Simulizi : Nifundishe Kunyamaza
Sehemu Ya Nne (4)
Aliongea Komando Albert huku akimwangalia Queen kwa jicho la kumaanisha.Queen nae kusikia hivyo hakutaka kuuliza Mara mbili mbili ,alianza kuyaangaza macho yake huku na huko akafanikiwa kuiona fimbo moja ndefu iliyokuwa upande wake wa kulia .Aliichukua kisha akampa baba mdogo wake.Albert aliipokea kisha akaanza kujili na Master Kill ambaye kwa muda huo alikuwa amechoka sana akitamani hadi kufa ."Ehee! Hebu niambie vizuri, umesema huwezi kutembea?" Aliuliza Albert kwa kejeli."Ee Kamanda wangu yaani hapa nilipo nguvu zimeniishia kabisa.. Tafadhari brother naomba unionee huruma ".Aliongea Master Kill huku maumivu kutoka sehemu tofauti tofauti ndani ya mwili wake yakizidi kuongezeka ." Mimi siyo brother wako kwa hiyo siwezi kukuelewa kabisa, ninachotaka ni wewe kusimama juu na kunipeleka hadi huko gerezani alikofungwa kaka yangu Imma ,,mambo mengine utayajua mwenyewe,, bila shaka
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
umeshanielewa".Aliongea Albert na kumfanya Master Kill amalizie kabisa kukaa.Sasa ile anakaa tu,Mara akajikuta amesimamishwa juu utadhani amesimamishwa na sumaku.Albert alipoona Master Kill amekuwa mtu wa maneno mengi huku akishindwa hadi kutembea alimnyanyua juu juu akamtupia ndani ya gari aliyokuja nayo .Akapanda yeye pamoja na Queen wakaanza safari ya kuelekea huko."Oya acha kuangalia chini kama huna akili nzuri,angalia mbele ili unielekeze njia ya kupitia umenielewa?" Aliuliza Albert na kumkurupusha Master Kill ambaye alikuwa kashajiinamia mithili ya mtu anaye swali."Kamanda njia yenyewe ni hiyo hapo".Aliongea Master Kill kwa sauti ya upole utadhani hakuwa gaidi.Basi Komando Albert akaikamata ile njia akawa anaenda nayo sambamba.Aliiendesha gari hiyo mpaka wakaingia maeneo ya Gereza .Sasa wakawa wanashuka ndani ya gari hiyo,Walipomaliza Mara Komando Albert akayanyanyua macho yake kuelekea upande wa mbele. Aliwaona askari magereza wawili wakija kwa kasi kidogo hadi eneo hilo walipokuwa wamesimamia.Hao maaskari walikuwa wameshikilia bunduki mikono mwao na hawakuwa na hali yoyote ya kuonyesha nyuso za tabasamu. Walifika pale wakasimama mbele ya kina Albert.
******************
"We boya unajifanya kujitoa ufahamu si ndiyo?, kwa akili zako finyu na za kipumbavu unadhani huu ni muda mwafaka wa kusalimia wafungwa au we ni wa wapi?.Sasa kabla hatujaamua maamuzi ya kigaidi tunataka uondoke hapa pamoja na huyo demu wako na hilo jamaa" Aliongea Askari mmoja aliyekuwa amesimama upande wa kushoto. Albert hakujibu chochote kwa muda huo Bali aliwatazama tu kisha akabaki akikitikisa kichwa chake kwa dharau. Askari mwingine alionekana akizipiga hatua za haraka haraka kulikaribia eneo hilo ,nae hakuwa mwingine bali alikuwa ni afande Swey.Alipofika hapo alishtuka kidogo akaanza kumkumbuka vizuri Komando Albert
"Tusamehe afande tulikuwa hatujui"...." Piga magoti wote ...anzeni kutembelea magoti....Queen tembeza fimbo tano tano kwa hao ngedere"..."Afande tusamehee...tuonee huruma afande"...."Simama juu wote ,tokeni hapaa ".
Naam hayo maneno aliyakumbuka vizuri afande Swey, jinsi walivyopokea kichapo kutoka kwa Albert Mara ya kwanza walipokutana nae nyumbani kwa Imma .Hofu ndani ya moyo wake ikaanza kuongezeka akatamani arudi nyuma asifike pale maana alimtambua vilivyo Komando Albert. Alitamani kuwaambia wale wenzake watoke mbele ya Albert lakini ulimi wake ukawa mzito.Basi akaamua kujipa moyo tu kusogea hapo.
" Jambo afande ...Jambo afandee !!".Alisalimia afande Swey kwa ukakamavu huku ndani ya moyo wake akiwa ametawaliwa na woga wa hali ya juu.Sasa wale wenzake wakaanza kushangaa."Mh! Ina maana huyu jamaa ni askari.. Askari wa wapi aisee mbona hatumfahamu?"..."Achana nae,askari kitu gani? Huyu ni mbabaishaji tuu".Waliulizana kwa sauti ya juu na yule wa mwisho akaiongeza maradufu.Sasa roho za uwoga zikaanza kuwaingia,,Mara wakageuza na kuanza kurudi walikotoka.Albert aliwafuata kwa nyuma akawakamata wote viunoni akaanza kuwavuta kinyume nyume.Walijaribu kujibalaguza balaguza kujinasua dhidi ya mikono hatari ya Albert lakini hawakuweza.Ghafla walishtukia wakichezea kichapo na kujikuta wamekaa chini na kuanza kuyasikilizia maumivu ambayo hawakuwahi kuyapata kabla. Albert alisimama mbele yao akaanza kuwauliza."Mwanijua Mimi? Mnanifahamu Mimi?" Aliuliza na kuwafanya wazidi kuingiwa na hofu maradufu,, walizinyanyua nyuso zao wakajaribu kumchunguza lakini akili yao bado ikaendelea kuwapa jibu la hatukufahamu.Sasa wakabaki kimya kidogo kujaribu kutafakari baadaye wakaongea wote kwa pamoja, "Hatukufahamu kwani Wewe ni nani ? Na kwa nini umekuja hapa kutuletea fujo ?". Waliyauliza hayo maswali kwa mfululizo hadi wakamfanya Komando Albert aangue kicheko cha kejeli." Hahahaha!! Hebu kamata hii...nadhani mtaelewa kwamba Mimi ni nani ".Aliongea Albert huku akimkabidhi askari mmoja kile kitambulisho chake.Lahaula walipokichunguza vizuri hawakuyaamini macho yao kabisa,, walibaki wanaangaliana tu mithili ya vyura waliokosa maji mtoni.Wakatamani kusimama ili wakimbie lakini kwa Bahati mbaya miguu yao ilionekana kupigwa ganzi..wakajaribu kuomba msamaha nako wakashindwa wakaamua kumwachia Mungu wao tu namna atakavyowaokoa kwenye hiyo hatari.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
" Haya kama mmenitambua ya kwamba Mimi ni nani ,nataka wote msimame juu".Aliongea Albert Mara baada ya kukipokea kile kitambulisho,,Askari wale huku wakianza kutetemeka walisimama kiunyonge na wakati mwingine kumtizama Komando Albert kwa macho ya huruma."Haya sogeeni hadi kwenye hizo kokoto...acheni kuniangalia Mimi,sogeeni hadi hapo".Aliongea Albert na hao Maaskari wakawa wamezisogelea zile kokoto.Albert alijishika kiunoni kisha akawaambia "Nataka kila mmoja apige pushapu hamsini kila mmoja". Sasa wakati analitoa hilo agizo ghafla akapigwa na butwaa iliyomfanya abaki akishangaa tu.
********************
" Imma...Imma,,,kumbe ni kweli umefungwa?".Aliuliza huku kijasho chembamba kikianza kumtoka .Imma alishtuka kutoka katika ule msafara wa wafungwa uliokuwa ukipita.
"Maskini babaa ...baba njooo". Queen alidakia na hapo hapo akaanza kulia kwa uchungu.Uvumilivu ulimshinda Komando Albert akaruka juu juu na kwenda kumkamata Imma hapo hapo akamshika mkono wake wa kushoto akawa anazipiga hatua kulisogelea gari lililokuwa mbele yake.Japo Imma alitaka kubisha lakini Albert akamvuta kwa nguvu na kufanikiwa kumuweka hadi ndani ya gari hiyo,,hakumuongelesha chochote, aliamini maelezo atayatoa baadaye.
" We mpumbavu muache huyo mfungwa.. Husikii ...mshushe huyo mfungwaa".Aliongea askari wa ule msafara huku akiiweka sawa bunduki yake.Albert hakusikia chochote.. Alimbeba Queen akamwingiza ndani ya hiyo gari pamoja na Master Kill akaanza kuiondoa .Askari yule alianza kumimina risasi kuelekea usawa wa hiyo gari lakini juhudi zake hizo hazikuzaa matunda.Sasa ipoona hivyo aliingiwa na taharuki akakimbia hadi upande furani akatoa simu yake na kuliripoti hilo tukio la kutisha makao makuu.Afande Swey yeye hakuwa na swaga kabisa alisimama tu kama mwendawazimu akijaribu kuyafumba fumba macho yake.... Ghafla akadondoka chini na kupoteza fahamu.Wale askari wengine wawili walisimama na kuyaangaza macho yao huku na huko kisha wakaanza kutimua mbio kuelekea kusikojulikana. Wafungwa nao walitaharuki kwa wale wenye uwezo wa kukimbia walikimbia wakabaki wale wanaojiita wasamaria wema.Yaani ilikuwa patashika pale gerezani. Basi Komando Albert akafanikiwa kuikamata barabara ya lami,,hapo ndipo alipoongeza speed ya kuiondoa ile gari.
"Mdogo wangu nirudishe gerezani hii ni hatari...labda tuihame nchi maana sipati picha jishi itakavyokuwa". Aliongea Imma huku akitetemeka.Albert hakumjibu chochote yeye aliendelea kuunyonga tu usukani.
Lahaula ghafla upande wa juu ikaonekana herikopita moja ya kijeshi ikiifuatia gari ya kina Albert... Yaani kilikuwa ni kitendo cha kufumba na kufumbua tu.Alipokata kona tu ili aingie usawa wa barabara ya changarawe.Ghafla taili za gari hiyo zilianza kumiminiwa risasi.Hao walikuwa ni maaskari wasiopungua mia moja ndani ya gari tofauti tofauti zilizokuwa zikiwaijia kwa kasi nyuma yao...Mbele nako kilionekana kikosi cha gaidi Master Kill kikija kwa kasi huku kikiwa tayari kabisa kwa mashambulizi..." Kipanga gari ya yule jamaa aliyemteka boss wetu ndo hii anza kuishambulia".Ilisikika sauti moja kutoka kwenye kile kikosi cha magaidi.
"Baba simamisha gari tunakufaaaa".
Aliongea Queen huku akiwa ametawaliwa na uoga wa hali ya juu.Alijaribu kuukamata usukani ili kumzuia baba mdogo wake huyo asiendelee mbele lakini juhudi zake hizo hazikuweza kuzaa matunda...Albert kwa kipindi hicho alikuwa amenuna tu huku akiuzungusha usukani kwa akili ya hali ya juu aliyokuwa nayo .Sasa Mara wale magaidi wakaanza kuishambulia hiyo gari ...wakamimina risasi za kutosha kuelekea usawa wa kioo cha mbele lakini gari ile hawakuweza kuifanya chochote. Sasa Albert alipoona anashambuliwa pande zote ,alisimamisha gari akaamua kupambana nao kikomando...alishuka kama alivyo huku akiwaacha kina Imma pamoja na mwanae Queen wakizidi kutetemeka ndani ya gari."Mdogo wangu unaona sasa ? Mimi nilikuambia kabisa kwamba ungeniacha tu huko gerezani kuliko kunileta hapa..sasa tutakufa kifo cha aibu sijui nyuso zetu tutazifichia wapi tu.Tumezungukwa sehemu zote na hatuna pa kukimbilia sijui tufanyaje tu".Imma aliyaongea hayo lakini hayakusikika ndani ya maskio ya Albert zaidi ya kusikika mbele ya Queen pekee.Basi Albert aliposhuka tu ndani ya hiyo gari,hata zile gari za maaskari nazo zilisimama.Wakashuka jumla ya askari wasiopungua mia moja wakiwa wawevaa kofia zao wakaanza kuzipiga hatua kumsogelea Albert. Wakati wanamsogelea walikuwa wameziweka tayari silaza zao za moto.
*********CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"Kamateni huyo mwendawazimu anayejifanya yeye ndiye yeye.Mleteni hapa tumuonyeshe kazi ili atambue hii serikali si ya baba yake,, sheria itachukua mkondo wake na lazima akafungwe huyu mbwa,,Yaani unamtorosha mfungwa kutoka gerezani tena aliyehukumiwa kifungo cha maisha? Sasa utajuta tena nakuambia utajuta". Ilisikika hiyo sauti kutoka kinywani mwa afande mmoja aliyekuwa amevalia magwanda ya kijeshi ,walitoka askari wanne wakawa wanazipiga hatua kumsogelea Albert. Walipomfikia wakajaribu kuinyoosha mikono yao ili wamkamate.Sasa Albert akacharuka na hapo hapo akaanza kuwashushia mvua ya mawe....Komando Albert alinyanyuka mzima mzima akawachezeshea kichapo na wote wakajikuta wakigaa gaa chini kwa maumivu. Wale wengine walipoona hiyo hali wakaanza kumjia Albert Kwa kasi ili wamkamate kwa pamoja baada ya kugundua amegeuka na kuwa mtu wa kuotea mbali...sasa kabla hawajamfikia walishtuka sana kumuona akiwa nyuma yao huku akiwa ameziweka tayari bunduki mbili kwenye mikono yake Mara baada ya kuwapokonya kijanja askari wawili aliowapiga.
" Wote bonyeeni chini ukibisha umeangamia".Aliongea Albert kwa sauti ya kikatiri isiyokuwa na chembe yoyote ya huruma. Walitaka kubisha lakini alipopasua anga kwa kumimina risasi zaidi ya kumi angani hapo wakasalimu amri.Sasa wakabaki kumsikiliza Komando Albert atawaambia nini!!
"Wote laleni chinii ".. Alitoa amri na maaskari hao wakaitii wakawa wamelala chini." Jamani tumepotea njia,huyu jamaa Mimi namfahamu ni Komando wa nchi kavu na majini ,kama mnaikumbuka ile kauri ya mheshimiwa raisi nadhani mtakuwa mmenielewa.Huyu jamaa ni miongoni mwa makomandoo kumi waliotumwa kwenda Marekani kuyapata hayo mafunzo maalumu....sasa hapa tumechokonoa nyuki na sidhani kama tutatoka salama..mi nadhani tushakufa tayari ".Alizungumza askari mmoja aliyeonekana kumtambua vilivyo Komando Albert. Wapo waliobisha kwamba siye lakini waliuelewa mchezo unavyoenda.Albert akawasogelea akawa anapita juu ya migongo yao huku akiruka ruka.Sasa sijui ile herikopta iliyokuwa upande wa juu iliusoma mchezo? Maana ilizunguka zunguka pale bila ya malengo yoyote kisha ikatoweka.Mimi nadhani walimpima vizuri Komando Albert wakatbua ni yeye wakaona bora wajiengue mapema mapema kabla maji hayajawafikia shingoni.Basi baada ya Albert kupita juu ya migongo ya hao askari alishuka akasimama pembeni kisha akawasimamisha tena na kuanza kuwapa adhabu zilizowafanya watapike damu.
Huku hayo yakiendelea..Kipanga alishuka ndani ya gari yake akaanza kuzipiga hatua za kunyata huku akiwa na bastora yake hadi kwenye ile gari walimokuwa kina Imma.Alipoifikia akachungulia kwenye kioo akamuona na boss wake Master Kill akiwa amesinzia huku amejiinamia,Aliufungua mlango akajitosa moja kwa moja hadi ndani ya hiyo gari.
" Nyamazeni hivyo hivyo...mkidiriki tu kupiga kelele basi mmekwisha".Aliongea Kipanga kwa sauti ambayo haiweza kusikika nje ya gari hiyo ,,Imma na mwanae Queen walijikuta wakipigwa butwaa huku macho yakiwatoka baada ya kumuona huyo gaidi ....akili za Imma zikarudisha kumbukumbu Kwa haraka zaidi akamkumbuka Kipanga kuwa ni miongoni mwa magaidi walioshirikiana kumwangamiza marehemu mkewe ...japo na master Kill alikuwa humo humo lakini Imma hakuweza kumtambua kutokana na hali yake kuwa mbaya,maana hata usoni kwake alikuwa hatambuliki vizuri kutokana na majeraha tofauti tofauti aliyokuwa nayo .Basi Imma na Queen ikawabidi watulie tu maana walijua kweli wangediriki kupiga kelele wangemiminiwa risasi.
*************
Komando Albert aliendelea kuwatesa wale maaskari pasipo kujua ndugu zake wapo salama au lahaa. Aliwakimbiza kimbiza hao maaskari mpaka wengine wakawa wanalia kabisa utadhani watoto wadogo...."Wote simameni juu.."
Albert alipoona atawauwa bure aliwaambia watoweke Mara moja eneo hilo kabla hajawaanzishia tena.Huku wakikimbia walitoweka ndani ya eneo hilo wakaziacha hadi gari zao wakaona bora wajiponye kwanza harafu masuala mengine yatafuata baadaye. Sasa baada ya hao askari kukimbia na kutoweka eneo hilo ,Komando Albert alianza kuisogelea ile gari huku akiwa na Imani kubwa atawakuta kina Imma wapo salama.Alipoifikia tu Mara akashtuka baada ya kukuta hakukuwa na mtu hata mmoja humo zaidi ya kukuta viti tu.Alichanganyikiwa akaanza kutapatapa huku na huko asijue hata cha kufanya....
"Shitii!!...shitii". Mara akaingia ndani ya gari na kujaribu kuwatafuta lakini hakuweza kuwapata.Komando Albert akili zilimruka akaangua kilio cha juu kisha akaichana tisheti yake akabaki kifua wazi huku akitetemeka kwa hasira.CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
" Hiyaaaa!!....Hiyaaaaa!!".Alitoa sauti ya kuunguruma mithili ya simba akaibinua ile gari na kuisukuma hadi chini ya kolongo moja lililokuwa na urefu wa zaidi ya mita ishirini... Gari ilipodondoka ndani ya hilo kolongo iliripuka na kuanza kuteketea.Aliyageukia yale magari ya wale askari akayamiminia risasi kisha akaanza kukimbia Kwa miguu kuufuata msitu mmoja uliokuwa upande wake wa kushoto.
************
Upande mwingine ndani ya ngome ya Master Kill alionekana Imma akiwa amewekewa mtutu wa bunduki mdomoni huku mwanae Queen akiburuzwa buruzwa kuelekea kwenye kichaka kimoja huku akiwa amevulishwa nguo zake zote na kubakia kama alivyozaliwa.
Upande mwingine alionekana komando Albert akipiga mbio kwa kasi kuingia ndani ya msitu mmoja uliokuwa ukionekana kutoka upande wake wa kushoto ..alikuwa akikimbia bila kupumzika maana alihisi kaka yake Imma pamoja na Queen watakuwa wapo ndani ya mateso magumu.Sasa alikuwa akibuni tu njia ya kupitia maana alikuwa hajui hata pa kuelekea ,,ndani ya moyo wake hakujua atawapatia wapi maana hakujua walikopelekwa.Kipindi anawaadhibu wale maaskari sijui alinogewa akasahau kwamba kina Kipanga wale magaidi walikuwepo ndani ya eneo hilo wakijaribu kuyasoma majira ya nyakati kabla hawajawateka kimya kimya kina Imma na kuondoka nao.Kule kujiamini kupita kawaida nadhani kutamgharimu kwa namna moja ama nyingine.
Basi akauingia huo msitu huku akizidi kutokomea kuelekea mbele pasipo kujua aende wapi na akakomee wapi.Sasa akaziacha hatua kama ishirini kutoka upande wa nyuma alikoanzia safari yake .Lahaura kumbe ndani ya msitu huo kulikuwa kumewekewa mitego ya kila aina...Sasa alipounyanyua tu mguu wake wa kulia ghafla akasikia mlio paaaaaa!! Hapo hapo akajikuta yupo katikati ya miti miwili mikubwa huku miguu yake ikiwa imenaswa kwa kamba za chuma ,,alijaribu kuzitoa hizo kamba lakini akashindwa namna ya kuzifungua...Sasa wakati anajaribu kuzitoa hizo kamba ghafla akasikia sauti ya vicheko tofauti tofauti.Baada ya dakika kama mbili hivi kwa mbali alionekana Kipanga akiwa amevaa koti lake refu la kijambazi akiwa ameambatana na wenzake watano na wote walikuwa wameshikilia bastora mikononi mwao.Albert huku akiwa amekunja ndita za hasira aliyanyanyua macho yake akaona vijana sita wakija mbele yake ...mmoja alionekana akiwa amevaa koti refu jeusi na wengine wakiwa wamevaa nguo za kawaida.Hakuwatambua ni kina nani lakini ndani ya fikra zake alijua watakuwa watu waovu tu.Kipanga na wenzake wakawa wamefika hapo...Walisimama umbali kama mita mbili kutoka pale alipokuwa amening'inia komando Albert. Mara Kipanga akaachia tabasamu la furaha kisha akaanza kumzunguka Albert huku akipiga makofi na wakati mwingine kuilamba lamba bastora yake .Alisimama mbele yake akatabasamu tena."Jiwe lililokataliwa na waashi nadhani Leo limepatikana..hahahahahaa".Aliongea Kipanga na kuachia kicheko cha dharau kilichozidi kumkasirisha Albert.
************
Muda huo huo kwenye barabara ya kuelekea hospitali ya taifa Mhimbili.Alionekana Manka akiwa ndani ya gari yake bila shaka alikuwa akiwahi kwenda kumuona boss wake Master Kill aliyekuwa amelazwa huko kutokana na majeraha aliyokuwa nayo .Basi baada ya kufika hapo alishuka ndani ya gari yake akaanza kuzipiga hatua za haraka haraka kuelekea usawa wa wodi za wanaume.Alipozikaribia hakupoteza muda akawa ameingia humo na kwenda moja kwa moja hadi kwenye kitanda cha Master Kill...alifika hapo akakaa pembeni na kuanza kumuangalia boss wake huyo aliyekuwa ametundikiwa dripu tofauti tofauti .Bandeji zilikuwa zimetapakaa maeneo ya uso wake na muda huo huo alikuwa ameyafumba macho yake ilionekana alikuwa usingizini au alikuwa amepoteza fahamu kabisa maana kile kipigo alichokuwa amekipokea kutoka kwa komando Albert hakikuwa cha kawaida. Manka alijishika shavuni akaung'ata mdomo wake kwa hasira akakitikisha kichwa chake na kumwangalia tena boss wake aliyekuwa bado ameyafumba macho yake.CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"Boss pumzika...we pumzika tu.Huyu mpuuzi aliyekufanyia hivi lazima tumwondoe duniani haiwezekani akuumize kiasi hiki! Kwani ulimkosea nini ? Nadhani huyu hatufahamu vizuri na atakuwa amechokoza nyuki ambao hawatakoma kumshambulia .Boss wewe ni sawa na mheshimiwa yaani hutakiwi kuguswa na kunguni yoyote ile sasa huyu kunguni amechokoza nyuki na lazima ajute kuzaliwa".Aliongea Manka peke yake huku akimwangalia Master Kill kwa huruma sana.Alipomaliza alinyanyuka na kumwita daktari.
" Dokta nadhani mgonjwa wangu bado hali yake haijakaa vizuri ,basi itabidi nije kesho nimwangalie".Aliongea Manka."Okey sawa nadhani hilo wazo lako litakuwa liko sahihi ..we njoo hiyo kesho kila kitu kitakuwa sawa maana kwa sasa mgonjwa amepumzika maana alikuwa ameumizwa vibaya sana hususani maeneo ya kichwani".Aliongea Dokta na baada ya hapo wakaagana..Manka akaondoka na huyo daktari akaendelea na majukumu yake ya kikazi.
****************
Wale vijana wawili waliokuwa wakimburuza Queen mithili ya mzigo wa kuni walimdikisha hadi pale kichakani huku akiwa hivyo hivyo yaani uchi wa mnyama.Pamoja na kutoa sauti ya kuomba msaada lakini haikusaidia kitu,wale vijana walikuwa wamemdhibiti vibaya mno.Basi walimlaza chali kisha wakamfunga kamba mikononi na kuanza kumfanyia kitendo kichafu huyu binti asiyekuwa na hatia.Queen aliona kama yupo ndotoni tu na aliombea iwe hivyo maana tangu azaliwe yapata takribani miaka kumi na sita imepita hajawahi kufanyiwa kitendo cha kikatiri kama hicho alikuwa akikisikia tu kutoka magazetini na wakati mwingine radioni."Jamani kwa nini ...kwa nini ? Mnataka kunibaka kwani nimewakosea nini ?".Queen alipouliza hivyo alipigwa Kofi la usoni likifuatiwa na neno "Kimyaaaaa" akaonyeshwa mtutu wa bastora uliomfanya anyamaze kimya.Kijana mmoja alivua suruali yake akapanda juu ya kifua cha Queen akaanza kumchezea kwa fujo ."Mwanangu hebu yapanue haya mapaja ya huyu binti maana anazingua vibaya mno".Aliongea kijana huyo akiwa juu ya kifua cha binti kigori ambaye hakufikiria kufanyiwa hivyo maishani mwake .Basi wakaanza kumbaka kwa kupokezana mithili ya watu wafanyao mchezo furani wa furaha.Walimbaka mpaka akashindwa kupumua na damu ikawa inamtoka kwa kasi sana kutoka sehemu zake za siri.
Ghafla Queen akatulia kimya hakuweza kutikisika tena."Oya tumeuwaa!! Mtoto hatikisiki".Aliongea kijana mmoja huku akianza kuivaa suruali yake haraka haraka."Hapa ni kusepa tu hakuna namna".Aliongea mwingine na kisha wote wakasimama na kuonekana kuelewana kitu .Waliyaangaza macho yao huku na huko kisha wakatimua mbio kuelekea ngomeni kwao wakimwacha Queen akiwa hajulikani kama yuko hai au amekufa.
******************
Kipanga akatoa bastora yake akaikoki vizuri kisha akamsogelea Komando Albert na kukikamata kichwa chake.
"We mpuuzi ni nani aliyekuroga uingie humu?.Harafu utajuta kwa nini ulimteka boss wetu maana ni wewe tuliyekuona kule ukiwaadhibu wale askari ..sasa Leo ni zamu yako na lazima utapike nyongo.Hutatoka salama humu ,,tutakuua wewe pamoja na hao sijui Imma na yule binti harafu tuone sasa.Si unajifanya Komando sasa tutauona huo ukomando wako hapa maana umekutana na wanaume tena walioiva...utajuta pumbavu mkubwa wewe.Mateso utakayoyapata hapa utaenda kumsimulia mkeo". Aliongea Kipanga kisha akakishika kidevu cha Komando Albert na kukiwekea mtutu wa bastora.
Kipanga
aliangua kicheko cha dharau kisha akaendelea kuigandamiza bastora yake
kidevuni...aliigeuza akaiweka kichwani kisha akayafumba macho ya Komando Albert
na kumuita kijana mmoja kwa ishara ya mkono.Kimya kimya alimwambia ampige Albert
tumboni .Sasa wakati kijana huyo akifanya hivyo,Kipanga yeye alikuwa akiangua tu
kicheko.
"Bashiri
we mwendawazimu, ni nani anayekupiga...hahaha!! Yaani Leo lazima utapike
nyongo.Unamteka boss wetu na kumuumiza kiasi hicho,aisee sidhani kama
utafanikiwa kutoka salama humu,na kama utatoka salama basi mshukuru shetani
wako". Aliongea Kipanga kisha kumpiga ngumi moja ya nguvu tumboni,muda wote huo
Albert alikuwa amenyamaza kimya na hakudiriki hata kukifungua kinywa chake
kuongea chochote. Sasa laiti kama wangejua wamemkamata nani wangejihoji Mara
mbili mbili,wenyewe walidhani wanamtesa na kumuumiza Komando Albert kumbe
walikuwa wakimuongezea nguvu.Waliendelea kumtesa Albert mpaka wakaona kama
wameridhika,,Kipanga alitoka hapo akasimama pembeni kisha akaanza kumwangalia
Albert kwa macho ya kikatiri jinsi alivyokuwa amekiinamisha kichwa chake
chini.CHANZO:
https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"
Oya watu watano nataka wakamtoe huyo mpuuzi hapo mtini tumpeleke ngomeni
tukaendelee kumfanyia huduma ya kiutu uzima mpaka ajute ni kwa nini alikuja
duniani".Kipanga aliitoa hiyo amri na muda huo huo wakajongea vijana kama watano
wakamsogelea Albert na kuanza kumfungulia zile kamba za chuma zilizokuwa
zimemnasa,,walipomaliza walimkamata na kuanza kumvuta kwa nguvu kuelekea kunako
ngome yao ijulikanayo kwa jina la "Master Kill hall". Sasa wakati wanahangaika
nae kumpeleka huko walikuwa wakishangaa sana." Mh! Wadau huyu ni mtu au tumebeba
gunia la vyuma maana uvumilivu umenishinda ,jamaa ni mzito sijui huwa anakula ma
nini tu".Aliongea kijana mmoja aliyekuwa amemshikilia Albert kutoka upande wa
nyuma ."Atapungua tu..maana tutakavyomfanyia itakuwa afadhari na yale mateso ya
Yesu".Aliongea kijana mwingine kwa sauti ya kibabe .Basi waliendelea kuhangaika
nae mpaka wakafanikiwa kuifikia ngome yao iliyokuwa umbali kama mita mia mbili
kutoka pale msituni walipokuwa wamemkamatia Komando Albert.
Walifika
huko wakaanza kuandaa mipango ya kumtesa Albert mithili ya mnyama aliyekamatwa
akiiba mifugo zizini.Kipanga alitoa amri.."Vijana watatu nataka wakaseti mitambo
vizuri ya umeme na watano wakaandae msalaba ili huyu asurubiwe".Alipomaliza
,yeye alianza kuandaa misumari minne ya nchi sita ili iwe tayari tayari..kiasi
kwamba zoezi hilo likianza basi liende vizuri.
"Sogezeni
nyaya za umeme hapaaa". Aliongea Kipanga, vijana wake wakamsogezea hizo
nyaya.Vijana wengine walimzunguka Albert wakamfunga kamba miguuni na mikononi
kisha wakamkarisha kwenye kitu cha misumari wakakifunga kiuno chake kwa kamba
nyingine wakaiunganisha kwenye hicho kiti,,kisha wakaanza kumtesa sasa
Albert.
"
Iiiiiiii!!...Hiyaaaa!!..Hiyaaaa!!".Hiyo ilikuwa ni sauti ya maumivu aliyokuwa
akiihisi Albert Mara baada ya Kipanga kuendelea kumpiga shoti ya umeme shingoni
na tumboni,,Albert alihisi dunia yote imejaa damu misuli yote ikajitokeza kutoka
sehemu tofauti tofauti za mwili wake hususani maeneo ya kifuani ,tumboni na
mikononi.Muda huo Kipanga alikuwa akitabasamu tu kiasi kwamba alijiona
amebarikiwa sana kwa kile kitendo alichokuwa akimfanyia Albert. Sasa alipoona
Albert amejaza usumbufu alisimama juu akaagiza akaletewe upanga pamoja na Nge
waliokuwa wamehifadhiwa.
***************
Queen
akiwa usingizini wa nusu mauti kwa mbali alianza kuhisi maumivu makali kutoka
katika sehemu zake za siri....hapo hapo maskio yake yakaanza kuzisikia sauti za
vilio ambavyo hakuvitambua vilikuwa vikitokea upande upi .Ghafla akayafumbua
macho yake na kujikuta yupo kichakani huku pembeni yake kukiwa kumetapakaa damu
iliyokuwa imeganda.Queen alikaa na kujigundua yu uchi kitendo ambacho
kilimstaajabisha sana,,alizirudisha kumbukumbu zake na hapo ndipo ukweli
akautambua.Alijiinamia chini akaanza kulia kwa kwikwi huku kasi ya machozi
ikizidi kumwandama machoni mwake ."Binadamu tuko wapi..kwa nini tumekuwa kama
wanyama,,yaani wamenibaka? Usichana wangu umepotea ila naomba Mungu anisamehe na
awasamehe wote walionifanyia hivi maana hawakujua walitendalo".Queen
alijiongelesha hayo huku akiyapangusa machozi yaliyokuwa yakimtoka machoni mwake
.Alisimama kiunyonge akaanza kuangaza huku na huko kuzitafuta nguo zake baada ya
kuhangaika sana alifanikiwa kuziona zikiwa zimetupwa upande wa magharibi kutoka
pale alipokuwa amesimamia.Aliziendea kwa mwendo wa kuweweseka huku maumivu
yakizidi kumwandama mpaka akazifikia na kuzichukua...alizivaa taratibu kisha
akamaliza na kuanza kuzipiga hatua kuelekea upande wa mbele....
"Babaaa...babaaaa". Aliita lakini akaishia kupokelewa na sauti za vicheko
tu.Mara akaanza kuliona jumba moja lililokuwa likijitokeza upande huo huo wa
mbele. Queen akawa analisogelea,,sasa alipobakiza hatua chache tu alifikie
alijikuta akitekwa tena na wale vijana wa Master Kill.
**************
Upande
mwingine alionekana Manka akiwa ndani ya gari yake akitokea hospitalini
kumuuguza boss wake Master Kill aliyekuwa amelazwa kutokana na majeraha
aliyokuwa ameyapata.Sasa njia nzima alikuwa akiwaza na kuwaziwa na wakati
mwingine kujikuta akilitamka hili neno la 'basi tu...basi tu'.Ilionekana dhahiri
Manka alikuwa amechanganyikiwa kupita kawaida .Ndio lazima achanganyikiwe maana
ni takribani siku tatu mfululizo sasa amekuwa akienda hapo hospital kumwangalia
boss wake lakini hakuweza kumkuta hata siku moja au lisaa limoja akiwa na
ahueni.Sasa wakati anaendelea kuwaza itakuaje na Master Kill ataponaje ghafla
simu yake ikaanza kuita...alipoiangalia akakuta juu ya kioo limejitokeza jina la
Dokta,,na yeye bila kupoteza muda aliipokea;
"Dada
nisingependa kukuumiza lakini imenibidi nifanye hivyo tu maana katika maisha
yetu sisi wanadamu tumeumbiwa hili na hatuna budi kulikubali.Kwa kadiri ya uwezo
wangu pamoja na maalifa yangu niliyoyapata huko chuoni,,nimejitahidi kuyaokoa
maisha ya mgonjwa wako lakini nimeshindwa.Dada nakuomba usiumie sana maana hili
ni jambo la kawaida tu,,Leo mnamo majira ya saa kumi na moja ,mgonjwa wetu
katutoka yaani hatunae tena duniani". Dokta alimshtua sana Manka na bila
kutegemea akajikuta akiiachia simu ikadondoka hadi kwenye kiti chake na hapo
hapo akaangua kilio cha juu.Manka alichanganyikiwa akashindwa aelekee wapi
,,Mara akaipiga mafuta gari yake kugeuza tena hadi huko hospitalini .Dakika
chache alifika...sasa kabla hajaingia ndani ya chumba alimokuwa amelazwa Master
Kill aliitoa simu yake huku akilia akalitafuta jina moja lililokuwa limeandikwa
Kipanga kisha akapiga.
*****************
Wale
vijana waliomkamata Queen walienda nae hadi ile sehemu aliyokuwa akiteswa
Komando Albert baba yake mdogo.Muda huo huo walionekana vijana wengine watatu
wakiwa wamemshikilia Imma wakitoka nae mkukumkuku kutoka ndani ya ngome huku
wakimsukuma na kumrushia makofi pamoja na ngumi maeneo tofauti tofauti ya mwili
wake.
"Niletee
hao ngeee...harafu huo upanga uweke hapo....nataka na huu msalaba muusimamishe
haraka iwezekanavyo ili huyu mtu tumtundike". Aliongea Kipanga, sasa wakati
akijiandaa kulifungua lile kopo la Nge ili amuwekee Albert,, Ghafla simu yake
ikaita...alipoiangalia hakujihoji wala kusita aliipokea hapo hapo..
"
Kipanga boss amefariki dunia..fanyeni mje hapa hospitalini haraka iwezekanavyo
maana mambo ni magumu...hapa nilipo nimechanganyikiwa kabisa ".Manka alipoongea
hivyo tu,Kipanga alisimama akaanza kuikimbilia gari yake iliyokuwa imepakiwa
pembeni akasahau kila kitu alichokuwa akikifanya,nadhani alichanganyikiwa
.Alimuacha Komando Albert akiwa amekaa pale akimwangalia kwa macho ya chini
chini.Vijana wengine nao wakaanza kumshangaa sana Kipanga.
"
Jamani..Boss amefarikiii...Boss amefarikii,tuwahini hospitali haraka".Kipanga
alipoongea hivyo vijana wote wakaitikia "what..what". Wale waliokuwa
wamemshikilia Queen walijikuta wakimwachia na kuanza kutimua mbio kuisogelea ile
gari ya Kipanga,, walipanda wote bila kupoteza muda ,Kipanga akaiwasha hiyo gari
na kuanza safari ya kuelekea hospitalini moja kwa moja.Baada ya dakika kumi
kupita wote walitoweka eneo hilo na kuwaacha kina Albert pale ngomeni.
CHANZO:
https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
ITAENDELEA
0 comments:
Post a Comment