Simulizi : Mwanamke Mwenye Kovu Jeusi
Sehemu Ya Tano (5)
Tulifika pale makao makuu ya iwzara ya mambo ya ndani, tulipanda moja kwa moja mpaka gorofa ya
pili ambapo ndipo zilipokuwa ofisi za jeshi la polisi, baada kuingia mule ndani nilikutana na
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
kamishina mkuu wa jehi la polishi idara ya upelelezi, akiwa yupo pamoja na wasaidizi wake watatu,
alionekana kama mtu aliyekuwa na hasira sana ilyochanganyikana na hudhuni Fulani, nilihisi itakuwa
sababu ya kifo cha yule mkuu wangu wa kazi kwani alikuwa ni rafiki yake sana hata pia ile nafasi ni
yeye ndio aliyempatia kutokana na na kujuana kwao nilisika pia hata depo waliingia pamoja,nilkaa
kwenye kiti pale mbele kisha wale wafanyakazi walionipeleka wao walitoka nje na kuniacha mule
ndani nikiwa pamoja na wale ma ofisa wa pale makao makuuu, kamishina alinitazama kama dakika
tano hvi bila ya kusema neon lolote huku machozi yakionekana kama yalikuwa yanamrenga renga,
na mimi skitaka kuzungumza kitu kwanza niliendelea kusubli mpaka pale wao wenyewe
watakapoamua kuanza mazungumzo, mara yule msaidizi wake akamwambia “mkuu tumuhoji basi
haraka haraka ili tujue ni kipi cha kuendelea nacho” kamishina alionekana kama vile kushituka kama
ni mtu aliyekuwa akiwaza mbali sana ndipo alipoanza kuniuliza maswali mbali mbali kuhsu yule
mwanamke namjua vipi nahusika vipi kwa nini wenzangu wanishitumu kwamba namjua na
nashirikiana nae katika kumpa habari, roho iliniuma sana baada ya kusikia kauli eti wenzangu
wananishutumu.sikuamini kusikia vile, nilikaa kimua wakazungumza mule kwa takiribani dakika
kumi na tano kisha na mimi ndipo nikafungua mdomo wangu kuanza kuwajibu, nilimueleza kila kitu
ya kwamba yule mwanamke alikuwa ni mtu makini sana tofauti na sisi tulivyokuwa tunafikria,
walitega sikio kwa makini kusikia kipi nilichokuwa nazungumza niliendelea kuwapasha ya kwamba
mimi naona kama nilikuwa tu nimetolewa kafara na mkuu wangu hasa baada ya kuona kazi inakuwa
ngumu au kwa sababu matukio mengi yaliyokuwa yakimuhusu yule mwanamke nilikuwa nakutana
nayo mimi au nahusika nayo,alinitazama usoni akionekana kabisa kuna kitu alikuwa akikisoma usoni
kwangu kisha akaniambia ya kwamba na je ninajua vipi kuhusu kifo cha merehemu inspekta Thomas,
nilimwambia kwa kweli mimi taarifa nilikuwa nazo lakini sikuwa najua lolote kuhusu kile kifo,
alinitazama yena kisha hapo hapo akanipandishia swali jingine, je kwa nini nilikuwa sipatikani
kwenye simu na kwenye msiba sikuwepo pia hata kwangu sikuwepo kama taarifa nilikuwa nazo,
ilinibidi niwaeleze ukweli wote kwani nilijua kwamba bila vile wangeendelea kuwa na imani na mimi,
niliwaeleza kila kitu kutoke siku ile nilipoambiwa ya kwamba nimesimamishwa kazi mpaka safari
yangu ya Tanga na mwisho ile safari yangu ya visiwa vya shelisheli, niliwaeleza ya kuwa japo
nilikuwa nimesimamishwa kazi lakini mimi kama ninilikuwa bado naendelea na ile kazi
mwenyewe,walionekana kama vile walikuwa hawaniamini,basi kama nilikuwa najua nilitoa tiketi ya
ndege kutoka kwenye moja ya bahasha niliyokuwa nimetoka nayo nyumbani pamoja na na risiti za
hoteli kule visiwa vya sheli sheli walionkena kuanza kujenga imani tena na mimi. Basi baada ya yale
mazungumzo yule kamishina mkuu aliniambia ya kwamba sasa itanibidi mimi niendelee na ule
upelelezi bila ya kumjulisha mtu yoyote hasa wale niokuwa nafanya nao kazi kisha niwe nalipoti
kwake, aliniambia ya kwamba taarifa alizokuwa nazo ni kuwa Jamila analudi kesho hivyo basi
nayeye atamuunganisha na mimi kufanya ile kazi bila ya kuingiliana na na akina Amina, nilimshukuru
sana kwa kuonyesha ule uelwewa, basi pale pale nilitoa baadhi ya vifaa ambavyo nilkuwa nimevipta
ambavyo nilivihisisha moja kwa moja na yule mwanamke, walivitazama sana, kisha nikamuona
kamisjina akiguna baada ya kuona kile kitabu kilichokuwa na namba za simu “mh mbona huu
mwandiko kama vile naujua” alizungumza alijaribu kuvuta kumbukumbu pale bila ya kukumbuka ila
akendelea kusisitiza ya kwamba ule mwandiko anauhakika kabisa alikuwa anaujua, alishangaa sana
baada ya kukutana na plani za watu waliokuwa kwenye malengo ya yule mwanamke walizidi kuhoka
sana, ndipo mkuu akaanza kunisisitiza tena nijitahidi basi asije leta madhara zaidi ya pale kwani
mpaka pale ilikuwa ni doa kubwa sana kwenye jeshi la polisi, nilimwambia hakuna shida ile kazi hata
mimi nimedhamiria kuifanya kwa nguvu zote li kuondoa ile dhana iliyokuwa imejengeka kwa
wafanyakazi wenzangu.basi tulimaliza yale mazungumo huku mkuu wangu akinihakikishia kunipa
msaada wowote ule ambao ningeutaka lakini ahakikishe tu kina Amina wasijue kama na mimi
nilikuwa nafuatilia ile kesi, pia walinishukuru sana kwa ule moyo wangu niliouonyesha mpaka
kutumia gharama zangu binafsi kwenye mpaka visiwa vya sheli sheli kwenda kumfuatilia yule
mwanamke.
********************************
Baada ya kumaliza kujihakikishia upekuzi tena wa ile simu ya yule mwanamke nilielekea asubuhi na
mapema kwenye ofisi za tume ya mawasiliano ambapo nilikutana tena na afisa huyu akiwa ni
mwingine kabisa ambaye alikuwa ni kijana mdogo sana akionyesha kama ni mtu aliyekuwa ametoka
masomoni sio muda mrefu sana, nilizungumza naye pale kisha nikatoa kitambulisho changu ambapo
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
baada ya kukiona ndipo nikaanza kumuelezea sababu za mimi kuwa pale ofisini kwake asubuhi yote
ile alinisikiliza kwa makini kisha akachuka ile namba ya simu ya yule mwanamke na kuiingiza
kwenye laptop yake ambapo aliangalia location ambapo ile namba ilikuwa inasoma mara kwa mara
ilionekana ilikuwa inasoma mitaa ya kimara, alizidi kupekuwa mpaka umbali wa mahali ilipokuwa
inasoma ile namba kutokea kwenye mnara wa simu, baada ya pale aliiprinti karatasi ikionyesha
umbali wa mahali ambapo ule mnara ulikuwa ukisoma alinikabidhi huku akinijulisha kwamba kama
kukiwa na shida nyingine basi nisisite kumfuata tena,nilipokea ile karatasi na kumshukuru kisha
nikatoka nje na kuanza safari ya kuelekea pale kimara baruti ambapo ndipo mahali ile namba ilikuwa
ikisoma.
******************************
Nilifika kimara na kisha kuelekea kule mahali nilipokuwa nahitaji kufika kwa ajili ya kuliona lile eneo
nilitembea zaidi ya nusu saaa bila ya kuona ile ramani ambayo nilkuwa nayo mpaka ikanibidi
niwauliza baadhi ya watu njiani ambao baada ya kunielekeza ndipo nikaendelea na safari yangu
nilifika mpaka wenye ule mnara uliokuwepo kwenye ramani kisha nikatoa tena ramani yangu na
kuanza kuangalia mwelekeo tena, niliiweza kuifuata mpaka nikafika kwenye ile nyumba kwani
haikuwa mbali sana na ule mnara.
Nyumba yenyewe ilikuwa imejitenga kidogo huku ikionyesha dhahiri ya kwamba haikuwa na muda
mrefu tokea imalizike ujenzi wake, basi nilijaribu kugonga moja kwa moja pale mlangoni kwani uzio
wake haukuwa umekamilika vizuri hivyo hata geti ulikuwa bado haujawekewa, niligonga sana bila
hata ya kupata majibu mwisho nikaelekea nyumba ya jirani ili niweze japo kupata habari mbili tatu
kuhusu mkazi wa ile nyumba,niliweza kukutana na mlinzi mmoja wa kimasai wa ile nyumba ya jirani
baada ya kumsalimia ndipo nilipoanza kumuulizia kwanza alikuwa anaonyesha tabu kujibu mara,
hamjui mara yeye sio mlinzi wa iyo nyumba hivyo hajui kitu chochote lakini baada ya kumbembeleza
sana huku nikimdanganya ya kwamba nilikuwa nimeambiwa ya kwamba dada yangu alikuwa ndio
anakaa pale mimi ni mgeni nimetoka Morogoro nina mud asana nilkuwa sijafika dar hivyo basi baada
ya kufika na kuulizia ndipo nilipoambiwa ya kwamba alikuwa amehamia kwenye nyumba ile, yule
mmasai alinitazama kisha akaniambia ya kwamba, siku hizi hakuna cha bure nimpe hata pesa ya soda
ndipo aweze kuniambia.
Sikuonyesha kusit kwani kwangu jambo muhimu lilikuwa ni kupata habari tu basi nilitoa shilingi elfu
tano na kumpa, alishangaa sana kwani alijua labda nitampa elfu moja au mbili, basi hakuamin baada
ya kumwambi ya kwamba achukue yote, aliifunga kwenye kona moja ya shuka lake la kimasai kisha
ndipo akaanza kuniambia habari za kuhusu yule mwanamke alisema ya kwamba yeye hakuwa
anamjua sana kwani huwa anaingia usiku au jioni huku akiwa na gari au piki piki na mara nyingi
huwa anavaa anajifunika sana kiasi kwamba inakuwa vigumu sana kumuona, nilimuuliza mara ya
mwisho kumuona ilikuwa ni lini aalinijibu ya kwamba kama siku tatu zilizopita na sio kawaida yake
kwani mara nyingi huwa anapita kila siku,. Basi nilivuta pumzi na kisha kumuuliza kama akimuona
kwa sura atamkumbuka, aalisita kisha akasema, sizani kwa maana ni mtu ambaye huwa anapita ahuk
akiwa na haraka haraka sana nilimuuliza pia kama huwa kuna wageni wanakuja kumtembelea
alisema toka yule mwanamke aanze kukaa ile nyumba hajawahi kuona mtu yoyote yani mimi ndio
nilikuwa mtu wa kwanza kja na kumuulizia kwani inaonekana yule mwanamke huwa anakuwa yupo
bize sana, basi nilimshkuru kisha nikaanza kuondoka, basi yule mmasai akaniuliza sasa kama akija
nimuambie nani kaja, nilisimama kisha nikamsogelea na kuanza kumwambia kwa sauti ya taratibu ya
kwamba asimwambie lolote kisha nikampa namba yangu na kumwambiaya kwamba wewe ukimuona
amekuja wewe nibeep mimi nitakuja pia kutakuwa na zawadi yako nono,yule mmasai alionekana
kufurahi sana kusikia kuwa nitampa zawadi. “sasa mtu mwenyewe huwa akija hakai sana unaweza
kuja na usimkute” alinimabia yule mmasai basi na mimi nikamjulisha ya kwamba asiwe na wasiwasi
kwani mimi nilikuwa naishi mazingira yale yale jirani hivyo hofu aondoe kabisa.
***********************************
Nilifika uwanja wa ndege mida ya asubuhi na mapema kwa ajil ya kwenda kumpokea Jamila ambaye
alikuwa mafunzoni nje ya nchi huku akiwa ameenda kujifunza kozi fupi ya mambo ya social
intelligence nilipaki gari yangu sehemu ya kuegeshea magari kisha nikaenda moja kwa moja sehemu
ya kusubilia wageni,nilikuwa nimewahi kama muda wa dakika arobaini hivi kabla ya muda wa ile
ndege ya KLM kufika, basi baada ya muda ile ndege ilifika namimi nilijiamisha na kuhamia sehemu
ya kutokea abiria, baada ya dakika tano nilimuona Jamila akiteremka huku akiwa ameshika begi lake
dogo akiliburuta na mkoba wake mingine ukiwa kwapani, basi nilimsogelea na kumkumbatia huku
nay eye akionyesha tabasamu pana kidogo kisha tukasalimiana pale, Jamila alionekana kufurahia
sana mimi muda ule wa asubuhi yote kuwa pale kwa ajili ya kumpokea, aliongea kwa utani,ulilala
ukinota nini? Basi tulipanda kwenye gari yangu na kuanza safari ya kuelekea nyumbani kwake
alikokuwa amepanga alikuwa amepanga magomeni. Ndani ya gari tulizungumza mambo mengi sana
huku mimi nikimwambia afadhali ameludi kwani mwanamke mwenye kovu jeusi bado anaendelea
kusumbua jiji, alinitazama kwa macho ya hudhuni Fulani huku akionekana kama ni mtu aliyehisi kitu
Fulani kisha akaniambia, inamaana mmeshindwa kumdhibiti , nimitamzama kisha nikamwambia ya
kwamba pale tulikuwa tukimsubili yeye nay eye pia ajalibu kumkamata kama ile kazi likuwa ni rahisi,
nilimwambi kwani barua zangu pepe ulikuwa huzipati? Hali imekuwa mbaya sana juzi nilikuwa
makao makuu waliniambia ya kwamba wewe ukifika tu utajumuika na mimi katika kufuatilia hili
jambo kwa siri bila ya kuingiliana na kina Amina, aliguna kisha akajikuta anasema ya kwamba
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
hapana katika hili jambo mimi mtanitaka radhi kabisa sitoweza kuifuatlia bora nipewe majukumu
mengine, nilimmwambia kwa upole sasa Jamila hiyo kozi uliyokuwa umeenda kuisoma huko
Marekani imekusaidia nini wakati mkuu wetu ameona ya kwamba wewe ndio utafaa zaidi halafu pia
wewe huwa unakuwa shapu sana katika ufanyaji kazi ndio maana wamependekeza uifanye na mimi.
Jamila alionekana kuafiki kwa shingo upande kuhusu kushirikiana na mimi katika lile jambo,
basi tulifika kwake ambapo aliniacha mimi sebuleni kwake kisha yeye akaelekea chmbani kwake
kwa ajili ya kujiandaa.
**************************
Ilikuwa ni mida ya saa mbili usiku wakati nipo zangu nyumbani kwangu nikitazama taarifa ya habari
ndipo simu yangu ilipogiwa na namba ngeni, nilipopoke ile simu ikakata, basi nikaamua kuipigia ile
namba mara akapokea kumbe alikuwa ni yule mmasai, “thatha yelo ulisema wewe nikikudeep
utapiga thatha mona wapokea mpaka pesa yangu waimaliza yelo” alikuwa yule mmasai akilalamika
baada ya mimi kupokea ile simu yangu. Nilimwambia asijali nitamtumia salio baada ya hapo kisha
nikamwambia anijuze, ah nilikuwa nataka kukusalimu tu halafu huyu jirani ameingia muda huu basi
fanya kuwahi kuja. Nilishituka kusikia vile halafu pia nlijiuliza ni vipi nitawahi kufika kule kwa
maana kutoka mnazi mmoja mpaka kimara na kwa muda ule foleni ilikuwa ni kubwa sana.basi
nilimjulisha ya kwamba hakuna shida nakuja, sawa usisahau zawadi yandu na vocha yangu, alimalizia
yule mmasai.
Nilimpigia simu Jamila ili kumjulisha ajiandae nimpitie kwani kazi tayari ailikuwa imeshaanza kwa
bahati mbaya simu yake ikawa haipatikani,nililaumu sana kwa kile kitendo kwani wakati naondoka
kwake nilimwambia kuwa muda wowote ningeweza kumuhitaji kwa ajili ya ile kazi,basi nilijipakia
mimi mwenyewe kwenye gari yangu huku nikiwa nimechukua bastola yangu moja
*******************************
Niliondoa gari pale kwangu kwa mwendo wa kasi sana huku nikijaribu kutanua sehemu zingine ili
niweze kufika mapema, japo njiani kulikuwa na foleni kubwa sana lakini baada ya saa moja na robo
nilkiuwatayari nimeshafika tayari maeneo ya jirani na ile nyumba nilipaki gari yangu umbali wa kama
mita mia tano hivi kisha nikashuka na kisha kuanza kuelekea kwenye ile nyumba, nilisogea mpaka
kwa nyuma ya ile nyumba kisha nikaangalia kama kulikuwa na upenyo wa kupita kuingia mule
ndani, sikuona geti kwani nyumba ilikuwa imezungushiwa ukuta kwa kule nyuma na ulikuwa ni
mrefu sana,nilihangaika nikaona kama nikifanya shambulizi la kushitkiza na kuingia mule ndani basi
nitakuwa najiweka hatiani kwani yule mwanamke angewza kunisikia na kunidhuru kwa lolote lile
ilinbidi nigahili kisha nihamie upande wa mbele wa ile nyumba nilipanda juu ya mti na kujibanza
sehemu moja hivi ambapo palikuwa na kama tawi Fulani lililojaa majani mengi hivi, kupitia pale
niliweza kuona kwa mbali mule ndani taa ikiwa imewaka huku yule mwanamke akionekana
akizunguka mara huku mare kue mule ndani, nilijilaumu sana kwa kwenda peka yangu niliogopa
yasije nikuta kama yale ya makaburini,nilijaribu kumpigia simu Jmila lakini ikawa haipatikani
Basi niliona njia pekee pale ni kwenda tu moja kwa moja getini na kugonga kisha kuludi na kujifisha
ili niweze kuon ni kipi kitanedelea, nilishuka chini ya mti na kwenda kugonga lile geti kwa nguvu
sana kisha nkaludi kujificha kama nilivyokuwa nimepanga,yule mwanamke alionekana kushituka
mule ndani, nadhani alijua tu ni raia wa kawaida basi akaja mpaka pale getini na kuchungulia
hakuweza kuona mtu kisha akajirudisha ndani nahisi aifikiria watakuwa ni watoto tu wakifanya fujo,
mwili ulinisisimka sana kwani ile sura ilikuwa sio ngeni kabisa machoni mwangu, nilihisi kama
naifananisha sijui kutokana na lile giza,basi nikaona sio mbaya ngoja kwanza niendelee kuwa
mvumilivu ili niweze kujua ni kipi kitaendelea.mara baada ya kama nusu sasa nikaweza kumuona
yule mwanamke akitoka mule ndani ilikuwa yapata kama mida ya saa sita usiku hivi kuangalia vizuri
ile sura ilikuwa ni sura ya Jamila, nilishituka sana nikataka kumuita kisha nikasita alitoka mule ndani
kwa kasi ana huku akiwa kama mtu aliyekuwana wasiwasi, baada ya kuondoka lile eneo, na mimi
nilishuka juu ya ule mti na kuanza kuelekeakwenye gari langu kuanza safari ya kuludi kwangu, huku
kichwani nikiwa na maswali mwengi kichwani je Jamila ndio yule mwanamke? Au baada ya kufika tu
ameamua kuanza nay eye kumfuatilia kimya kimya yule mwanamke? Nilijikuta najihoji maswali
mengi sana bila ya majibu, maana kila siku niliona jambo jipya likizuka kila siku, nilondoka pale huku
nikiona njia nzuri ni kumtega tu Jamila ili kujua kila kitu kama ni yeye ndio muhusika au na yeye
ndio alikuwa anafuatilia.nilijikuta nakosa jibu la uhakika zaidi pindi nitakapokutana naye ndio niliona
naweza pata jibu.
***************************************
Nilikutana na Jamila baada ya kumaliza mihangaiko yake ya mchana alikuja nyumbani kwangu
ambapo alinikuta nikiwa bado nimelala sikuwa na haraka ya kuamka kwani kazini nilikuwa siendi
hivyo muda mwingi nilikuwa nautumia tu kulala kama sina kazi nyingine ya kufanya.
Basi baada ya kuingia ndani kwangu alipitiliza mpaka chumbani kwangu, aliniomba ruhusa ya kukaa
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
kwenye kitanda changu ambapo na mimi bila ya hiyana nilimruhusu. Tulianza kuzungumza mambo
mengi sana huku akinipa habari za hapa na pale,nilimuuliza kwa nini jana yake alizima simu usiku
wakati nilikuwa namhitaji twende kumfuatilia mwanamke yule hatari alinijibu huku akiangalia
pembeni yakwamba alikuwa amechoka sana hivyo basi ndio maana aliamua kuzima simu yake baada
ya muda kumaliza kupata chakula cha mchana nilienda bafuni kuoga, wakati naludi nilimkuta Jamila
akiwa kama kuna kitu akikisakanya mule chumbani kwangu ila baada ya kuniona akaacha, alijifanya
kunipokea kwa maneno ya uongo na kweli huku macho yake yakiwa na wasiwasi sana. Mimi
nilijifanya kama vile simuoni kisha nikamuomba anipishe nibadili nguo, aliondoka mule chumbani
lakini akiwa na wasiwasi sana, baada ya mimi kumaliza kujiandaa nilimfuata pale sebuleni na
kumuambia ya kwamba nilikuwa tayari hivyo kwa muda ule nilikuwa namuhitaji twende naye kimara
kwenda kumfuatilia yule mwanamke, alinitazama kwa macho makali sana kisha akaniambia ya
kwamba “hata kamishina nimemuambia ya kwamba mimi hiyo kazi siiwezi kabisa wewe endelea
nayo peke yako tu” nilishangaa baada ya kusikia jibu lile kwani kusema kweli moja yaw au ambao
tulikuwa tunawetegemea kwenye jeshi la polisi kaitka maswala ya upelelezi Jamila alikuwa ni mmoja
wapo na dio maana hata jeshi liliamua kumpeleka nje yanchi kwenye ile kozi ya muda mfupi.
Nilisogea kwenye kochi alililokuwa amekaa kisha na kuanza kumueleza kwa taratibu umuhimu wake
yeye katika ufuatiliaji wa ile kesi, alinisikiliza kwa umakini sana huku machozi yakiwa kama
yanataka kumtoka, alinivuta taratibu na kuegemea kifuani kwake kisha na kuniuliza kwa sauti yenye
upole uliochanganyika na simanzi ya kwamba. Kwani Siwah inamaana mpaka leo hii MWANAMKE
MWENYE KOVU JEUSI BADO HUJAMTAMBUA? Niliitika kwa kichwa huku nikimkazia macho
Alinitazama sana kisha akaniambia basi leo utamjua ila naomba iwe siri yako na wewe ndio wa
kumsaidia.
*******************************
Jamila alianza kunieleza ya kwamba yeye ndio Mwanamke mwenye kovu jeusi, ambaye muda wot
sisi tulikuwa tukimtafuta na hata yale mauaji ni yeye ndio alikuwa akiyafanya kutokana na moyo
wake uliokuwa umejaa simanzi na makovu mengi, alianza kwa kunihadithia historia ya maisha yake
kwa urefu sana toka alipozaliwa ya kuwa baba yake alimkataa katakata kitu kilichokuja kumletea
matatizo mama yake ambapo alifukuzwa nyumabani kwao, alizaliwa huku mama yake akiwa yule
kwa rafiki yake ambaye na yeye umri ulikuwa ni mdogo sana huku aiwa anajishughurisha na biashara
ndogondogo. Aliendelea kunieleza ya kwamba baada ya mama yake kumzaa alipofikisha umri wa
kwenda shule alianza kusoma kwa tabu sana kwani mama yake kipndi hicho ilimbidi afanye kazi ya
kuuza pombe kwenye vilabu vya usiku, anakumbuka siku moja mama yake aliludi usiku sana huku
akiwa ameambatana na mwanaume mmoja kwani siku zingine ilikuwa kawaida kwa mama yake kuja
na wanaume mule kwenye kile chumba walichokuwa wamepanga na kulala nao mule huku yeye
akitandikiwa mkeka na kulala chini. Anadai baada ya kuingia mule ndani kwa kuwa siku ile mama
yake alikuwa amelewa sana basi baada tu ya kufika mule ndani alilala, fofofo ambapo yule
mwanaume baada ya kumuona akiwa amelala pale chini alijikuta akianza kumtamani, ambapo
alimsogelea na kumbaka, roho ilimuuma sana kwani alikuwa na umri mdogo sana na hata mama yake
alipojaribu kumuambia alionekana kutokujali kile kitendo zaidi ya kumuambia ya kwamba naona
umeanza kuku asana mwanangu.kiukweli ilimuachia kovu kubwa sana moyoni
Basi maisha yake yalikuwa ya hivyo hivyo ya kubangaiza hapa na pale baada ya kumaliza kidato cha
nne aliweza kupata nafasi ya kujiunga na jeshi la polisi ambapo askari aliyesema atamuunganishia iyo
nafasi nay eye pia alimtaka kimapenzi hakuwa na jinsi tena kwani maisha yalikuwa tayari
yameshamtandika sana kwani hata sekondari nayo pia alisoma kwa shida shida sana. Alinitazama
machoni Jamila huku machozi yakiwa yakimmtiririka kisha akaniambia ya kwamba tafadhari sana
Siwah nakuomba unitunzie hii siri, sikuwa na kipingmizi kisha akendelea. Kuwa baada ya kuingia
mafunzo ya polisi kuna siku moja alikuwa anaumwa hivyo basi yeye hakuenda kwenye mafunzo
asubuhi ambapo baadaye mkuu msaidizi wa mafunzo alipita akiwa anakugua watu waliokuwa
hawajaenda kwenye gwaride baada ya kumkuta alimfokea sana kisha akatishia kumuondoa kwa
tatizo la uzembe, ilimbidi ambembeleze sana ambapo alimwambia sawa ila kama atakubali kulala na
yeye( hapa nikavuta picha na majina yake yaliyokuwa kwenye orodha ya watu aliokuwa akitaka
kuwauwa) alijifanya kunipokea kwa maneno ya uongo na kweli huku macho yake yakiwa na
wasiwasi sana. Mimi nilijifanya kama vile simuoni kisha nikamuomba anipishe nibadili nguo,
aliondoka mule chumbani lakini akiwa na wasiwasi sana, baada ya mimi kumaliza kujiandaa
nilimfuata pale sebuleni na kumuambia ya kwamba nilikuwa tayari hivyo kwa muda ule nilikuwa
namuhitaji twende naye kimara kwenda kumfuatilia yule mwanamke, alinitazama kwa macho makali
sana kisha akaniambia ya kwamba “hata kamishina nimemuambia ya kwamba mimi hiyo kazi siiwezi
kabisa wewe endelea nayo peke yako tu” nilishangaa baada ya kusikia jibu lile kwani kusema kweli
moja yaw au ambao tulikuwa tunawetegemea kwenye jeshi la polisi kaitka maswala ya upelelezi
Jamila alikuwa ni mmoja wapo na dio maana hata jeshi liliamua kumpeleka nje yanchi kwenye ile
kozi ya muda mfupi.
Niliguna baada ya kusikia vile nilijua moja kwa moja nilikuwa nahisiwa kuhusika na kifo cha
mkubwa wangu wa kazi,niliwaomba dakika kadhaa niweze kujiandaa kwani nilikuwa nipo kifua wazi
huku nikiwa nimevaa suruali ya kulalia tu, waliniambia hukuna tatizo, nilijua ingekuwa ngumu kwa
mimi kunipeleka kama watu wengine kwani baadhi yao pale nilikuwa nawazidi cheo ofisini, basi
niingia ndani na kujiandaa kisha nikabeba na baadhi ya vitu kwenye mkoba wangu na kutoka kwa
ajiliya kuanza safari ya kuelekea makao makuu muda ule ule wa jioni kwa ajili ya mahojiano kama
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
wao walivyokuwa wamenambia, niliinia kwenye ile discover ya polisi na kuanza kuelekea makao
makuu.mule ndani ya gari wale wafanyakazi wenzangu walionekana kama ni watu waliokuwa
wakinihofia sana kwani hata mazungumzo na mimi walkuwa wanazungumza kwa kusita siat asana
hasa baadhi ya maswali ambayo nilikuwa nahitako ufafanuzi wao na ushirikiano wao.
Nilijua tu itakuwa ni sumu iliyokuwa imesabazwa kuwa mimi nilikuwa nikishirikiana na yule muuaji
katika kufanya yale matukio,kitu ambacho mimi kilinishangaza sana kwani sikuona ushirikiano baina
ya mimi na yule mwanamkepia sikuona umuhimu wake ule wa kuuwa watu hovyo basi sikuwa na
jinsi nianza kujiona kama mpweke Fulani hivi na mtu ambaye nilikuwa ninategwa na jamii bila ya
sababu zisizo na maana, sikuwa na jinsi niona njia ya kulitatua lile tatizo ni moj tu nalo ni kuhakikisha
yule mwanamke namkamata na kumfiksiha mbele yao hiyo ndio itakuwa njia yangu mimi kujosha
kwani tofauti na pale bado jamii na wafanyakazi wenzangu watahisi ni mimi.
Tulifika pale makao makuu ya iwzara ya mambo ya ndani, tulipanda moja kwa moja mpaka gorofa ya
pili ambapo ndipo zilipokuwa ofisi za jeshi la polisi, baada kuingia mule ndani nilikutana na
kamishina mkuu wa jehi la polishi idara ya upelelezi, akiwa yupo pamoja na wasaidizi wake watatu,
alionekana kama mtu aliyekuwa na hasira sana ilyochanganyikana na hudhuni Fulani, nilihisi itakuwa
sababu ya kifo cha yule mkuu wangu wa kazi kwani alikuwa ni rafiki yake sana hata pia ile nafasi ni
yeye ndio aliyempatia kutokana na na kujuana kwao nilisika pia hata depo waliingia pamoja,nilkaa
kwenye kiti pale mbele kisha wale wafanyakazi walionipeleka wao walitoka nje na kuniacha mule
ndani nikiwa pamoja na wale ma ofisa wa pale makao makuuu, kamishina alinitazama kama dakika
tano hvi bila ya kusema neon lolote huku machozi yakionekana kama yalikuwa yanamrenga renga,
na mimi skitaka kuzungumza kitu kwanza niliendelea kusubli mpaka pale wao wenyewe
watakapoamua kuanza mazungumzo, mara yule msaidizi wake akamwambia “mkuu tumuhoji basi
haraka haraka ili tujue ni kipi cha kuendelea nacho” kamishina alionekana kama vile kushituka kama
ni mtu aliyekuwa akiwaza mbali sana ndipo alipoanza kuniuliza maswali mbali mbali kuhsu yule
mwanamke namjua vipi nahusika vipi kwa nini wenzangu wanishitumu kwamba namjua na
nashirikiana nae katika kumpa habari,
roho iliniuma sana baada ya kusikia kauli eti wenzangu wananishutumu.sikuamini kusikia vile, nilikaa
kimua wakazungumza mule kwa takiribani dakika kumi na tano kisha na mimi ndipo nikafungua
mdomo wangu kuanza kuwajibu, nilimueleza kila kitu ya kwamba yule mwanamke alikuwa ni mtu
makini sana tofauti na sisi tulivyokuwa tunafikria, walitega sikio kwa makini kusikia kipi nilichokuwa
nazungumza niliendelea kuwapasha ya kwamba mimi naona kama nilikuwa tu nimetolewa kafara na
mkuu wangu hasa baada ya kuona kazi inakuwa ngumu au kwa sababu matukio mengi yaliyokuwa
yakimuhusu yule mwanamke nilikuwa nakutana nayo mimi au nahusika nayo,alinitazama usoni
akionekana kabisa kuna kitu alikuwa akikisoma usoni kwangu kisha akaniambia ya kwamba na je
ninajua vipi kuhusu kifo cha merehemu inspekta Thomas, nilimwambia kwa kweli mimi taarifa
nilikuwa nazo lakini sikuwa najua lolote kuhusu kile kifo,
alinitazama na kisha hapo hapo akanipandishia swali jingine, je kwa nini nilikuwa sipatikani kwenye
simu na kwenye msiba sikuwepo pia hata kwangu sikuwepo kama taarifa nilikuwa nazo, ilinibidi
niwaeleze ukweli wote kwani nilijua kwamba bila vile wangeendelea kuwa na imani na mimi,
niliwaeleza kila kitu kutoke siku ile nilipoambiwa ya kwamba nimesimamishwa kazi mpaka safari
yangu ya Tanga na mwisho ile safari yangu ya visiwa vya shelisheli, niliwaeleza ya kuwa japo
nilikuwa nimesimamishwa kazi lakini mimi kama ninilikuwa bado naendelea na ile kazi
mwenyewe,walionekana kama vile walikuwa hawaniamini
,basi kama nilikuwa najua nilitoa tiketi ya ndege kutoka kwenye moja ya bahasha niliyokuwa
nimetoka nayo nyumbani pamoja na na risiti za hoteli kule visiwa vya sheli sheli walionkena kuanza
kujenga imani tena na mimi. Basi baada ya yale mazungumzo yule kamishina mkuu aliniambia ya
kwamba sasa itanibidi mimi niendelee na ule upelelezi bila ya kumjulisha mtu yoyote hasa wale
niokuwa nafanya nao kazi kisha niwe nalipoti kwake, aliniambia ya kwamba taarifa alizokuwa nazo
ni kuwa Jamila analudi kesho hivyo basi nayeye atamuunganisha na mimi kufanya ile kazi bila ya
kuingiliana na na akina Amina, nilimshukuru sana kwa kuonyesha ule uelwewa,
basi pale pale nilitoa baadhi ya vifaa ambavyo nilkuwa nimevipta ambavyo nilivihisisha moja kwa
moja na yule mwanamke, walivitazama sana, kisha nikamuona kamisjina akiguna baada ya kuona
kile kitabu kilichokuwa na namba za simu “mh mbona huu mwandiko kama vile naujua” alizungumza
alijaribu kuvuta kumbukumbu pale bila ya kukumbuka ila akendelea kusisitiza ya kwamba ule
mwandiko anauhakika kabisa alikuwa anaujua, alishangaa sana baada ya kukutana na plani za watu
waliokuwa kwenye malengo ya yule mwanamke walizidi kuhoka sana, ndipo mkuu akaanza
kunisisitiza tena nijitahidi basi asije leta madhara zaidi ya pale kwani mpaka pale ilikuwa ni doa
kubwa sana kwenye jeshi la polisi, nilimwambia hakuna shida ile kazi hata mimi nimedhamiria
kuifanya kwa nguvu zote li kuondoa ile dhana iliyokuwa imejengeka kwa wafanyakazi
wenzangu.basi tulimaliza yale mazungumo huku mkuu wangu akinihakikishia kunipa msaada wowote
ule ambao ningeutaka lakini ahakikishe tu kina Amina wasijue kama na mimi nilikuwa nafuatilia ile
kesi, pia walinishukuru sana kwa ule moyo wangu niliouonyesha mpaka kutumia gharama zangu
binafsi kwenye mpaka visiwa vya sheli sheli kwenda kumfuatilia yule mwanamke.
********************************
Baada ya kumaliza kujihakikishia upekuzi tena wa ile simu ya yule mwanamke nilielekea asubuhi na
mapema kwenye ofisi za tume ya mawasiliano ambapo nilikutana tena na afisa huyu akiwa ni
mwingine kabisa ambaye alikuwa ni kijana mdogo sana akionyesha kama ni mtu aliyekuwa ametoka
masomoni sio muda mrefu sana, nilizungumza naye pale kisha nikatoa kitambulisho changu ambapo
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
baada ya kukiona ndipo nikaanza kumuelezea sababu za mimi kuwa pale ofisini kwake asubuhi yote
ile alinisikiliza kwa makini kisha akachuka ile namba ya simu ya yule mwanamke na kuiingiza
kwenye laptop yake ambapo aliangalia location ambapo ile namba ilikuwa inasoma mara kwa mara
ilionekana ilikuwa inasoma mitaa ya kimara, alizidi kupekuwa mpaka umbali wa mahali ilipokuwa
inasoma ile namba kutokea kwenye mnara wa simu, baada ya pale aliiprinti karatasi ikionyesha
umbali wa mahali ambapo ule mnara ulikuwa ukisoma alinikabidhi huku akinijulisha kwamba kama
kukiwa na shida nyingine basi nisisite kumfuata tena,nilipokea ile karatasi na kumshukuru kisha
nikatoka nje na kuanza safari ya kuelekea pale kimara baruti ambapo ndipo mahali ile namba ilikuwa
ikisoma.
Nilifika kimara na kisha kuelekea kule mahali nilipokuwa nahitaji kufika kwa ajili ya kuliona lile eneo
nilitembea zaidi ya nusu saaa bila ya kuona ile ramani ambayo nilkuwa nayo mpaka ikanibidi
niwauliza baadhi ya watu njiani ambao baada ya kunielekeza ndipo nikaendelea na safari yangu
nilifika mpaka wenye ule mnara uliokuwepo kwenye ramani kisha nikatoa tena ramani yangu na
kuanza kuangalia mwelekeo tena, niliiweza kuifuata mpaka nikafika kwenye ile nyumba kwani
haikuwa mbali sana na ule mnara.
Nyumba yenyewe ilikuwa imejitenga kidogo huku ikionyesha dhahiri ya kwamba haikuwa na muda
mrefu tokea imalizike ujenzi wake, basi nilijaribu kugonga moja kwa moja pale mlangoni kwani uzio
wake haukuwa umekamilika vizuri hivyo hata geti ulikuwa bado haujawekewa, niligonga sana bila
hata ya kupata majibu mwisho nikaelekea nyumba ya jirani ili niweze japo kupata habari mbili tatu
kuhusu mkazi wa ile nyumba,niliweza kukutana na mlinzi mmoja wa kimasai wa ile nyumba ya jirani
baada ya kumsalimia ndipo nilipoanza kumuulizia kwanza alikuwa anaonyesha tabu kujibu mara,
hamjui mara yeye sio mlinzi wa iyo nyumba hivyo hajui kitu chochote lakini baada ya kumbembeleza
sana huku nikimdanganya ya kwamba nilikuwa nimeambiwa ya kwamba dada yangu alikuwa ndio
anakaa pale mimi ni mgeni nimetoka Morogoro nina mud asana nilkuwa sijafika dar hivyo basi baada
ya kufika na kuulizia ndipo nilipoambiwa ya kwamba alikuwa amehamia kwenye nyumba ile, yule
mmasai alinitazama kisha akaniambia ya kwamba, siku hizi hakuna cha bure nimpe hata pesa ya soda
ndipo aweze kuniambia.
Sikuonyesha kusit kwani kwangu jambo muhimu lilikuwa ni kupata habari tu basi nilitoa shilingi elfu
tano na kumpa, alishangaa sana kwani alijua labda nitampa elfu moja au mbili, basi hakuamin baada
ya kumwambi ya kwamba achukue yote, aliifunga kwenye kona moja ya shuka lake la kimasai kisha
ndipo akaanza kuniambia habari za kuhusu yule mwanamke alisema ya kwamba yeye hakuwa
anamjua sana kwani huwa anaingia usiku au jioni huku akiwa na gari au piki piki na mara nyingi
huwa anavaa anajifunika sana kiasi kwamba inakuwa vigumu sana kumuona, nilimuuliza mara ya
mwisho kumuona ilikuwa ni lini aalinijibu ya kwamba kama siku tatu zilizopita na sio kawaida yake
kwani mara nyingi huwa anapita kila siku,.
Basi nilivuta pumzi na kisha kumuuliza kama akimuona kwa sura atamkumbuka, aalisita kisha
akasema, sizani kwa maana ni mtu ambaye huwa anapita ahuk akiwa na haraka haraka sana
nilimuuliza pia kama huwa kuna wageni wanakuja kumtembelea alisema toka yule mwanamke aanze
kukaa ile nyumba hajawahi kuona mtu yoyote yani mimi ndio nilikuwa mtu wa kwanza kja na
kumuulizia kwani inaonekana yule mwanamke huwa anakuwa yupo bize sana,
basi nilimshkuru kisha nikaanza kuondoka, basi yule mmasai akaniuliza sasa kama akija nimuambie
nani kaja, nilisimama kisha nikamsogelea na kuanza kumwambia kwa sauti ya taratibu ya kwamba
asimwambie lolote kisha nikampa namba yangu na kumwambiaya kwamba wewe ukimuona amekuja
wewe nibeep mimi nitakuja pia kutakuwa na zawadi yako nono,yule mmasai alionekana kufurahi
sana kusikia kuwa nitampa zawadi. “sasa mtu mwenyewe huwa akija hakai sana unaweza kuja na
usimkute” alinimabia yule mmasai basi na mimi nikamjulisha ya kwamba asiwe na wasiwasi kwani
mimi nilikuwa naishi mazingira yale yale jirani hivyo hofu aondoe kabisa.
***********************************
Nilifika uwanja wa ndege mida ya asubuhi na mapema kwa ajil ya kwenda kumpokea Jamila ambaye
alikuwa mafunzoni nje ya nchi huku akiwa ameenda kujifunza kozi fupi ya mambo ya social
intelligence nilipaki gari yangu sehemu ya kuegeshea magari kisha nikaenda moja kwa moja sehemu
ya kusubilia wageni,nilikuwa nimewahi kama muda wa dakika arobaini hivi kabla ya muda wa ile
ndege ya KLM kufika, basi baada ya muda ile ndege ilifika namimi nilijiamisha na kuhamia sehemu
ya kutokea abiria, baada ya dakika tano nilimuona Jamila akiteremka huku akiwa ameshika begi lake
dogo akiliburuta na mkoba wake mingine ukiwa kwapani, basi nilimsogelea na kumkumbatia huku
nay eye akionyesha tabasamu pana kidogo kisha tukasalimiana pale, Jamila alionekana kufurahia
sana mimi muda ule wa asubuhi yote kuwa pale kwa ajili ya kumpokea, aliongea kwa utani,ulilala
ukinota nini? Basi tulipanda kwenye gari yangu na kuanza safari ya kuelekea nyumbani kwake
alikokuwa amepanga alikuwa amepanga magomeni. Ndani ya gari tulizungumza mambo mengi sana
huku mimi nikimwambia afadhali ameludi kwani mwanamke mwenye kovu jeusi bado anaendelea
kusumbua jiji, alinitazama kwa macho ya hudhuni Fulani huku akionekana kama ni mtu aliyehisi kitu
Fulani kisha akaniambia, inamaana mmeshindwa kumdhibiti , nimitamzama kisha nikamwambia ya
kwamba pale tulikuwa tukimsubili yeye na yeye pia ajalibu kumkamata kama ile kazi likuwa ni rahisi,
nilimwambi kwani barua zangu pepe ulikuwa huzipati? Hali imekuwa mbaya sana juzi nilikuwa
makao makuu waliniambia ya kwamba wewe ukifika tu utajumuika na mimi katika kufuatilia hili
jambo kwa siri bila ya kuingiliana na kina Amina, aliguna kisha akajikuta anasema ya kwamba
hapana katika hili jambo mimi mtanitaka radhi kabisa sitoweza kuifuatlia bora nipewe majukumu
mengine, nilimmwambia kwa upole sasa Jamila hiyo kozi uliyokuwa umeenda kuisoma huko
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Marekani imekusaidia nini wakati mkuu wetu ameona ya kwamba wewe ndio utafaa zaidi halafu pia
wewe huwa unakuwa shapu sana katika ufanyaji kazi ndio maana wamependekeza uifanye na mimi.
Jamila alionekana kuafiki kwa shingo upande kuhusu kushirikiana na mimi katika lile jambo,
basi tulifika kwake ambapo aliniacha mimi sebuleni kwake kisha yeye akaelekea chmbani kwake
kwa ajili ya kujiandaa.
**************************
Ilikuwa ni mida ya saa mbili usiku wakati nipo zangu nyumbani kwangu nikitazama taarifa ya habari
ndipo simu yangu ilipogiwa na namba ngeni, nilipopoke ile simu ikakata, basi nikaamua kuipigia ile
namba mara akapokea kumbe alikuwa ni yule mmasai, “thatha yelo ulisema wewe nikikudeep
utapiga thatha mona wapokea mpaka pesa yangu waimaliza yelo” alikuwa yule mmasai akilalamika
baada ya mimi kupokea ile simu yangu. Nilimwambia asijali nitamtumia salio baada ya hapo kisha
nikamwambia anijuze, ah nilikuwa nataka kukusalimu tu halafu huyu jirani ameingia muda huu basi
fanya kuwahi kuja. Nilishituka kusikia vile halafu pia nlijiuliza ni vipi nitawahi kufika kule kwa
maana kutoka mnazi mmoja mpaka kimara na kwa muda ule foleni ilikuwa ni kubwa sana.basi
nilimjulisha ya kwamba hakuna shida nakuja, sawa usisahau zawadi yandu na vocha yangu, alimalizia
yule mmasai.
Nilimpigia simu Jamila ili kumjulisha ajiandae nimpitie kwani kazi tayari ailikuwa imeshaanza kwa
bahati mbaya simu yake ikawa haipatikani,nililaumu sana kwa kile kitendo kwani wakati naondoka
kwake nilimwambia kuwa muda wowote ningeweza kumuhitaji kwa ajili ya ile kazi,basi nilijipakia
mimi mwenyewe kwenye gari yangu huku nikiwa nimechukua bastola yangu moja
Niliondoa gari pale kwangu kwa mwendo wa kasi sana huku nikijaribu kutanua sehemu zingine ili
niweze kufika mapema, japo njiani kulikuwa na foleni kubwa sana lakini baada ya saa moja na robo
nilkiuwatayari nimeshafika tayari maeneo ya jirani na ile nyumba nilipaki gari yangu umbali wa kama
mita mia tano hivi kisha nikashuka na kisha kuanza kuelekea kwenye ile nyumba, nilisogea mpaka
kwa nyuma ya ile nyumba kisha nikaangalia kama kulikuwa na upenyo wa kupita kuingia mule
ndani, sikuona geti kwani nyumba ilikuwa imezungushiwa ukuta kwa kule nyuma na ulikuwa ni
mrefu sana,nilihangaika nikaona kama nikifanya shambulizi la kushitkiza na kuingia mule ndani basi
nitakuwa najiweka hatiani kwani yule mwanamke angewza kunisikia na kunidhuru kwa lolote lile
ilinbidi nigahili kisha nihamie upande wa mbele wa ile nyumba nilipanda juu ya mti na kujibanza
sehemu moja hivi ambapo palikuwa na kama tawi Fulani lililojaa majani mengi hivi, kupitia pale
niliweza kuona kwa mbali mule ndani taa ikiwa imewaka huku yule mwanamke akionekana
akizunguka mara huku mare kue mule ndani, nilijilaumu sana kwa kwenda peka yangu niliogopa
yasije nikuta kama yale ya makaburini,nilijaribu kumpigia simu Jmila lakini ikawa haipatikani
Basi niliona njia pekee pale ni kwenda tu moja kwa moja getini na kugonga kisha kuludi na kujifisha
ili niweze kuon ni kipi kitanedelea, nilishuka chini ya mti na kwenda kugonga lile geti kwa nguvu
sana kisha nkaludi kujificha kama nilivyokuwa nimepanga,yule mwanamke alionekana kushituka
mule ndani, nadhani alijua tu ni raia wa kawaida basi akaja mpaka pale getini na kuchungulia
hakuweza kuona mtu kisha akajirudisha ndani nahisi aifikiria watakuwa ni watoto tu wakifanya fujo,
mwili ulinisisimka sana kwani ile sura ilikuwa sio ngeni kabisa machoni mwangu, nilihisi kama
naifananisha sijui kutokana na lile giza,basi nikaona sio mbaya ngoja kwanza niendelee kuwa
mvumilivu ili niweze kujua ni kipi kitaendelea.
mara baada ya kama nusu sasa nikaweza kumuona yule mwanamke akitoka mule ndani ilikuwa
yapata kama mida ya saa sita usiku hivi kuangalia vizuri ile sura ilikuwa ni sura ya Jamila, nilishituka
sana nikataka kumuita kisha nikasita alitoka mule ndani kwa kasi ana huku akiwa kama mtu
aliyekuwana wasiwasi, baada ya kuondoka lile eneo, na mimi nilishuka juu ya ule mti na kuanza
kuelekeakwenye gari langu kuanza safari ya kuludi kwangu, huku kichwani nikiwa na maswali
mwengi kichwani je Jamila ndio yule mwanamke? Au baada ya kufika tu ameamua kuanza nay eye
kumfuatilia kimya kimya yule mwanamke? Nilijikuta najihoji maswali mengi sana bila ya majibu,
maana kila siku niliona jambo jipya likizuka kila siku, nilondoka pale huku nikiona njia nzuri ni
kumtega tu Jamila ili kujua kila kitu kama ni yeye ndio muhusika au na yeye ndio alikuwa
anafuatilia.nilijikuta nakosa jibu la uhakika zaidi pindi nitakapokutana naye ndio niliona naweza pata
jibu.
***************************************
Nilikutana na Jamila baada ya kumaliza mihangaiko yake ya mchana alikuja nyumbani kwangu
ambapo alinikuta nikiwa bado nimelala sikuwa na haraka ya kuamka kwani kazini nilikuwa siendi
hivyo muda mwingi nilikuwa nautumia tu kulala kama sina kazi nyingine ya kufanya.
Basi baada ya kuingia ndani kwangu alipitiliza mpaka chumbani kwangu, aliniomba ruhusa ya kukaa
kwenye kitanda changu ambapo na mimi bila ya hiyana nilimruhusu. Tulianza kuzungumza mambo
mengi sana huku akinipa habari za hapa na pale,nilimuuliza kwa nini jana yake alizima simu usiku
wakati nilikuwa namhitaji twende kumfuatilia mwanamke yule hatari alinijibu huku akiangalia
pembeni yakwamba alikuwa amechoka sana hivyo basi ndio maana aliamua kuzima simu yake baada
ya muda kumaliza kupata chakula cha mchana nilienda bafuni kuoga, wakati naludi nilimkuta Jamila
akiwa kama kuna kitu akikisakanya mule chumbani kwangu ila baada ya kuniona akaacha,
Nilisogea kwenye kochi alililokuwa amekaa kisha na kuanza kumueleza kwa taratibu umuhimu wake
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
yeye katika ufuatiliaji wa ile kesi, alinisikiliza kwa umakini sana huku machozi yakiwa kama
yanataka kumtoka, alinivuta taratibu na kuegemea kifuani kwake kisha na kuniuliza kwa sauti yenye
upole uliochanganyika na simanzi ya kwamba. Kwani Siwah inamaana mpaka leo hii MWANAMKE
MWENYE KOVU JEUSI BADO HUJAMTAMBUA? Niliitika kwa kichwa huku nikimkazia macho
Alinitazama sana kisha akaniambia basi leo utamjua ila naomba iwe siri yako na wewe ndio wa
kumsaidia Jamila alianza kunieleza ya kwamba yeye ndio Mwanamke mwenye kovu jeusi ila alikuwa
akiomba msaada wangu kuniepusha na mikono ya haki.
MWISHO
0 comments:
Post a Comment