Search This Blog

Sunday, 19 June 2022

KAFA NA UTAMU WAKE - 2

 





    Simulizi : Kafa Na Utamu Wake

    Sehemu Ya Pili (2)



    Hallow? Upande wa pili ukajibu, Ndio nakusikiliza? Samahani kaka yangu ninashida sana naweza kukuona? D rose akaongea harakaharaka, Hapana nipo mbali na Dar ila una shida Gani? Nani mimi..! Aah nilikuwa nina shida na shilingi laki moja tu halafu nitakurudishia? Ok sikia baada ya Saa moja nenda pale Dar Centre club kuna mtu atakuletea pale sawa, D Rose kwa furaha akajibu, Nashukuru. Simu ikakatwa akaikumbatia simu yake kifuani huku akifumba macho.

    Sasa endelea…………………………

    Jorome yupo barabarani anatembea kwa mwendo wa kasi mvua inanyesha lakini hajali. Mawazo yake yote yapo katika kidonge cha hearten. Anavuka barabara na kuingia katika bajaji iliyopaki upande wa pili. “Nipeleke Masaki Tafadhali” Dereva akamuangalia Jorome kwa wasiwasi. “Buku Sita lakini” Jorome akamuangalia Yule Dereva kwa hasira. “Wewe twende kwani sijui kama napaswa kulipa” Bajaji ikaondoka kwa mwendo wa taratibu magurudumu yakachanganya mwendo ukazidi tofauti na ule wa awali safari ikaishia nje ya nyumba kubwa ya rangi nyeupe na fensi ya ukuta, Jorome akatoa pesa na kuingia ndani ya ile nyumba. “Ah kijana hujambo” Ilikuwa ni sauti ya mzee wa makamo. “Sijambo dokta ila hali si nzuri?” Yule mzee akamuangalia Jorome kwa Huruma. “Vipi mama kaanza ugua Tena?” Ndiyo dokta tena anateseka sana maumivu anayopata nahisi ni zaidi ya mwanzo” Yule mzee akatikisa kichwa kwa masikitiko. “Sasa kijana unajua ni hatari sana kwangu kukupatia ile dawa kwa kuwa ile dawa hutolewa kwa kibali maalumu nashindwa jinsi ya kukusaidia” Jorome akapiga magoti huku akimshika miguu Yule mzee na akilia kwa uchungu. “Dokta msaidie mama yangu anateseka sana ile dawa uliyonipa ilimsaidia sana nikaona tabasamu lake nisaidie kama mwanao” Yule mzee akaingia ndani na kutoka na kikopo cheupe kidogo na kumpa Jorome. “Kijana hivi ni vidonge ishirini vitunze sana ukikamatwa navyo usije ukasema nimekupa mimi vitakusaidia na vikiisha usirudi tena hapa tafadhali” Jorome akapokea huku akishukuru na kutoka huku akikimbia bila kujali mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha.

    …………………………………………………………………………………..

    Tisheti nyeusi yenye maandishi makubwa ya rangi nyeupe yanayosomeka WEUSI. Mkononi saa kubwa ya rangi nyeusi , Pensi kubwa ya jeshi jeshi na Raba nyeusi zenye maandishi All star, Kichwani nywele zimesokotwa kwa mtindo wa Rasta macho yamefunikwa na miwani ya macho. Akitembea kwa mwendo wa Taratibu huku fikra zake zikiwa Dar Centre Club. Muziki wa Davina mwanamuziki toka ujerumani uitwao Cosob ulipenya katika masikio yake na kuzalisha tabasamu la kivivu. Akavuta kiti na kukaa pembeni peke yake huku akiangalia saa yake kama anamiadi na mtu pale. Shingo iligeuzwa haraka baada ya kuguswa bega na mtu asiyemfahamu. “D Rose mambo wangu” Ilikuwa ni sauti ya muhudumu wa ile club. “Dah poa sana naona unawajibika hapa” “Ndo hivyo dada yangu hapa mjini usipopambana utaadhirika” Muhudumu alijibu “Ok poa naomba niletee juice ya Embe na Mishikaki miwili ” ok juice niwete cocktail ya mchanganyiko wa Whisk au brand?” Muhudumu aliuliza. “Usiweke alcohol sijisikii kunywa pombe leo” Dah leo ni Germany hatuuzi non alcohol” D rose alijibiwa na muhudumu. “Ok poa weka na JackD toti mbili” “Ok” Muhudumu akaondoka na mwenda kaunta. “Pima toti Mbili za Jack Daniel fanya cocktail ya juice ya embe” Muhudumu alimwambia muhudumu wa kaunta kisha yeye akaenda jikoni. Yule muhudumu wa kaunta akaangalia huku na huko kama anaangalia mtu akatoa kidonge cheupe katika pindo la sketi yake na kukisaga kwa glass kisha akaweka katika ile glass ya juice. Muhudumu akaja na kuchukua ile juice na kumpelekea D rose. “Welcome Germany” D rose akatabasamu na kutoa noti ya elfu kumi akampa Yule muhudumu. “Keep change” “Thanx” Muhudumu akaondoka D rose akapeleka glass ya juice taratibu mdomoni na kunywa.Bahasha ya khaki iliwekwa Juu ya meza ya D Rose. D rose akashusha glass ya juice mezani na kuangalia aliyeweka ile bahasha pale, Macho yake yakagongana na kijana mtanashati . “Naitwa Side Katwila dereva tax natumai wewe ndiye D rose..” Yule kijana alijitambulisha huku akikaa katika kiti cha pembeni. “Yap ndiye mimi” “Basi mzigo wako huo umetoka kwa Prezidaa Jo” D rose anaangalia ile bahasha na kuichukua kisha anafungua anakuta burungutu la pesa anatabasamu na kumuangalia Side. “Nashukuru” Sawa kaniambia nikupeleke unapokwenda” D rose akisimama huku akimalizia ile Juice. “Sawa Twende zetu”



    D rose Anapanda gari na anakaa siti ya mbele Gari inaondoka. “Vipi tunaelekea wapi?” Ubungo Msewe nyumba ya pili kutoka kanisani” Mziki wa taratibu kutoka kwa kundi la westlife ulikuwa ukipenya taratibu katika masikio ya D rose huku Dawa ya hearten ikiendelea kusambaa katika mishipa yake ya damu na kumfanya apoteze nguvu ya kuona huku akijishika maziwa. “Paki pale kwenye ile nyumba karibu na kanisa” Ilisikika sauti ya Kiume kutoka siti ya nyuma ikimuelekeza Dereva tax Side. Tax ikasimama Jorome akashuka na kumshusha D rose huku akimshika kiuno na kufika katika mlango wa chumba cha D rose. D rose akatoa funguo. “Sasa kwaheri usiku mwema” Jorome alimuaga D rose. “Ah njoo ndani bwanaa” D rose alimvuta Jorome ndani. “Hivi ulisema unaitwa nani vile? D rose aliuliza kwa sauti ya kimapenzi. “NAitwa Jorome” “Ok Jo kiukweli hapa nipo hoii naomba uyashushe mashetani yangu” D rose alimwambia Jo huku akimvuta kitandani. “Subiri kwanza” Jorome aliangalia pembeni na kuona friji akaisogelea na kutoa kiplastiki cha kugandishia barafu na kutoa barafu chache na kuziweka mdomobi. Alipogeuka akamkuta D rose kavua nguo zote huku akijinyonga nyonga pale kitandani huku akijishika maziwa. Jorome akasogea pale kitandani anazitemea zile barafu katika kifua cha D rose na kuanza kuzisugua kwa mdomo katika chuchu za D Rose. Kilio cha kukolewa kwa mahaba kiliongezeka taratibu. Jorome akavua nguo na kushika Bakora yake na kuanza kuipitisha katika mbavu za D rose taratimu huku akitumia ukucha wake w kidole cha mwisho kuchezea nyayo za D rose. “Naomba Ni to…. To, too Eeee Bikraaa” D rose aliongea huku akimkumbatia Jorome kwa nguvu. Maumivu makali ya kitu kigumu kikipenya katikati ya miguu ya D rose na mtone madogo madogo ya Damu kuchafua shuka leupe la D rose kisha maumivu kutoweka na kuzaliwa raha ya ajabu katika mfumo wa fahamu wa D rose. “Nataka yoteee” Ni maneno ya D rose aliyokuwa akitamka kila baada ya dakika. Mpaka jogoo kuwika D rose alikua yupo hoi huku akimkumbatia Jorome kila dakika.

    Asubuhi kulipokucha D rose akajikuta yupo kitandani akajipapasa na kugundua hana usichana wake alioutunza kwa muda wa miaka 25 toka alipozaliwa. Mawazo ya Jorome yakamsonga huku akikumbuka penzi alilopewa na Jorome usiku uliopita, “Jorome ndiye kanitoa bikira lazima anioe” Alijisemea peke yake, Akaangalia pembeni akaona ile bahasha ya khaki yenye pesa pale mezani ikiwa na zile pesa. “Sasa mbona kaondoka bila kuniaga” Alijisemea mwenyewe pale kitandani akachukua simu yake na kupiga namba ya jorome,. “Namba unayopiga kwa sasa haipatikani jaribu tena baadae”

    …………………………………………………………………

    Saa nane usiku mvua kubwa inanyesha Unaonekana mwanga wa taa za gari ukimulika, Jorome anajikinga na mkono huku kasimama pembeni ya nyumba anayoishi, Paa la upande wa chumba chake likiwa pembeni baada ya kuchukuliwa na Upepo. Saida kichecheka anashuka katika ile Tax na kujibanza pembeni ya nyumba mkononi kashika bia anamuangalia Jorome kwa huruma. “We Gari la Taka njoo” Alimuita jorome. Jorome akamfuata huku akitetemeka. “Twende nikakuhifadhi kwangu wewe ni mwema ulinifadhili siku ile kidogo niadhirike” Saida alimwambia Jorome kwa sauti ya kilevi, Jorome akamfuata Saida mpaka ndani. “Sasa wewe utalala upande wa juu mimi wa chini sawa” “Sawa” jorome akajibu. Saida akavua nguo na kubakiwa na chupi akajifunga upande wa kanga na kulala. Jorome kiuoga akapanda kitandani na kulala. Baridi kali na muungurumo wa radi huku mvua kubwa ikichanganya ndivyo vilivyoamsha pepo la ngono kutoka kwa saida kicheche. Mguu wa Jorome uliomgusa ukamuhamasisha kuhama upande wake na kuhamia upande wa Jorome. Ulimi wa saida ukajipenyeza katika sikio la Jorome na kumfanya Jorome ashtuke. “We saida nini tena” Jorome aliuliza kwa hamaki. Saida akapenyeza mkono na kushika bakora ya Jorome. “Ooh Jorome yako kubwa, Nene na inanitosha naomba unipe mwenzio nimezidiwa” Jorome akimtoa saida mkono. “Una kondomu” Jorome aliuliza. Ayaaah nimesahau Pochi yangu kwenye Tax na ndio ina kondomu” Saida alijibu huku akimvuta Jorome na kuanza kuchezea nywele za kifuani mwa Jorome. Jorome akaanza kuhema haraka haraka. “Saida kondomu?” Saida akajibu kwa sauti ya kutoka puani. “Tufanye hivyo hivyoo”

    …………….

    Hapana hiyo itakua ngumu kwangu” Jorome akajitoa pale kitandani na kuelekea mlangoni. Sasa unaenda wapi?” Saida alimuuliza Jorome huku kalegeza macho. “Nisubiri nakuja sasa hivi ngoja nikachukue ant virus mara” Jorome akafungua mlango na kutokomea nje huku mvua ikiendelea kunyesha hakujali matone makubwa ya mvua yaliyokuwa yakishuka katika mwili wake kiwiliwili chake kikazama ndani ya chumba chake na kutoka kuku akikimbia kurudi nyumbani kwa Saida. “Unapenda ule tunda gani Ndizi, Strewbery, au nikupe chocolate?” Jorome alimuuliza “Saida. Nataka ndiiizi baadae utanipa na chocolate” Saida alimjibu Jorome kwa sauti ya kuzidiwa na mihemko ya ngono. Jorome akavua nguo na kupanda kitandani huku kichwani mwake akifikiri Jinsi gani anaweza kumridhisha mwanamke aliyezoea kufanya ngono mara kwa mara. “Ukitaka kumla samaki anayeliwa na kila mtu na usikie ladha ni lazima uhakikishe unamuandaa vyema na kumuwekea viungo vya kutosha” Jorome akatabasamu baada ya kukumbuka kauli ya Babu yake kipindi akiwa hai. Hewa kutoka katika matundu ya pua ya Jorome ilianza kupenya katika viambaza vya masikio ya Saida na vidole vya miguu ya Jorome vikitalii katika mikunjo ya miguu ya saida Mikono migumu ya Jorome ilikuwa ikipapasa maziwa makubwa ya Saida na kusababisha saida aanze kupiga kelele zilizozidi sauti ya paa za nyumba zilizokuwa zikilalamika kwa kupigwa na matone makubwa ya mvua. Mwaj jirani yake na Saida alishtuka toka usingizini na kutega sikio huku, Kelele za Saida zilimvutia na kuamka akiwa uchi bila nguo akajikuta anatoka nje akinyata. Shetani wa umbea alimzidi nguvu Mwaj bila kujali hana nguo giza totoro ndilo lilimpa moyo akujikuta kaufikia Mlango wa Saida jicho likiwa katika Tundu la funguo moja kwa moja Jicho likatua juu ya kitanda. Akifungua jicho lake mpaka mwisho bila kuamini anachokiona ni jongoo wa Jorome akipanda mnazi taratiibu huku Saida akipiga kelele za kuomba asamehewe. Mwanga mkali wa tochi ulimshtua Saida Mwaj kuangalia nyuma watu zaidi ya Tisa wamevaa makoti. “We ni nani?” Sauti kavu ya Mjumbe ilipenya masikioni Mwa Mwaj.

    ……………………………………………………

    Ndana jiji Basel moja ya jiji kubwa nchini Uswis lenye wakazi takribani 164,488. Ni msimu wa baridi na barafu zilizozunguka katika maeneo ya jiji hilo. Wafanyakazi wa serikali ya nchi hiyo na makampuni binafsi waliokuwa na mkataba wa kufanya kazi ya kupunguza barafu zilizozunguka katika makazi ya watu. Makoti makubwa ya sufi yalikuwa yameziba miili yao mikononi wamevaa gloves na buti kubwa miguuni. Pembezoni mwa jiji la Basel katika nyumba ya kifahari wafanyakazi zaidi ya 50 walikuwa wakifanya kazi ya kutoa barafu katika eneo la nyumba hiyo. Lizbeth Scotch bibi wa miaka 61 na ni Mwanamke anayeshika namba 11 kwa utajiri duniani, Akiwa anamiliki kampuni kubwa ya kutengeneza saa ghali sana duniani aina ya Swisswatch na Rockettime zinazotengenezwa katika kiwanda chake cha World Time kilichopo ndani ya jiji la Geneva Uswis. Akiwa amekaa katika sebule yake kubwa yenye hadhi ya hali ya juu kiyoyozi cha joto kikiwa kinapunguza makali ya baridi na whisk aina ya John Walker Blue label ikiwa katika glass mkononi. Mpambe wa bibi Lizbeth aitwaye Serena Mackhomn alikua busy akiangalia jarida maarufu nchini Marekani liitwalo PLAY BOY macho yake yanaganda katika picha kubwa ukurasa wa katikati ya mwanaume wa kiafrika akiwa kifua wazi. Lilikuwa ni tangazo la sabuni ya kuogea iitwayo HONEY inayotengenezwa na kiwanda cha My Image cha Mwanamke mjasiria mali aishiye ukanda wa Afrika Mashariki aitwae Imelda Kiarifa. “Covanta loumb sesil mubaaa” {Tazama mwanaume wa kiafrika alivyo wamoto} Serena alimwambia Bibi Lizbeth kwa lugha ya ki Hatuk lugha inayotumiwa na kabila la wa Tobiza wanaoishi kandokando ya bahari nyekundu katika msitu wa Savanta, Huku akimuonyesha ile picha. Bibi lizbeth akavaa miwani yake haraka akatazama ile picha kwa hamaki glass yenye kinywaji ikadondoka chini na kupasuka. “Ooh sambad sesil la matanta” {Mama yangu sijawahi kuona Muafrika mwenye mvuto kama huyu} Bibi lizbeth akachukua lile gazeti na kuangalia ile picha kwa makini huku akisoma maelezo ya lile tangazo. “East Africa?” Alijikuta akishangaa na kuweka gazeti pembeni akachukua laptop aina ya Mac iliyo mezani na kufuiwasha akaandika neno East Africa kwenye Google akakutana na nchi tatu, Tanzania, Kenya, Uganda akamuangalia Serena kwa tabasamu. “Lanta dezo puton somedre pranto Afrix” {Inabidi tusafiri kwenda Afrika ya mashariki haraka} Bibi Lizbeth alimwambia Serena. “Tonto dansh tou maaa” {Usiwe na haraka hivyo tulia} Serena alimjibu Bibi Lizbeth huku akimfuata pale alipo. “dondiado xmpau norento de Image” {inabidi kujua kuhusu hii kampuni ya My Image kabla ya kwenda} Bibi Lizbeth akatikisa kichwa kukubali wazo la Serena. Serena akasogelea ile laptop na kuandika My image co. ltd East Africa zikatokea kampuni mbili moja ina maelezo tofauti na yale waliyoona kwenye lile jarida ya pili ikafungua lile tangazo lililo kwenye lile jarida Bibi Lizbeth akatabasamu. Serena akiwa busy anasoma maelezo “Detoit Tanzania” {Hiyo nchi inaitwa Tanzania} Bibi lizbeth akatikisa kichwa kukubali. “Drenot covinel sobe sobin Giant” {Inabidi Umwambie Giant Afuatilie haraka Twende huko siwezi kusubiri}

    ………………………………………………

    Akiwa na miaka 61 mpaka sasa Bibi Lizbeth alikuwa keshatembea na wanaume wengi sana duniani, Hakuwa na mume sababu anawachukia sana wanaume. Pindi anapokuwa na hisia za kufanya ngono anachagua mwanaume wa kulala nae kwa Gharama zozote na baada ya kulala nae hutumia dawa aina ya Trixomic ambayo huchanganywa kwenye maji na baada ya kulala na mwanaume humwambia akaoge baada ya kuoga maji kwa maji yaliyochanganywa na dawa ya Trixomic mwanaume hufa baada ya masaa 24 tokea alipolala nae. Heshima aliyonayo duniani hakutaka ipotee mpaka atakapokufa. Pepo la ngono linalomtesa kwa miaka mingi ndilo lililomsababisha aue wanaume wengi wasio na hatia waliolala nae kwa tama za fedha kutoka kwake. Serena Mackhom na Giant Drezt ndio wapambe wake wakaribu wanaojua siri inayoendelea kuhusu Bibi Lizbet. Serena akiwa kuwadi namba moja wa bibi Lizbeth na Giant akiwa mkamilisha mipango yote na kuhakikisha boss wake anataka anachotaka. Lugha ya ki Hatuk ndiyo lugha wanayotumia kuwasiliana ili watu wengine wasijue nini kinachozungumzwa. Sasa Bibi Lizbeth shetani wake wa ngono kamtuma asafiri mpaka Tanzania kumtafuta kijana aliyemuona katika tangazo la Sabuni ya Honey inayotengenezwa na Kampuni ya My Image iliyoko Tanzania.

    ……………………………………………………

    Ukubwa wa macho yake na Upana wa kifua chake ulimfanya avutie sana tokea akiwa kidato cha pili Mawenzi secondary school Moshi, Umbo lake lililojengeka kimichezo na weusi wa pepsi ndio uliomfanya Anold kijana wa Kinyakyusa aishiye Moshi kila mara awaze kukanyaga ndani ya jiji la Dar es salaam na kufany kazi ya Matangazo ya bidhaa mbalimbali. “Unafaa sana kuwa Model” Kauli ya mwalimu wake wa Michezo Mr. Choppa ilikuwa ikijirudia mara kwa mara kichwani kwake ila alikatishwa tama na ugonjwa wa pumu anaougua tokea akiwa mtoto. Japo anavuiwa sana na Kazi ya matangazo pia ni mpenzi na shabiki namba moja wa chama cha siasa cha NC {Needed for Change}. Ni miaka miwili sasa tokea aingie ndani ya Bongo Anold amesimama mbele ya kamera katika studio ya kampuni kubwa ya Matangazo ya biashara iliyoko Posta jijini Dar es Salaam iitwayo Dollwood akiwa anapigwa picha za Tangazo la pili la Kampuni ya mtandao wa Simu za mkononi Tanzania Tigo. “Dah Anold hili tangazo utauza zaidi ya lile la sabuni ya Honey” Mpiga picha maarufu Simon Urio alikuwa akimwambia Anold baada ya kumpiga picha. “Vipi tayari nataka kwenda kwenye Maandamano uwana wa jangwani nisije nikachelewa” Anold alimuuliza Simon. “Maandamano ya nini tena?” Denis mtaalamu wa Taa alimuuliza Anold. “Ah we shangaa tu unatakiwa ujitoe tuikomboe nchi mikononi mwa mafisadi wachache leo chama cha NC kinafanya maandamano kuwashinikiza mawaziri wapungu gharama za Matibabu kwa wananchi” Denis akatabasamu. “Poa we kabadili nguo uende kama kuna chochote tutawasiliana” Marosha Mkurugenzi wa Kampuni ile alimwambia Anold.

    …………………………………………..

    Katika ofisi za kampuni ya My Image wanawake wawili wa kizungu na mwanaume mmoja walikuwa wamekaa katika viti wakimuangalia mwanamke mmoja Raia wa Kenya aishie nchini Tanzania Si mwingine ni Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya My Image Bi. Imelda Kiarifa. My name is Giant Drezt, Iam Serena Mackhamn, iam Lizbeth scotch. Wale wageni wa kizungu walijitambulisha kwa Imelda. “My name is Imelda Kiarifa owner of this Company.” {Jina langu ni Imelda kiarifa ni Mmiliki wa hii kampuni” Imelda alijitambulisha. “Oh great, Sorry do you know World Time company?” {Oh vizuri, Je unajua kampuni inaitwa World Time?} Bi Lizbeth alimuuliza Imelda. Imelda akionyesha saa aina ya rockettime aliyovaa mkononi. “Yes I know they made my watch” {Ndio naifahamu wametengeneza saa yangu} Bibi Lizbeth akatabasamu. “I am the owner of that company” {Mimi ndiye mmiliki wa hiyo kampuni} Imelda akapatwa na mshangao akasimama na kutoa mkono kwa mara nyinigne kwa bibi Lizbeth. Serena akatoa lile gazeti la PLAY BOY na kufungua lile tangazo lenye la sabuni. “Do you know this Man?” {Unamjua huyu Mvulana} Imelda akaangalia ile picha kisha akatikisa kichwa kukubali. “Yes he called Anold, What happening” {Ndio anaitwa Anold, Kuna tatizo gani} Bi Lizbeth akajibu “ I need to work with him how can I see him?” {Nahitaji kufanya kazi nae je naweza kumuona?} “Wait” {Subiri} Imelda akanyanyua simu iliyo pembeni ya computer na kubonyeza namba Fulani.

    ……………………………………………………………….

    Wananchi wamebeba mabango makubwa, Kelele za watu wakitaja Majina ya Mawaziri wakiwa wanatembea kuelekea Ofisi ya Waziri mkuu. Polisi wa kutuliza Ghasia wanatokea na kuanza kurusha mabomu ya Machozi, Kelele za vilio zilikua zikisikika huku kila mmoja akikimbia kunusuru roho yake. Anold akiwa hatua chache na Gari la matangazo linadondoka Bomu la Machozi pembeni yake Hewa inakuwa nzito ugonjwa wa Pumu unaamka anajipapasa mfukoni haoni Dawa ya kutuliza ugonjwa wake ambayo hutembea nayo mfukoni, Anadongoka chini na kupoteza Fahamu huku akipumua kwa Tabu.

    ……………

    Mwaj akageuka haraka huku akijiziba sehemu ya mbele katikati ya mapaja yake. “Nakuuliza wewe ni nani?” Mjumbe alimuuliza tena huku akimmulika na Tochi. Mwaj akapatwa na kigugumizi huku akitetemeka kwa woga. “Mara nyingi wanga hawawezi kuongea mpaka uwapige kibao” Aliongea Mzee Msigwa huku akimsogelea Mwaj na kumpiga kibao cha Nguvu. Kelele ya Maumivu iliyotoka kwa Mwaj Ilimkurupusha Jorome juu ya kifua cha Saida na kukimbilia nguo zake akiangalia mlangoni kwa hofu. Sonyo kubwa likamtoka saida akachukua upande wa kanga akajifunga na kutoka nje, Hamadi macho yake yakagongana na kundi kubwa la Sungusungu wa mtaa huku pembeni ya mlango wake Kuna mwanamke kachuchumaa chini hana nguo. “Eh kuna nini jamani?” Mjumbe alimuangalia saida huku akimsogelea Mwaj na kumnyanyua shingo. “Unamjua huyu?” “Ndio huyu si Mwaj jirani yangu vipi kapata tatizo gani?” Saida kwa hamaki akauliza. “Tumemkuta hapa mlangoni kwako akiwanga” Mzee Msigwa alimjibu Saida. Saida akafunga kanga vizuri huku akimsogelea Mwaj na kunyanyua. “Kumbe wewe ndio mchawi wangu ndio maana sipate wanaume kijiweni” Akampiga kibao cha uso. Mwaj akapiga kelele ya maumivu, Saida akaanza varangati la kumshushia kipondo. Mwaj akakurupuka na kukimbilia ndani kwake. Huku akijilaumu umbea wake umemponza.

    ………………………….

    Simu ya kiganjani ya Marosha ilikua ikiita, Marosha akapokea na kupeleka sikioni. “Hellow Bi. Imelda toka My Image co. ltd. Anaongea natumai naongea na Mr. Marosha” upande wa pili ulijibu. “Ndio Marosha anaongea hapa” “ Sawa namuulizia Anold yupo hapo ofisini kwenu” “Hapana ametoka dakika 45 zilizopita alisema anaelekea Jangwani kwenye Mkutano wa NC” Ok ahasante” Simu ikakatwa.

    Imelda anaawaangalia wale wazungu kisha anasimama na kuwaambia “We have to go Jawaningwani Ground now” {Tunapaswa kuelekea Uwanja wa Jangwani sasa hivi” Wale wazungu waainuka na kumfuata Imelda mpaka nje wanaingia katika gari aina ya Prado IX Imelda anaondoa gari wa mwendo wa kasi kuelekea barabara ya Moroco. Msongamano wa magari katika barabara ya magomeni unamchukiza Imelda. Anapaki gari pembeni kisha anawaashiria wale wazungu washuke wanaelekea katika kituo cha Pikipiki {Bodaboda} na kupanda, Bibi Lizbeth anaonekana kuogopa usafiri ule. “We can’t find Helcopter for hire?” {Hatuwezi pata helkopta ya kukodi?} Bibi Lizbeth alimuuliza Imelda. Don’t worry we can use motorbike” {Usihofu tunaweza tumia pikipiki} Imelda alijibu huku akivaa kofia ngumu ya Pikipiki. “Cos demb le afrix redresnt” {Usihofu haya ndio maisha ya Afrika} Giant alimtoa hofu bibi Lizbeth. Sauti ya pikipiki aliyopanda Imelda ilimshtua bibi Lizbeth na kuvaa kofia ngumu haraka haraka.

