Search This Blog

Wednesday, 1 June 2022

CHAGUO LANGU NI WEWE - 3

 





    Simulizi : Chaguo Langu Ni Wewe

    Sehemu Ya Tatu (3)

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Wakati Shamsa akiendelea na masomo yake muda mwingi aliutumia kumfikiria sana Jongo alijua umbali uliopo kutoka moshi shuleni anaposoma na mkoani morogoro walipoamia kina Jongo hakukuwa na umbali wa kutisha,hivyo alijipa ujasili lazima ipo siku atakutana na Jongo.Shamsa alinedelea na masomo mpaka mwaka wa mwisho kufanya mtihani kidato cha sita ukawadia akaushinda vyema kuendelea na chuo kikuu cha mlimani kilichopo jijini dare s Salaam.Shamsa alilia kwa furaha pale alipotangazwa kuchaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha Dar es Salaam alijua sasa nafasi ya kuonana na Jongo ndio hiyo imewadia.Moro na Dar sio mbali lazima nitafika kuonana na Jongo” Alijisemea Shamsa huku akiwa ahamini kama kweli anakwenda kujiunga na chuo kikuu mlimani.



    Baada ya utaratibu kufanyika na Shamsa kujiunga na Chuo kikuu, aliweza kuanza masomo yake huku akiwa mgeni kwa wanafunzi wenzake ambao alikutana nao Chuoni, Ilimchukua muda mrefu kidogo hadi kuzoea mazingira ya Chuo na kuzoeana na wanafunzi wenzake lakini alijitahidi japokuwa kulikuwa na changamoto mbali mbali za Vyuoni ikiwemo ukosefu wa mahitaji na fedha za kujikimu. Lakini hakushindwa mara moja akaweza kuzoea mazingira ya Chuo na kuzoeana na wanafunzi wenzake kitu ambacho kilimrahisishia masomo yake kwa kuweza kujumuika na wenzake wakijisomea.Shamsa alipendekeza kusomea masomo ya Uchumi, alisoma masomo hayo kwa muda wa miaka mitatu (3) ambapo aliweza kusonga mbele na hatimaye kuhitimu Shahada ya Uchumi.Bi.Ramla alikuwa na furaha kutwa nzima alionekana akicheka na kufurahi hata kama jambo lenyewe sio la kuchekesha lakini yeye alicheka.Furaha ya Bi.Ramla ilisababishwa na kutokuwa pamoja kwa mtoto wake kuwa na mawazo yaliyokuwa yanambana sasa yamekwisha na zaidi amefurahi kumuona binti yake akimaliza chuo bila matatizo....

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Baada ya Shamsa kumaliza chuo kikuu pale mlimani siku ya kurejea majumbani mwao iliwadia, Shamsa alikusanya kilicho chake na kuagana na marafiki zake akaelekea nyumbani Mwanza kwa wazazi wake.Bi.Ramla alipomuona mtoto wake hakuamini alimkimbilia kwa furaha na kumkumbatia hata Bwana Samir aliporejea nyumbani alifurahi alipomuona mtoto wake akiwa na afya tele.Bwana Samir na mkewe Ramla waliamua kumfanyia sherehe mtoto wao, Shamsa alifurahi sana kumuona wazazi wake wakimpenda na kumjali.Siku ya tatu mbele tangia siku ile aliyorudi Alhamisi.Siku ya jumamosi sherehe kubwa ilifanyika nyumbani kwa bwana Samir kumpongeza mtoto wao kumaliza chuo,tafrija hiyo fupi yenye manjonjo kibao ilitawaliwa na matukio ya ajabu ajabu.



    Kwanza kabisa Shamsa hakuwa na amani kwa sherehe hiyo,kwani kukosekana kwa Jongo kulimfanya kukosa furaha kila wakati alikaa na kumfikiri sana Jongo.Usoni mwake alionekana kuwa na furaha lakini moyoni haikuwa hivyo alimuwaza sana Jongo mpaka mwenyewe alijishangaa.Kipindi sherehe ikiendelea huku mziki mkubwa ukiwaburudisha wageni waalikwa Shamsa aliyekuwa amekaa kando ya mama yake,alishangaa alipomuona kijana mmoja akija na kumsabahi.Kila wakati kijana huyo alimwangalia Shamsa huku akikwepesha macho yake.Muda wa kukalibia kuisha kwa sherehe kijana huyo alikuja na kumtaka Shamsa amfuate sehemu kuna ujumbe anahitaji kumwambia. Shamsa hakusita alinyanyuka na kumuaga mama yake na kumfuate kijana yule. Baada ya kusogea gizani alishangaa mkaka huyo akimkumbatia kwa nguvu, Looh! Shamsa alistuka akaingiwa na woga, alipomuuliza kwanini anafanya hivyo, jamaa huyo akamwambia amevutiwa nae tangia siku aliporudi nyumbani hapo.

    “Mmh we mkaka mie bado mwanafunzi naomba uniachie, mie sitaki matatizo”Shamsa alilalamika

    “Wala sio matatizo, mimi nakupenda sana naomba uwe mpenzi wangu nakuahidi kukupenda milele nitakupa chochote unachotaka”

    “Aka mie sitaki bhana, kwanza unijui sikujui sasa utanipendaje?”Shamsa alikataa

    “Kama hutaki basi nipe japo kimoja tu moyo wangu uridhike”

    “Tafadhali naomba uniachie nitapiga kelele sasa hivi”

    “Hapana Shamsa sina nia mbaya nawe”



    Aliposema hivyo Shamsa akajua anaachiwa kumbe kijana huyo alizidi kumbana kwa nguvu,Shamsa alijitahidi kujitoa huku akisema sitaki lakini hakuitikia,Shamsa alitamani mama yake atokee labda atamuhachia.Kosa alilofanya ni kugeuka upande mwengine na alijua atajitoa kumbe alijidanganya tayari kijana huyo alishika maziwa ya Shamsa na kuanza kuyachezea.Taratibu Shamsa alihanza kusikia hali hisiyo ya kawaida kwake,mwili ulimsisimka,akajikuta akisahau kila kitu na kuanza kumpa ushirikiano wa hali ya juu “huyu mkaka atakuwa na dawa haiwezekani” Shamsa alijisemea kimoyo moyo huku akizidi kumpapasa kifua chake.



    “We kaka jamani aah! Oppss! ass! mama wee ayiii apoo apo!” Shamsa alianza kutoa miguno baada ya huyu mkaka kupeleka vidole shimoni, njoo ukae hapa yule jamaa akamwambia Shamsa huku akiwa amemshika mkono.Kifua cha msichana huyo kilmchanganya,mawazo yake yalikuwa mbali kabisa, akamvuta Shamsa mpsks chini ya bustani ya mauwa na kumlaza chini kisha kumshika huku na kule.Haraka Shamsa aliishika mkono wake uliokuwa dhamini kidole safari ya kwenda shimoni na kuukandamiza ili kidole kichezee nanilii vizuri huku akizidi kulalamika.Laakini yule kaka hakukoma alizidi kupeleka mkono wake na kuzama shimoni.Yule jamaa alivyomuona Shamsa anazidi kulalamika alizidisha utundu safari hii akamfuata usoni na akampa ulimi naye Shamsa hakuwa na pingamizi zaidi ya kuupokea kwa mikono miwili.Kwani tangia Shamsa azaliwe hakuwai kuyajua mapenzi alikuwa anasikia tu mapenzi matamu lakini utamu wake hakuwai kuuonja zaidi ya kusikia tu kwa marafiki zake.Siku hiyo kweli raha utamu aliusikia kila kona ya mwili wake. Muda huo wazazi wake wakiwa hawajui kinachoendelea Shamsa na jamaa huyo walizidi kubadilishana juise asilia huku kidole kikizidi kuheza na hisia za msichana huyo.



    Ilikuwa ni taabu kubwa sana kwa Shamsa kila alipojaribu kumuangalia vizuri kujana huyo alishindwa kumtadhimini jinsi fujo alizokuwa akiamfanyia na jinsi alivyokuwa muonekano wake ulikuwa tofauti na mawazo yake.Kijana huyo alionekana kuwa kijana mrefu mwembamba wastani mwenye macho makubwa,Shamsa hakuwa na jinsi kila alichokuwa akikifanya kijana huyo alijisikia huru alijiachia vile alivyojisikia.Jamaa alimparamia kisha kumvua nguo yake ya chini.Sasa kitendo cha kuvuliwa nguo yake ya ndani kulimtia uwoga zaidi Shamsa akaanza kupiga kelele.muda mwingi alikuwa akijitahidi kumtoa mwanaume huyo kifuani mwake lakini hakutoka,aling’ang’ania kama ruba.Kwa kasi ya ajabu akaanza kumvua nguo yake ya ndani na hivyo jamaa akaanza kumuingilia.Shamsa akaanza kulia kwa maumivu makali chini ya kitovu, sauti yake haikutoka kwa kuwa alizibwa mdomo na mziki ukiendelea kupiga.Alilia mno aliangaika kujitoa mikononi mwa mwanaume huyo lakini akashindwa kabisa.



    Damu zikaanza kumtoka chini ya kitovu, alisikia maumivu makali mno zaidi ya kitu chochote kile, jamaa hakujali machozi ya Shamsa wala hakufikilia kiasi gani msichana huyo akiumia.Alichokuwa akikijali ni kupiga pushapu,kwenda juu na kurudi chini.Raha za kijana huyo asiyemjua jina lake wa sura yake zilimkolea Shamsa na kupelekea kujisahau kabisa kama alikuwa katika sherehe tena yake mwenyewe.Wakati kijana huyo akiendelea na nia yake ya kutaka kutimiza kile alichokuwa akikifanya, ghafla akapita mtu pale walipokuwa wamesimama.Haraka yule kijana alimuhachia Shamsa na kumtoa maungoni mwake,Shamsa alishangaaa kwa kitendo hicho huku akiwa mwenye hofu alijizoa zoa pale chini haraka na kusimama.Alipogeuka nyuma na kumuona baba yake akija huku akiwa ameongozana na watu wawili.Shamsa nguvu zilimwishia miguu ilimtetemeka na mapigo ya moyo wake yakimdunda.Wakat Shamsa akimshuhudia baba yake akitembea kwa hatua kumbwa aligeuza shingo yake ili kumuona kijana huyo hatachukua hatua gani kwani alishajua ya kwamba tayari wamefumwa.Muda wote kijana alikuwa akihema kama jibwa koko alipata wazo la kukimbia na kupotelea gizani na ndivyo alivyofanya,haraka alitokomea gizani na kumuacha Shamsa mahali hapo akijizoazoa.......





    “Vipi binti yangu mbona muda wote upo huku…kitu gani kimekutokea?”Bwana Samir aliuliza baada ya kufika pale

    “Hapana Baba najisikia vibaya najisikia kupatwa na tumbo la kuharisha”Shamsa alimjibu baba yake

    “Pole binti yangu…mbona ujasema hujui kama kuna wahuni”Baba yake alimfokea

    “Najua baba lakini sikuwa na nguvu ya kutembea kwa wakati huo”

    “Haya… haraka twende “Bwana Samir alizidi kumkoromea mtoto wake

    “Sawa baba “Shamsa alimjibu baba yake na kuongoza njia kuelekea kule walipo wageni waalikwa.

    Bi.Ramla alishangaa alipomuona mtoto wake akiwa kama mtu asiyejitambua,mara moja alijua kuna kitu kitakuwa kimempata mtoto wake,maana hakuwa na furaha kama alivyokuwa mara kwanza.Bi.Ramla hakukubali alimsogelea mumewe na kumuuliza kulikoni mpaka mtoto kuwa katika hali hiyo,Bwana Samir alimjibu vile ilivyokuwa lakini Bi.Ramla aliona haitoshi akamsogelea mtoto na kumwangalia kuanzia juu mpaka chini,wakati Bi.Ramla akimwangali Shamsa hakuwa na habari ya macho ya mzaziwe nae mawazo yake yote yalikuwa juu ya kijana huyo.Aliwaza jinsi kijana huyo alivyomfuata na kumtaka waongee kumbe alikuwa na lake jambo loo! Alijuta kumfuata na bahati yake ndio ingekuwa kwenda kunyonyolewa na manyoya yote yangemtoka.Shamsa aliwaza kimoyo na kumshukuru baba yaje kuja maeneo hayo kumuokoa kama sivyo angekiona cha moto siku hiyo.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Shamsa mwanangu”Mama yake alimshika begani baada ya kumuona hakiwa hana hili wala lile

    “Yes mama”Shamsa alimuitikia mama yake kwa wasiwasi

    “Kitu gani kimekutokea mwanangu?”

    “Hapana mama mbona nipo sawa”

    “Hapana Shamsa binti yangu wewe ni mkubwa sasa embu nitoe hofu mama yako?”Mama yake alisema

    ‘Najua mama…..hata kama mimi nimekuwa lakini haipaswi kufanyiwa kitu kama hicho

    “Kitu gani tena mwangu?”Bi.Ramla aliuliza kwa jazba

    “Lakini sioni sanbabu ya kukueleza we hacha tu mama”Shamsa alimwambia mama yake

    “Mimi ndio mama yake….usiponiambia mimi nani mwengine utamwambia na kutatua matatizo yako?”Bi.Ramla alimsihi binti yake

    “Sawa mama nimekuelewa na nitakueleza kwa sasa naomba nikapumzike”

    “Haa, Shamsa mwanangu sherehe bado hatujamaliza jamani”Mama yae alilalamika

    Licha ya Bi.Ramla kumsihi mtoto wake hasiondoke wasubili shughuli imalizike lakini Shamsa hakumsikiliza mama yake alinyanyuka na kuondoka kuchani kwake huku akiwaacha ndugu na jamaa wakibaki wakimshangaa.Hakuna aliyekuwa akifahamu juu ya hali aliyokuwa nayo Shamsa zaidi ya yule jamaa aliyekuwa akimfanyia kitendo hicho uchochoroni.Zilipita dakika kadhaa Shamsa hakutokea wala kusogea zaidi ya kugaragara kitandani huku mama yake akiwa pembeni akimbembeleza ili wakamalize shughuli lakini katu hakukubali kutoka tena ndani.Muda wote alikuwa mawazoni alimuwaza na kumfikilia kijana yule sasa alimchukia na kumuona ibilisi hasiyekuwa na mbele wala nyumba alitaka kumualibia ndotozake,alimchukia na kumrahani kwa kitendo alichokuwa akitaka kumfanyia.hapo hapo mawazo yalihama na kuanza kumfikiria kijana Jongo hakujua kwa namna gani pale mwanza kuna vijana wanaomtafuta na kumtaka kimapenzi.Lakini haku hakutaka kumsaliti mpenzi wake aliyempenda toka moyoni mwake,hakuna mwengine aliyekuwa tayari kuwa naye zaidi ya chaguo lake, ingawa hakufahamu halipo lakini alimpenda siku zote.

    Siku zilipita na kusogea huku Shamsa akiendelea kuishi nyumbani kwa wazazi wake, kuna kipindi wakati Shamsa aakiwa pamoja na Jongo alimuuliza anampenda hama laa, lakini Shamsa hakuwa na jibu dhabiti mbele yake.Kwa kipindi hicho hakuweza kumwambia chochote kwa kuwa lilikuwa swali ambalo hakulitegemea kuulizwa kwa wakati huo.Hata ukaribu wao kirafiki ulijengwa kwa heshima kama kaka na dada, kutokana na yote hayo lakini Shamsa alimpenda sana kijana Jongo. Basi kama kupenda Shamsa alipenda hasa,kila alipokuwa akimfikilia Jongo uchu mlimjaa na kumtesa kumkumba hali yake kipindi cha nyuma ikaanza kurudi,kutwa nzima wazo tele kichwani mwake anashinda na kulala huku kichwa kikimzunguka.Bi.Ramla na mumewe Samir walimuona mtoto wao katika hali hiyo hila hawakuwa na namna ya kumsaidia kwani hawakujua ugonjwa uliokuwa ukimsumbua.Muda mwingi mama yake alishinda nae karibu akimwangalia na kusikitika juu ya hali aliyokuwa nayo binti yake amesoma amemaliza na sasa amerudiwa na hali hii kweli mwanangu atakuwa anasumbuliwa na nini jamani,hee mungu amekukosea nini binti yangu,kama ni dhambi wengi wanakosea kama ni mateso kwanini umtese binti yangu pekee.Hakika nakuomba umsamehe kiumbe chako hiki,umpe afya na fanaka wewe ndio kimbilio lake.Bi.Ramla aliomba na kusugua meno akimlilia mwanae,ikafikia kipindi Bi.Ramla akahisi majirani watakuwa wamemtupia jini mtoto wake kutokana na kile allichokuwa amekisikia chini kwa chini ya kuwa watu wa mwanza ni wabaya sana tena watakuwa wamemchezea mchezo mchafu mtoto wake kwa sababu ya mafanikio aliyoyapata katika masomo yake.

    Bi.Ramla akaanza kuingiwa na mashaka juu ya maneno hayo yaliyokuwa yakiongelewa chini kwa chini bila yeye kutambua.Kutokana na maneno hayo kumuingia akilini mwake na kumchoma Bi.Ramla alimgusia mumewe na kumueleza kile ambacho majilani wake walikuwa wakikizungumza juu ya mtoto wao Shamsa kuwa na Jini lililokuwa likimsumbua mpaka kumpelekea kupoteza nguvu kama alivyokuwa.

    “Mume wangu kila siku nasikia habari za kuumwa kwa mtoto wetu”

    “Habari za kuumwa kivipi yaani?”Bwana Samir alishangaa na kumuuliza ilivyokuwa

    “Majirani kutwa wanaongelea juu ya hali aliyokuwa nayo shamsa ya kwamba ametupiwa jinni”

    “Hapana mke wangu sisi ni wacha mungu kwa nini unaamini maneno hayo, Shamsa atakuwa anasumbuliwa na masuala yake yale ya kipindi kile”

    “Hee! ina maana bado tu anasumbuliwa na huba”

    “Ndio huba inamsumbua...Unakumbuka kipindi kile alivyokuja yule mama mwanasaikolojia?”

    “Nakumbuka mume wangu lakini mbona kipindi hicho mpaka sasa imepita karibia miaka mingapi na alikuwa amesharudi kwenye hali yake ya kawaida jamani” Bi.Ramla alilalama

    “Sasa wewe utajuaje kama Shamsa amelogwa wewe?”Bwana Samir alimtupia swali mkewe

    “Ukisikia lisemwalo basi lipo na kama halipo basi linakuja hilo tafadhali tusipuuze bwana mtoto mwenye mmoja tu huyu tukimpoteza tutapata wapi mwengine”Bi. Ramla alifoka

    “Sawa mie ndio nakwambia hivyo mwanao anasumbuliwa na mapenzi huyo ugonjwa usiokuwa na dawa ila dawa anaijua mwenyewe huyo muulize” Bwana Samir alisema kwa ukali huku akiwa mwenye dhihaka

    Bi.Ramla hakutaka kumsikiliza mumewe alichofanya yeye kwa wakati huo alimuacha mumewe pale sebuleni na kumfuata mtoto wake chumbani.Kilichokuwa kinampa mashaka Bi.Ramla kumuona mtoto wake akiwa amedhoofika mwili wake,tabasamu alikuwepo usoni mwake akafikiria kitu gani kinachomsumbua Shamsa kama mapenzi hakuona sababu ya kumfanya mwanae kuwa katika hali hiyo.Shamsa hakuwa mtokaaji nyumbani,wala hakuwa mtu wa kujichanganya na wasichana wenzake ukimuona Shamsa yupo nje ujue ametolewa na mama yake kwa ajili ya kupata hewa tu na muda mchache baadae umrudisha ndani kiukweli Shamsa amekuwa mgonjwa wa mapenzi.Baada ya kuingia chumbani humo alimkuta mtoto wake kama kawaida akiwa amelala kitandani akigalagala hana hili wala lile.

    “Shamsa mwanangu?”

    “Abee! Mama”

    “Una nini binti yangu kitu gani kinachokusumbua?”

    “Hakuna kinachonisumbua mama”

    “Naomba uniambie ukweli, Shamsa wewe ndio binti yangu wa kipekee unanipa wakati mgumu sana mama yake”Bi.Ramla alimwambia kwa upoleCHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Najua mama lakini sioni kama kuna sababu ya kukuambia ingawa unafahamu hilo”Shamsa alimwambia mama yake huku machozi yakimtoka

    “Kitu gani mwanangu mbona mimi sielewi kinachokusumbua au umerogwa mama”

    “Ndio mama hata mie nahisi nimelogwa na si mwengine aliyeniloga zaidi ya Jongo”

    “Hee, unasemaje we mtoto…hati Jongo ndio kakuloga kivipi?”Bi.Ramla maswali yalimtoka mfululizo

    “Ndio mama ninamaanisha Jongo ameuteka moyo wangu nahitaji kuonana nae na si vinginevyo”

    “Hee! we Shamsa mwanangu una akili timamu kweli au ndio umelogwa kweli mama?’

    “Sina uhakika na hilo mama kiukweli nampenda sana Jongo ndio chaguo langu mama nakuomba umtafute popote alipo Jongo”

    “Ina maana akipatikana Jongo ndio itakuwa mwisho wa matatizo yako?”

    “Bilashaka mama nitakuwa sawa ndio maana nikasema Jongo ndio aliyeniloga”

    ‘Sawa nitalifanyia kazi hilo…lakini mwanangu mtu mwenyewe si unamjua jinsi alivyo ni mlemavu yule macho hana mwanangu”

    “Najua mama hivyo Jongo nimempenda jinsi alivyo na si vinginevyo’

    “Basi haina tatizo mwanangu utapona kabisa mama”Ramla alimpoza mwanae



    Bwana na Bi. Ramla walikuwa wakijadili juu ya hali aliyokuwa nayo mtoto wao, Bi.Ramla alimueleza kila kitu mumewe kile alichozungumza na mtoto wake, Bwana Samir hakushituka wala kugwaya zaidi alimwambia mkewe juu ya kumuhamisha Shamsa kuelekea kuishi Dar na mwanza kwani kipindi akiwa shuleni hawakuwai kusikia habari za kuumwa kwa mtoto wao zaidi ya arejeapo mwanza ndio ikatokea kama ilivyotoke. Ina maana matatizo yote yapo jijini mwanza na sio huko alipotoka basi haina budi tumpeleke Dar es Salaam.Wazazi walikubaliana kumpekea Shamsa Dar es salaam kwenye nyumba ambayo alikuwa akiishi shangazi yake Shamsa ambaye ni dada wa Bwana Samir.Dada huyo aliachiwa nyumba hiyo na kaka yake baada ya kuhamia jijini Mwanza.Hivyo Bwana Samir na mkewe waliafikiana kumpeleka Shamsa jijini Dar es Salaam kukaa kwa Shangazi yake anayeitwa Maimuna mwenye watoto wawili mapacha.Walijua kumuamisha jijini Dar es salaam mtoto wao ingekuwa nafuu kumuwaza na kumfikiria Jongo ambaye hawakujua alikuwa wapi kwa wakati huo......



    Moyo hauhimili mshawasha wa mfululizo.Hasa mshawasha wenyewe ukitokana na mtu unayempenda au tamaa ya utajiri.Moyo wa Shamsa ulikuwa na mapenzi makubwa juu ya kijana Jongo alimpenda kama pumzi ya maisha yake mwenyewe.Aliposikia maneno yake kipindi cha nyuma akisema haikuwezekana katika maisha yake kukataa haja iliyotakiwa na wazazi wake. Alikubali kusafiri pamoja na kwenda kuishi mjini alikopenda.Siku ya safari iliwadia huku Shamsa akiwa tayari wima akimsubilia Baba yake kumpeleka standi ya mabasi na kumpandisha garini kwa ajili ya kufika mapema jijini Dar es salaam.Baada ya robo saa Bwana Samir alikuwa tayari ameketi akisubili gari daladala kuondoka pembeni yake akiwa Binti yake Shamsa.Kitu ambacho Bwana Samir hakukitarajia ni furaha aliyokuwa nayo Binti yake, maana alishangaa kwani tangu Shamsa arejee nyumbani akitokea chuoni hakuwai kumuona akicheka na kufurahi kama siku hiyo.Alipomuuliza kitu gani kilichomfurahisha Shamsa alimjibu baba yake ya kwamba kilichomfahisha ni safari ya kwenda alimueleza zaidi furaha aliyokuwa nayo juu ya mji huo kwanza aliupenda na pili alifurahi kwa mara nyingine tena kukutana na marafiki zake waliotendana kwa muda mrefu.Bwana Samir alimwangalia mwanae na kuachia tabasamu kitu ambacho hakuwa akikipenda bwana huyo ni kutengana na mtoto wake,alipenda muda wote Shamsa awe karibu yake lakini hiyo haikuwezekana binti yake alikuwa kwenye wakati mgumu kutokana na kuathirika na huba.



    Baada ya mwendo uliochukua takribani saa nzima, wakawasili standi ya mabasi.Shangwe na vifijo vilisikika kutoka kwa makondakta na wapiga debe kadhaa waliokuwa nje ya lango la kituo cha mabasi cha Mwanza.Kutokana na wingi wa mabasi na yote yakiwania kuwai muda na safari kwa wakati ili wajaze abilia zao.Bwana Samir alimsaidia binti yake mizigo na kuipakia ndani ya gari la RahaLeo linaelekea Dar es Salaam.Shamsa alipanda ndani ya gari na Safari ya kuelekea jijini Dar ikaanza,Kabla gari alijaanza kutoka stand hapo Bwana Samir alikuwa amekumbatiana na Binti yake waliagana kwa majonzi makubwa kuliko hata mama yake aliyemuacha nyumbani kwa wakati huo.Gari iliacha ardhi ya mwanza na kuelekea jijini Dar es Salaam.Njia nzima Shamsa alionekana kuwa na mawazo tele kichwani mwake aliwaza na kumfikiria kijana Jongo,hakujua kama huko aendako atamkuta hama hatomkuta lakini akajipa moyo lazima ataonana nae kama sio Dar basi popote pale atakwenda kumtafuta.

    Gari ilikuwa mwendo kasi ilipanda mabonde na kuyashusha.Hali ya hewa ilikuwa baridi kwani Shamsa alikaa kiti cha dirishani, hivyo baridi lilikuwa likimpiga kisawa sawa alipoona baridi likizidi akianza kutetemeka akaamua kufungua mkoba wake na kuchukua upande wa kitenge chake na kujifunika ili kupunguza baridi.Gari lilizidi kuchanja mbuga na kusonga mbele, masaa mengi yalipita akiwa bado ndani ya gari, kutwa nzima walishinda alikula na kulala akiwa bado wasafiri.Saa Sita usiku gari iliingia jijini Dar es salaam.Upande wa kushoto wa mlango wa kuingilia Shamsa alimuona Shangazi yake akiwa nje ya mlango wa kuingilia.Shamsa alimuona alishindwa kuvumilia alijitokeza kutoka dirisha na kumuhita shangazi yake.Shangazi Zuwena alikuwa amekuja kumpokea baada ya kufahamishwa kwa siku hiyo ndio binti huyo atafika,haraka Shangazi Zuwena alimpungia mkono Shamsa na hapo akaingia moja kwa moja mpaka pale gari hiyo iliposimama.

    “Waoooh! Anti yangu jamani” Zuwena alisema kwa furaha huku wakikumbatiana

    “Jamani Shangazi…….”

    “Habari za huko mwanangu?”

    “Salama Shangazi…shkamoo”

    “Marhabaha mwanangu hawajambo huko?”Zuwena alimuuliza kwa furaha

    “Hawajambo Shangazi”

    “Vipi masomo mwanangu?”

    “Salama kabisha namshukur mungu nimemaliza salama shangazi”

    “Karibu sana mwanagu”

    “Ahsante Shangazi”CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Shamsa ana Shangazi yake waliingia ndani ya tax ya kukodi kisha na safari ya kuelekea Ilala boma ikaanza.Njia nzima Shamsa alikuwa mwenye furaha mpaka Shangazi yake alishangaa maana jinsi alivyoambiwa sivyo alivyomuona alivyo.Laah! Shamsa furaha yote ilitoka wapi huko kwao alionekana kuwa mtu mwenye mawazo mengi, yaliyopelekea kuwa mgonjwa wa kulala nyumbani na kuamka bila kufanya jambo lolote.Wazazi wake wameamua kumleta kwake ili kuondokana na mawazo hayo sasa anaonekana kweli mawazo yamemtoka hakuelewa kitu gani kinachosababisha kuwa mwenye tabasamu muda wote.Tangia kufika ubungo ambapo bado hata hakufika nyumbani kwa shangazi yake anafurahia njiani,kuna kitu gani hapa au kuna bwana aliyeiteka akili yake,alifikiri yote hayo Shangazi yake bila kumuuliza kitu akasubiri afikapo nyumbani amuulize mwanae maswali yaliyo chumbani mwake bila kukosa majibu.

    Baada ya mwendo mrefu walifika nyumbani walipokelewa na mlinzi wa nyumba hiyo ambaye kabla Bwana Samir ajaondoka alimuomba kuendelea na kazi kama kawaida hata kama nyumba hiyo atapangisha au kukaa mtu mwingine mlinzi atabaki kuwa yeye.Bwana Samir alipenda kumuacha mlinzi huyo kutokana na maisha yake kipindi kirefu alikaa na kuishi ndani ya nyumba hiyo mchana na usiku hakuwa na pa kwenda zaidi ya kulindwa nyumba hiyo.Hakuwa na mke wala mtoto ila kila mwishoni mwa mwaka Bwana Samir upendelea kumpa likizo ya mwezi mzima kwa ajili ya kwenda nyumbani kwao kuwasalimu wazazi wake pamoja na familia yake kwa ujumla.Mwana huyo anayeitwa Samwel alipenda kuwa karibu na familia ya Sami rata kipindi Shamsa alipokuwa amezaliwa mlinzi huyo alionekana kuwa kijana ila kwa siku hiyo ambayo Shamsa alirejea kutoka Mwanza alimuona kama babu.Lakini kiukweli hakuwa na uzee wa kutisha japo alishaanza kuchaka lakini haikuwa sana.

    “Oooh! Jamani Shamsa umekuwa hivyo binti”Mliza alishangaa baada ya kumuona Shamsa akiingia usiku huo

    “Yes! Anko habari za hapa?” Shamsa alimsabahi bwana Samwel

    “Salama kabisa za siku na miaka tele…jamani umekuwa mkubwa hivyo”Samwel alishangaa kipindi Bwana Samir alipoondoka na mtoto wao alikuwa ndio kwanza darasa la pili sasa leo anakuja akiwa binti mkubwa aisee! Alishangaa

    “Shkamoo Anko Samwel” Shamsa alimpa heshima yake

    “Marhaba Shamsa karibu tena dare s Salaam”

    “Ahsante Anko nimeshakaribu na nimeshafika” Shamsa alimjibu



    Bwana Samwel alibeba mizigo ya Shamsa huku akiwa na furaha,Shangazi Zuwena naye alimsaidiana na Shamsa kubeba mabegi yaliyobakia na kuingiza ndani.Baada ya Shamsa kuoga na kubadilisha nguo Shangazi yake alimuandalia chakula huku wakiendelea kuongea maongezi ya hapa na pale kuhusu habari za jijini Mwanza.Wakati Shamsa na Shangazi Zuwena wakiendelea na maongezi Shangazi akajikuta akianza kumwambia Shamsa juu ya habari zake za kuwa mgonjwa.Shamsa alishangaa kusikia habari za kuumwa kwake ziliwezaje kufika mpaka kwa Shangazi yake,mawazo yakamjia ya kwamba mama na baba yake watakuwa wamemwambia Shangazi kwa kile kilichokuwa kinamtatiza.Wakati Shangazi Zuwena akimwambia maneno hayo Shamsa alikuwa makini akimsikiliza kila neno alilokuwa akiambiwa lilijengeka kichwani mwake.Lakini Shamsa wala hakufungua mdomo wake alikaa tu kimya akimsikiliza Shangazi zuwena alivyokuwa akibwabwaja.Ikafikia kipindi Shamsa akashinda kuvumilia kile alichokuwa amekisikia kutoka kinywani mwa Shangazi kilimchanganya,Shamsa aliamua kumjibu kile ambacho kilimkeleketa moyoni mwake.

    “Hivi Shamsa mwanangu kitu gani kilichokuwa kunakutatiza?” Shandazi alimuuliza

    “Ni ugonjwa wa kawaida tu Shangazi kwani mwili ulikuwa umechoka tu

    “Mmh…haiwezekani Shamsa mwili uchoke ndio ukufanye wewe kuwa kwenye hali hiyo mboa ni maajabu hayo?”

    “Lakini Shangazi mbona nipo sawa nimeweza kusafiri salama bila matatizo njiani”Shamsa alijitetea

    “Sawa wazazi wako wameniambia kila kitu kuhusu kulichokufanya kuumwa”

    “Najua kama wamekwambia lakini hilo lisikuchanganye Shangazi mimi mzima kama unavyoniona”

    “Najua mapenzi ndio yaliyokufanya kuwa kwenye hali hiyo na mapenzi hayo hayo sasa yamekurudisha kwenye hali yako ya kawaida”

    “Kwanini unasema hivyo Shangazi wala mimi sina mpenzi”

    “Sawa na huyo kijana Jongo uliyekuwa ukimtaja kila wakati je umekutana nae au yopo Dar es Salam ndio maana ulipofika hapa furaha yako ilionekana wazi”

    “Hapana Shangazi yangu, Jongo sijui halipo ila nina imani nikiwa hapa Dar nitamtafuta na kuonana nae”

    “Ndio maana nauliza tena je huyo Jongo yupo jijini hapa?”

    “Hapana Shangazi Jongo hayupo hapa…kipindi cha nyuma aliniambia wanaamia morogoro nadhani hapo ndipo alipo”

    “Sawa basi tuishie hapa kwa leo naomba upumzike”

    Bi.Zuwena alisema huku akiwa mtu mwenye mawazo,licha ya ukalimu wake mama huyo hakuwa tayari kumuona binti wa kaka yake akipata matatizo ya kimapenzi huku akiwa ampendaye ajulikan alipo.Muda wote huo Shamsa alikuwa slikuwa akimwangalia tu Shangazi yake hakujua jinsi gani maneno yake yalivyokuwa yakimchanganya Shangazi huyo,hivyo ndivyo ilivyokuwa Shangazi alimnyanyua Shamsa toka kitani hapo na kumuongoza kuelekea chumbani kwake kule alipokuwa akilala zamani wakati akiwa binti mdogo na leo ndipo alipotakiwa kulala kwani chumba hicho kilitengwa kwa ajili ya mtoto wao huyo.Shangazi zuwena alikuwa amekisafisha vizuri chumba hicho na kumtandikia samani kwa vitambaa nadhifu,Shamsa alipoingia tu ndani ya chumba hicho alishangaa alipokuta midoli ya kuchezea watoto alipojalibu kuiangalia vizuri aliikumbuka kuwa midoli hiyo ilikuwa yake kipindi cha nyuma mama yake arejeapo Kazini upendelea kumnunulia na kumletea.Leo hii yafikia miaka kumi na moja iliyopita midoli hile mpaka leo ilikuwepo alijiuliza bila kupata jibu kamili alichoamua yeye alijitupa kitandani na kulala huku akiwa ameikubatia midoli hiyo mikubwa.



    *********

    Jongo alikuwa mtu mwenye mawazo lukiki juu ya umaskini aliokuwa nao mama yake,aliwaza na kuwazua juu ya hali aliyokuwa nayo,hakujua mwisho wa maisha yake utakuwaje.Kipindi furani Jongo umuwaza sana msichana Shamsa hakujua kwa wakati huo Shamsa alikuwa wapi na halikuwa kwenye hali gani.Alifikiria kipindi anaondoka alimuacha Shamsa kwenye majonzi makubwa sana leo hii hakujua huko alipomuacha kama Shamsa bado yupo Mwanza au yupo wapi.Kipindi hicho Jongo alikuwa tu nyumbani akimsubili mama yake apate chochote juu ya m lo waliotarajia kuupata,ilitokea siku wakala wakashiba walimshukuru mungu lakini kuna siku nyingine ushinda bila kulala yote walimshukuru mungu kwa kuwapa uhai.Siku moja Jongo akiwa mtu mwenye mawazo juu ya hali aliyokuwa nayo alishangaa alipowasikia watu ila hakujua idadi ya watu hao mpaka pale alipokuja kuambiwa ya kwamba watu hao walikuwa wasamalia wema waliotokea jijini dar es Salaam kuja kumsaidia.Jongo hakuamini kile alichokisikia alimsogerea mama yake aliyekuwa amekaa karibu yake na kumsika mkono mama yake naye akimsika mwanae hapo mama huyo alianza kulia huku akimwangalia mwanae akiwa ahamini kile alichokisikia.Mwanangu leo anasaidiwa kipindi kirefu wameangaika na kuangaika wakitafuta msaada,leo hii mungu amekisikia kilio chake na sasa mfute machozi mungu wangu.Mama huyo aliomba kwa sauti huku akiwa amemshikiria mwanae mikono,Mama Jongo alilia huku akiwa hakui kitu gani anacholilia hama ni furaha au hudhuni juu ya mtoto wake kupata msaada.

    “Mama nyamaza basi tuwape habari juu ya ujio wetu hapa”Mwanamke mmoja wa makamo alisema

    “Sawa mama nawasiliza”Mama Jongo aliwajibu huku akifuta machozi kwa ncha ya kanga yake

    “Mimi naitwa Jeska na mwenzangu hapa anaitwa Mwamvita na huyo hapa ni Jonh”

    “Karibuni sana” Jongo aliwakalibisha

    “Tumekuja hapa kwa ajili yako Jongo”CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Kwa ajili yangu…kivipi yaani mnatokea wapi?” Jongo alianza kuwahoji

    “Sisi ni wafanyakazi toka shirika la Good neigbour usaidia watoto walio kwenye mazingira magumu”

    “Nashukuru kuwafahamu karibu sana”

    “Tunashukuru pia, tumekuja hapa kwa ajili ya kukupa taarifa ya kwamba umechguliwa na shirika letu kukusomesha ufundi wowote ili uweze kujikimu kimaisha hapo baadae je upo tayari?”

    “Nipo tayari tena nawashukuru sana kwa moyo wa kujitolea”

    “Usijali kijana sisi tupo kwa ajiri ya kusaidia jamii hivyo basi kilio chako tumekisikia na sasa tupo tayari kukusaidia”

    “Sawa nashukuru sana”



    Watu hao wanawake wawili na mwanamume mmoja walikuwa mbele ya nyumba ya mama Jongo wakiongea na kumpa ahadi kijana aliyekuwa amekwisha kata tamaa kipindi kirefu.Ilikuwa kama ndoto kwa Jongo kusikia maneno ya kusaidiawa,kwenda kusoma kwake siku zote ilikuwa ndoto isiyokuwa na mwisho wake.Hakika alisikitika sana alipomfikiria mama yake kubaki nyumbani pekee akitafuta cha maana ili kujikimu kimaisha.Kati ya wageni hao yule mwanamume aliyekuwa mrefu mwembamba alikuwa ni mtu makini sana wala hakuwa akicheka muda wote tangu alipofika pale alikuwa mtu wa kununa tu wala hakuufungua mdomo wake na kutoa kauli sasa aliongea.Mwanaume huyo wa makamu alikuwa amechomekea vizuri shati lake alikuwa akimwambia Jongo kile ambacho alipaswa kukifahamu kuhusu Good neibour inahusiana na nini.Kutokana na uwelewa wake mkubwa kuliko umri wake mara moja Jongo alielewa na kufahamu kile ambacho alipaswa kufanyiwa kwa wakati huo.Kusaidiwa na kupata msaada ilikuwa ni jambo jema kabisa kuliko kitu kingine,alichoambiwa Jongo na mama yake kutoka kwa washirika hao ya kwamba Jongo alitakiwa kwenda kusomea kitu chochote ambacho alikipenda na kile ambacho kinaendana na mazingira yake sababu ya ulemavu wa uwoni (kipofu).



    Jongo alikuwa na wakati mgumu kuchagua kile ambacho alitaka kusomea alipenda sana kuwafundi makenika au fundi umeme lakini hakuelewa jinsi gani ataweza kufanya kazi yake kwa umakini yote sababu ya upofu ndio aliyokuwa kikwazo kikubwa kutoka kwake.Lakini Jongo hakukata tamaa ndani ya mawazo yake halijipa moyo pale alipokuwa akimwangalia mwanaume huyo akiwa na kidaftari kidogo na kalamu yake ikiwa imeegemeza ndani ya daftari akiandika.Hapo Jongo akapata hamasa sasa akafunua mdomo wake na kusema kile alichodhamilia kukisema “Napenda kuwa mwalimu,niwafundishe watoto wenye ulemavu kama mimi ili waweze kupata elimu na kuona ya kwamba walemavu nao wanaweza”Jongo alimaliza kusema maneno hayo huku akiwa ameinama chini machozi yakimlengalenga,haraka mama yake alimkumbatia mtoto wake kwa majonzi makubwa. Bwana yule mrefu aliyekuwa akiandika maelezo juu ya kalatasi yake alimwambia Jongo na mama yake ya kwamba Jongo anatakiwa kuelekea jijini Dar es Salamu kwa ajili ya kwenda kutafutiwa na hatimaye kuanza chuo cha uwalimu ambacho atalipiwa na shirika hilo la Goodneighbour.Jongo alivyosikia maneno hayo Laa! Hakuamini kile alichokisikia alirukaruka kama mtoto mdogo kwa manjonjo aliwakumbatia wageni hao nao wakafurahi na kukumbatiana kwa furaha.

    Siku iliyofuata asubuhi na mapema Jongo alikuwa tayari ameshajiandaa akiwasubili wageni wale waliokuja jana nyumbani kwao kumfuata.Wageni hao walikuwa tayari wameshawasiliana na wenzao na kujenga mazungumzo juu ya kumchukua kama walivyoagizwa na mkuu wao kutoka Goodneighbour kama wanavyojulikana.Jongo na mama yake walikuwa katika mazungumzo,mama yake alimwambia kile ambacho kilikuwa moyoni mwake.Jongo hakuwa na la kusema zaidi aliishia kulia na kumungonya maneno kama aliyeshikwa na kugugumizi.Lakini ukweli ulibaki kuwa Jongo anaondoka kuelekea jijini dar es Salaam.



    Kwa mbali walionekana wageni wale waliokuja Jana nyumbani hapo sasa walikuwa wamewasili wakiwa hawana mafurushi mengi kama jana yake.Walipofika hapo walimchukua Jongo na kumuacha mama yake akiwa kwenye majonzi makubwa lakini moyo alimshukuru mungu wake kwa kile alichomtendea mtoto wake.Jongo aliongozana na wageni hao na kupakiwa kwenye gari na safari ya kuelekea jijini Dar es Salaam iliponza.Muda mwingi Jongo alikuwa mtu mwenye mawazo hakujua kitu gani kilisababisha mpaka kuwa katika hali hiyo alimuwaza sana mama yake kwani yeye ndio aliyekuwa ndugu pekee kwake.Hakuwa tayari kumuacha mama yake lakini kwa msaada alioupata wala hakuona tabu ndio alifurahia kupita maelezo hakika kitu moyo wake ulipenda sana kusoma.Baada ya kufika dare s Salaam taratibu zilifanyika wahusika walishauriana na maamuzi yakafanyika Jongo akapelekwa chuo cha ualimu West Dar es Salaam Teachers Collage.Aliandikishwa na kuanza masomo yake huku akiwa amepangiwa hosteli kwa muda maalumu.

    Jongo alianza masomo yake katika chuo cha uwalimu West kilichopo manispaa ya Ilala,Jongo alikuwa mtu mwenye mashaka makubwa kabla ajaanza chuo lakini muda ulivyokuwa ukizidi kwenda ndivyo naye alivyozidi kuyazoea mazingira chuoni hapo.Alikuwa akipenda sana kufuatilia masomo kile alichokuwa akifundishwa yalimuingia pima ndani ya ubongo wake, hata pale masomo yalipokuwa yanamtatiza ambapo hakuelewa umfuata mwalimu wake na kumuomba amuelekeze kwa mara nyingine tena.Waalimu walikuwa na mazoea nae wala hawakuwa na kinyongo juu ya yake hata wanafunzi wenzake alielewana nao vizuri bila matatizo yoyote.Siku zilipita miezi nayo ikasogea sasa yafikia miezi mitano sasa tangia Jongo kuanza masomo chuoni hapo.Siku moja Jongo akiwa anajisomea darasani kwa mbali alisikia sauti kutoka nje ya darasa,sauti hiyo ilimchanganya na kumpa wakati mgumu alijalibu kuisikiliza kwa makini sana sauti hiyo lakini akubahati kuikumbuka vizuri sauti hiyo ilikuwa ameisikia wapi na je mwenye hiyo sauti yenyewe ni nani.Alijifikiria mara mbili mbili mwishowe tena baadae sana mtu huyo ameshaondoka ndipo alipoikumbuka sauti hiyo ilikuwa ya msichana mmoja mrembo kwa kipindi kirefu sana hakupata kuisikia sauti hiyo lakini kwa uwelewa wake macho hakuona lakini kwa hisia na masikio yake alijua na kutambua kila kitu kilicho mbele yake.

    Laah! Alipata kiwewe.CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Shamsa Samir yule msichana waliyekuwa wakiishi pamoja Mwanza, yule msichana aliyekuwa akimpenda siku zote akimsumbua na kumlilia ili hasiondoke na mama yeke,leo hii anaisikia sauti yake imetokea wapi,au miujinza au ndotoni hapana Jongo hakutaka kukubali haraka alinyanyuka kwenye kiti chake akaishika fimbo yake na kuanza kuongoza njia kuufuata mlango.Lakini kabla hajafanya dhamira yake mlangoni alisikia sauti ya mwalimu akiingia ndani ya darasa hilo ikabdi Jongo kurejea kwenye kiti chake akakaa.Wakati mwalimu akifundisha Jongo akili yote ilikuwa juu ya sauti aliyoisikia hakutaka kukubali kama kweli Shamsa yule msichana ampendaye dhati na kipindi kirefu sana wamepotezana baada ya kuondoka jijini Mwanza na kuamia Morogoro na mama yake.Lakini yawezekana akawa yeye Shamsa ndiye aliyekuwa amefika pale kwa ajiri ya kutembelea au kuna kitu ambacho amekifuata au inawezekana akawa naye anasoma chuoni hapo. Muda wote aliona kama vile yupo ndotoni akujua Shamsa aliwezaje kufika shuleni pale.



    ********

    Wakati shamsa akiendelea kuishinyumbani kwa Shangazi yake alionekana kuwa ni mtu mwenye mawazo sana kuhusu habari ambazo alimwambia Shangazi yake juu ya alichokuwa kinamsumbua.Shamsa aliona wazazi wake watakuwa wametendea kosa kutangaza kwa kila mtu kile ambacho kilikuwa kinamsumbua.Mwenyewe hakujua kama shangazi yake alikuwa mgonjwa angali angejua kama Shangazi yake alifahamu juu ya ugonjwa wange angefika huku akijifanya bado mgonjwa.Kule kulipomfanya kuwa na furaha ndipo kulipeleka mpaka Shangazi yake kumuuliza kile alichokuwa akiumwa huko nyumbani kwao Mwanza.Siku iliyofuata Shamsa aliamka saa sita mchana kutokana na uchuvo wa safari alichelewa kuamka,Shangazi Zuwena alimka mapema na kutengeneza kifungua kimya akanywa na kutoka kuelekea kwenye biashara zake huku akimuacha Shamsa akiwa bado amelala.Wakati Shangazi akitoka na kuondoka mlinzi alimuona hivyo alijua moja kwa moja Shamsa alikuwa bado yupo ndani amelala,wakati huo walikuwa wamebaki watu wawili tu ndani ya nyumba hiyo ambao ni Mlinzi na Shamsa aliyekuwa chumbani kwake amejifungia.Tofauti na siku zote Mlinzi alikuwa na shauku ya kutaka kujua Shamsa kama ameamka au bado amelala,taratibu alinyata mlinzi na kufungua geti akimchungulia Shangazi zuwena alipoelekea.Alipolidhika ya kwamba Shangazi huyo ametoka kwa safari hisiyokuwa ndefu sana kwani hakumuaga zaidi ya kumwambia anatokana.



    Haraka mlinzi alifunga geti kwa komeo na kuingia ndani kwa nia ya kutaka kuonana na Shamsa.Kwani mlinzi huyo tangia usiku uliopita alipomuona mtoto wa bosi wake amekuwa msichana mrembo alivutiwa nae, alimpenda na kumtamani hakuelewa kwa kiasi gani alivyotokea kumpenda msichana huyo mdogo.Kila alipokuwa akipiga hatua kuelekea ndani ya nyumba hiyo mapigo ya moyo wake ndivyo yalivyozidi kuongezeka,aliufikia mlango na kushika kitasa akafungua na kuingia ndani alipitiliza mpaka sebuleni.Alipofika sebuleni alikaa sofani huku akipiga piga kirungu chake mkononi macho yake yakiwa juu ya mlango wa chumba cha msichana huyo.Alikikagua chumba hicho kuanzia juu mpaka chini,akaangaza huku na kule akitafuta namna ya kukikalibia na hatimaye kuingia ndani ya chumba hicho.Maji yalizidi unga anganyanyuka na kukifuata chumba hicho na kushika kitasa,mlango mkafunguka akazama ndani huku akinyata bila kugundulika wala kumshtua aliyelala ndani ya chumba hicho.Mlinzi alisogea mpaka kilipo kitanda cha msichana huyo bila kujitambua wala kujielewa mlinzi aliona kama yupo dunia nyingine jinsi alivyokuwa akisisimka.Mwili mzima jasho lilimtoka huku naniliu yake ikiwa imesimama dede pale alipomuona Shamsa akiwa amelala kifudi fudi huku shepu ya msichana huyo mweupe upande wa nyuma akiwa amefungashia vilimchanganya kupita maelezo.

    Hee! bwana hee nikwambie!!! ...



    Kweli Shamsa alikuwa amefungashia tena tako kubwa lilikuwa nyumba chini ya mgongo wake, alikuwa mweupe kama shombe shombe huku sura yake ikiwa pana iliyochongoka vizuri na midomo ya kuvutia.Kiukweli mtu aliyekuwa akipita mbele ya msichana hacha kuchanganyikiwa kwao wengi walishindwa uvumilivu walimfuata kabisa na kumtongoza lakini Shamsa aliwatolea nje huku akijua anaye mtu mmoja ambaye moyo wake ulimchagua. Ilipita kama dakika kumi mlinzi huyo akiwa bado anamwangalia kuanzia juu mpaka chini ya miguu yake, hakuamini kama kweli msichana aliyekuwa mbele yake ndiye aliyekuwa yule mtoto aliyekuwa akimbeba na kumbembeleza kipindi cha nyumba kama kweli watoto wa kike hawachelewi kukua alijisemea moyoni mwake.Hakutaka kusubiri akatoa mkoto wake na kuanza kumpapasa Shamsa ambaye alikuwa mbali na usingizi wala hakuelewa kama kuna mtu aliyekuwa akimsumbua kwa wakati huo.Wakati mlinzi alipokuwa alifanya yake ghafla Shamsa alishtuka na kuamka uwiii! Shamsa alizubaa dakika nzima akimwangalia mlinzi akijibalaguza mahali hapo, haraka Shamsa hakutaka kusubili alipiga ukemi mkubwa ulimfanya mlinzi huyo kuogopa looh! Ulitaka kunibaka wewe baba vipi?”Shamsa aliongea baada ya kumuona mlinzi akitimua mbio kuufuata mlango na kutoka nje. Shamsa alijikagua vizuri na kujikuta yupo safi taratibu alitoka na kumfuata mlinzi.

    “Hivi wewe unaitaka kazi yako hama?”

    “Hapana mwanangu nisamehe nilikuja tu kukuamsha kumbe ulikuwa umelala”



    “Nani alikutuma uje kunihamsha?”

    “Niliona kimya kingi baada ya Shangazi yako kuondoka ndipo nikaona nije kukuamsha”

    “Nakuuliza hivi nani aliyekutuma uje kuniamsha?”

    “Nakuomba yaishie hapa mwanangu …unajua wewe ni msichana mzuri ndio maana nikaamua nije kukuamsha”

    “Sikiliza ninawapigia simu baba na mama kuwaambia kwamba umenibaka”

    “Haaa! Jamani Shamsa binti yangu usifanye hivyo”

    “Sasa kumbe ulichokuwa unataka kunifanyia kule chumbani kitu gani kama sio kunibaka”

    “Hapana sio hivyo mwanangu”

    “Lazima nis……..”CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/



    Kabla Shamsa hakumaliza kuzungumza kile alichokuwa anamwambia mlinzi huyo roho ilimdunda macho yalimtoka Kama mjusi aliyebanwa na mlango pale aliposikia mtu akigonga geti kwa jazba.Ooo! Mlinzi aliruka juu huku rungu lake likidondokea kule mwili ukimtetemeka tofauti na mwanzo alijua hakuwa mwengine zaidi ya Shangazi Zuwena, haraka Shamsa aliondoka na kuingia ndani huku akiwa mtu aliyekeleka.Mlinzi alikuwa na mashaka makubwajuu ya Shangazi zuwena hakujua jinsi gani atakavyomkolomea kama atakuwa amesikia maongezi yaliyokuwa wakionge na Shamsah.Mlinzi hakujali sana alisogelea geti na kufungua mlango kisha Shangazi Zuweni alimpiga jicho kali sana mpaka mlimzi akaogopa,hakujua amepatwa na nini mawazo yake yote Shangazi amesikia kile kilichotokea.Bila kutarajia alimuona Shangazi akimsogelea na kumuuliza kulikoni mpaka akachelewa kumfungulia mlango,lakini mlinzi aliishia kumuangalia kisha akatikisa kichwa kwa masikitiko huku akisogeza pembeni na kumjibu ya kwamba alikuwa ndani ndio maana alichelewa kufuangua.



    Shangazi Zuwena alikuwa amefura kwa hasira alimwangalia mlimzi huyo mara mbili mbili kisha alimtazama kwa ghadhabu na fedheha akimtaka usiludie tena tabia hiyo,mlinzi alimkubalia huku akimnyooshea mkono na kumuomba msamaha.Shangazi huyo wala hakusema kitu zaidi aliongoza njia na kuingia ndani.Shangazi alipitiliza moja kwa mpaka ndani alishangaa alipomkuta Shamsa akiwa mtu mwenye mawazo,alimsogelea na kumuuliza kilichomsibu.

    “Kitu gani kimekusibu binti yangu?”Shangazi zuwena aliuliza kwa mashaka

    “Hakuna kitu Shangazi”Shamsa alijibu kwa unyonge

    “Niambie Shangazi….au ndio yale matatizo yako?”Shangazi alimhuliza

    “Hapana Shangazi nimeota tu ndoto mbaya Shangazi”

    “Oooh! Pole sana mwanangu”Shangazi alimpa pole Shamsa

    “Ahsante Shangazi …soon nitakuwa sawa”

    “Sawa mwanangu basi mimi ngoja nikaandae kifungua kinywa”Shangazi alisema

    “Sawa Shangazi”



    Katu Shamsa akutaka kumwambia ukweli wa kile kilichotokea Shangazi yake alifikiria kumuona Shamsa kwenye hali hiyo alifikiri kuwa ni yale matatizo aliyoambiwa na Baba Samir pamoja na mkewe juu ya hali aliyokuwa nayo mtoto wao.Shamsa alifurahi alipomuona Shangazi yake alivyomuelewa na kama angekuwa mama yake basi lazima angetakiwa kuongea kile kilichomsibu lakini kwa shangazi huyo haikuwa hivyo.Hata hivyo ndivyo Shamsa alivyopenda hakutaka kumsumbua Shangazi yake wala hakuona haja ya kumuelezea kile ambacho kilimtokea juu ya mlinzi hiyo aliyekuwa kama ndugu kwake.Akayamezea moyoni mwake yakabaki na kuyafutika kifuani mwake kwa mashaka mazito huku akimuacha mlinzi naye akijiuliza juu ya hali hiyo huku akijiapia hatoweza kwenda tena kumsumbua msichana huyo ambaye ni mtoto wa bosi wake kwani aliipenda sana kazi yake hivyo hakuwa tayari kupoteza kazi kwa ajiri ya mapenzi.Siku zilipita na miezi kadhaa imekatika huku Shamsa na mlinzi wakibaki kuwa kama mtu na mzazi wake kwani Shamsa alimtahadharisha kwa mashaka na kazi yake juu ya kumfuatilia tena anaweza kumshitakia baba yake huko alipo na kupelekea kufukuzwa kazi kwa mzee huyo ni kitu ambacho kilikuwa kigumu kwake.



    Siku zilipita na hatimaye miezi ikafikia mlinzi amesahau kabisa kile kilichotokea kati yake na Shamsa, kwani hakuna aliyejua juu ya kilichotokea kati ya wawili hao pekee.Siku moja Shamsa alikwenda kutembelea vyuo vya Uwalimu mbalimbali ambavyo vilikuwa wakisoma marafiki zake aliosoma nao jijini Mwanza na Dar.Siku hiyo Shamsa alianzia chuo cha Uwalimu Amazon kisha ilipofika saa sita akaelekea chuo cha West kilichopo Jirani na nyumbani kwao Ilala.Alipofika hapo Shamsa alifurahi alipokutana na wanafunzi wengi aliosoma nao shule ya msingi Ilala Boma,wengi wao walikuwa wasichana kama yeye wengine walimpongeza na kumshukuru kwa kufika shuleni hapo kuwatembelea.Shamsa akuwa na mashaka zaidi alikumbatiana na wenzake kwa kukutana shuleni hapa na kuwapa somo juu ya elimu aliyokuwa nayo kisha kwa pamoja na marafiki zake wakiwa na baadhi ya waalimu wa chuo hicho walimtembeza kujionea mazingira ya chuo hicho.Shamsa alifurahi sana alitembelea kila sehemu iliyozunguka mandhali ya shule hiyo ilivutia alitamani siku nzima ashinde shuleni hapo.Baada ya muda kwenda na kiza kuanza kuingia Shamsa aliagana na marafiki zake kisha safari ya kurudi nyumbani ilipoanza..........



    Kipindi cha miezi miwili mbele Shamsa alikuwa amefanikiwa kupata kazi jijini Dar es Salaam maeneo ya Posta.Alifanya kazi ndani ya shirika la usafirishaji,kwa kipindi kifupi cha muda wa miaka miwili Shamsa alikuwa mtu mwenye mafanikio makubwa kwa sana aliweza kuwatunza wazazi wake pia licha ya kuwa akiishi ndani ya nyumba ya wazee wake lakini pembeni alikuwa na nyumba yake hakutaka kukaa peke yake aliamua kupangisha wapangaji waliokuwa wakimlipa kodi kama kawaida.Pia alifungua biashara zake binafsi ili kuweza kuendesha maisha ya kila siku.Jambo lake la kuolewa halikuwa ngeni kwa wazazi wake ila hakuwaambia atakae muoa nani kwani bado alikuwa anamtafuta Jongo. Siku zote Shamsa alikuwa ana lake moyoni,alifanya kazi kwa bidii matarajio yake kupata pesa na kujimiliki vizuri kwa hilo liliwezekana kwa asilimia zote.Alifanya kazi kwa moyo wa kijituma na kupata mafanikio mazuri yaliyopelekea kuheshimiwa kila sehemu na aliyokatiza aliitwa malkia wa nguvu.



    Mnamo tarehe mbili mwezi wa saba mwaka 1999 .Siku ambayo Mzee Samir na mkewe Bi.Ramla walikuwa wamerejea jijini Dar es Salaam baada ya Bwana Samir kumaliza mkataba wake wa miaka kumi na mbili ndani ya jiji la Mwanza.Kipindi chote hicho Bwana Samir na mkewe walifahamu juu ya maisha anayoishi mtoto wao baada ya kupata kazi,hakuna kilichohalibika zaidi ya Shamsa kuwataka wazazi wake waende kuishi pamoja ndani ya nyumba yake na nyumba yao waendelee kumuachia Shangazi kuishi hapo.Bwana Samir alifurahi na mkewe wakaenda kuishi kwenye nyumba ya mtoto wao Kigamboni.Bi.Ramla alikuwa na kazi moja ya kumshawishi mtoto wake kuolewa ili aweze kuzaa watoto naye apate wajukuu.Shamsa hakuwa tayari kufuata ushauri wa mama yake kwani alikuwa na lake rohoni juu ya Jongo,alimpenda na kumdhamini kama barafu wa moyo wake.Alijipangia mwenyewe lazima ipo siku atakutana na Jongo kisha watafunga ndoa.CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Siku moja Shamsa wakati anatoka kazini akamkuta mama yake yupo Nyumbani tena sebuleni akiwa na Mvulana pamoja pamoja na Msichana ,Shamsa alimsalimia mama yake pamoja na wale wageni aliokuwa nao sebuleni hapo kisha kuwakalibisha.Shamsa akiwa sofani aliwachangamkia na aliongea nao kidogo,hapohapo mama yake alichukua nafasi na kuwatambulisha kwa Shamsa wageni hao kuwa yule mvulana mrefu mweupe kidogo anaitwa Abdul na yule Msichana anaitwa Aisha ila hakumwambia lengo la kuja na wale wageni.Baada ya maongezi machache na utambulisho Shamsa aliomba awaache sababu yeye ametoka kazini muda huo hivyo anaenda kukoga.Shamsa aliingia chumbani kwake na kubadilisha nguo kisha alielekea maliwatoni kuoga.Shamsa alipomaliza kuoga alitafuta nguo yake nadhifu na kuishusha mwilini mwake. Muda mfupi alitoka na alipofika sebuleni aliwakuta vile vile wale wageni wakiongea kwa siri kubwa na mama yake.



    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog