Search This Blog

Sunday 20 November 2022

HOW I MET MY WIFE (2) - 4

 

    Simulizi : How I Met My Wife (2)

    Sehemu Ya Nne (4)





    Nadhani sasa tunaweza kuendelea...



    Naamini kutokana na urefu wa story na kwa sababu mimi sio msimuliaji mzuri, itakua nimesahau kuwaambia vitu vingi sana, lakini cha muhimu kwa sasa ni kuwa nilikaa kwenye hostel za chuo miezi mitatu tu, nikapanga nje, so wakati sekeseke la mimba ya Nai linaanza mimi sikuwa tena katika hostel za chuo...
    http://pseudepigraphas.blogspot.com/

    Haya turudi sasa kwa Nai alipokuja geto.

    Hii siku nahisi ni moja kati ya siku ngumu kuwahi kukutana nazo, Nai aliniamini kabisa na akahisi kupitia penzi letu lililokuwa moto kipindi hicho, tungeishi tu pamoja...Lakini kwangu mimi hofu ilikuwa kubwa sana, hili nadhani lilinizidi uwezo. Kukaa na Nai hapa ndani tena akiwa ametoroka kwao? Daaah...niliona kabisa siwezi. Vipi kama wataamua kumtafta binti yao halafu mwishoni kabisa wakamkuta geto kwangu? Ingekuaje?. Nai alichukua simu yangu na kuizima, kitu ambacho sikukubaliana nacho kabisa. Nilihisi hiyo ndo ishara kabisa ya kuwajulisha kuwa mimi niko na Nai... Kila nilivyojaribu kumwambia Nai kuwa aiwashe simu yangu, bora ya kwake ndo ikaendelea kubaki off aliniambia kuwa simpendi..kwani wakijua kuwa yeye yuko hapa ndo nini? Nikamwambia sasa lengo lako la kutoroka litakua na maana gani kama utabambwa siku ya pili au leoleo?? Mabishano yalikuwa marefu mpaka tulipozama mapenzini, tukayasahau yootee...nilipata nguvu ya kugegeda as if hatuko katika hatari..tulipomaliza, akili yangu ikarudi upya sasa, nikaichukua simu kinguvu na kuiwasha...sekunde kadhaa tu ikaingia msg iliyoandikwa kwa herufi kubwa.. "NAI NI MTOTO WA WATU SIO MKEO, RUDISHA MTOTO WA WATU KWAO USIJITAFUTIE MATATIZO". Msg kutoka kwa Mama Nai, nikamuonesha Nai hakuonekana kushtuka akanambia tu mjibu mwambie siko na wewe.. Mimi nikaamua kumpigia simu Mama Nai.." Haloo.. Mama nimeona msg yako lakini sijaielewa"... "Wewe usinifanye mimi mjinga, mrudishe Nai haraka" nikaamua kukaza mpaka maza akaamini kabisa kuwa mimi sikuwa na Nai pale geto..Mama Nai akaanza kuniomba ushirikiano wangu kama ninafahamiana na rafiki zake niwasiliane nao tuhakikishe kuwa Nai anarudi nyumbani kabla ya baba yake.. Ni siku hii ndo nilijua ukaribu uliokuwepo kati ya Nai na babaake, kumbe faza alikuwa akirudi nyumbani kitu cha kwanza anamuulizia Nai,yaani hiyo ni kabla hata hajaingia ndani..baada ya simu ya mama Nai ikaingia ya sista Hafsa kutokea Mbeya, naye alinihoji kwa nafasi yake akikata nimweleze ukweli kama Nai niko nae or not, akiniahidi kunilinda..mimi nikamkazia kuwa hatukuwa pamoja na wala sijui Nai alipo, wala hajawasiliana na mimi, mara ya mwisho ikiwa ni jana jioni..akanihoji vimaswali ambavyo vingempa mwangaza labda nimefacilitate Nai kutoroka kwa namna moja ama nyingine, lakini hakuambulia kitu..alipokata yeye nikapata muda wa kujadili na Nai juu ya hatma ya yeye kuendelea kubaki pale, italipa kweli!? Itakua na tija kiasi gani? Nai alikaza kuwa plan zote anazijua yeye na ni lazima ashinde hii vita. Baadae kidgo na kwa mara ya kwanza akapiga simu sista yule wa chuo, akijitambulisha kwa jina na Zai, yeye alikuwa mkali kidogo kuliko wenzie waliotangulia, yeye straight alikuja nahttp://pseudepigraphas.blogspot.com/ command kuwa nimrudishe Nai kwao, ni kama alikuwa na uhakika hivi kuwa Nai yupo pale.. "Mimi mwenyewe nishayaharibu hapa nilipo lakini sikufikia hatua hiyo, kutoroka nyumbani hiyo ni hatua kubwa sana, msisitize Nai asifanye hivyo, arudi nyumbani, kama baba atakuja kulijua hilo atakufa, baba hawezi kuivumilia hiyo hali ya Nai kulala nje ya nyumbani, nakueleza kuwa kama hujui uzito wa hilo jambo mnalofanya na Nai basi ni jambo la hatari sana, haliwezi kuishia hivihivi...". Simu zote zilizopigwa niliweka loudspeaker Nai asikilize, lakini hakuonyeshwa kustuka, hii ya sasa ndo alicheka sana baada ya kukatwa. Mimi nilifikiria hatma yangu na lengo la mimi kuwa pale Moro ni masomo, kama itafika stage nitafukuzwa chuo kisa kumtorosha mtoto wa mtu kwa sababu dhaifu kabisa ya mapenzi nitakua mzembe wa nafsi yangu mwenywe, hapa sasa nikaanza kumbadilikia Nai. Nikaanza kumshawishi awashe simu na awasiliane na ndugu zake, atunge uongo wowote aujuao ili aruhusiwe kurudi nyumbani. Simu ziliendelea kumiminika, wale watu watatu walio sehemu tofauti wakawa kama wanapishana hivi katika simu yangu, akitoka kupiga Hafsa anapiga Zai mara mama Nai, nami niliendelea kuwapa ushirikiano kadri walivyonipigia nikiendelea kumsihi Nai awashe simu awasiliane nao arudi home, ila lilikuwa ni zoezi gumu kwakweli.. Muda flani akapiga simu Mama Nai akiwa analia "Hivi mwanangu, mimi leo unafikiri nitalalaje? Baba yake Nai akirudi hapa itakua kasheshe, naomba unisaidie mwanangu, fanya juu chini Nai apatikane arudi nyumbani..." Hii ilikuwa yapata saa 12 jioni sasa. Simu ya mama yake akiwa analia Nai aliisikia vzr tu, nikamwambia sasa tunaenda kupata laana...hii ni laana...nikamwambia acha mimi niende nikakutane na Mama Nai nimueleze ukweli, siwezi kukubali kuona mama yako analia namna hii kwa sababu ya ujinga wako, siwezi!! Nilimchimba biti Nai huku nikivaa nguo tayari kwa kutoka, nilikuwa sina nia ya dhati ya kwenda huko, lakini niliamini atastuka kwa hili.. Matokeo yake Nai akanigeuzia kibao..."wewe ni mwanaume muoga sana, hujiamini, sikutegemea kama utakuwa hivi, yaani hujiamini kabisa sijui ukoje, mimi nitarudi nyumbani lakini akilini mwangu najua kuwa nina mwanaume muoga asiyejiamini". Niwe mkweli, haya maneno yalipenya sana na kuniumiza, lakini tatizo la Nai aliangalia upande mmoja tu-wa mapenzi, mimi niliangalia pande zote, mapenzi na masomo..nikakubali kubeba lawama kuliko kuja kutia aibu familia, niliamini ni moja kati ya maamuzi magumu kwangu ambayo yatanifanya nisome kwa amani maana ndo kilichonileta Moro.. Nai akawasha simu yake, kigiza kikiwa kinaingia sasa, akampigia sista wake wa Mbeya-Hafsa akamueleza..."nilikwenda kushinda kwa rafiki yangu mitaa ya forest, bahati mbaya umeme haukuwepo na simu ya rafiki yangu pia ilizima kwahy akashindwa kutoa taarifa, kwa sasa baada tu ya kuwasha simu Nzi Chuma amenitafta na kunambia kuwa amepata usumbufu wa hali ya juu kwa sababu yangu, mnanitafuta sana..mimi niko poa ni simu tu ilizima". Dada yake alipomuuliza why hakuaga, alijibu hilo ni kosa na anaomba dada amuombee msamaha kwa mama ili akifika nyumbani asiadhibiwe...sista akaelewa na kumpigia bi mkubwa na kumwambia kuwa Nai asiguswe akifika hapo...dakika moja baadae sista Hafsa akanpigia na kuniambia "Nai kumbe alikuwa kwa rafiki yake Forest huko, amenipigia sasa hivi na nimemwambia arudi nyumbani, pole sana kwa usumbufu".. Nikajua sista amepangwa akapangika.. Mama Nai na sista Zai wao wala hawakunipigia.. Mpaka Nai alipofika home na kunijuza kuwa bi mkubwa amempokea bila kusema neno lolote, nikamtwangia bi mkubwa.. " Vipi mama mmefikia wapi? Mimi niko njiani nakuja huko tupange tunafanyaje".. Bi mkubwa akanambia "pumzika tu amesharudi" na kukata simu.. Huyu bi maza ni mtu kauzu kwelikweli, sijui kama alinielewa au alijua namchezea chezo tu.. At least Nai aliishi japo siku mbili tatu bila usumbufu wa kutakiwa kutoa mimba. Nikapata kiwiki kimoja flani cha likizo pale chuo, nikasepa TA. Huku nyuma nikapata taarifa mpya kuwa kwa sasa sista Hafsa ameungana na mama na sista Zai wote wanataka lazma mimba itolewe..hapa ndipo nilipomshirikisha hili jambo mtu ninayemheshimu kuliko watu wote ndani ya familia, aunt yangu flani hivi mwenye jina la mtoto wangu wa kwanza... Alinisikiliza kwa makini na kuact neutral.. "Sasa hapo kwakuwa familia nzima wamekubaliana kuwa wamtoe mimba, na kwa stage iliyofikia manake hawatakulazimisha wewe ndo ukamtoe wataenda wenyewe, wewe kinachotakiwa kutoka kwako ni kumshawishi tu Nai akubali hilo jambo, mimi naona kama ukubaliane nao, kuna siri nyingine za familia huwezi kuambiwa mwanangu, hao watu wanaweza kukuona unawawekea usiku na wakaamua kukushughulikia kwa njia wanazozijua wao.. Usiendelee kushindana nao..". Maelezi ya aunt ni kama vile yaliniingia hivi.. Ila nikamueleza jinsi Nai atakavyoniona msaliti.. Akaniambia mpigie simu Nai nikusaidie upande huo..nikampigia simu Nai wakasalimiana na kutambuana, kisha aunt akaanza kumpanga.. " Nzi Chuma amenieleza kuhusu hali yako ya mimba na amenieleza pia kuhusu mgogoro wenu, ila naomba nikwambie kuhusu mila na desturi za ukoo wetu, sisi hatuoi mke aliyezaa nje ya ndoa wala mke mwenye mimba, huu ni utaratibu wetu, kwetu sisi ni laana kufanya hivyo. Kwahyo nakuomba ukubaliane na wazazi wako muitoe hiyo mimba, kisha ukishakaa sawa mimi nakuahidi tutatuma watu kukuposa hapo..na nikikata hapa nitakutafuta kwa namba yangu ili tuendelee kuwasiliana mwanangu". Walizungumza kwa muda mrefu hadi Nai akakaa sawa. Lakini baada ya kukata simu akanitumia msg.. "Asante kwa kunisaliti, lakini naendelea kusisitiza kuwa wewe huna msimamo, kesho mimi nitaenda kuitoa mimba lakini Nzi Chuma wewe huna msimamo". Hii sms sikumuonesha kabisa aunt, nilikausha.. Kesho yake Nai aliongozana na mamaake wakaenda kuitoa mimba hospitali flani pale Moro, tumshukuru Mungu alitoka salama na ilimchukua wiki mbili tu kukaa sawa akawa kama awali. Baada tu ya kupona, Nai akaomba tuonane tena..akaja geto nakumbuka that day akiwa na kuku wa kienyeji aliyechinjwa na kutengenezwa na kuwekwa kwenye friji.. Alikuwa anawabeba mara kwa mara akija geto nilikuja kujua baadae sana kama walikuwa wakiwafuga kuku mle ndani kwao..akapika wali na kuku, tukagonga menu kisha akaniambia sasa kuwa amekuja na condom, hataki masihara kabisaa...akaitoa condom na kunivalisha kabisaaa kabla ya kuanza hata kumkiss..hii ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kutumia condom, yaani sikuelewa kabisaa.. Nilihisi kama nazingua.. Nilisubiri Nai akiwa amenogewa vilivyo nikachomoa mashine na kuivua condom na kuitupa chini kisha kurudisha mashine ndani, hiki kitendo kilichukua sio zaidi ya sekunde 3 kwahiyo ilikuwa si rahisi kwa Nai aliyenogewa kustukia, hatimayee nikauza mechi tena... Nai wala hakujua kama nimemwaga ndani, ni baadae usiku huko wakati yuko nyumbani kwao ndo akanambia kuwa amesikitika sana kuona nimemmwagia ndani wakati alinipa condom, na hata ilipofika round ya pili na ya tatu alinivalisha mwenyewe..ila nilimwambia Nai ukweli kuwa mimi hayo macondom siyaweziiii, akanambia "ok sawa ila nikipata mimba nyingine this time siitoi hata mfanyeje..". Tuliendelea na utaratibu wetu wa kumla yaani almost ni kila siku, penzi la Nai kwangu lilikuwa sio la mchezo...Mungu sio Mzee Mkumba, Nai akapata mimba nyingine sasaa.



    Tumpe break Nai kidogo, tusije tukasahau story ni " how I met my wife".. Nani anafikiria kuwa Nai ndo mke wangu kwa sasa? Kama unafikiria hivyo, acha niendelee upande wa pili kabla sijarudi kwa Nai..http://pseudepigraphas.blogspot.com/



    Jioni moja nikiwa pale chuo, alipita mtoto flani mwenye rangi za Kondoa, mrefu kiasi, alikua na sura ya kuvutia, na mwendo wake ulionesha ni mtu wa kazi.. Hakuwa na chura wa maana, lakini nilikuwa interested kumjua. Nikawauliza watu wawili watatu nikafahamu course anayosoma pamoja na room anayolala. Nikaanza kuwinda...siku moja nikakutana nae akiwa anaenda kuchukua msosi Canteen.. "Hellow Zahara, mzima?".. "who told you naitwa Zahara, mimi sio Zahara..." "basi aliyeniambia details zako hakuwa anakujua vizuri".. " Ni nani huyo?" "hata mimi simjui"... Blablaa.. Mpaka nikafanikiwa kumjua sasa kumbe anaitwa Zulfa na nikapata namba yake ya simu, nikaanza kuwasiliana nae..wakati naanza nae mawasiliano ndipo nikagundua Zulfa alikuwa ameniacha miaka minne, ingawa sura yake haikuonesha kama ana umri mkubwa kiasi hicho. Siku moja nikamuita sehemu flani iliyotulia pale chuo na kutaka kumfahamu kiundani, nikaanza kwa kujitambulisha mimi na kujielezea kiufupi, baadae akaanza kunieleza kuhusu yeye...story ya maisha yake ilinistua kidogo.. Pamoja na umri huo, hakuwahi kuwa na mahusiano na mwanaume yeyote maishani mwake, na wala hakuwa na mpango huo, muda wote huo alikuwa akihangaikia masomo yake tu ikiwemo ku-reseat mitihani ya form 4 mara 2 na kurudia kidato cha pili mara moja. (Wakati huo namfahamu alikuwa na miaka 30). Nilitaka kufahamu nini kilikuwa nyuma ya machungu hayo mpaka akawa hataki mahusiano na mtu yeyote? Akanieleza.. " Mama yangu alikuwa muaminifu sana kwa baba yangu, kiasi ambacho baba hakutakiwa kumtilia shaka mama hata kidogo, walizaa watoto wawili na wakiishi kwa amani sana, baadae baba alipata mwanamke mwengine na kuanza nae mahusiano, akaanza kuiona familia kama mzigo na kuanza kumdharau mama, mama alipitia kipindi kigumu miaka mingi sana mpaka baba alipoamua kumuoa huyo mke mwengine, ndo katika kipindi hiki ambapo mama yangu nae akapata ujauzito wangu, baba akakataa kabisa kuitambua hii mimba akidai kuwa mama atakuwa amechepuka kwa sababu yeye alikuwa hajafanya nae mapenzi muda mrefu sana, juhudi za kuwasuluhisha ziligonga mwamba na kupelekea mama kuachika. So kuanzia mimba yangu mpaka nazaliwa, mama alikuwa anapambana mwenyewe kuhakikisha naishi..na maisha yenyewe ya kijijini huko urangini ilikuwa shida sana.. (Alipofika hapa akaanza kulia). Ikabidi nianze kubembeleza sasa, ila baadae alinyamaza na kuendelea.. Kiufupi aliishia kwa tabu sana, alinyanyaswa sanaa na alishanusurika na matukio kadhaa ya kutisha ikiwemo kubakwa wakati akiishi kwa ndugu. Tangu akiwa mdogo, mama yake alimsisitiza kuwa hupaswi kumuamini mwanaume, hao ni washenzi kupindukia, hawana utu, tengeneza future yako hadi ieleweke ila wanaume wote wako sawa, hata ukiwa na future yako ni lazima baadae watakusumbua tu..!! Kwahyo yeye akatoka na msimamo wake kuwa hahitaji kabisa mwanaume maishani mwake... Kufikia hapa nikawa nishajua sasa naongea na mtu wa aina gani na natakiwa kwenda nae vipi..!! To make it short, niliweza kumshawishi Zulfa tuwe katika mahusiano, na kwakweli kutokana na ugeni wake na umri aliokuwa nao, alizama katika mahusiano mzima mzima. Nashukru Mungu niliweza kumbadilishia mtazamo wake juu ya wanaume na akaonyesha kwa vitendo hasa. Maisha yangu ya chuo yalianza kunyooka kisawa sawa kutokana na Care ya Zulfa, aliniamini kupita maelezo (nakiri wazi kuwa sijawahi kuaminiwa kwa kiwango hiki). Boom likitoka nakabidhiwa kadi na kuambiwa tu "tumia vizuri".. Mimi ndo nikawa mpangaji wa matumizi ya kile kiasi cha boom.. Lakini Zulfa alikuwa mtu wa maono hasa, alikuwa na akili iliyopevuka tayari.. Akanishauri tulime alizeti huko kwao, kwahiyo tukawa tunachukua kiasi kwa ajili ya matumizi yetu, kiasi kingine tukaanza kulima..naam...na pale chuo tukaanzisha vibiashara vidogo vidogo ambavyo yeye ndo alikuwa main supplier..vipafyum vya kike na vihand bag.. Maisha yakawa yanaenda vizuri kabisa, hatukaukiwi..japo nilizitumia pesa nyingi tu kukamuana na Nai..!!.





    Ngoja niandike, naamini nitafika sehemu flani hivi...

    Kuna baadhi ya vitu nikikumbuka kwakweli nakosa amani sana, nilifanya vitu vingi sana kwa muda mfupi mno yani, sometimes natamani time irudi nyuma nirekebishe makosa but its too late...

    Naomba usiku huu nimalizane na Zulfa mazima kabla ya kurudi kwa Nai,..



    Nadhani umri wake Zulfa ulichangia sana kujitambua, licha ya kufanikiwa kumfanya afall kwenye mapenzi, lakini sikuweza kumshawishi vizuri kuweza kumla. Alikua makini sana...nakumbuka wakati tumeimaliza semester ya pili, soon baada ya UE, nikapanga kuondoka na Zulfa kwenda nae Dar..wakati huu nilikuwa nawasiliana hadi na mazake Zulfa na nilishaongea mipango yangu ya dhati ya kumuoa.



    Tukaondoka Moro na kufikia guest house moja maeneo ya kibo pale Dar. Nilipanga usiku huu kumrarua Zulfa kwa namna yoyote iwayo, halafu asubuhi niende zangu Tanga na yeye aende kwa sis wake mbagala...niliutumia huu usiku kubembeleza nyapu kwa njia zangu zote, lakini sikufanikiwa!! Mwisho nikaamua kutumia nguvu, nikachana chupi na kutaka kubaka lakini Zulfa alining'ata, nikaona isiwe tabu, nikajidai kukasirika lakini hakunibembeleza, pakakucha na kila mtu akashika hamsini zake...licha ya kuwa baadae nilikuja kujiona mkosaji na kuendelea kuwasiliana nae hadi hapo tuliporudi likizo kwa ajili ya second year

    .http://pseudepigraphas.blogspot.com/

    Zulfa akawa anakuja geto sometimes anapika (siku ambazo Nai haji) na akijisikia kulala anaweza kulala lakini niwe tu mkweli sikuweza kumkaza. Aliniambia ni simple sana kumkaza kama nitamuoa, nikaanza michakato ili niweze japo kumposa huko kwao angalau iwe official. Wakati nipo katika kipindi hiki, ndipo rafiki yangu mmoja akanielekeza namna rahisi ya kumla Zulfa, rafiki yangu Ustaadhi kwelikweli huyu (heshima kwako mkuu wa faida, ukifanikiwa kusoma hii jua kuwa nakukubali vibaya sana).



    Jamaa alinipa aya za kwenye Quran ambazo nilitakiwa kuzisomea mafuta flan ya Zaituni na kujipaka usoni kila Ijumaa kwa muda wa wiki saba (yaani Ijumaa saba mfululizo), akanambia Ijumaa ya saba nimuite Zulfa geto halafu nione kama atachomoa..hahhahaaaa kuna watu wanaijua hii dunia jamani, daaah...!! Nikafanya nilivyoelekezwa, Ijumaa ya saba ikafika, nikamuita Zulfa geto akaja, nikaanza michakato, lakini tofauti na siku za nyuma, Zulfa siku ile alikuwa anafanya kila ninachomuelekeza..nikafanikiwa hadi kumvua chupi kilaini kabisa, nikapiga goti nikaanza kulengesha, akaja na ombi "tafadhali Nzi Chuma, naomba utumie condom, pleasee..mimi niko tayari lakini tumia condom.." Lahaulaaa condom nilikuwa sina, lakini sikutaka kumboa, kwakuwa kashakubali mwenywe leo huyu, acha niruke duka la dawa nikachukue Condom, nikamuomba anisubiri akasema sawa..



    Nikatoka na kukimbia duka la dawa, nikapata mzigo lakini wakati nimefika geto nikamkuta ameshavaa hadi baibui ananisubiri kama kuniaga hivi.." Nahisi siko sawa, acha nirudi chuo, tutaongea vizuri baadae", Zulfa akasepa, na huu ndo mwanzo na mwisho wa yeye kuja geto..niliendelea kuwa nae tukiendelea kuwa na mahusiano yetu kama kawaida lakini kadri siku zilivyokuwa zinaenda ni kama nilipoteza hamu hivi ya kuwa nae, niliona kama anazingua hivii..mama yake kila siku alikuwa ananisisitiza niende nikatambuane na baba zake ili tupewe baraka za kumuoa, lakini siku zinavyokwenda nikaona kama siwezi tena kwenda kwao, sasa zikaanza sababu sababu za kijinga jinga mpaka baadae tukawa kama kila mmoja ana hamsini zake hivi..baadae alikuja kuniambia kuwa amepata mume anataka kumuoa, sikustuka sana nikamuombea dua na mwaka uleule wa pili aliolewa..(heshima kwako bro uliyeoa huyu mtu, umepata bonge la mke..).



    Nashindwa kumpata hewani tangu watu wasajili kwa alama za vidole, ila yote kheri.ni mke wa mtu na mpaka mara ya mwisho kuwasiliana nae alikuwa na mtoto mmoja bado..

    Habari ya Zulfa ikaishia hapo, hakuweza kuwa mke wangu ingawa ni katika watu ninaowaheshimu sana, amenifunza vingi katika maisha haya...sina ugomvi nae na siku zote namuombea dua awe na maisha ya kheri.



    Unamkumbuka Tatu? Ngoja naye tummalizie hapa..



    Tangu niwe chuo ni kama vile mahusiano na Tatu yalianza kufa kifo cha mende hiviii... Lakini alikuwa hachoki kunitafuta, na bado alikuwa akiwasiliana na familia yangu (kumbuka mama alikuwa anampenda sana Tatu). Siku moja akanipigia simu na kuniuliza "Hivi Nzi Chuma, una malengo yoyote na mimi?" I asked why? She said "Kuna watu wameonesha nia ya kutaka kunioa, thats why nimekuuliza ili nijue kama nakataa au nakubali"... Nilichomuuliza ni " wanataka kukuoa kweli au wanahitaji nyapu?" Akanambia ni kweli wanataka kuoa..nikamwambia go ahead, kwangu mimi nahisi kama utasubiri sana, bora kuolewa..



    Tatu hakutumia nguvu nyingi, nadhani alishausoma upepo, akafanya maamuzi magumu. Ingawa kuna very interesting story juu yake.. Ngoja niwape kidoogooo... Maisha yake pale ATC yalikuwa ya kidini sana, alijua kuwateka hasa, na watu wengi waliamini Tatu ni very innocent, hakuwa na makandokando..maisha yake yalijawa na uchaji Mungu wa hali ya juu sana mpaka wakampa vyeo vya uongozi katika jumuiya ya waislam chuoni.

    http://pseudepigraphas.blogspot.com/

    Tabia zake ndizo zilizomvutia matron wao ambaye alimpendekezea kwa jamaa mmoja hivi lecturer wa chuo kikubwa tu hapa Tz, na kumshawishi amuoe yeye..(matron alikuwa na mahusiano na huyu lecturer). Imani aliyokuwa nayo matron kwa Tatu ni kubwa sana hadi akaogopa, ikabidi atafute namna ya kuendana na upepo, ikambidi atafute bikra bandia ili angalau siku ya kwanza huyu jamaa ajue amepatia hasaa..na kweli ikawa hivyo, jamaa alijikuta anafall kwa Tatu kiasi ambacho hata Tatu mwenywe hakutegemea...mimi alikuja kunipigia na kunieleza jinsi anavyopata raha kutoka kwa mumewe baada ya ile bikra feki, anasema isingekua hivyo nadhani story ingekuwa ndefu sana.



    Nikampongeza kwa ndoa njema na kumuomba aendelee kuenjoy maisha mapya ya ndoa, nami right time ikifika ntaoa..bado nawasiliana na Tatu as a friend ila hataki hata kuniona, anadai kuwa kama akiniona ana uhakika ataisaliti ndoa yake na jamaa hana hatia (angalau tumpongeze kwa hili).



    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog