IMEANDIKWA NA : ALLY MBETU 'DR AMBE '
*********************************************************************************
Simulizi : Surprise Ya Aibu
Sehemu Ya Kwanza (1)
Mazoea kwa kweli ni ugonjwa pamoja nakuwa na kila kitu katika maisha yangu hakuna nilicho kikosa. Nilikuwa na maisha mazuri watoto wangu wote wana maisha mazuri, lakini tabia zangu mbaya ambazo nilishindwa kuziacha ndizo zilizonifikisha hapa.nilitamani dunia ipasuke kwani ilikuwa aibu ya mwaka mbele ya watoto wangu. Pamoja na kufanya za siri lakini leo nimeumbuka mbele ya wanangu, nasema mimi tena basi.
****
Simu iliendelea kulia martin aliacha gazeti na kuichua,alipoangalia namba zilikuwa za mdogo wake anayeishi canada aliipokea
"haloo edna leto story mdogo wangu."
"shikamoo kaka."
"marahaba, za otawa?"
"nzuri, sijuiza huko bongo?"
"za huku safi, mbona kimya?"
"simimi nyie ndiye uliye nisusa."
"tuachane na hayo siku zote upigapo simu huwa una jipya."
"ni kweli kaka"
"ehe lete story."CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"kaka ni hivi jana nimempigia asimu mama lakini sikumpata nilitaka nimualifu yeye kwanza ndio niwataalifu nyinyi kaka zangu, vipi na Moses hajambo?"
"mmh! Yule kaka yako mtu wa safari si mnajua kazi za serikali kila kukicha anazunguruka na mheshimiwa."
"basi ina maana hata kwa mama hamjaenda muda mrefu?"
"ni kweli, kwa upande wangu nina mwezi sasa."
"aah! Jamani mama yetu ni mmoja inatakiwa tuwe tunamtembelea hasa nyinyi uliye karibu."
"nikweli, shughuli zimetubana lakini nilipanga wiki ijayo niende kwa bimkubwa."
"sasa ni hivi mimi nilikuwa nipo njiani kuja huko."
"he! Mbona ghafla kuna nini?"
"aah!kaka kuja nyumbani mpaka pawepo na kitu, kwa mama yetu nimuhimu hata kila siku kumuona. Nampenda sana mama yangu na nikiolewanaondoka naye."
"yaani wewe ndiye mwenye mapenzi kulikowatoto wake wote?"
"nyinyi mpo karibu lakini mweziunapita bila kumtembelea bi mkubwa."
"edna tuachane nahayo ulikuwa unasemaje mdogo wangu?"
"ni hivi kakayangu, huku nimepata mchumba ambaye yupo tayari kufunga ndoa namimi."
"hongera, ni raia wa nchi gani?"
"nimkanada mwenye asili ya afrika."
"mmh! Haya, sasaulikuwa unasemaje?"
"tumekubaliana mimi nitanguliekuwajulisha kisha yeye atafuata, sijui kwa hilo mnasemaje kakayangu?"
"siyo baya sasa unakuja lini?"
"wikiijayo."
"itakuwa vizuri maana nina imani tutakutana kwamama."
"basi mjulishe na kaka moses."
"basiunganisha mawasiliano ya watu watatu ili tulizungumze kwapamoja."
edna aliunganmisha mawasiliano ya watu watatuna kuanza kuzungumza na kaka yake moses ambaye anamfuata kwa mara yapili ambaye alikuwa katibu mkuu ofisi ya rais.
"halookaka."
"ooh! Bibi za canada?"
"nzuri tukaka, shikamoo"
"marahaba, naona leo umenikumbuka mdogowangu."
"nitafanya nini na ninyi mmenisusa."
"hapanamdogo wangu kazi za serikali nimenibana ila nitatulia tu."
"hayakaka, za misafara maana nasikia kila alipo rais na weweupo."
"nitafanyaje na mimi nimeichagua hii kazi."
"vipiupo wapi kwa sasa?"
"nipo denmark."
"mmh!"edna aliguna.
"mbona una guna ulikuwa unasemaje?"
ednaanamueleza yote kama aliyomueleza kaka yake mkubwa martin na jinsiwalivyo panga kukutana kwa mama yao wiki ijayo.
"kumbe nihivyo, hakijaharibika kitu mdogo wangu, wiki ijayo nitakuwa tanzaniana nitakuwa na mapumziko marefu ya wiki tatu kwa hiyo safari yakwenda kwa mama tutakuwa pamoja."
"wawooo, itakuwa bongela surprise," edna alifurahishwa na maneno ya kaka yake.
"sasani hivi tusimjulishe mama tumzukie bila yeye kujua akiamka asubuhiatukute mlangoni kwake hiyo unasemaje?"
"si mchezo nibonge la surprise," edna aliunga mkono.
"kwa hiyo wotetukutane kwa bwana mkubwa arusha siku moja kabla ya kwenda kwamama."
walikubaliana wote watatu ambao ni watoto wamama mmoja lakini hawakubahatika kumuona baba yao. Baada ya kuelezwana mama yao kuwa baba yao alimkimbia na kumuachia watoto. Mama yaoambaye aliwalea watoto wake na kufaniwa kuwasomesha iliyo ya juu,ambao baada ya masomo kila mmoja alipata kazi nzuri.
Historia ya maisha ya mama yao iliyowafikisha pale, iliwafanya watotowake wamlee mama yao kama mboni ya macho yao. Kuonesha wanamjali mamayao walimjengea mama yao jumba la kifahari sehemu za mbezi nakumuwekea wafanyazi pamoja na magari ya kutembelea.
Kilammoja alikuwa na hamu ya kukaa na mama yake, lakini aliwakatalia kwakusema kila mtu aishi maisha yake ili mwenye hamu afunge safarikumfuata.
Walikuwa watoto watatu wawili wa kiume na mmojawa kike, wa kiume mmoja alikuwa mfanya biashara mkubwa wa madiniambaye pamoja na elimu yake aliyoipata marekani aliamua kujikitakwenye biashara ya madini na kuweza kumiliki migodi miwili. Biashara ile ilimuingizia pesa sana na kumnfanya kuwa mtumaarufu wenye kutikisa jiji la arusha.
Wa pili yeye nikatibu mkuu ofisi ya rais ambaye na yeye alikuwa na maisha mazuri,alikuwa na majumba na magari ya kifahari na wa mwisho alikuwamsichana ambaye yeye alibahatika kupata kazi katika shirikamoja la utangazaji nchini canada.CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Baada yakukubaliana wote walipanga siku ya kukutana jiji arusha tayari kwendajiji dar kwa mama yao bila kumjulisha kwa kumshtukiza. Kwa upande waedna alikuwa na furaha isiyo na kifani kukutana na ndugu zakekwa mama yao na kuweza kuwaeleza kupata kwake mchumba.
Aliombasiku ile ifike upesi ili wamfanyie mama yao surprise ya ajabu kwawatoto wake kukutana kwa pamoja asubuhi baada kufungua mlango awakutemlangoni.
************************** *********************** ************
mipango ya ndugu watatu ilikwenda kamawalivyotaka na siku ilipotimu walikutana wote jiji arusha kwa mkubwawao moses. Kila mmoja walifurahia kumuona ndugu yake walikuwawakipenda kwa kujifananisha na masii eti wamezaliwa bila baba.
"jamani kaka mose shavu dodo."
"mbona humsemimartin."
"yeye sitii neno kwa jivi yupo kwenye mihela."
"hatawewe mdogo wetu canada imekukubali,"
"basi wote tumshukurumungu kutupa afya bora."
"lakini kaka zangu fanyeni mazoezikidogo mwili huo una madhara."
"tumekuelewa."
"jamanisafari yetu kesho alfajiri nimeisha kodi ndege."
"yaani sijuimama yetu atafurahije kutoana wanaye watatu tena alfajiri kabla yakuamka."
"litakuwa bonge la surprise."
"natamani keshoifike upesi tukanyonye kwa mama."
siku ile walikesha sebuleniwakizungumza mambo mengi, alfajiri iliwakuta sebuleni. Alfajiriilipofika walielekea uwanja wa ndege na kuondoka na ndege yakukodi. Waliwasili jijini dar majira ya saa kumi na mbiliasubuhi.
Baada ya kuteremka kwenye ndege walikodi gari na kwendamoja kwa moja hadi mbezi walipomjengea kwa mama yao. Walisimamishagari mbele ya lango, kwa vile hawakutaka kumshtua mama yao, waliingiawaliteremka kwenye gari na kwenda kugonga geti ambalo lilifunguliwana mlinzi.
Alipowaona alitaka kupiga kelele za furaha walimzuiakwani hawakutaka mama yao ajue kitu mpaka atakapofungua mlango nakuwaona wanaye watatu wamesimama mbele yake. Baada ya kuingia ndani walikwenda moja kwa moja mlangoni.
Mlango wa nyumba kubwa ulikuwaumefungwa kuonesha ndani bado wamelala. Walipofika kwenye mlangowalibonyeza kengere zaidi ya mara tatu. Baada ya muda walisikia sautiya mtu kutembea. Wote walikaa mkao wa kusema kwa sauti neno lasurprise mamaaa.
Mara mlango ulifunguliwa wakati wanajiandaakusema surprise mama, walishangaa kumuona aliyefungua ni msichana waowa kazi. Alipotaka kupayuka kwa furaha baada ya kuwaona,walimuonyesha ishara ya kidole mdomoni kuwa asipige kelele na yeyealifanya kama alivyoagizwa,
"vipi mama amelala?"aliuliza edna.
"mama?" ajabu eliza msichana wa kazibadala ya kujibu na yeye akauliza swali.
"eliza kwaninimekuuliza nani?"
"ha..ha..yupo."
"hayupo!amesafiri?"
"ha..ha..pana."
"hapana! Sasa yupowapi?"
"jana alitoka hajarudi," eliza alijibu hukuakitafuna vidole kitu kilichowashtua na kutaka kujua kunanini.
"hajarudi? Amekwenda wapi"
"kwa kwelisijui aliniaga tu anatoka."
"jamani maswali hukutumesimama sio mazuri tuingie ndani," moses alishauri.
Kablahawajaingia ndani msichana wa kazi aliponyanyua macho baada yakusikia geti likifunguliwa alipiga ukelele.
"ha!"
kauli ile ya mshangao iliwafanya wote waligeuka nyuma na kukutanana sura ya mama yao akiwa kwenye hali ya umajeruhi. Kila mmojaalitaharuki mama yao alikuwa na bandeji kubwa kichwani na mkononi namdomo ulikuwa umevimba.
Kilichowashangaza zaidi kilikuwa mavazi yaajabu ya nusu uchi aliyokuwa amevaa manma yao. Yalikuwa ya aibu kilamtoto wa kiume aliangalia pembeni ili mama yao aingie ndani kwanzaili ajistiri mwili wake.
Edna alijikuta akibubujikwa namachozi kutokana na hali aliyokuwa nayo mama yake, hakujari mavaziyake zaidi ya majeraha aliyokuwa nayo. Wakati huo mama yao alikuwaamepigwa na butwaa kwa kuumbuka mbele ya wanaye na kujisemea moyoni"mungu wa ajabu."
baada ya kuingiza ndani nakubadili nguo kwa kuvaa nguo za heshima zilizoufichwa mwili wake.edna aliwaita kaka zake wakati huo mama yao ambaye hakutegemeakuwakuta wanaye maeneo yale kibaya zaidi wote watatu. Mama alijikutaakiangua kilio huku kujiuliza atawambia nini wanaye kwa haliile waliyomuona nayo kuwa anatoka wapi
edna alimfuata mama yakehuku akibubujikwa na machozi.
"mama umeumia sana."
mamayake hakusema kitu aliendelea kulia akiwa amejiinamia.
"mamakama umeumia sana twende hospitali, kina kaka tumpelekeni mamahospitali."
"kachukue funguo za gari yumuwahishehospitali."
"wanangu siimwi mnavyofikiria."
"sasa mamaunalia nini?"
"wanangu nimeumbuka mchana kweupe."
"mama umepatwa na nini?" mama yao hakujibu kitu zaidi yakuangalia chini huku machozi yakiendelea kumtoka.
"mama auunasikia maumivu makali?"
ilikuwa kitu tofauti na jinsiwalivyomzoea mama yao kwa ucheshi na uchangamfu hasa anapokutana nawanaye. Walitegemea angefurahi kuwaona wanaye lakini imekuwa tofautina walivyo fikiria zaidi ya kuona kilio cha mama yao ambacho tokawazaliwe hawajawahi kukiona.
Wote watatu walijikuta wakianzakulia, lakini edna yeye ndiye aliyelia kwa sauti ya juu akiwa amepigamagoti mbele ya mama yake.
"mama tatizo nini? Mbona unatuachanjia pana mama ni bahati gani kuwaona wanao wote. Tueleze umepatwa nanini ili tujue tukusaidieje. Mama umepatwa na nini mama yetu?"
mamayao huku akilia alimpapasa mwanaye mgongoni kwa mkono mzima na kusemakwa sauti ya kilio.
"wanangu silii kwa maumivu bali kwamajuto, mungu kaniumbua."
"majuto ya nini tena mama?mungu kakuumbua nini?"
"si waongo waliosema siku yakwenda uchi ndiyo siku ya kukutana na mkweo."
"mamambona hatukuelewi?"
"kilichopo mbele yangu najua nimipango ya mungu ili kuniumbua mama yenu."
"mama badohatujakuelewa akuumbue kwa lipi?"
"ilikuwa siri ambayondiyo iliyobeba maisha yenu kwa ujumla."
"ni siri!iliyobeba maisha yetu. Ni siri gani hiyo mama?"
"ni sirichafu ambayo hamkupaswa kuijua, nina imani mungu kayafanya haya ilikuniumbua sina budi kuiweka bayana ili munielewe mama yenu najua kamanitakaa kimya nitawatesa wanangu mpaka mnakufa."
watotowake wote walitazamana kisha kila mmoja alirudisha macho kwa mamayake na kuendelea kumsikiliza kutaka kujua mama yao ana siri gani.pia kutaka kujua ile hali aliyonayo mama yao imetokana na nini?
Mamayao akiwa bado ameinama alinyanyua macho na kuwatazama wanaye kilammoja kisha alijitengeneza vizuri kitini na kusema:CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"hilinitalo liongea sikupaswa kuliongea mbele yenu ni aibu, lakini ndilolililobeba siri ya maisha yenu. Leo mtajua mama yenu nimetoka wapi nanipo wapi na nilitaka kwenda wapi," mama alimeza mate kishaaliendelea kuongea.
"kwanza kabla ya yote ningependakuomba msamaha kwa lolote litakalo wakwaza kwa namna moja au nyinginekwa haya nitakayo yatamka mbele yenu."
"kwetu sisimama yetu huna kosa lolote litakalo tukwaza tunakupenda nakukuheshimu na hakuna chenye thamani chini ya jua kama wewe mama yetukipenzi. Mapenzi yako hayatapungua mioyoni mwetu, bali udhuniko lakoni kilio kikubwa mioyoni mwetu, hebu tuweke wazi mama yetu mioyo yetuipo taabuni kufikiri tusilolijua," martin kaka yao alifikishaujumbe kwa niaba ya wadogo zake wote waliokuwa kimya wakiwa na shaukuna kilichokuwa mbale yao.
Mama yao baada ya kusikia kauli yawanaye alifuta machozi kwa upande wa kitenge aliokuwa amejifunika nakuzungumza kwa sauti ya chini lakini yenye kusikika.
"kwanza wanangu naomba radhi nipo chini ya miguu yenu kwa halimlionikuta nayo, ambayo ndiyo iliyoweka wazi tabia yangu ambayo sirahisi kwa ninyi kuijua. Hili mliloliona ndilo lililobeta maishayangu ambayo nilishindwa kuyabadilisha japokuwa nilikuwa na maishamazuri.
" mwanzo nilifanya kama sehemu ya kujipatia kipatolakini sasa imeisha kuwa mazoea. Sawa na mvuta sigara hawezi kulalabila kupata angalau mkupuo mmoja na mimi mama yenu hivyohivyo."
"ninini hicho, hebu mama kiweke wazi kwa vile umeamua kutueleza."moses ambaye muda mwingi alikuwa kimya alimueleza mama yake.
Mamayao akiwa mwingi wa aibu waliwatazama watoto wake kwa zamu kwa maranyingine kisha alisema:
"wanangu naweza sema maishayangu mpaka kufikia hapa nimepitia mambo mengi mchafu na magumuambayo ukimuhadithia mtu ataona ni uongo," alivuta pumzi hukualitengeneza vizuri ushungi wake uliokuwa umemteremka.
"basi wanangu maisha haya ingekuwa yanaonekana jinsi mwanadamuanavyo ishi unaweza kumuonea huruma au kumdharau kama si kumchukiakabisa.
"wanangu mnaweza kuona leo mama yenu naishimaisha mazuri hakuna nilichokikosa maishani kwa sasa, mmenijengeanyumba nzuri gari zuri na kunipatia mahitaji yote muhimu. Ni kweli,lakini historia nzima ya maisha yangu inanihukumu.
"sikupendawanangu mjue maisha yenu yamepitia wapi mpaka leo mpo kwenye halihii. Wanangu sikupenda lakini leo sina jinsi bila hivyo halimlionikuta nayo hamtanielewa kama nitawaeleza nusu nusu. Historiayangu mimi mama yenu inaanzia miaka therasini na tatu iliyopita kablasijayajua maisha ni nini.
Miaka therasini na tatu iliyopita
nikiwa ni mtoto wa tatu katikafamilia ya watoto wanne wa kiume watatu na wa kike mmoja, ambayendiye ni mimi mama yenu niliyekuwa kiziwanda. Kwa kweli baba yangualikuwa akinipenda sana hasa tukizingatia ni mimi pekee ni mtoto wakike na mama yangu hakuwa na uwezo wa kuzaa tena.
Nilipewa upendeleo ambao hata kaka zangu uliwaudhi, lakini hakunakilicho mbadilisha baba na mama yangu. Nilipofika hatua ya kwendashule, nilitafutiwa shule ya kimataifa tofauti na kaka zangu ambaowao japokuwa walisoma za kulipia, lakini hazikuwa hazikuwa na gharamakubwa kama yangu.
Kitu kingine kilichofanya wazazi wanguwasijutie uamuzi wao wa kunipeleka shule ya gharamani akili zangu.nilifanya vizuri katika masomo yangu na kushika nafasi za juushuleni. Baba aliniahidi nikimaliza kidato cha sita atanipelekamarekani kusoma.
Kama mjuavyo nilijikuta nabweteka namapenzi ya wazazi wangu na kujua sitachukuliwa hatua yoyote kwalolote nitalo lifanya. Nikiwa kidato cha tano ambapo nilisomeauganda, chuoni nilikutana na kijana mmoja ambaye ni mtanzaniamwenzangu,ambaye alinivuta kwenye mambo ya mapenzi.
Nilijikuta nafanya starehe kwa fujo bila kuogopa kitendo kilekitawaudhi wazazi wangu. Wakati huo yule kijana ambaye alikuwa mwakawa mwisho, katika uhusiano wetu ya mapenzi kwa bahati mbaya nilishikaujauzito.
Nilifikiria kuutoa lakini nilihofia kwa kuambiwakuwa pale shuleni kuna wasichana wawili walikufa kwa ajiri ya kutoamimba. Habari zile zilinishtua sana na kunifanya niogope kutoa kwakuhofia maisha yangu.
Katika uchunguzi wa afya za wanafunziniligundulika mjamzito na kurudishwa nyumbani. Wakati huo bwanaaliyenipa ujauzito alikuwa ameishaondoka na kurudi tanzania. Sikuwana jinsi zaidi ya kurudi nyumbani arusha ambako ndiponilipozaliwa.
Nilipofika nyumbani baba hakuwepo alikuwaamesafiri, nilimkuta mama ambaye alishangaa kuniona muda ule. Kwakuwa nilikuwa na uhakika wa kupendwa na wazazi wangu, sikuhofiachochote nilimweleza yote.
Mmh! Kauli ile ilimshtua sanamama na kuniomba bora tuitoe ile mimba kabla baba hajarudi.nilimkatalia kwa kuhofua maisha yangu.
"mamamimba inaweza kuondoka na maisha yangu!"
"hapana mwanangu hii ndiyo njia pekee ya kukuponya kwa babayako."
"mama baba ananipenda hawezi kufanyalolote."
"mwanagu humjui baba yako, mimi namjua vizurihawezi kukubaliana na hili japo anakupenda sana."
"wasiwasiwako tumsubiri uone."
"hapana baba yako alimfukuza mdogowake ambaye alikuwa akimpenda tena alikabidhiwa na wazazi wakeamtunze na kumsomesha. Na yeye alifanya upuuzi kama wako baba yakoalipojua mapenzi yote yaliisha na kumfukuza kama mbwa na hakutakakumuona mpaka leo hii tunayoongea anasema hataki kumuona"
"mamayule alikuwa ni mdogo wake lakini mimi ni mwanaye," badonilikuwa mbishi.
"mwanangu usiwe mbishi heri nusu sharikuliko shari kamili," mama aliendelea kunibembeleza.
Sikuwa na jinsi zaidi ya kukubaliana na mama kwenda kuitoa mimbakabla baba hajarudi ikiwezekana awahi kunirudisha shuleni. Mamaalinipeleka hadi kwa daktari mmoja maarufu sana jiji arusha.
Baadaya kukutana na daktari alikubaliana na mama gharama za kunitoaujauzito. Mama alilipa na kupelekwa chumba cha kutolea mimba,niliingizwa chumba cha kutolea mimba. Nilifanyiwa vipimo kablaya kunitoa, lakini mambo yalikuwa kinyume.
Ujauzito wangu ulikuwa umekaa vibaya ambao usingiweza kutoka kamawangeutoa, ungetoka na roho yangu. Hapo mama alichanganyikiwa nakushindwa kujua atatumia njia gani kuificha siri ile. Hakuamini kauliya daktari yule tulikwenda hospitali zaidi ya nne jibu lilikuwa lileile, kuwa mimba haiwezi kutoka.
Mama hakuwa na jinsi zaidiya kukubali matokeo na kuamua kumsubiri baba na yeye ana uamuzi gani?japokuwa mama alionekana mwenye wasiwasi kwa upande wangu sikuwa nahofu yoyote kwa baba hasa nikizingania mapenzi yake kwangu yalikuwamakubwa sana.
Baada ya siku tatu baba alirudi kutokasafari zake za nje ya nchi, tulimpokea kwa furaha na bashasha.aliponiona alishtuka kuniona nipo nyumbani siku za shule. Mamaalimtuliza kwa kumwambia
"poa kwanza, hata ujatulia nasafari."
"mke wangu nitulie kwa uchovu gani, hasa kwenyetatizo wakati mwenetu alikuwa shule leo yupo nyumbani tena siku zashule kama anaumwa atibiwe awahi shule na kama kuna tatizo linginelitatuliwe haraka huu si muda wa kucheza na elimu."
"siumefika utayasikia haraka ya nini kuna mtu anaondoka," mamaalizidi kumtuliza baba.
Kauli ile ilimfanya baba anyamazena kuendelea na mambo mengine. Japokuwa nilikuwa na uhakika babaawezi kufanya lolote kutokana na kisanga changu, lakini hofu kidogoilinitawala kutokana na maneno yake juu ya kucheza na elimu.
Nikiwanimejilaza chumbani kwangu baada ya chakula cha usiku, nilisikiamlango ukigongwa kwa nguvu kama ameingia askari. Nilinyanyuka nakwenda kufungua mlango. Baada ya kufungua, mlango ulifunguliwa kwanguvu kitu kilichonitisha.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Baba kwa hasira alinifokea kwa sauti ya juu kitu ambacho hakuwahi kukifanya toka nizaliwe. Mara nyingi mama aliponifokea baba ndiye aliye kuwa mtetezi wangu. Kwa hali ile hofu ilinijaa moyoni, kwa hasira baba aliniuliza huku akiwa ameshikilia ile barua niliyopewa shuleni.
"we Moureen hiki ni nini?" alisema huku akinitupia ile kalatasi.
"bahati mbaya baba," nilijibu huku nikiwa nimepoteza ujasiri na kuanza kutetemeka.
"mmh! Bahati mbaya eeeh," aliongea kwa sauti ya chini.
"ndi.ndi.yoo...ba.aba."
"bahati mbaya," aliongea kwa sauti ya juu ikifuatiwa na kofi zito lililotua kwenye shavu la kushoto na kunirusha kwa nyuma mpaka chini, haja ndogo ilinitoka bila kupenda. Nikajua siku hiyo patakuwa hapatoshi. Niliikumbuka hofu ya mama juu ya hali atakayokuwa nayo baba baada ya kusikia ujinga wangu.
"wewe nguruwe nasema hivi kuanzia sasa hivi nenda kwa nguruwe mwenzio aliyekubebesha uchafu huo."
mmh! Niliona mambo mazito, nilipiga magoti mbele ya baba kuomba msamaha.
"baba naomba unisamehe."
"nikusamehe kwa lipi?"
"kwa hii hali niliyokuwa nayo."
"sikiliza mwanangu kwa vile umekuwa mtu mzima, sina budi kukuruhusu ukaishi na umpendaye kwa vile kuwa kwenu unaona unachelewa."
"baba simjui anapoishi."
"atii nini?" kauli yangu ilimuudhi baba.
"ni kweli baba ni bahati mbaya ilikuwa kama ajali, tena alinibaka mi nilikuwa sitaki," nilijaribu kujitetea.
"nasema hivi naomba uondoke machoni kwangu, usiku huu na tusionane mpaka mauti yatakapo tuchukua."
ilikuwa kauli nzito ambayo sikuitegemea kuisikia toka kinywani kwa baba yangu kipenzi. Siku hiyo nililia sana, mama alinisaidia kumuomba msamaha lakini hakuwa tayari kunisamehe hata yeye alitishiwa kufukuzwa kama ataendelea kuninitetea.
kwa mara ya kwanza mapenzi ya baba yangu yaliyeyuka kama donge la mafuta kwenye kikaango cha moto. Baba alikuwa mbogo alinifukuza usiku ule. Sikuwa na jinsi nilikwenda kwa rafiki yangu ambaye alikuwa amepangiwa chumba na rafiki yake wa kiume. Alinipokea na kunipa hifadhi ya kulala mpaka siku ya pili.
asubuhi shoga yangu alinieleza:
"moureen zile ni hasira za baba yako lakini leo ukirudi atakusamehe."
"mmh! Siamini kama baba atabadirika."
"inawezekana hata yeye anajilaumu kukufukuza pengine usiku alikutafuta."
"eti eeh!"
"shoga rudi kwani baba yako anajua utaishi vipi?"
nilijifikiria na kukubaliana na shoga yangu kurudi siku ile kuomba msamaha. Niliamini kabisa alichozungumza baba yangu ilikuwa ni hasira za ghafla, lakini nikirudi kumuomba msamaha atanisamehe kwa kujua mimi ndiye mtoto wake sina pa kwenda.
nilikubaliana na wazo la rafiki yangu baada ya kupata kifungua kinywa ambacho kilinishinda, niliamua kurudi nyumbani kuomba msamaha.
niliwasili nyumbani na kubahatika kuwakuta wazazi wangu wote wawili waliokuwa wamekaa sebuleni wakijadili jambo. Mama alikuwa wa kwanza kuniona, alinikaribisha.
"karibu mwanangu," kauli ile ilimfanya baba ageuke kuangalia nani aliye karibishwa. Aliponiona mimi kwa sauti ya juu yenye kila aina ya ghadhabu alisema:
"we shetani mwanamke umefuata nini?"
"baba moureen msamehe mtoto," mama aliniombea msamaha kwa baba
"nimsamehe eeh, subiri uone nitakavyo msamehe," baba alisema yale huku akisimama na kuelekea chumbani.
nikiwa bado nimesimama karibu kabisa na mlango wa kuingilia sebuleni. Nilishtushwa na sauti ya mama:
"moureen mwanangu kimbiaaaa," nilipotupa macho baba alikuwa na bunduki mkononi, lakini mama kwa ujasiri mkubwa alifanikiwa kumdaka na kuanguka naye chini. Wakati huo mama alikuwa akiendelea kupiga kelele.
"moureen mwanangu kimbia baba yako atakuua."
baba naye alijitahidi kunyanyuka lakini mama alikuwa amemshikilia madhubuti.
"niache mama moureen nimuulie mbali shetani huyu bora nikanyongwe kuliko aibu hii," nilijikuta nimeshindwa nifanye nini miguu ilinitetemeka.
"Moureeeen kumbiaaaa," mama alizidi kusisitiza.
wakati huo baba alikuwa ameamka bunduki akiwa amedondoka mbali, muda wote nilikua bado nimepigwa butwaa. Baba aliponyanyukaili aiwahi bunduki hapo ndipo nilipojua kilichokuwa mbele yangu si maigizo bali kweli nilitimua mbio huku nyuma nilimsikia baba akifoka kwa hasira:
"bahati yako ningekufumua kichwa mwana haramu mkubwa."
nilikimbia bila kuangalia nyuma mpaka kwa shoga yangu nilikuta mlango upo wazi niliingia ndani bila kupiga hodi nilipofika tu nilianguka chini na kupoteza fahamu.
rafiki yangu alinipatia huduma ya kwanza, kisha alitaka kujua yaliyojili nilipokwenda, nilimweleza yote.
"utani huo Moureen!" shoga yangu alishangaa.
"bila mama leo ningekuwa marehemu."
"mmh! Kama imefikia hivyo kuna umuhimu kumtafuta baba mwenye mimba hii hakuna njia nyingine kwa hatua hiyo sidhani kuna suruhu," shoga yangu alinishauri.
rafiki yangu aliniombea nauli ya kuja dar kwa mpenzi wake ambaye alinipa na pesa za matumizi. Kesho yake nilifunga safari hadi dar, jiji ambalo toka nizaliwe nililiona kwenye luninga tu. Nilikumbuka aliniambia dar anakaa mikocheni nyuma ya jengo la super market shorpers plaza.
alinieleza nikivuka bar moja wanayouza kiti moto nihesabu nyumba mbili kuna mtaa unaingia kulia, mbele kuna muuza chipsi nikate kushoto na kuifuata njia ya moja kwa moja kuna fundi viatu nyumba hiyo ndiyo anayoishi.
niliwasiri dar majira ya saa tisa alisiri na kukodi gari hadi mikocheni. Nilimuomba aniteremshe pale shorpers plaza ili nisiipoteze ramani yangu, niliteremshwa shopers plaza na kuangalia ramani yangu haikuwa tofauti na maelezo aliyonipa.
niliiifuata njia aliyonielekeza, muda ule ulikuwa ni saa kumi na moja kasoro. Kuchelewa kote kilitokana na fureni kubwa ya magari ambayo ilikuwa ni ajabu kwa sisi watu wa mikoani kwenye uchache wa magari.
nilifanikiwa kufika kwenye ile bar ambayo kweli niliona kiti moto kikiuzwa. Nilihesabu nyumba mbili na kutokea kwenye njia iliyoingia kulia, mbele nilikutana na banda la chipsi .nilikata kushoto, huwezi amini japo kuna mitaa na vichochoro ramani ilikuwa haipotezi wala haina haja ya kumuliza mtu.
nilifuata kijinjia kidogo hadi mbele ambapo nilimkuta mshona viatu. Nilipo muona kwanza nilishusha pumzi na kumshukuru mungu kwa kufika bila kupotea.nilisabahi yule kaka
"za saizi kaka."
"nzuri karibu."
"asante, shikamoo."
"marahaba."
"sijui kaka hapa ndipo anapokaa shauri kati au shaka zuru?"
"wewe ni nani?" yule mkaka aliniuliza huku akinitazama nilivyo.
"mmh! Mimi ni rafiki yake tulikuwa tunasoma pamoja uganda."
"ooh! Umefika, ndio hapa."
"yupo?"
"kwa sasa hayupo hapa amehama."
"mungu wangu! Amehamia wapi?" nilishtuka.
"usihofu na karibu tu."
"ooh! Afadhari nilishtuka."CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
yule kaka alimuachia mtu kazi yake na kunipeleka anapoishi shauri, hapakuwa mbali kama nyumba ya sita kutoka kwao. Tulipofika aligonga mlango, mlango ulifunguliwa na shauri alitoka aliwa kifua wazi amevalia bukta kwa chini.
aliponiona alishtuka na kusema:
"aah! Moureen!"
"ni mimi shaka," nilijikuta nikitabasamu kumuona kipenzi changu shaka.
"karibu sana."
"asante," nilijibu huku nikiingia ndani, kumbe shaka alikua artisit mchoraji. Kumbe muda ule alikuwa akichora. Baada ya kukaa na kuniagizia soda alitaka kujua mbona nipo pale wakati wenzangu wanaendelea na masomo.
"moureen mbona huku kipindi cha masomo?"
nilimueleza nia na madhumuni ya kuniona mbele yake, nilimuona akishtuka na kuuliza.
"moureen utani huo!"
"kweli kabisa na sina pa kukimbilia."
"moureen tafuta mwingine wa kumbambikia mimba hiyo sio mimi?" he! Shaka naye aliniruka.
"shaka hii mimba mwenyewe ni wewe, naomba unipokee nitakuwa mgeni wa nani na wewe ukinikataa," nilijikuta nikichanganyikiwa mtoto wa kike.
"moureen naomba unielewe sina msaada mwingine zaidi ya kukupa hifadhi ya leo, kesho nakupa nauli urudi kwenu."
ngoma ilikuwa nzito shaka naye alinitolea nje, niliona dunia imenigeuka hata mwenye mzigo kanikataa.nilipojaribu kumlazimisha niliambulia kipigo, mmh nikaona hakuna haja ya kulazimisha maisha mjinga mimi. Wazo la kujiua nililikataa na kuwa tayari kupambana na maisha.
siku ya pili hapakuwa na mabadiliko yoyote zaidi ya kupewa nauli ya kurudi arusha. Nilijiuliza arusha nitarudi kwa nani, niliamua kubaki dar liwalo na liwe. Hapo ndipo nilipo ingia kwenye ukahaba nikiwa na ujauzito wangu kwa kulala ovyo."
kauli ile iliwafanya watoto wake kutokwa na machozi, lakini mama yao aliendelea na mkasa mzito wa kusikitisha.
"basi katika zungukazunguka yangu nilipata shoga ambaye alinikaribisha kwake, tukawa wote usiku tunatoka kutafuta wanaume. Mungu hamtupi mja wake nilijikuta nayaendesha maisha yangu bila matatizo.
muda ulipofika ndipo nilipo jifungua mtoto wangu wa kwanza ambaye ni wewe martin. Nilimlea mwanangu kwa kazi yangu ya ukahaba, mwanangu kwa kweli alikuwa kwenye mazingira magumu kwa kumuacha peke yake chumbani na mimi mama yake kwenda kwenye ukahaba.
mungu naye alimjalia alikuwa bila tatizo lolote kama maradhi ni sehemu ya maisha ya mwanadamu.ile kazi ilinisaidia kuweza kupanga chumba changu na kuweza kuwa na vitu vyote muhimu chumbani kwangu. Aliyeingia chumbani kwangu alijua ni mfanya biashara mwenye pesa.
sikuchukua muda mrefu mwanangu martin alipofikisha umri wa mwaka mmoja na nusu, nilishika ujauzito mwingine. Kwa kweli sikujua ile mimba ni ya nani kwa kuwa nilikuwa nakutana na wanaume wengi wengine wabishi kutumia kondomu. Kwa vile nilihitaji pesa yao sina budi kukubaliana nao.
niilea ile mimba ambayo baba yake sikumjua mpaka nilipofanikiwa kujifungua salama mtoto wa pili ambaye ni wewe moses.
wakati huo kidogo pesa nilikuwa nazo. Mwanangu alipata huduma nzuri kwa kuwa na mhudumu ambaye alimhudumia mimi nikiwa sipo.
niliendelea na kazi yangu ya ukahaba ambayo iliendeleza kupunguza makali ya maisha. Siku moja nikiwa katika mawindo yangu nilichukuliwa na wazungu. Siku zote kazi yetu tulipenda tukutane na wazungu ambao dau lao lilikuwa kubwa tofauti na waswahili hawaschelewi kukukopa.
lakini siku hiyo haikuwa kama nilivyo fikiria, waliniuliza kwa wote ni shilingi ngapi. Walikuwa wanne, niliwajibu kwa wote watanipa dola mia nne. Walikubali na kunipa zote taslimu ambazo nilimuachia shoga yangu kwa kuhofia kuzurumiwa.
niliingia kwenye gari na kuondoka nao kuelekea nisipo pajua, siku zote kazi zetu tulimwachia mungu kulinda maisha yetu. Nilipofika kwao kumbe haikuwa hivyo walikuwa wamepanga kunifanyisha mapenzi na mbwa wao wawili kwa nguvu.
nilipokataa walinilazimisha kwa kunitishia na bastora, hata hivyo sikuwa tayari walinipiga na kunifunga kamba kisha waliwachukua mbwa wao na kuniingilia kimwili huku nikisikia maumivu makali. Siku hiyo nilijuta kufanya ukahaba kwa kuingiliwa kinyume na maumbile na wanyama wale.
mpaka wananiachia nilikuwa hoi sijiwezi, walinichukua na kwenda kunitupa kwenye mtaro. Niliokotwa na watu nikiwa sina kktu mwilini, walinichukua na kunipeleka hospitali.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
ITAENDELEA
0 comments:
Post a Comment