo ya maiti ya Fredy na Dokta Wilson kumpeperuka. Alijishika kidevu na kuitazama picha ile kwa makini. Aliingalia kana kwamba ile picha ingezungumza au kumpa jibu la kile alichokuwa akiwaza. Akiwa bado anawaza hayo, aliusikia geti likifunguliwa na mngurumo wa gari ya Maliki ukiitika. Alitafuta sehemu ya kujificha na kuona nyuma ya sanamu kubwa la simba lililopo karibu na mlangoni ndio mahali sahihi. Akiwa ndio anamalizia kujificha na Maliki naye aliingia. Maliki alijihami kwa bastola aliyoishika mkononi akiamini kuwa kwa alichokifanya, kama Titus angekuwako ndani; basi angekuwa ameshafahamu hila zake. Huo ukawa mwanzo wa uhasama juu yao. Maliki hakuwa tena rafiki kipenzi wa Titus. Alijihami kwa bastola aliyoitanguliza mbele kila alipokuwa akipita kwa mwendo wa kunyata ili kiatu chenye kisigino kirefu kisitoe sauti kutokana na kukanyaga marumaru zilizokuwa zikitelezesha. Titus alisisimkwa na mwili pamoja nywele zake kumsimama kutokana na hasira pamoja na hali ya hatari illiyomkumba. Hali ambayo iliyoonesha dhahiri ubaya wa Maliki machoni pake. Aliendelea kusubiri pale nyuma ya sanamu lile mpaka kuona hatua ya mwisho ambayo Maliki ataifanya. Hakukaa sana, Maliki alitoka na mwili wa Fredy na kwenda kuupakia kwenye gari yake. Kisha akauchukua mwili wa dokta Wilson pia na kwenda kuupakia kwenye gari yake. Akarudi mule ndani na kuweka hali ya pale ndani vizuri na kwa mtu ambaye hakuingia hapo mwanzo basi asingejua chochote kinachoendelea ndani ya nyumba hiyo. Akiwa amesimama jirani kabisa na sanamu alipojificha Titus nyuma yake akawa anaongea na simu, upande wa pili alikuwa akiongea na Suleya

    ".. Mtafute basi "

    Kabla Maliki hajatoka ndani ya nyumba hiyo simu ya Titus nayo ikaita. Pale pale katika maficho yake.



    ...



    Kabla ya kurudi nyumbani ambapo alihisi hali ya hatari endapo Titus angezikuta zile maiti mbili, yaani ya Dokta Wilson na Fredy alikuwa pamoja na Agape ndani ya chumba cha Mateka. Hiyo ilikuwa ni baada ya Suleya kuondoka kwenda kuonana na Titus. Alikuwa kama aivyozaliwa mbele ya Agape, msichana aliyesahau maumbile ya mvulana kwa kipindi kirefu. Alifunga macho kutokana na ukubwa wa maumbile ya Maliki. Si ukubwa wa maumbile tu pekee, pia aliogopa kubakwa. Alijua kinachofuata ni kitendo cha kubakwa.

    'Enhe! Mungu mwenye huruma nisaidie'

    Aliomba kimoyomoyo kabla mkono wenye ubaridi kumgusa kidevu chake huku kicheko cha kifedhuli kikimtoka Maliki. Mkono wake mwingine ukiwa unajivinjari juu ya kifua chake, Agape. Ulizichezea chuchu zake ndogo na kubinya binya matiti yake kwa kumtia ashki ya mapenzi. Haikuwa hivyo. Agape alihisi kudhalilika na tabu juu ya vitendo alivyokuwa akifanyiwa. Alijirusha rusha huku na kule akimuomba maliki asimamishe alichokuwa akikifanya. Ikawa kama ndiyo kwanza amemwambia Maliki aendelee. Kitendo kilichofuata ni Maliki kumvua Agape nguo moja baada ya nyingine. Agape alikuwa akilia sana na kumsihi Maliki asimfanyie kitendo hicho. Maliki kama fisi aliyeuona mkono wa mwanadamu na kuutamani kwa muda mrefu udondoke audake ndivyo alivyo kuwa Maliki akitazama maungo yaliyomfanya awake tamaa ya kumuingilia kimwili. Hakika Agape alivutia sana. Maliki akambusu busu kila mahali na kumchoma choma na ndevu zake ngumu. Kiasi zilimsisimua Agape lakini Agape hakutamani chochote. Ute kutoka sehemu za siri za Agape ulikuwa ukitoka na kumpa hamu ya kuanza kile aichokuwa akikisubiri Maliki. Maliki akamuingilia Agape kinguvu bila kujali maumivu aliyokuwa akiyapata kigoli huyo aliyemjua mvulana kwa siku moja tu. Mvulana aliyemjuza ladha ya mapenzi na kisha siku chache baadaye akaja kumsaliti. Alipomaiza haja zake na kumtazama Agape, agape alikuwa amechafuka damu kutokana na kuchanika sehemu zake hizo. Huduma aliyompa ni kumfuta damu hiyo kwa pamba safi na kisha alimvalisha nguo zake bila kujali athari aliyompatia. Yeye akavaa pia na kuondoka kurudi kule zilipo maiti ya Dokta Wilson na Fredy. Alipofika ndani ya ile nyumba, akaikuta gari ya Titus imeegeshwa nje ya nyumba. Akaamini lazima Titus aligundua kila kitu akawaza kuwa ni lazima Titus angekuwa na njama za kumuwahi ili afahamu alipo msichana wake. Mbele yake akaitanguliza bastola yake na kupekua kila chumba, hakumuona Titus.

    'Bahati yake, ningemtoa ubongo'

    Baada ya kuhakikisha hakukuwako na mtu, alizichukua maiti zile na kuzipakia ndani ya gari. Kabla hajatokomea ndani ya nyumba hiyo, alikuwa amesimama jirani kabisa na alipojificha Titus nyuma ya sanamu la simba dume.



    Mara nyingi simu ya Titus haikuwekwa

    mlio. Labda kutokana na kuchukia

    usumbufu au kulikuwako na sababu

    ambayo haikuwa rahisi kumwambia mtu

    mwingine. Titus aliitazama pale

    ilipotingisha mara moja na kusisimua

    sehemu ya paja lake. Ilikuwa ni simu ya

    Suleya aliyopiga zaidi ya mara sita bila

    kupokelewa. Maliki aliondoka lakini Titus

    aliamini Maliki angejibanza sehemu ku

    subiri mpaka atakapohakikisha yeyote

    atakayetoka ndani ya nyumba ile ili

    amuadhibu kwa adhabu ya kifo.

    Akahakikisha kusikia injini ya gari ya

    Maliki ikipata moto na matairi yakianza

    kujongea taratibu. Aliposikia sauti ya

    geti likibamizwa ndipo alipoipokea simu

    ya nane ya Suleya.

    "Suleya" akazungumza kwa sauti ya

    kunong'ona

    "Uko wapi Titus? mimi nimefika muda

    mrefu hapa"

    "Nakuja nisubiri"

    Kisha Titus akaikata simu ile bila kuongeza neno la ziada. Titus alichungulia nje, akajiaminisha hali ilikuwa shwari. Akafungua mlango taratibu kwa mwendo wa kunyata na kutoka mpaka nje kwa mwendo huo huo. Aliangaza huku na huko na kisha kuufikia ukuta ulio na matobo tobo yaliyomuwezesha kuona nje. Akangaza kulia hakuona kitu kushoto hakuona kitu, akashusha pumzi ndefu na akili yake kwenda mbio zaidi kuwaza lile lililokuwa mbele yake. Akautafakari ubaya wa Maliki, akauona kama uliovuka kiwango. Akatafakari maisha ya mpenzi wake, Agape.CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    'Inabidi nifanye haraka kumuokoa kutoka kwa huyu baradhuli'

    Hakujua kuhusu yeye. Hakujua nini kilikuwa kinaenda kutukia. Hakujua madhara ya kukutana mara kwa mara na Suleya. Akapanga kukutana naye kama kawaida akidhani ndiye atakuwa chambo cha kukutana na Agape kutoka kwa Maliki. Hakuwa na mpango wa kuonesha chuki zozote kwa Maliki kwa kuwa ingemuwia vigumu kumpata Agape akiwa hai. Alifika mpaka eneo lile walilopanga kukutana na Suleya na kumkuta amekwishamsubiri kwa muda mrefu. Hawakukaa sana baada ya salamu fupi fupi.

    "Twende courtyard nimechukua chumba pale"

    Ilikua ni sauti yenye amri ndani yake lakini macho yake Titus yalijaa tahadhari na udadisi wa hali ya juu. Suleya hakuuliza chochote zaidi ya kumtazama kwa uchu uliowaka tamaa ya mapenzi kwa Titus. Gari iliendeshwa kwa mwendo wa kawaida huku unyunyu wenye harufu ya kuvutia ukinukisha gari nzima huku kiyoyozi cha gari hiyo ikifanya kazi yake sawia ya kupeperusha unyunyu huo kwenye pua za Titus. Maongezi mafupi mafupi ya chombezo yalizidi kumfanya Suleya ahadaike na kumpenda zaidi Titus. Lengo la Titus likawa ni kumtumia Suleya kumjua Maliki kwa undani zaidi. Wakafika mpaka katika chumba ambacho ni kawaida kukitumia. Alikwisha kioda kabla ya kufika hapo. Ndani ya chumba hicho kulikuwa na kila kitu. Titus akiwa mwenye kuvutia ndani ya mavazi nadhifu huku Suleya akiwa ameulegeza mkono wake juu ya mkono wa Titus hakika walikuwa ni wapenzi waliovutia kuwatazama. Walipandisha kwa lift mpaka korido la 3 chumba namba 121. Ufunguo maalumu wa chumba hiki ulikuwa ni kadi maalumu iliyotengenezwa kielektroniki. Kadi ambayo hutumika kwa siku ambazo mteja hukaa ndani ya chumba hicho pekee. Hivyo kadi aliyo nayo Titus mkononi, ilikuwa ni kwa siku moja tu kesho isingeweza kufungua tena chumba hicho wala chochote ndani ya hoteli hiyo. Waliingia ndani mkono wa Titus ukiwa umeshika kiuno chembamba cha Suleya. Ashki ya mapenzi ikamuwaka Suleya mwili ukamsisimuka. Chumba kilichopuliziwa hewa safi ikavuta pua zao na miili yao ikapokelewa na kitanda kipana kiichofunikwa kwa mashuka meupe. Kiyoyozi kilikuwa kikirekebisha hali ya hewa ndani ya chumba hicho kwa ustadi mkubwa. Sekunde chache baadaye, Titus alikuwa kifua wazi huku akizichezea chuchu za Suleya aliyebaki na chupi tu. Maneno mengi ya raha yalikuwa yaimtoka Suleya na kutamka ovyo neno

    "Nakupenda.. Nakupenda sana Titus"

    Lakini kwa Titus hakuwa penzini bali kazini. Titus akalila tunda la Suleya, hakika alikuwa ni mtamu aliyevuka mipaka. Alibaki akiwa amezubaa kwa butwaa baada ya kuoneshwa ufundi uliofundika kutoka kwenye maungo laini ya Suleya. Alijiona mjanja labda angempagawisha Suleya kwa penzi lake la uswahilini yeye akapewa ya kizungu lililochanganyika na la kiafrika. Penzi bichi alilolikata mwenyewe utepe. Suleya hakumjua mvulana mwingine yeyote. Huo ndio ukweli. Baba yake na Maliki alimlea Suleya kwa uangalifu na kumchunga saana akiamini ndiye atakuja mkwe wake. Hivyo Suleya wanaume waimuogopa kutokana na hali ya utajiri alio nao baba yake Maliki ambao wengi walizani ni baba yake mzazi. Suleya akabaki na usichana wake mpaka pale ambapo ameamua kumvulia nguo zake zote Titus. Utundu alio nao alijifunza kwenye mikanda ya ngono aliyokuwa akitazama. Titus akawa hoi juu ya shuka lililotengeneza doa jekundu la damu iliyomtoka Suleya. Titus alimkumbatia kwa nguvu kubwa Suleya huku akihema kwa nguvu sana.



    ...



    Baada ya kuichukua miili ya dokta Wilson na Fredy, Maliki alielekea katika mashamba ya mbali na maeneo hayo. Alitoka bunju na kuelekea mpaka Kisarawe. Hakujali umbali na mafuta ya gari kama yangetosha au vipi? Gari aliiendesha kwa kasi kiasi cha watu kukimbizana ovyo alipokuwa akipita karibu yao. Akafika katika bonde moja refu huko karibu na eneo lijulikanalo kama kazimzumbwi nje kidogo na mji wa kisarawe. Akaitupa miili ile katika korongo refu alipotumbukia yule mtu wa maajabu Jadu Mfaume aliyepata kutokea katika kisa kilicholeta utata kama kilivyoandikwa na muandishi fulani. Akajikung'uta mikono yake na kurudi ndani ya gari yake kurudi Bunju. Sasa mwendo wa gari ulikuwa ni wa kawaida na usio na wasiwasi wowote wa kufika huko aendako. Akili na mawazo yake yakiwa juu ya Titus. Aliwaza jinsi Titus atakavyoamua mara baada ya kufahamu kuwa ni yeye muhusika wa utekaji nyara wa mpenzi wake Agape.

    'Anha! Potelea mbali'

    Akapigiza mkono wake kwenye usukani wa gari yake na kuendelea kuendesha taratibu bila wasiwasi. Jua lilikwishazama na mpaka wakati huo Suleya bado hakuwa amempigia simu. Akiwa amevuka kituo cha mabasi pale mwenge, akaipiga namba ya Suleya. Upande wa pili simu ilipopokelewa ikasikika sauti ya kiume.

    "Habari yako"

    Maliki hakuzungumza kwanza alipoisikia sauti ile iliyozungumza kiujivuni na kwa kebehi. Akaikata simu na kuwaza juu ya sauti aliyosikia.





    Sauti aliyoisikia haikuwa ngeni. Aliifahamu fika ilikuwa ni sauti ya Titus, akapandwa na hasira zaidi. Alidhani kwa wakati huo huenda Titus angekuwa ameshalewa utundu wa Suleya kitandani.

    "Lakini ni yeye wa kuniongelea kama ananisuta?" Akajiuliza kwa kujinong'oneza kwa hasira, kisha tusi likamponyoka.

    "Shenzi, bullshit"

    Akaongeza kasi ya mwendo wa gari yake. Akaiingiza taratibu ndani ya jumba lao la kifahari lililogeuka chungu kwa muda mchache pekee. Kwa wakati ambao amekutana na Agape na moyo wake kukiri kuwa amempenda. Ndio wakati ambao hakuona thamani ya urafiki. Ubinadamu ukamtoka na kuvaa unyama ambao hakuona haya kuuonesha hadharani. Alikwisha sahau ni kiasi gani jeshi la polisi lilivyokosa usingizi likiwasaka yeye na genge lake. Alichokuwa akiwaza sasa ni kumiliki utajiri wote peke yake. Utajiri ambao sasa ulibaki chini yake na Titus, ambao ni lazima wangegawana baadaye. Ni hapo alipozidi kumchukia Titus na kumuona kama adui yake namba moja.

    "Msichana anizibie na utajiri anizibie? Lazima nimuue"

    Alitweta kwa hasira baada ya kuingia ndani na kuishika chupa ya pombe kali mkononi mwake. Aliimimina kwenye glass fupi huku akiigida kinywani kwa fujo. Alitumbua macho kwa ghadhabu kana kwamba alitaka kumuangamiza mtu aliye mbele ya macho yake. Kwenye fikra zake alimuwaza sana Titus kama shetani. Alimchukia kuliko kitu chochote kile kibaya kinachopaswa kuchukiwa. Akaimimina tena pombe ile kinywani mwake na kuishusha glass ile ya pombe tupu. Akaitoa moja ya sigara katika pakti yake na kuichomeka katikati ya vidole vyake viwili. Aliivuta mkupuo mmoja mrefu na kutoa moshi mwingi mdomoni na puani.

    "Lazima nikuue ili unipe uhuru wa nafsi"

    Kisha akabetua midomo yake kwa dharau na kucheka kwa sauti ndogo. Alijibweteka kochini bila kuwasha taa wala chochote kiichokuwa kikitoa sauti. Ni sauti ya mshale wa saa uliokuwa ukitemba na kutoa milio ya nukta nukta

    "Tik tok, tik tok"

    Usingizi ukaanza kumvuta taratibu baada ya sigara aliyoiwasha kuzimikia mdomoni.

    Agape aliomba kila sala katika zile azijuazo aweze kuokoka na kwenda kumuokoa mpenzi wake. Aliamini fika Maliki hakuwa mtu mzuri. Maliki alikuwa na nia ya kumuangamiza pamoja na Titus. Alianza kuhisi kuwa Suleya ndiye ametumwa kumuangamiza Titus kumuingia kimapenzi.

    "Enhe! Mungu wanataka nini hawa watu?"CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Wala hakujua sababu ya yeye kuwa hapo alipo. Akili ikamuuma na kumfanya kichwa kupokea maumivu hayo. Ni hapo alipokuwa akisikia mtu akija. Sauti ya kicheko cha mwanamke aliyekuwa akiongea kwa sauti ya kilevi. Ni hapo akasikia sauti ya kiume nayo ikimjibu kimahaba na iliyofanana na sauti aliyozowea kuisikia mara kwa mara.

    "Hapana haiwezekani"

    Alitoa macho pima kwa wasiwasi. Wasiwasi ulioletwa na kutofahamu mtu huyo imekuwaje kuja kirahisi hivyo ndani ya nyumba hiyo? Au anahusika? Au... Bado kukawa na utata. Alipojaribu kupiga kelele za kuomba msaada kutoka kwa mtu yule aliyemfahamu, sauti yake haikusikika. Sauti iliyodunda na kurudi katika ngoma za masikio yake. Chumba hicho kiliwekwa sound proof maalumu kwa ajili ya kuzuia sauti kutoka nje. Alijaribu kuvunja vioo vya vyumba vile lakini bado haikusaidia, vioo havikuvunjika. Sauti ya kike iiyocheka mara kwa mara ilikuwa ni ya Suleya, lakini ile ya kiume ndiyo ilimchanganya na kujiuliza inakuwaje? Kirahisi kiasi hicho? Kutokana na kukosa majibu ya maswali yake machozi yakawa yanamtoka kwa hasira na huzuni iliyokamata koo yake. Akiwa analia huko zile sauti zikawa karibu kabisa na moja ya milango ya chumba hicho kinachozunguka. Agape alikuwa akisubiri kuona ni nani atakayeingia ndani ya chumba hicho.



    ...



    Twaha hakupata usingizi kwa muda mrefu. Kahawa chungu na sigara nene zikazoe midomo yake kwa muda mrefu haswa nyakati za usiku. Alijitahidi kuwasiliana sana kwa ukaribu na watu mbalimbali ambao wangemuwezesha kumpatia taarifa yeyote ya sehemu ambapo angempata Agape. Kuna muda alikuwa akilia mwenyewe kama si yeye aliyekwisha iteketeza miaka zaidi ya hamsini duniani. Mvi zake na uzee ulioanza kumnyemelea ukaanza kumsuta na kuona hakukuwa na haja ya kuendelea kuipa familia yake mateso wanayoyapata kutokana na kazi yake. Kazi hatarishi ya kuilinda jamii. Sasa anampoteza binti yake kwa kudhani ni sehemu ya kesi anayoifuatilia. Alitamani kuwaeleza wakuu wake wa kazi kuwa ameishindwa kesi hiyo, lakini asingepata msaada wa kumpata mtoto wake. Hata kama angeupata basi angeletewa maiti. Hakutaka hilo litokee. Nyumbani alikaa nyakati za usiku pekee kuanzia ile mida ya saa saba usiku mpaka kumi asubuhi alipokuwa akiamka na kwenda bafuni kuoga. Alizunguka sana kwa rafiki zake Agape huenda walikuwa na habari mpya kuhusu rafiki yao. Kuna wakati mpaka mlinzi wa Chuo cha fedha IFM alikuwa amemzoea na kumuona kama Mwanafunzi wa chuoni hapo. Nadia akawa amechoka na ugeni wa mzee huyo. Siku moja jioni akiwa katika moja ya hoteli ya kifahari pembezoni mwa ilipokuwa nyumba ya raisi mstaafu wa Tanzania, Courtyard; alimuona mtu ambaye alikuwa akimfahamu kabisa. Mtu huyo alikuwa amekishika kiuno cha mwanamke mwingine. Mwanamke ambaye alikuwa akipepesuka kutokana na ulevi. Alimkazia macho kijana yule kwa umakini sana na kukiri kuwa hakuwa akimfananisha. Bila shaka mtu yule ndiye yule aliyekuwa akimtafuta usiku na mchana. Kwa kesi mbili tofauti. Kesi ya kwanza ajibu alipo binti yake na ya pili kumkabidhi kwa serikali ya jamhuri kujibu shitaka la ujambazi alilofanya huko nchini Kenya katika benki kuu ya nchi hiyo. Akiwa ndio anasimama kumfuata kwa mwendo wa haraka, kwa bahati mbaya akagongana na muhudumu. Muhudumu aliyebeba sinia lenye juisi na vinywaji vingine.

    "Bullshit"

    Akatusi kwa hasira huku akinyanyuka haraka haraka na kuifuta shati yake sehemu ambazo alichafuka. Aliposimama na kutazama mbele ya macho yake, yule aliyekuwa akimfuata ambaye ni Titus hakuwepo waa gari aliyokuwa akimuingiza mwanamke aliyekuwa amelewa ndiyo ilikuwa inamalizikia gizani. Akakimbilia sehemu ya maegesho ya magari nakulifuata lilipo la kwake.

    "Pumbavu pumbavu"

    Alimaka kwa hasira huku akifanya vitu vyake kwa pupa.



    aada ya simu ile kukatika kwa hamaniko. Titus alicheka sana. Alicheka kwa nguvu baada ya kuona kuwa sasa mambo yake yalikuwa yakimuendea alivyopanga. Aliandaa kinywaji chenye kilevi kikali na kunywa pamoja na suleya baada ya kujitayarisha kuondoka. Walikunywa wakanywa mpaka kutosheka. Hila za Titus zikatimia kuhakikisha kuwa Suleya analewa. Alilewa kiasi cha kutojitambua

0 comments:

Post a Comment

Blog