    …………………………………

    Waandamaji walikuwa wakikimbia ovyo, Anold akiwa kalala bila chini bila msaada. Mabomu ya machozi yaliendelea kurushwa huku waandamaji wakirusha mawe kuwarushia polisi wa kutuliza ghasia. Kikosi cha vijana wapatao 30 wakuwa wamenavuta matairi yaliyowashwa moto kuelekea kule polisi walipokuwa. Jorome akiwa kifua wazi na miguuni hana viatu alikuwa kashika waya mrufu uliofunga tairi linalowaka moto. Akiwa anakaribia eneo Askari waliposimama aligeuza macho yakatia katika mwili wa kijana aliyelala chini huku waandamaji wakimkanyaga. Jorome aliachia lile tairi na kurudi mbio alipotokea na kumbeba Yule mtu pale chini akaenda mlaza chini ya mti.

    Pikipiki zilizowapakia Wakina Imelda zilifika katika uwanja wa mapambano wadi ya polisi dhidi ya waandamaji wa NC, Hali ilikua ni mbaya sana eneo hilo, Moshi mzito wa matairi yaliyochomwa ulikuwa umetanda hewani. “Tororoge usiante boor” {Kwanini tusiondoke hili la hatari?} Serena alimwambia Bibi Lizbeth “ lomba la sesil mubaa” {Hapana lazima le oleo nionje joto la Yule kijana} Bibi Lizbeth alimjibu Serena huku akivua kofia ngumu kichwani. Imelda akawachukua na kuwapeleka wale wageni mpaka kwenye baraza ya ATM ya Exim bank iliyokuwa inalindwa na askari kisha akatokomea kule kwenye mapambano.

    ……………………………..

    Pembeni ya ufukwe wa bahari ya hindi Msichana mrembo anayeitesa nafsi ya kijana Yassin, Akiwa kava tisheti kubwa ya kijani kibichi ikiwa na maandishi makubwa I’M NOT SINGLE kifuani. Pensi kubwa ya khaki na Raba nyeupe zenye miraba ya kijani na khaki. Akiwa amekaa akisikiliza muziki kutoka katika Headphone kubwa. Si mwingine ni D Rose mtangazaji maarufu wa kituo cha Redio cha Sweet Fm. Headphone zinatolewa Masikioni na mikono iliyopambwa na bangili za shanga na saa kubwa ya kijani kisha zinawekwa pembeni. D Rose anajilaza chini kwenye mchanga wa ufukwe wa bahari. “Ni lazima nimtafute Jorome wangu kile alichonipa natamani anipe tena” D Rose aliongea mwenyewe, Tayari penzi la Jorome lilikuwa limeshamchanganya D Rose na kumpeleka mbali na kusababisha kupotea kwa uchangamfu wa D Rose ule wa kawaida. Hatua ndogo za msichana mrembo na machachari wa mjini, Rafiki mpenzi wa D rose zilikuwa zikisogea taratibu katika eneo la ufukwe alipokaa D rose, Miwani kubwa ya Jua huku mdomoni akinyonya pipi aina ya Lol Pop. “Dah umewahi” Sauti ilimtoa D Rose katika mawazo na kugeuka nyuma kuangalia sauti ilipotokea. “Ah Tina nimekuja muda kidogo” Tina anakaa na kutoa ice cream anampa D rose. “Vipi wewe huli?” D rose alimuuliza Tina. Ah mimba yangu haitaki kabisa Ice Cream inataka Lol Pop tu.” Tina alijibu huku akivua miwani. “Eh Tina una Mimba?” “Ndio tena ni miezi miwili sasa huoni?” Tina akimuonyesha D Rose tumbo lake. “Dah Sasa ni ya nani” Hii mimba ni ya Yule afisa wa ikulu” Tina alijibu huku akibonyeza simu. “Afisa yupi tena maana wewe sikuwezi?” “Si Jorome Yule aliyekutumiaga vocha” D Rose kwa mshtuko… “Joromeeeeeeee????”

    ………………………………………………………



    Jorome alimsikiliza mapigo ya moyo ya Yule Mtu na kuyasikia kwa mbali akatoka akikimbia kuvuka barabara kwenda upanda wa pili akagongana na Imelda, Bi Imelda akadongoka chini, Jorome akamuinua. “samahani naomba Msaada wako” Jorome alimwambia Imelda. “Msaada gani?” “Kuna kijana kaanguka anaonekana anashida” Jorome akamshika Imelda mkono na kukimbia nae mpaka pale chini ya Mti, Kwa tahamaki Imelda akaita Anold, Akainama kusikiliza mapigo ya Moyo ya Anold yalikuwa yamesimama kuashiria safari yake ya maisha iliishia pale. Imelda akasimama kwa huzuni kisha akamuashiria Jorome amsubiri akaenda kuwachukua wale wageni wakafika pale chini ya Mti. Macho ya Bibi Lizbeth yakatua katika kifua cha Jorome na kushuka mpaka tumboni akastaajabu uzuri wa Garden ya mapenzi iliyopambwa katika eneo hilo la mwili wa Jorome. “Const leas jupitre de lovez xos Anold” {Huyu ndiye atakayenifikisha katika sayari ya Jupita nikiwa nacheza na hiyo bustani yake ya Mahaba hapo kifuani} Bibi Lizbeth alimwambia Serena huku akimuangalia Jorome kwa Tamaa ya ngono. “Toroit de moso gwaan” {Eh mbona huyu kiumbe hana hadhi yako umeona sura yake} Serena alimjibu Bibi Lizbeth. “ Ques dero iv sontaaa” {Nyamazaaa Sura yake si kitu kwangu namtaka chumbani kwangu jioni ya leo haraka iwezekanavyo





    “Haiwezekani...! haiwezekani hata kidogo, Tina umetembea na Jorome Mwanaume wa maisha yangu” D Rose aliongea kwa uchungu huku akirusha mikono kwa ghadhabu. Tina akasimama na kushika kiuno. “Eeh inamaana leo Jorome kawa mwanaume wako? Wewe si ulisema huwezi leo imekuwaje tena, Au ni baada ya kugundua kuwa nammiliki, Umechelewa dada” Tina alimjibu D rose kwa dharau kisha akaondoka. D Rose akakaa chini kwa ghadhabu huku akimuangalia Tina. “Sikubali Jorome ni mwanaume wangu lazima nipiganie penzi langu” D Rose aliongea kwa uchungu huku akijipiga piga kifuani.

    …………………………………………………

    “Ni lazima na mimi anipe, Haiwezekani nidhalilike kiasi kile mmh” Alikua akiongea mwenyewe Mwaj wakati akijitazama katika kioo chake ndani huku kakaa kitandani. Mwaj akasimama na kujiangalia sehemu zake za nyuma huku akijitingisha. “Saida hajanifikia hata kidogo kaona kaniweza sana sasa Jorome akiingia hapa ndo hatotoka, Mh Yule mwanaume kamliza Saida lazima atakuwa na kitu cha ziada” Mwaj anachukua poda na kuanza kujipodoa kisha anavaa nguo na kutoka nje. Macho yake yanagongana na Saida akifagia mlangoni kwake. Sonyo kali kutoka kwa saida lilipenya masikioni mwake, Mwaj hakujali akatokomea upande wa pili wa ile nyumba macho yake yakaganda katika gari aina ya Toyota GX 100 iliyopaki nje ya nyumba anayoishi Jorome macho yake yakasoma maandishi yaliyo mlangoni mwa ile gari. Ostrich five star hotel, Mwaj akaguna mara Jorome anatoka akiwa kavaa suti nyeusi na kuingia katika ile Gari. Mwaj akakimbia mpaka mbele ya ile gari na kuashiria isubiri. “Samahani mnaenda mjini mnipe lift?” Dereva wa ile gari akamuashiria mkono apande, Gari ilipofika posta karibu na chuo cha usimamizi wa Fedha IFM gari ikasimama Mwaj akashuka, “Samahani Jorome naomba namba yako ya simu?” Jorome akamtajia Mwaj namba ya simu gari ikaondoka mpaka nje ya Hotel ya Ostrich.

    ………………………………………………………..

    Baada ya kutoa Filamu yake ya Pili iitwayo X BOY jina lake lilianza kuganda katika vichwa vya wapenzi wa filamu bongo, Wengi walimfananisha na mcheza filamu wa Marekani Melina Cruez, Magazeti ya udaku yalikuwa yakimfuatilia kila mara ili kupata habari ya kidaku lakini hawakufanikiwa. Uwezo wake wa kuzungumza kingereza ndio uliomfanya akachaguliwa kuwa balozi wa shirika la kutetea haki za wanawake Afrika lililo chini ya Umoja wa mataifa. Alikuwa akipata kila alichokuwa akikitaka katika maisha yake ila siri kubwa iliyo chumbani kwake pindi akiwa na Thum mchumba wake aliyemtambulisha toka akiwa anaanza kazi ya uchezaji wa filamu ilizidi kumtesa Moyoni. Uwezo wa kukimbia Raundi moja katika uwanja wa sita kwa sita ndio uliokuwa tatizo kwa Thum. “Basi mpenzi wangu tumia hata Viagra” kauli hiyo ilikua ni moja ya kauli ambayo alikuwa akiitoa mara kwa mara kwa mpenzi wake lakini Viagra havikusaidia kitu zaidi ya Kufupisha Raundi na kuishia katikati. Akiwa nje ya Duka la kahawa la Kilimanjaro union mkononi kashika gazeti la Daily News huku akifyonza Capassino kwa kutumia mrija taratibu, Mwanga wa jua unaomulika upande aliokaa ulizuiwa kwa miwani kubwa ya jua iliyokinga macho yake vyema. Ni Trovina Temu mrembo wa kichaga anayetikisa katika soko la Muvi Tanzania. “Nimekusubiri muda mrefu Your not good in time my friend” Trovina alikua akimwambia D Rose aliyekua akikaa katika kiti pembeni yake. “ Oh sory si unajua hili jiji na msongamano wa Magari” “Poa don’t worry nipo hapa kukusikiliza” Trovina alimjibu D Rose. “Fine, The things is about my boyfriend” {Sawa, Ishu yenyewe ni kuhusu Mpenzi wangu” “Kafanya nini?” Trovina alirudisha swali ili ajue zaidi. “Katembea na Rafiki yangu na kampa ujauzito na mbaya zaidi nampenda sana na pia huyo rafiki yangu anampenda pia” D Rose aliongea kwa sauti ya kutetemeka kwa hasira. “Calm down girl, Do you think your boyfriend he loves you” { Punguza hasira Msichana, Je unafikiri huyo mpenzi wako anakupenda} “Sina hakika” “Sasa kitu gani kinakufanya wewe umpende mtu usiye na hakika kama anakupenda” “Sikiliza Trovina Mwanaume si sura, Fedha, Kusema nakupenda tu, Mwanaume ni Mapenzi anayokupa mkiwa kitandani kiukweli Jorome ni fundi tena ni fundi kwelikweli muwapo kitandani sipo tayari kumpoteza” Trovina akashusha pumzi ndefu na kuinamisha kichwa kama anafikiri kitu. OK nipe namba ya shemeji ya simu halafu nitajua cha kufanya” D Rose akataja namba ya simu Trovina akaiandika katika simu yake. “Ok nina apoitment na watu Fulani tutawasiliana” Trovina alimuaga D Rose huku akiondoka.

    …………………………………………

    Giant akiwa juu ya gorofa ya nne katika Hotel ya nyota tano ya Ostrich akitazama kupitia kwenye kioo anaona Gari la Hotel ile lililompakia Jorome likiwasili na Jorome kushuka, Akiongozwa na Yule dereva wakaingia ndani ya hotel. Giant akageuka haraka na kutoa kitambaa cha jasho na kujifuta jasho lililokua likitiririka angali kiyoyozi kilikuwa kikimpuliza pale chumbani kwake. Akaelekea mlangoni na kutoka nje ya chumba chake akatembea hatua chache mpaka kwenye mlango ulioandikwa Presidential Suit akasukuma mlango na kuingia macho yake yakagongana na Bibi Imelda kavaa nguo ya kulalia kakaa pembeni ya kaunta ndogo mkononi ana glass ndogo yenye Amarula. Fosren mediac cozert { Naona amekwishafika} Giant alimwambia Bibi Lizbeth, Bibi lizbeth akashuka katika kile kiti na kusogelea pochi yake ndogo na kutoa mkebe wa Rangi ya dhahabu akatoa kidonge kimoja kidogo akampa Giant. “Dos troxc lel drom” {Kaweke kidonge hichi cha Trixomic katika maji atakayoogea} Giant akapokea na kuingia katika chumba kipana pembeni akafungulia maji katika sink la kuogea akachanganya maji na sabuni sink likajaa Povu akadondoshea kile kidonge. “Dead” Giant alitamka na kutoka nje huku akimnyooshea dole gumba Bibi lizbeth. Mlangoni akapishana na Jorome akiwa na Serena wakiingia ndani.

    ……………………………………………

    ” “Sikiliza Trovina Mwanaume si sura, Fedha, Kusema nakupenda tu, Mwanaume ni Mapenzi anayokupa mkiwa kitandani kiukweli Jorome ni fundi tena ni fundi kwelikweli muwapo kitandani sipo tayari kumpoteza” Kauli ya D Rose iliendelea kuzunguka katika kichwa cha Trovina ikapelekea apaki gari pembeni akalaza kichwa chake kwenye siti na kutoa simu yake. Akatafuta ile namba ya Jorome aliyoisevu Shem na kuipiga “Namba unayopiga kwa sasa haipatikani, Jaribu tena baadae” Akakata simu huku akiongea mwenyewe. “ Shem please switch on your phone I need to test your Sweet” {Shem washa simu yako nataka k kuonja utamu wako} Trovina akalala juu ya Stelling ya gari huku akiongea mwenyewe. I am sorry Thum and I am very sorry my friend D Rose I need the things that make you cry from this guy” {Nisamehe Thum na nisamehe sana rafiki yangu D Rose na mimi nahitaji kitu kinachokufanya ulie kutoka kwa huyu kijana”

    ………………………………………………………..



    Serena akatangulia na kumfikia bibi Lizbeth akamvua ile nguo ya kulalia na kubakiwa na chupi tu, Akamuashiria Jorome avue nguo, Jorome akavua nguo zote Serena akatoka nje bibi Lizbeth akamvuta Jorome kitandani, Jorome akamuashiria Bibi Lizbeth Asubiri, Jorome akasogelea kaunta ya vinywaji pale ndani akachukua chupa ya amarula na kuifungua akamuashiria Bibi Lizbeth akae mezani kisha akamwagia ile amarula mwilini, Jorome akaanza kulamba Yule bibi. Kelele za kilio kutoka kwa bibi Lizbeth zilipenya katika masikio ya Giant na kuja mbio akikimbia akakutana na Serena akiwa mlangoni akamzuia. “Madax nere lovis do” {Bibi anapewa Penzi} Giant akarudi kinyume nyume. Bibi Lizbeth akiwa kalala yuko hoi Jorome akaruhusu Mtarimbo wake kuingia katika eneo lake rasmi la kazi. Sauti ya kushukuru ndio ilisikika kutoka kwa Bibi Lizbeth. Baada ya saa moja na nusu kupita kilitawala kimya mpaka pale mlango ulipofunguliwa Serena akaingia na kumkuta Bibi lizbeth kalala Hoi juu ya Meza, Jorome kakaa kwenye kiti kajifunga Taulo. Serena akamfunika Bibi Lizbeth kisha akamuinua na kumlaza kitandani . Serena akamuashiria Jorome akaoge katika bafu lililo mkono wa kushoto lililowekwa dawa ya Trixomic. Jorome akasimama na kuingia Bafuni………..







    Kelele za vilio vya watoto zilikuwa zikisikika katika eneo hilo, Wingi wa kina mama wakiwa wamekaa katika mabenchi yaliyopangwa kwa mstari, Mwanamama wa makamo akiwa kavaa koti jeupe na raba nyeupe zenye soli ndogo kasimama mbele ya wakina mama na wasichana wenye uhitaji wa kusikia maelezo kutoka kwake. Wengine wakiwa wamebeba watoto mikononi mwao huku wengine watoto wao wakicheza ndani ya Matumbo yao. Katika kona ya Benchi la mwisho amekaa msichana mrembo huku akionekana ni mwenye furaha kila dakika akigusa tumbo lake na kutabasamu. Si mwingine ni Tina msichana anayeamini yeye ndiye mke halali mtarajiwa wa Afisa wa Ikulu kama anavyofahamu yeye aitwaye Jorome aliye nchini Taiwan kikazi kwa muda wa Miezi Tisa huku akukitaraji miezi minne imebaki Mpenzi wake huyo kurudi, Wakati Nesi akiendelea kuongea Inasikika sauti ya sakafu ikilalamika baada ya kukanyagwa na viatu vyenye kisigino kirefu vilivyobeba mwili mzito. Harufu ya marashi aliyojipulizia yalipenya katika pua za Tina na kushawishi shingo yake kugeuka na kuangalia harufu ile ilipotokea. Maro ya Tina yakagongana na Sura ya mwanamama anayeonekana ni mwenye uwezo kifedha akiwa kavaa Gauni maalumu la wajawazito. Moja kwa moja yule mama akaenda kuketi karibu na Tina. Baada ya dakika chache yule nesi alikua kamaliza kuwapa somo wale wateja wake. "Za saa hizi?" Yule mama alimsalimia Tina. "Samahani naomba nikuachie Mwamvuli wangu naenda muona Nesi mara moja maana nimechelewa" Yule mama akasimama na kumfuata yule nesi mpaka ofisini kwake. "Oh samahani nesi nina shida?" Huku akifungua pochi na kutoa kitita cha pesa akaweka mezani. Macho ya yule nesi yakaganda kwenye zile fedha. "Shida gani mpendwa?" "Nahitaji kadi nyingine itakayoonyesha jina jingine la baba wa mtoto tofauti na ile ya mwanzo" Rangi ya zile fedha pale mezani iliathiri mboni za macho ya yule nesi na mvuto wake ukaingia katika akili ya nesi na kusahau wajibu na maadili ya kazi yake huku akikiuka kiapo alichokula cha utii na uaminifu katika kazi yake. "Aah hilo tu usijali" Nesi akavuta Droo na kutoa Kadi na kuanza kuandika. "Jina la baba ni nani?" "Andika Jorome" Nesi akaandika na kuinua sura kwa Tabasamu. "Jorome nani?" Yule mama akakumbwa na kigugumizi. "Kweli sijui jina lake la pili ila andika Jorome Jo" Baada ya sekunde chache kadi ilikua mikononi mwa yule mama huku Nesi akisunda Pesa katikati ya maziwa yake. Mama akatokomea nje na kumkuta Tina kasimama nje huku akivuta mdomo. "Oh samahani dada" Tayari noti ya elfu kumi ilikuwa mkononi mwa Tina kama Shukrani. "Unaitwa nani dada" Tina mjuaji alijikuta akitaka kujua jina la mama yule mkarimu. "Naitwa Mary stela" "Oh good, Mimi naitwa Tina au Mrs Jorome" Mary stela kwa mshangao. "Mrs Jorome?"



    ...........................................................



    Akiwa chumbani kwake Trovina kakaa kitandani huku kavaa kanga peke yake, Anainuka na kuitupa ile kanga pembeni anabakiwa na nguo ya ndani peke yake. Anajishika maziwa huku akibenua sehemu zake za nyuma na kujitizama kupitia kioo kikubwa kilicholala vyema katika ukuta wa chumba chake. "Thum hatougusa huu mwili mpaka Shem Jorome auguse" Anatembea hatua fupi kama washindani wa Urembo wanavyofanyaga wakiwa jukwaani. Anachukua kanga na kujifunga kisha anakaa katika Meza ya kujipambia {Dressing Table} Anachukua simu na Kubonyeza namba kadhaa huku akisubiri majibu baada ya sekunde chache ujumbe unaingia kwenye simu yake. Umefanikiwa kutuma kiasi cha shilingi 50000.00 kwenda kwa JOROME MUBA salio lako jipya ni ....... Trovina akatabasamu na kubonyeza namba katika simu yake kisha masikioni. Akakutana na sauti laini ya kike ikimpa ujumbe "Namba unayopiga kwa sasa Haipatikani, Tafdhali jaribu tena baadae.



    .....................................................



    Macho ya Jorome yakatua katika Sink kubwa la kuogea lililojaa povu jingi huku pembeni kuna mpira wa rangi ya Fedha ukiwa unatoka pembeni ya ukuta na kuegemezwa katika kishikizo kilicho pembeni ya lile sink. Macho ya Jorome yaliendelea kushangaa uzuri wa lile bafu Tabasamu la ushindi likachukua nafasi katika sura yake na kutengeneza mikunjo iliyofanya sura yake kutisha zaidi. Taulo likaacha mwili wa Jorome na kitundikwa pembeni ya mlango wa bafu. Hatua ndogo za Miguu ya Jorome zikielekea katika sink la kuogea. Mguu wa kulia Ukiinuka huku mguu wa kushoto ukikaza misuli yake kuruhusu uzito wa mwili wa Jorome kuutegeme wakati mguu wa kulia ukipanda katika ngazi ya kuingilia katika Sink.



    .............................................................



    Ndani ya kijiji cha Utama katika mji wa Bagamoyo Mwaj alikua kakaa katika mkeka mkuu mkuu huku kazungukwa na vibuyu. Harufu ya ubani na udi ilionekana kumkera sana Mwaj. Paka chui maarufu Bagamoyo alikua akizunguka huku akiimba nyimbo Mwaj akiitika kwa kutaja Jina la Jorome. Dawa nyeusi iliyotoka katika kichupa kidogo kilichozungushiwa shanga nyekundu ilikuwa mkononi mwa Mwaj wakati akipanda Gari kurudi Jijini Dar es Salaam. Mapenzi mapenzi mapenzi ndicho kitu kilichoganda ndani ya Ubongo wa Mwaj na Jorome pekee ndiye aliyemfanya akapanda Gari na kwenda kwa Mzee Paka chui kupata dawa itakayorahisisha kazi yake. "Hakikisha Unaimwaga mlangoni kwa huyo kijana akiruka tu lazima akutafute" Maneno ya Mzee Paka chui yalikua yakijirudia kichwani mwa Mwaj wakati akikaribia mbele ya nyumba anayoishi fundi wa ngono Jorome aka Gari la Taka. Kwa tahadhari akiangalia huku na kule akachepuka mpaka mlangoni mwa Jorome akijifanya anagonga mlango tayari Dawa ilikua mkononi na ilikua Taratibu ikikutana na Vumbi lililo katika kizingiti cha mlango wa Jorome. "Kwisha habari yake" Ni maneno ya ushindi kutoka kinywani mwa Mwaj.



    .......................................................



    "Hii mimba ni ya Yule afisa wa ikulu” Kauli hii iliyotoka katika kinywa cha Tina iliendelea kumtesa D Rose na kuamua kuchukua Maamuzi magumu sana KIFO ndicho kitu pekee kilichozunguka katika ubongo wake. Mbele ya Jambazi maarufu jijini Dar aitwaye DIBLO ndani ya chumba chenye kitanda na meza moja tu huku harufu ya bangi na Vipisi vya sigara vikiwa vimetawala. D Rose alikua kakaa kwenye Tofali pembeni, Mbele yake kakaa DIBLO na kushoto mwa DIBLO kakaa Mwanadada asiye na huruma si mwingine ni CHAUREMBO. "Ok nimekuelewa hiyo kazi ni ndogo Huyo Jorome si anapenda mabinti hiyo kazi namkabidhi Chaurembo" Sauti ya kukwaruza ya Diblo ilikua ikipenya katika masikio ya D Rose. "We baada ya siku mbili kuanzia leo Njoo hapa utaikuta maiti yake uamue ukaizike au utuachie tuichome moto" Chaurembo alimwambia D rose kwa kwa kujiamini. D rose akatoa bahasha ya khaki kutoka katika Mfuko wa Pensi aliyovaa na kuweka pale mezani kisha akatoka na kubamiza mlango. "Bora Tukose wote" Sauti iliyoambatana na uchungu ilitoka katika kinywa cha D Rose.



    .........................................................



    Akitazama kama anatafuta kitu, Uwepo wa watu pale ndani kama ulimkera kwa sauti ya hasira "Venot comx le lovix" {Mnafanya nini hapa na mpenzi wangu yuko wapi} Bibi Lizbeth alimuuliza Serena kwa Hasira. Giant akajibu kwa kujiamini. "Venox dreas showzx" {Yupo bafuni anaogea maji ya kifo} "Drax nod preades sures gwaneote une lovix dreas, Nod" { Unasemaje? Sitaki huyu kijana afe, Penzi alilonipa huyu kijana sijawahi pewa na mtu yeyote tokea nivunje ungo Mzuieni asioge nampenda} Bibi Lizbeth aliongea huku machozi yakimtoka. Tokea Serena amjue Bibi Lizbeth kwa miaka 30 iliyopita hajawahi kumuona hata siku moja akidondosha chozi, Tena mbaya zaidi sababu ya mwanaume. Serena akasimama na kukimbilia kwenye mlango wa bafu alilopo Jorome. Sauti ya Maji yakimwagika kuashiria Jorome keshamaliza kuoga na ndio alikua akijisuuza ilimvunja nguvu za kugonga mlango wa bafu na kumnyong'onyeza Serena akakaa chini. Giant akakimbia mpaka alipo Serena "Treanz" {Vipi} "Cosx ners showzx" {Tayari keshaoga} Kabla hajajibu Bibi Lizbeth alikuwa keshafika pale mlangoni huku kajifunga Taulo. "Treanz dos?" {Vipi nyie} "Cosx ners showzx" {Tayari keshaoga} Giant alimjibu bibi lizbeth huku kainamisha kichwa chini. Kauli ile ilipenya moja kwa moja katika akili ya bibi Lizbeth machozi yakalowanisha mashavu yake Maneno ya Dr. Leonard Thomson yakajirudia kichwani kwake. "You never Find Ant Trixomic any where in this world, any user must die" {Huwezi pata tiba ya sumu ya Trixomic, Mtumiaje yeyote lazima afe"



    ................................................................................



    Haya sasa Tina kakutana na Mary Stela wote wana Mimba ya Jorome, Huku upande wa pili Vita imeanzaaa, Trovina anatumia Fedha kumpata Jorome, Mwaj anamtumia Mganga Maarufu Bagamoyo aitwaye Paka chui na D rose kaamua Kumuua Jorome ili wakose wote...! Na Jorome keshaoga huku bibi Lizbeth akiwa Anamuhitaji Jorome.....! Je Jorome ndo anakufa na UTAMU WAKE......?



    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog