Search This Blog

Sunday, 20 November 2022

HOW I MET MY WIFE - 1

 

    IMEANDIKWA NA : KIGAKOYO



    *********************************************************************************



    Simulizi : How I Met My Wife

    Sehemu Ya Kwanza (1)





    This is a story of how i met my wife and not merely how i hit the mom and dota. Natanguliza radhi maana udambwi unaweza chelewa kiasi ila you will not be disappointed ukianza.



    Baada ya chuo watu wanakuaga na zile resolutions za maisha, how they want to play their game in life. Kwangu mimi nilianza pia kuwaza kujitegemea zaidi, maana i felt like maisha yangu yote yameamuliwa na mama yangu. She chose shule ya kusoma, nini nisome, chuo gani, course gani, nikae wapi, ninunue nini etc, so hata zile papuchi nlizokua nakula chuo niliona ilikua ni kwa sababu ya support ya my mom. Maana she made me live like a king. I wanted change.



    So i returned home and started working in a family company, ila ilikua ni kampuni ambayo utaalamu wangu haukutumika sana and kibaya zaidi my twin sister ndo alikua boss wangu. Nikihitaji hela, inabidi nimpigie magoti sis. Nikamwambia mom, i can't do this, nataka niajiriwe mahala pengine.

    http://pseudepigraphas.blogspot.com/

    Baada ya siku tatu mom ananiambia nenda Dodoma ofisi fulani kuna kazi uliyosomea. Nikawa very excited. Kufika Dom bana, naingia that office nikaelekezwa ofisi ya raslimali watu. Kufika reception ya ofisi nikamuona dada mmoja wa makamo, kavaa sketi wanaziita penseli, ingawa ni ndefu ila inachora umbile lake lilivyo, juu amevaa blouse ya light blue. Nikamsalimia shikamoo, akajibu then nikamuomba kuonana na boss wake ananiambia kaa hapo usubiri, mnyamwezi nikakaa yule dada kaingia ofisi ya ndani. Baada ya nusu saa akaingia binti mwingine mfupi amebeba tray lenye thermos, mayai na slices za mkate. Kaniuliza vipi? Namsubiri boss. Mbona yupo ndani? Ndo nikagundua nilibugi stepu.



    Nikazama ndani, samahani nyingi na nini. Shida yako? Nikaulizwa, nikajibu. Vyeti na barua ya maombi ya kazi? Dah hata sikua navyo. Boss kaanza kuwaka pale, nyie mnaotegemea vimemo kwangu hampiti, kalete vyeti uviache kwa secretary, kesho interview, na usidhani uko alone uliyeletwa kwa vimemo. Dah mtihani.



    Nikasema ngoja nirudi zangu tu home hapa hakuna kazi. Nikiwa naenda stendi nikakumbuka resolutions zangu za kufight alone. Nikasema hata kama sio pale ila ntatafuta chochote chakufanya hapa Dom. Cha kwanza nikaamua nikaprint vyeti vyangu from my laptop (hiyo kumbuka ni mwaka 2008), then nikavipeleka ofisini. Then what next, nikachukua room moja ya hotel nzuri pale Dom, nia ni kuwa nitafute manzi mzuri ambaye ntapitisha nae siku. Kuna msimamo mmoja ambao mpaka leo ninao, sichukuagi dem tu ilimradi dem, lazima akidhi vigezo vya ubora niliojiwekea, ambao sio wa kitoto ndugu msomaji. So siku hiyo nimezunguka jioni viwanja kadhaa hasa maeneo ya chuo cha mipango ila sikufanikiwa.



    Kesho yake kwenye interview kidogo nijikojolee, maana yule HR ambaye baadae nolimfaham jina anaitwa Boss Rona alikua kama amenikamia mimi, ananiangalia kwa hasira ananiuliza maswali ya ajabu ajabu basi tu nikaona huyu hanipendi. Majibu yametoka tumepita mimi na dada mmoja anaitwa Lyamuya (jina la ukoo ndo mara nyingi tulikua tunalitumia) what a surprise!!!!!!. Badae Boss Rona akatuita kutupa orientation pale, tukatambulishwa kwa regional manager na wafanyakazi wengine, then akaniita pembeni akaniambia"inawezekana uliletwa Dodoma kwa kimemo, ila kwenye interview umepita kwa uwezo wako, i expect you to help the department utakayokuwepo" nikashukuru Mungu.



    Hii ofisi ilikua ni ya Uma, ni shirika la serikali so mishahara inachelewa kweli kuanza kuflow kwa waajiriwa wapya. Kwakuwa niliazimia kujitegemea hela aliyonipa Mom nilitafuta gheto nikalipa, na hata mwezi haukuisha ikakata. Mm ni mtu ninayejipenda, always ntavaa vizuri na ntahakikisha nanukia vizuri, so nikajua nikiomba wafanyakazi wenzangu mkopo watajua nawatania kwa jinsi nilivyo. Boss Rona, ndo sikutaka kabisa kumfuata maana najua hanipendi. Nikamfuata boss mkuu, kaniambia nenda kwa HR duh.



    Nikagonga kwa heshima pale ofisi kwake, miguu nimeibana, mikono nimeishika pamoja kwa mbele kama nanawa. Yaani naingia ofisini ni kuanzia magotini kwenda chini tu ndo kunatembea. Bt one thing i know for sure nlikua nimependeza, kuna hivi vi Sweater vilikua fashion kipindi kile vina vimraba vyeupe na vyeusi kwa mbele, nime roll up the sleeves, a Rolex watch, silver necklace, kodrai nyeusi na raba nyeupe, na Mungu kanipa Sura na kimo. Sema mbele ta HR nlikua nakua kama mtoto. Baada ya salam, nikamweleza shida yangu, nimeishiwa boss, kaniangaliaaaaa, then nikaanza kuona anaingiwa na huruma machoni, nikahisi huyu atakua na mtoto so anapata ile huruma ya mzazi. Akaniuliza, is everything ok at home? Nikamwambia yeah, bt wanajua nina kazi now so nataka wapumzike. Kaniangalia tena kama dkk nzima, then nikasikia anamuita secretary, muite mhasibu. Basi akanisaidia kupata advance salary na kitu kinaitwa subsistence allowance.



    After that nikajibana matumizi sana, nakumbuka ratiba yangu ilikua nikitoka job, uwanjani kucheza basketball, nikirudi napika, naoga, najisomea mambo mbalimbali then nalala. Weekend nacheza na watoto wa majirani pale, mchana naenda kushinda garage flani hivi ya mshikaji tunacheza nae kikapu jioni tizi au kwenye kijiwe cha saluni ya mshikaji then kupika kulala. The lifestyle made me popular, bt no dem. Pale nilipopanga kuna manzi ambaye hajafika vigezo vyangu alionesha wazi ananitaka bt sikutaka mazoea. Ila kuna mshikaji akanitonya demu wa hivyo hachelewi kukutangazia ww shoga au hudindi, dah. So tunafanyaje? Dawa ni mbili, kumla yeye ili kuzuia rumor kabla haijaanza, au tafuta manzi umle na majirani washuhudie, duh.



    Option ya kwanza was out of discussion. Ya pili was more appealing, sema itanibidi nishushe kidogo viwango. Huyu mshikaji aliyekua ananipa hizi option kwao wanaduka na ndo nlipokua naenda kupiga nae stori, sasa mdodo wa kike ni kisu balaa, sema mfupi halafu ndo kamemaliza form four so bado kadenti ila nikasema mbinu ya bro itabidi itumike kwa hakahaka.



    Sikuchelewa hata, next day jioni nikaibuka kwao na msela, nikamkuta kavaa kisinglendi chake, bahati nzuri mdogo wake nae alikuepo dukani, basi jamaa katoka tukawa tumekaa kwa nje, baada ya muda nikasubiri muda hakuna mteja nikamwambia mshkaji ngoja ninunue soda tunywe, nikasimama, jamaa katupa mgongo, nikajidai kuagiza pale huku nimechukua peni nikaandika juu ya gazeti lililokua pale kwenye counter ya duka, nlijua nina a window of only few seconds so sikuandika maneno marefu, "kesho saa tisa uje uchukue zawadi yako kwangu" nikahakikisha ameona, nikachukua soda nikakaa.



    Kesho ilikua ni public holiday nakumbuka, so nikakaa kusubiri. Tena sikukaa ndani, nje ili hata majirani wakiwa ndani mwao akifika nifanye juu chini walau mmoja wa majirani ashuhudie mgodi ukizama. Bahati ilikua upande wangu, muda manzi anakuja yule mdada anayenitakaga alikua yupo nje, so wala sikuchelewa. Ingia ndani, nikafunga mlango, kugeuka namuona bado kasimama, nukamfata kwa nyuma kumhug, kakajichomoa eti zawadi yangu ilo wapi? Yaani hawa watoto wa shule ndo maana sipendagi, visumbufu balaa. Nikakaambia nilichelewa kununua ntakununulia tukitoka, eti kakataka kuondoka, kama zawadi hamna basi ntakuja ikiwa tayari.



    Nikaona fedheha inaninyemelea maana yule dada akiona manzi katoka baada ya dkk tano si ndo mtaa mzima utaambiwa mm sio rizki. Nikakaambia nlikua nakutania, ile perfume nilikununulia, bahati nzuri haikua imetumika sana ni kama imejaa,. Kakafurahi, nikaanza tena mautundu. Kana nistopisha, eti kanauliza, nikikutwa na mwanamke wako? Kidogo nikazabe makofi, nikasema hawa watoto wanahitaji nguvu sometimes. Alikua amevaa suruali flani ya jeans. Yaani ndugu wasomaji, ilinichukua almost one hour kumtoa hiyo suruali, ila sikujuta. Ngozi ya yule binti ilikua very soft, yaani unajua ule usoft mbaka unahisi unaeza muumiza ukimpapasa. Ingawa alikua amelala kifudifudi, pichu nyeusi, kitop cheupe ila mkono wangu haukubanduka kwenye nyama laini za tako lake. Waungwana nlikua na ugwadu wa miezi kadhaa, nilivyoona katulia macho kayafumba, mzee nikapenya. Nimeshughurika nako mpaka mida ya saa 12 hivi kakaondoka, perfume hata hakakukumbuka tena.

    http://pseudepigraphas.blogspot.com/

    Kwa kuwa kalikua jirani sikutaka tena. Kalishaserve the purpose. Nikawa naenda kwa msela maramojamoja nikikakuta kananipa shikamoo yangu, naipokea then napiga stori na mchizi.



    Stori nikaanza kuzisikia saluni, eti nasikia unang'oa mdogo wake flani, mi nakanusha. Nikaona hapa mtaani nishachoma nyumba natakiwa kuhama (ushauri kwa mabaharia, usiharibu too close to home). Nikaanza kumuomba Boss Rona anipe makazi kwenye nyumba za shirika. Nilijua kule kila nyumba iko independent so ntakua free. Boss ananikazia tu, ooh, nyumba hakuna ingawa taarifa za kiinteligensia zinasema zipo, oooh subiri kuna walio leta maombi kabla yako, ingawa najua hakukua na mtu anayetaka makazi kule kwa wakati huo. Basi tu nikajua boss anaendeleza roho mbaya yake kwangu.



    Boss Rona alikua ni wale wamama wanaojitunza, umri wake ni 37 ila ni kama ana 27, she was not very beautiful bu she was sexy, and she knew it, maana alijua namna ya kuvaa nguo zinazoonesha assets zake, miguu and hips. Alikua pia anavaa miwani kitu kilichofanya aonekane even more sexier kwangu, bt tuliishia kumsifia tu tukiwa na colleagues hakuna ambaye alishathubutu kumnyemelea. Then one day akaniita ofisini, nimefika sioni cha maana anachoniambia, mwishoni akasema nimekupatia house,............ weweeeeeee weraaaaaaa, nilishangilia nikamfuata bila hata kukusudia nikamhug, ooh thanks boss, God bless you nyingi na nini. Badae kasema, why so desparate kuhama ulipo? Basi sipapendi tu, uswahili mwingi, boss akasuggest tukapatembelee makazi mapya nipaone.



    Baada ya kazi kanichukua in her Suzuki hao mpaka quarters. I liked the position, ipo mwanzoni kabisa, mgeni anafika kwangu hakuna anayemuona. Basi kanipa keys tukazama, ananionesha pale utaweka kitanda, hapa uweke meza, sasa zile movement zake zikanifanya niwe namchora vizuri. Najua alinotice macho ya kifisi yanamtamani ila hakusema kitu. Baada ya muda kanirudisha hadi mtaani, nikamwambia karibu ndani. Hakupinga wala nini, anajidai kuvua viatu nikamkataza, yeye anasema hajazoea kuingia ndani na viatu akawa katoa kimoja nikafanikiwa kumzuia asivue cha pili, sasa ile kuzuiana tukajikuta tunagusana gusana, nikamsogeza akakaa kitandani, then nikachukua kiatu kingine nikaanza kumvalisha.



    Leo alikua kavaa kigauni ambacho kiunoni kinafungwa belt, nilivyokua pale chini namvalisha akawa kanyoosha mguu ili nikiweke vizuri kiatu, sikuishia kuvalisha kiatu mazee, nikaunyanyua zaidi kidogo mguu wa boss Rona nikawa kama naumassage, mikono ilivyofika kwenye goti nikaizungusha nyuma ya goti nikaweka lips juu ya goti. Mikono ikawa inamove kwenda ndani zaidi, ikilisogeza gauni pia na kutoa nafasi kwa ulimi wangu utembea na paja kwa juu. Nikaona mwenyewe kalala kitandani, nikaendelea na zoezi langu mguu wa pili, then nikaikamata pichu nikaivuta magotini,(hua ikifikishwa hapa inashuka yenyewe kama inajua vile, chupi bana), Rona gauni lipo kiunoni, chupi hana, nikama mwili unanialika, nikatoa shati, nikafuata mate. Wow. Mpaka leo hua nikisikia wimbo wa Rihanna "whats my name" hasa ile intro ya drake, "i had you girl with them soft lips" namkumbuka Rona.



    Those lips were sooooo soft and sweet, kidogo nisahau kuna kitumbua kipo wazi huku chini. Yeye ndo alinikumbusha, maana alianza kufungua mkanda na zipu ili amtoe babu. Alivyofanikiwa akaniweka sawa kati kati yake akaishika mashine mwenyewe kataka kuipenyeza, nikajichomoa, nikapiga magoti nikamgeuza. Kuna watu wamekariri goli la kwanza lazima liwe kifo cha mende. Kwa kweli siku hiyo sikutaka scenario yoyote iingilie kati tamanio langu kuu la kuona tako la boss likitingishika wakati napiga machine. Hata Rona mwenyewe alikua kama surprized hivi, nikamtenga vizuri, kumbuka mimi bado jeans yangu sijatoa na Rona pia gauni bado lipo usawa wa kiuno, chupi imekwama kwenye kiatu cha mguu mmojawapo (yes mpaka sasa hajavua viatu), kifua chini (sio mikono au viwiko) kiuno juu, ...... yah yah yah yah yah yah (in the voice of yule mzungu alicheza picha ya gods must be crazy). I enjoyed. Chapa sana vibao vya matako huku speed ikiwa speed constant. Gauni lile likitaka kushuka zaidi kifuani nalipandisha inakua kama kata K, or sometimes naliruhusu liyafunike the inakua kama ni kinguonguo, yah yah, yah, yah. Huyu sasa sikua na haja ya kusubiri majirani wamuone, they heard her.http://pseudepigraphas.blogspot.com/



    That was a start of a relationship that took many years a daughter to break. Hiyo siku isingekua anawatoto home, angelala. Yes, Rona ana watoto watatu, mmoja wa ujanani (alimpata akiwa 18y.o) anaitwa Nora yuko Ifakara girls, wapili ana kama 8 yrs na wa mwisho ana 4 yrs. The husband yuko dar kikazi pia, wanaonanaga kwa mwezi mara moja.



    Over the months, Boss Rona alitokea kunipenda sana, yaani hadi ofisini kwenye vikao akawa akitaka kuwakaripia watu, najikuta nakua upande wa anayekaripiwa basi boss anatulia anaishia kusema next time uwe makini Juma. She tried to remain professional, ila i know she was obsessed with me. She wanted me all the time anywhere, nakumbuka oneday yupo kwenye kikao chao cha management, akanitumia msg, i want you now. Mvua kubwa ilikua inanyesha that day, so nje hakukua na movement za watu, nikapitia kwa secretary wake nikamwambia boss amesema unipe funguo za gari yake, then nikachukua mwamvuli hadi kwenye Suzuki,. Parkimg ilikua nyuma ya majengo ya ofisi zetu. Nlivyofika nikamtumia msg, nipo kwenye gari yako njoo now. Akajibu i cant, we are about to discuss important issues kutoka HQ,. Nikamwambia sijali, i want her now. Nikazima simu.



    Nikaona kwa mbali mtu anakuja, nikateremsha kabisa suruali, akaingia kanikuta siti ya nyuma nishamsimamishia mashine, hakuchelewa, akaipanda. Mm nacheza na mapaja, na makalio, yeye ananiymnyonya lips huku anakatikia rungu. Huko nje maji ya mvua yanatiririka kwenye vioo. She screamed when she came and stopped, but hakuchomoa. Akawa ananiangalia tu, ananiambia thanks babe. For what? Kaniambia kwa kutimiza fantasies zangu. Zipi? Kajibu kutiwa kwenye mvua kama hivi, kutiwa huku nasubiriwa nimetoroka kwenye kikao. Nikacheka. Kuna fantasy nyingine imebaki,. Akacheka pia. Akajichomoa kajifuta fasta anataka kutoka. Nikamsgika mkono, nambie your other fantasy, ... oh, babe, nasubiriwa nimewaambia ninaongea na simu emergency. Nikamuacha bt alivyofungua mlango akatoka, akarudisha kichwa kwene gari akanikiss then akasema, my other fantasy ni kutiwa gerage na fundi magari. Then kasepa. She is crazy, or is she?



    Ratiba yetu ikawa ni kila weekdays, tukirudi home, anapitia kwanza kwangu. Uzuri na yy aliishi kule kule quarters za shirika na nyumba yake nikiwa sebuleni kwangu naiona kwa nyuma. So weekends akiamuaga akiwa kwake ananipigia nakuja sebuleni then anatoka nyuma ya nyumba yake anajifunua nione chupi aliyovaa, au anacheza kwa kukata mauno (and she knew how) so ilikua burudani tosha.



    Jumamosi moja jioni nikanyatia hadi kwake, nakumbuka mumewe alikuepo, nikaenda hadi anapopaki gari yake nikavunya taa ya indicator. Asubuhi nikawa nafanya zangu jogging nikajidai kugonga kwao,. Akatoka dogo, mwambie mama taa ya gari yake imevunjika, ila awe makini na mafundi feki, kama yuko tayari nimuelekeze fundi mwaminifu. Nikasepa. Later ananipigia nipeleke kwa huyo fundi. Nikamuelekeza tu mtaa, uzuri akapafahamu.



    Boss Rona alifika garage ya yule mshikaji wangu tunayepiga nae kikapu. Mm nishampanga mshkaji. Maana jpili hawafungui na ni garage ambayo mbele ina bonge wa geti. Boss anashangaa mm namfungulia geti aingize gari. Nimevaa overroll ya blue ya yule fundi, imechafuka kwa oil chafu, nimejipaka kidogo pia usoni ni kwenye mkifua wangu uliokubali mazoezi. Nikafunga geti, akashuka anauliza, whats this, leo alivaa shati refu la vifungo, sketi ya mpasuo kwa nyuma. Nikaachana nae, nikaenda kwenye gari, nikafungua box la taa, nikachukua taa mpya ambayo nishainunua nikaanza kuifunga. Ananitazama tu. Nilipomaliza nikamwambia, ready to go boss, kuwa makini sana na hizi taa they are expensive. Akauliza, how much pamoja na ufundi? For a sexy woman like you its free.. eti, "jamani fundi, sema sh ngapi", nikamwambia, unless unataka kunilipa kivingine, ila hela yako sichukui. Kivingine kama? Nikafungua yale mavifungo ya overroll, nikamtoa babu. Like an obedient soldier, akapiga goti chini, kashika mashine kaiweka mdomoni. Hapo mkononi bado na spana, namgusa nayo kwenye matiti,. Alicheza na mic hadi nkawatoa wareno. She was the first woman to swallow my sperms. Akasimama kaniegemeza ukutani, kaanza kunipa denda huku kanishika mashavu.



    Nikaona hii mechi ntapoteza uwanja wa nyumbani. Sikumfungua vishikizo ndugu msomaji, nilivichana, then nikamsogeza nkwenyegari yake nikamshikisha bonet. Sketi nayo nikaona inanichelewesha, nikatafuta ule mpasuo nikashika hukunahuku nikairarua mbaka kiunoni, chupi hii apa (mimi na chupi za kike ni mabest kinoma, hazijawahi niletea kauzibe) nikaivuta tu ikawa kama nimeivika kwenye tako la kulia, mzee nikamgusisha madini mwenyewe kasimama. Niliamua hii iwe mechi ya fujo, piga kama naua nyoka. Akaona sasa anaenda kupoteza, akajichomoq then kanisukuma chini, nikawa kama nimekaa, mgongo nimergemea ukuta then kaja kwa juu (kama nilivyosema awali pichu za kike zinanitii, wala haikutoka ilipo), boss kajipimia, hapo overroll nimevaa mguu mmoja tu, sikumbuki hata muda gani nilivua mguu mmoja. She did me good, huku ananiambia maneno yake pale ya kimahaba mwana nikamaliza. Akaniweka kichwa kwenye manyonyo yake, huku chini naona mashine inasimama ikiwa bado ndani, nikamlaza chini sasa kifo cha mende, sikutaka fujo hapa, slowly. But sio juu chini juu chini, hapana, hii movement ilikua chini, mbele, juu, nyuma, chini, kulia, juu, kushoto, juu, mbele....... slowly. Walah, boss Rona machozi yalimtoka. Tulitiana pale over 3hrs. Baadae ndo tunakuja kugundua Rona hana nguo ya kurudi nayo home maana nilichana sketi, nimechana shati. Uzuri alikua na mtandio, huku juu nikampa tshirt yangu safi akavaa. Shida alikua amechafuka oil everywhere, na mbaya zaidi magoti yake yamechubuka yanatoa dam kiasi. Nikasema huyu leo ndoa yakesidhani kama itapona.



    Mazee nimechoka kuandika. Nitaiendeleza walau kidogo kesho jioni. Walau mabaharia ma mabebez msome a story of how i met my wife....



    **********



    Tuliumiza kichwa sana namna gani Boss Rona anarudi kwake bila kuzua varangati. Maana hata ungekua ww ndugu msomaji, mkea anarudi sketi imechanwa, shati limechanwa na kachafuka oil ingekua ngumu kumuelewa. So idea mojawapo ilikua tupite town tununue nguo then apitie kwangu aoge kisha abadilishe. Ila wanawake bana wako very smart hasa inapokuja kwenye suala la survival. Akachukua simu yake akampigia mumewe, “babe gari imeharibika njiani, naomba uje unichukue" kamtajia barabara mojawapo pale mjini, then kazjma simu akaniambia problem solved twen'zetu. Na hata Tshirt yangu kanirudishia hahahah. Amefika kwake jamaa hayupo kaenda kumchukua mkewe. Sasa sijui alivorudi mzee baba aliambiwaje.



    Basi mazoea na Boss yalizidi sana. Siku moja yupo kwangu baada ya mechi, tumejipumzisha kitandani akkaniambia, “Ujue Kiga sijawahi penda in my life. Yaani pamoja na kuwa nimeolewa na nina watoto ila sijabahatika kufall in love, wewe ndo mwanaume wa kwanza kukupenda and I love you so much" nikamwambia how comes hajawahi penda,? Vipi kuhusu mwanaume wako wa kwanza? Boss Rona alikua amelala kiupandeupande tukiwa uchi, kichwa ameegemeza kwenye kiganja cha mkono mmoja, huku mkono mwingine ukiwa unatalii kifuani kwangu, nilivyomuuliza kuhusu baba mtoto wake wa kwanza, akalala chali akaangalia darini kisha akafunguka.



    “Nilivyokua form three mwishoni mwezi November, majira ya jioni mzee alinituma duka la jirani nikamchukulie pakti ya sigara. Nakumbuka ilikua kama saa 12.30 hivi kigiza kilikua kimeanza kuingia. Bbaada ya kununua pakti ya Sportsman, pale dukani kulikua na mkaka amesimama kwa pembeni, wakati natoka yule kaka akanisemesha kwa kiingereza, akaniomba samahani na kuniomba nimsaidie kumtafsiria kitu kwa muuzaduka maana walikua hawaelewani lugha.



    Kumuangalia vizuri nikaona kweli ni mgeni, yaani anawajihi kama wa kisomali hivi. Basi kwq kuwa ngeli kwangu haikua shida nikamsaidia akapata anachotaka. Then akannambia kwa kuwa amenichelewesha anaomba anisindikize hadi home maana giza lishaanza kuingia. Nikqmwambia asijali home sio mbali. Akasisitiza sana nikaona sio kesi. Katika kunisindikiza ndo nikafahamu anaitwa Mekonnen na ni raia wa Ethiopia. Amekuja Tz kwa short course ya miezi miwili inafanyika chuo kikuu pale mlimani. Tulivyofika karibu na home nikamwambia nimefika asante, Mekonnen akaomba kama sitojali anione kesho yake pia ili tufahamiane vizuri, “who knows you might find urself in Addis someday" nikacheka. Akasuggest saa nane kamili atakua ananisubiri kituo cha basi pale Urafiki. Then akasepa, yaani hakunipa hata nafasi ya kukubali au kukataa.



    Kesho yake was Saturday, so out of curiosity, nikaaga naenda kwq rafiki yangu Tina then huyo nikasepa zangu kumuona Mekonnen. Nilichelewa kama dkk 40 hivi ila nilimkuta mkaka wa watu amenisubiri. Kwa kuwa ilikua mchana ndo nilimuona vizuri, he was handsome, ila sio kama ww mpenzi (akajihami mapema) and had very good eyes. Basi alivyoniona alifurahi sana. Then akachukua taxi, “nipeleke chuo hall six" nikamwambia kumbe kiswahili unakijua? Akajitetea kuwa amekariri some phrases za muhimu.



    Kufika hall 6, kuna block moja wanakaaga foreigners, tukapanda ngazi mpqka room kwake. Nikakaa kwenye kiti, then akatoa juice aliyoihifadhi kwenye jagi akanipatia. Tukaanza stori za Ethiopia na historia yao hasa ya mfalme wao wa karne ya 19 Tewodros wa pili iliyonivutia sana. Badae akabadili mada kuanza kunisifia pale nilivyoumbika, mara ghafla akanifata kaanza kunishika matiti. I was surprised nikajikuta sijui nifanyaje nikabaki nimetulia. Akili ilivyokuja kukaa sawa keshafungua vifungo vya shati ananyonya chuchu. Nikawa kama nahisi raha, nikasema potelea mbali ngoja nippate cha kuwasimulia akina Tina shuleni j3.



    Kukatisha stori, Mekonnen akawa amenila kimasihara siku hiyo. Akanipa hela akasema hii utumie kama nauli ya kuchukua taxi kesho uje tena. Mi kimoyomoyo nasema hapa sirudi. Nafika home nimechelewa nakuta maza kukasirika mbaya. Wamama wanakuaga na machale sana hasa siku mabinti zao wanapochezea mshipi kwa mara ya kwanza. Akajikuta ananigombeza kama nusu saa. Basi nikaomba msamaha yakaisha. Bahati nzuri mzee hakuepo maana yule Mkurya akiamua kupiga hajali ww ni wa kike au kiume, kama anapiga mwizi.



    Basi siku zikapita, baada kama ya wiki mbili hivi, siku moja namsaidia mama kuandaa pilau home, nikawa namenya vile vitunguu saumu, tunapiga stori fresh tu na maza, mara nashangaa mama ameniangalia kwa makini hasa eneo la juu ya kifua shingo inapoanzia. Mwanzoni nikahisi nimeexpose utajiri wangu, kujicheki niko sawa. Sikutegemea swali aliloniuliza, kwa upole kabisa akasema “Rona mwanangu, siku ulipochelewa kurudi ulikutana na mwanaume? Dah, ntajibu nn sasa. Nikajikuta vitunguu simenyi, kujibu sijibu ninetizama tu chini. Maza akanisisitizia tena “tell me the truth" nikajikuta naitikia kwa kichwa, then nikafuliliza na maneno kama buku ya kuomba msamaha na kupromise sitakaa nirudie. Nikaona mama machozi yanamlengalenga then akasema “its too late now, YOU ARE PREGNANT". Then akaniacha hapo kaenda room kwake. Nikakaa hapo kama dkk 10, najiambia its not true, its not true, its not true…



    Kesho yake tumeishi kama paka na panya, nilivyomsalimia kwannza hata hakuitikia, nikajifungia zangu room siku nzima hata sikula that day. Siku iliyofuata nakumbuka maza alikua anasafiri kwenda Moro kikazi, nikapata ahueni. Ila bado nikawa sina raha. Siku hazigandi, wiki iliyofuata maza karudi, cha kwanza kanipeleka hospital, majibu ya vipimo kutoka kweli nina mimba. Almanusura nizirai, I swear I just wanted to die. What will I do. How will I survive? Mama ananiuliza eti ninampango gani? Who is the father? Ikabidi nifunguke A to Z.



    Naona maza aliona hii ngoma sasa nzito, ikabidi amshirikishe mzee baba, mjeda mwenyewe, mzee Ghatti. Nakumbuka ilikua jioni kama saa 12 hivi siku ya ijumaa, nasikia mzee ananiita kwa sebule, Ronaaaa!. Roho ikapasuka pah!. Nikawakuta wamekaa wote baba na mama. Nilipoketi mama akaniambia, haya mueleza baba yako umalaya wako…. Nikapiga goti nikatembea kwa magoti mpaka kwa baba, nikamuomba msamaha kwa dhati kabisa. Baba hakusema neno, akawa ananiangalia, mm nikawa natarajia nianze kupigwa mangumi. Mara nasikia sauti ya baba kama analia, kuinua macho, dah… my dad alikua kaweka uso kwenye viganja vya mikono, machozi tu yanamtiririka… Since hili sekeseke limeanza sikuwahi kulia, but seeing my father cry like that, melted my heart and I cried too.

    http://pseudepigraphas.blogspot.com/

    I cried a lot. Nikajutia kugawa uroda kizembe. Ndo maana huwa nawaambia wazazi, kumpiga mtoto anapokosea unamtengenezea tu ile hofu kwako. Yyaani akiwa na uhakika jambo ambalo umemkataza kuwa anaweza kulifanya na ww usijue basi atalifanya. Ila mtoto akiona jambo alilofanya limekuumiza mzazi wake, yaani aone ile pain aliyosababisha, hakika itafanya achukie kitendo alichokifanya.



    Mzee kaniacha pale nalia, mama kaenda kumpoza mumewe. Baadae nikarudi room nikajilaza. Sijui hata usingizi ulikuja saa ngapi. Nakuja kushtushwa na mlango ukigongwa asubuhi. Mama kaingia. Wote macho yametuvimba. Animalia nikae then kaniambia baba yako amesema hataki kukuona hapa, ushakua mtu mzima kaishi na huyo mmeo, hataki hata mahari yako.



    That was the last time nimeishi home kwetu. Kinachoniuma hadi leo ni kuwa the last noment kumuona baba yangu ni ile akiwa analia. It pains me bado. Nilivyofukuzwa home, pa kukimbilia nikaona ni kwa shangazi, mitaa ya Ukonga. Nakumbuka ilikua kama saa saba hivi mchana. Nilivyo msimulia naye kasema baba yako atahisi mm niko upande wako, ww rudi home then ntakuja niongee nae. Mmh. Nikaona hapa balaa. Nimezurura tu mtaani hadi saa 12 jioni ndo wazo la kwenda hall 6 likanijia, labda tukae na Mekonnen tuone tunasolve vipi. Kufika kule saa mbili kasoro, gonga mlango anatoka mdada.. “nikusaidie nini", Mekonnen nimemkuta? Yule dada kaniangaliaaaaa, then akajitambulisha kuwa eti yeye ndo mke wa Mekonnen , nikaishiwa nguvu.. nikatembea usiku ule mpaka ubungo, nikapata wazo la kwenda kwa baba mdogo Magomeni. Kufika na kibegi changu, uzuri alinipokea nikasema hapa siwasimulii mpaka kesho nisije timuliwa usiku huu.



    Kesho yake nikawahadithia mkasa mzima. Mzee akasema basi kaa hapa nikiwa naendelea kutafuta suluhu na baba yako. Nikasemma hewala, Mungu hamtupi mja wake, hasa mja mzito hahahaha. Kumbe ba mdogo nae bazazi tu. Yaani nikajifunza kuwa mwanaume hakusaidii kitu mpaka nayeye afaidike, hata ndugu. Siku moja usiku nimelala nasikia kitasa kinafunguliwa, nikajikausha, mara naona mtu anapanda kitandani, nikakurupuka nikasimama. Kumcheki ba mdogo kavaa kichupi tu yuko kifua wazi. Ananifuata kunihug, sasa nikashindwa cha kuamua, nitulie niliwe na ba mdogo ili niendelee kuishi pale, au nigome anitimue. Najua hata yy aliona huyu hana option, akawa ananiminya makalio, dah nikajikuta tu nimepiga ukungaa. Ukunga ukamfanya na yy apanik kaniachia, akawa anatoka room nilipokua, hamad! Wakakutana na mkewe mlangoni kwangu mke kunicheki nimejikunyanta kwenye kona ya room, kumcheki mumewe ana kichupi, nikasikia tu, baba Bhoke, unataka mbaka mwanao. Sijui walimalizaje hiyo kesi room kwao. Mm ilivyofika saa 12asbh nikakusanya kilicho changu nikasepa.



    Ntaenda wapi sasa. Nakumbuka nilikaa sana kwenye kituo cha basi siku hiyo. Nikawaza kuna mwalimu wangu wa kike alikua ananipenda sana na nilikua napajua kwake mitaa ya mkwajuni. Nikatembea kwa mguu mpaka kwake, alikua amepanga nyumba moja nyuma ya msikiti pale. Kuniona na begi nahisi alijua tu ujio sio wa kawaida, maana alinifuata akanihug huku mikono yake ikitambaa kichwani kwangu, I cried a lot on her shoulders. All the time ananibembeleza kama mtoto ile, shhhh! Shhhhh! Shhhhh! Its ok now, it will be ok. I felt tired and relaxed at the same time. Akanikaribisha home, hakuniuliza hata chochote, kaniambia nikaoge, nlivyomaliza nikala, then kwa kuwa nyumba ilikua chumba kimoja tu na sebule akaniwekea mazingira pale sebuleni kaniambia pumzika. Huezi amini niliamka saa mbili usiku.



    Kuamka nikakuta ashapika cha jioni, then nikasikia anaita, “mpenzi, mgeni ameamka njoo umsalimie" akatoka chumbani mkaka mmoja hivi, kwa umri alionekana kama mdogo kidogo kwa madam Nora. Nikamsalimia pale, akakaa. Kichwani nawaza tu yale ya ba mdogo yatajirudia hapa. Nikajisemea itakua sina jinsi, itabidi tu nigawe uchi maana inaonekana ndo passport yangu ya kupata usalama na malazi. Basi yule shemeji ambaye madam Nora alimtambulisha anaitwa KM, akaniomba niwasilimulie yaliyonikuta. Nikawapa mkanda mzima sikuficha kitu (ingawa issue ya ba mdogo niliipindisha kidogo kumlindia heshima).



    Wakanipa moyo pale na madam Nora akawa analalamika namna watoto wa kike tunavyonyanyasika. Akasema hapo mdogo wangu jamii inakuhukumu kwa kupata mimba, watu wanasahau kuwa mimba ni matokeo tu, kosa lako lilikua moja tu la kufanya mapenzi ktk umri huo, na hilo ni kosa ambalo hata kama baba yako angelisikia angekuadhibu akakusamehe. Ingekua kila anayefanya mapenzi anapata mimba basi asilimia 80 ya wanawake wote unaowaona wangekua walifukuzwa na wazazi wao. Na sio hilo tu, binti anayechukua uamuzi wa kutoitoa mimba yake huyo ni wakutiwa moyo maana wengi huishia kufanya kosa la kutoa mimba kwa kuogopa haya unayopitia sasa.



    Kimsingi madam alinipa faraja sana. Nimekaa pale siku tatu hivi, madam akanambia sasa inabidi tutafute suluhu na mzee. Kweli mmadam kaenda mpaka home, alivyorudi akaniambia mzee kamtimua tena kwa bastola, nikajikuta namuonea huruma. Kesho yake akaniambia ameshauriana na mpenzi wake wameona ni hatari kukaa na mtoto wa watu, lolote laeza tokea, nikaona sasa hapa natimuliwa tena dah! Wakashauri tukapige ripoti polisi Magomeni, kufika polisi wakasema twende ustawi wa jamii maana mm bado ni minor.



    Yule shemeji KM alikua anafahamika sana (Baadae nilikuja kujua ni mcheza mpira wa timu moja maarufu hapa mjini, na hilo jina KM ni ufupisho wa neno Kiungo Mtaratibu, jina alilopewa na watangazaji wa RTD) kwa hiyo akawaomba polisi waweke kwenye record kuwa Rona Ghatti anaishi kwa madam Nora. Ikawa kama taarifa ya kuokotwa mtoto aliyepotea hahahaa. Baadae kweli tukaenda ustawi nako protocal kibao, tukaambiwa tuanzie kwa mjumbe. Ila basi lengo la familia hii iliyonipokea likatimia. Serikali inatambua niko pale .



    Bbaada ya wiki shule zikawa zinafunguliwa, tumbo halijawa kubwa madam kanambia ww twende. Wakati huo shemeji KM akawa anafuatilia kuhusu Mekonnen, walau ampe taarifa anakiumbe chake. Kupitia kwa professsor mmoja pale chuoni ambaye alikua ni mdau mkubwa sana wa timu anayochezea akafanikiwa kujua kuwa ni kweli kuna waethiopia walikua UD kwa short course ppale idara ya mimea na ni kweli kuna mmoja anaitwa Mekonnen, basi tukawa tumepata adress ya taasisi wanayotoka kule kwao. Nikapata walau faraja kuwa mwanangu attamjua baba yake. Tukaandika barua kwenda Ethiopia.



    Form four hiyo ilivyofika mwezi March tumbo likawa linaonekana kwa mbali maana miezi minne, ila uzuri halikua kubwa sana. Madam alikua ananisaidia sana kukwepa vile vipimo vyao vya mimba shule. Ila baada ya midterm break , madam kashauri nisiende shule. KM akanitafutia vyeti vya kufoji kuwa naumwa figo so niko hospitalized lengo nikae home then nikafanye tu mtihani.

    http://pseudepigraphas.blogspot.com/

    Ikawa hivyo. Madam alinijali sana, alihakikisha nakula vizuri, aliniletea vitabu vya kujisomea ili nijiweke tayari. Shem KM yy hakua vizuri sana kimasomo ila alikua ananipa kampani sana, mara nyingi madam alikua anatoka mapema, anatuacha mm na KM basi tutacheza karata, atanipigia gitaa, siku nyingine atanipeleka kwenye mazoezi yao alihakikisha nakua happy. Alikua mtu poa sana KM mpaka nikaacha kumhisi vibaya, akawa zaidi ya ndugu.



    Miezi tisa ikakatika, wazazi wangu hata hawajui naishi vipi. Barua kwenda kwa Mekonnen Ethiopia haikuwahi jibiwa. Niliandika nyingine kadhaa nazo hazikua na majibu. Mungu akaamua kunifuta machozi Nikabahatika kumpata the prettiest baby I’ve ever seen. Madam na KM ndo ndugu walionishughurikia mpaka natoka hosp,. Wamevumilia vilio vya mtoto usiku, wamenisaidia sometimes kumbembeleza usiku wa manane, na sio madam tu hadi KM.



    Nimekaa wiki nzima mtoto sijampa jina, wananiuliza nasema sijui hata, badi wananitajua majina pale mara Gift, mara Celine, mara Rita mm natingisha tu kichwa, then one day asbh madam anaamka kwenda job ananiambia make sure unamuogesha mwanao mchana, nikamwambia mwanangu anaitwa Nora.



    Madam akaniangalia kama dakika nzima, then akanifuata nlipokaa, akamchukua mtoto, akakaa naye amempakata hasemi kitu then with tears in my eyes I said, “thank you". We hugged, nikamuonna anafuta machozi pia. It was the least I could do, kumpa mwanangu jina lake ili nisije kamwe kusahau wema alionitendea.



    Mitihani nilifanya, na nikafaulu vizuri tu, zaidi hata ya baadhi waliokuwa wanaenda shule kila siku. Madam alifurahi kinoma. Post za shule kutoka nimepangiwa Nganza girls. Dah! Ntaendaje nimuache mwanangu. Shemeji KM mzee wa maconnection akamfuata yule prof, tena kipindi hicho ameteuliwa kuwa waziri. Basi nikabadilishiwa shule nikabakizwa town.



    Nimekaa na madam kipindi chote akinilea kama mdogo wake, mahitaji yote akinitimizia, then Mungu akawabariki wakafanikiwa kujenga nyumba yao maeneo ya Tabata mimi na mwanangu tukawa na chumba chetu sasa. Wakaajiri dada wa kuwa anatusaidia kipindi nipo shule. Kikubwa zaidj madam nae kapata ujauzito. Basi full raha na mipango mingi jinsi watoto wetu watakavyokua ndugu.



    Muda wa kujifungua umefika, tumempeleka hosp, she was crying maumivu ya uchungu bt I was loughing, knowing soon am gonna hold her baby. Bahati mbaya ilibidi ajifungue kwq operation, basi tukawa tunamsubiri atoke theater. Baada ya kama 2 hrs, akatoka nurse mmoja akamuita KM pembeni hata sielewi kinachoendelea. Mara naona KM kachuchumaa anashika kichwa, namfuata ananiambia, she is dead! My wife is dead, mke na mwanangu wote wamekufa! Nilihisi kitu kama kaa la moto kwenye koromeo, miguu ikakosa nguvu. Ninekuja kushtuka nipo wodini nimelala, housegirl yupo na mwanangu pembeni, ndo nikaanza kulia sasa. My heart was broken. Ndo nikajua siku hiyo maana ya broken heart. Kuna maumivu mengi duniani bt that pain that day, was beyond any pain I have ever endured.



    Bt as they say time is a healer. Msiba ukaisha, nikawa nasubiri muafaka kutoka kwa KM, oneday nikamwambia, kwa kuwa dada kaondoka itabidi nikatafute pengine pa kukaa. KM akanambia ww ni mdogo wangu pia. Hapa ni nyumbani. Tutakula tutakachojaaliwa. Tutavaa tutakachojaliwa. Mungu hatatutupa. Basi tukakaa pale mpaka nimemaliza form six. Kifo cha madam kilimaffect sana KM, hata soka kiwango kikashuka, ikabidi asajiliwe na timu moja ya jeshi. Chuo nikafanikiwa kupata nafasi ya kusoma B.A education. Mwanangu anazidi kukua, and she was a beauty, a true Ethiopian queen kama Cleopatra mwenyewe. Nywele ndefu, rangi nyeupe kama mwarabu, macho ya baba yake, watu wakajua nimezaa na mhindi.



    Nikiwa chuo KM ndo annakua baba mlezi wa mtoto akisaidiana na housegirl. Mwaka wa kwanza ukakatika. Mwaka wa pili ukaisha. Mwaka wa tatu, KM akapata injury so mpira ukawa basi tena. Bahati nzuri jeshi likampa ajira akawa anatrain vijana wenye vipaji pale kwenye shule ya jeshi. Kipindi chote hicho KM sijawahi muona na mwanamke. Oneday nikamuuliza tu kiutani, shem, si uoe nipate wifi. Kasema eti anamsubiri mwanangu Nora akue ndo amuoe hahaha. Tukaishia kucheka pale.



    Then one day sijui kazini kwao alifanya kitu gani wakampandisha cheo, so alifurahi balaa, ameinfmgia tu ndani “Rona, Rona, nimepanda cheo job" and he started loughing alafu akanihug, nikamhug pia. Ila nikashangaa hajibandui, mara nastukia shavu lake kwenye shavu langu, mara anaupeleka mdomo wakr shingoni kwangu. Mm nimetulia tu. Then akawa kkama ameshtuka hivi akastop. Akaniachia. Akaniomba radhi. He is such a gentleman. Najua anahamu za miaka, maybe amedevelop feelings kwangu. I just said, its ok. Hongera kwa kupanda cheo, leo will cook pilau, akatabasamu.



    Nimemaliza chuo nikapangwa nikafundishe Msalato. Mm nshazoea mjini. Nikamuomba KM anifanyie mafekechee, akasema sku izi hana connection tangu atoke timu kubwa watu wanampita tu hata hawamsalimii. Baadae nikakumbuka jina la yule waziri professor, oneday nikaenda hadi ofisi yake. Katibu muhtasi wake akaniambia hana muda siku hiyo. Yaani nimeenda pale kama siku nne mfululizo hola, siku ya tano nikakutana na waziri ground floor. Nikamfata, nnikajitambulisha kwa harakaharaka wakati huo tunatembea na kuna watu wengine. Then akasimama akatoa miwani akaniangalia akasema ahaa ww ndo mdogowake KM, nikajibu ndio, sawa, njoo jumatatu saa nne.

    http://pseudepigraphas.blogspot.com/

    Kweli j3 nikafanikiwa kumuona. Nikamsomesha pale anifanyie mpango nipangwe jijini hapa, basi akasema tuonane jioni Kilimanjaro hotel. Then tuone tunafanyaje. Yaleyale ya bamdogo, yani wanaume hakusaidii mpaka apate chake dah!. Mwanzo nikasema niachane nae, ila nikasema liwalo na liwe, ngoja nibaki town. Jioni nikaenda. Waziri kanipeleka room, kanivua nguo kanilaza chali. Bila hata maandalizi kamtoa jongoo kampachika. Was like a robot, machozi yananitoka, sio kwa maumivu, ila nilikumbuka mama alivyoniita malaya, dah, leo kweli nimekua malaya. Nikajiapiza, this is the las time kufanya u malaya.



    Kesho yake akanitambulisha kwa mhusika wizara ya elimu, sijui mkurugenzi wa kitu gani nishasahau. Nikiwa ofisi ya huyu mkurugenzi akaingia mbaba mwingine wakasalimiana kama marafiki, nikawa natoka nje niwapishe, huyu mbaba kasema noo, just stay mm nimepita tu. Yule mkurugenzi ndo kanitambulisha huyu ni mtoto wa kaka yake waziri prof, oooh! Kumbe. Mm ni mkurugenzi ofisi ya ujenzi, mawasiliano na uchukuzi. Mwenyeji wangu akamwambia tunamtafutia shule nzuri hapa mjini akafundishe. Yule mgeni kauliza, “umesomea nini" nikajibu, kasema kwanini mrembo kama wewe ukachafuke chaki, njoo wizara yetu.



    Nikawa excited, really! Kasema yeah. Basi mipango ya kupangiwa shule ikaishia pale, nikaambatana na yule mkurugenzi hadi wizara yao. Akanipa options tatu, niwe katika ofisi ya raslimali watu, ofisi ya uhasibu, au ofisi ya mawasiloano kwa umma. Nikachagua raslimali watu, basi kirahisi tu kaniambia jioni nimpelekee vyeti pale new Africa hotel. Damn! Hapa nishaliwa tena duh…. Jioni nikaenda kweli… nikaliwa kweli. Nikajiapiza tena, this is the last time nafanya umalaya.



    Kweli niliansa kazi, ila nikajiongeza kwa kujiendeleza kielimu mpaka sasa nina postgraduat diploma ya Business Administration upande wa human resources. Nimekaa pale wizarani muda mrefu sana, nikipanda cheo baada ya cheo. Mpake nilipohamishiwa hapa Dodoma. Ambapo umenikuta.



    Dah… imepitia mengi mpenzi, nikampa pole. Ila nikamuuliza tena, KM yuko wapi siku hizi,? akanijibu “ndo mume wangu unayemuibia kila siku", nimezaa nae two kids. Nikajikuta najisikia guilty…. Yani namfanyia ufedhuli KM, such a good guy. Bt I wanted to know more, Mlitongozanaje? Nikadadisi, “kuna siku tu niliwaza kuwa no man will marry a woman with a child, na KM alishaoneshaga dalili ya kunitaka,so usiku wake, nikatoka room kwangu hadi kwake. I has a short night dress and nlijua akiniona lazma atamani. Nikamkuta ametoka kuoga, aliponiona alijua nilichofuata. Ndo ukawa mwanzo wa mahusiano na MK.



    Sijui alikumbuka nn Ronna, ila baada ya kumaliza kusimulia akaanza kububujikwa machozi. Nikawa nimemkumbatia, bila kusema kitu, akiwa bado analia mkiono wangu ukaanza kupapasa mgongo. Then nikashuka kwenye tako. Nampapasa tu slowly. She continued crying, nikashangaa dushe imesimama dede,… bbasi nikaona huyu ili atulie lazma nimpe tam. Nikaanza chezea kutumbua, nikazamisha vidole, nlipoona ulaini upo sikutaka romance sana, nikamtenga ile ya mende kafa nikapenya. Huku analia mm napump. Nikaona ananihug kwa nguvu…. Pls don’t hurt me…. You are the only person I’ve ever loved. Nikawa napump huku nanyonya lips. The sex was so good. Hadi anaenda kwake ni saa tano na.





    Ile life story ya boss Rona kwa kweli ilinihuzunisha sana, ikawa sasa namuona kwa jicho tofauti kidogo. Mwanzo ilikua tu someone I enjoy making love to, maana niwe muwazi, sio kuwa nilikua nimefall in love nae, lakini pia sio kuwa nlikua simpendi.



    There is a way she made me feel that I really liked, and no woman before had made me feel. She made me lough, she made me happy, nlipenda namna anavyojiachia akiwa na mimi, sometimes akiwa kwangu hata kama hatufanyi mapenzi atavua nguo na kubaki na chupi na sidiria, atakaa hapo mnapiga story mara ainuke aanze kucheza mziki (hii style ya kucheza kwenye wimbo wa Rayvanny wa Teamo yeye alikua ananichezea kitambo sana) and most of all, I loved the way we made love.



    Zimepita wiki kadhaa tangu anisimulie mkasa wa maisha yake, and to be honest I sometimes felt guilty. Yaani ile kujua kuwa ameolewa na KM ilikua inanipiss off sio kitoto. Ikanipa mawazo pia ya kutafuta mpenzi sasa ambaye atakuwa wangu mwenyewe. Lakini nani sasa. And kama nlivyowahi kusema, nlikua na standards zangu, yaani mpaka nimedate na msichana lazima akidhi vigezo vyangu.



    Pale ofisini kuna dada nliajiriwa nae kipindi kimoja, kama mtakumbuka nlimtaja kwa jina lake la ubini Lyamuya. Lyamuya alikua sio mbaya ila ni wale wadada ambao kutwa kucha misketi mirefu kama mfuko wa mashine ya kusaga, akibadilisha ni magauni ya kumpwaya tena ya mtumba.



    Kwa wanaume wanaotafuta wife material ladies, Lyamuya anafaa. Na kwa kuwa na mimi nlidhamiria kutafuta mwenzi wa maisha, nikasema ngoja nione kwake, huenda akanifaa. Ingawa kiukweli sio aina ya wanawake wanaonivutia kwa hurka yake na jinsi anavyojiweka, nilijipa tu moyo kuwa nitampiga sop sop nimbadilishe aendane na mm. maana sura walau alikua nayo.



    Basi mazee, nikaanza kumpa attention ofisini, mara nimtanie, mara nimsifie, nikaanza kumpigia simu night, kumtumia msg za goodmorning. Hii yote nilifanya ili kwanza nimpe idea ya nnachotaka. Hata haikuchukua siku nyingi, nikaona yeye ndo anaanza kunipa attention sasa. Ila yeye alivyoanza kujaa kwa kasi, moyo wangu ukawa kama unaanza kurudisha majeshi nyuma, maana nlikua nikimuona alivyovaa stim zinakata kabisa.



    One day muda wa lunch nakumbuka alisuggest tukale wote, wakati tunapata msosi nikajikuta nimecomment kuhusu pilau nliyokua nakula. Haikua imeiva vizuri. Basi Lyamuya akaunga mkono pale na kunialika kwake ili nikale pilau iliyoiva vizuri. Ngoja niwape siri wazee, demu akikualika kwake kwa sababu yoyote ile, hiyo ni mualiko wa kwenda kumbanjua, sasa kama na wewe umemuelewa demu, au unataka kweli kumla, wala usivunge kubaliana na siku na muda aliopendekeza. Ila kama huna mpango wa kumla, tafuta kisingizio cha kumkwepa hasa kutumia siku au muda aliosuggest. Kwa mfano kama humtaki sema tu kuwa jumapili kuna mshkaji nlimuahidi kumsaidia issue flani, then unasuggest jpili inayofuata. Hapa dem ataelewa kuwa amekataliwa kistaarabu. Turudi kwenye story sasa, kidogo nikwepe mwaliko, ila nikajikuta nimekubali kuwa jpili ntaenda kwake.http://pseudepigraphas.blogspot.com/



    That Sunday nikapiga pamba safi, unyunyu kama kawa nikapuliza, then huyooo mpaka mitaa anayoishi Lyamuya. Kanielekeza pale mpaka nimefika kwake. Lahaula! Namkuta amekaa kwenye ngazi za kuingia ghetto kwake, amevaa mijikanga imepauka amezungukwa na watoto kama sita wanamfumua nywele. That sight ilinifanya niconclude kuwa sitaweza kumbadili Lyamuya. Maana she knew I was going, at least angejiweka poa basi, wapi. Nikijiangalia na mm nlivyopigilia, nikajikuta nimekata tamaa mazima.



    Ila kiuungwana sikutaka kuonesha kuwa disappointed, akanikaribisha ndani pale, mm nikasema tukae tu hapa nje umalizie kufumuliwa. Akasema hapana! Wewe mgeni wangu, kwa kuwa ushafika twen’zetu ndani hawa watoto watanimalizia hata usiku. Mimi ndo hata simsikilizi, kulikua na stuli pembeni nikaivuta nikakaa. Yeye kajikusanya pale kaingia ndani.



    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog