Sehemu Ya Pili (2)
Naomba niwarudishe nyuma kidogo..
Wakati niko form 2 nilijitahidi kuanza mapenzi lakini yalinikataa. Mtu aliyeonesha kunipenda baadae ni kama alinigeuka hivi, nikaona solution ni kuconcentrate kwenye masomo na kuachana kabisa na habari hizi. Kweli nilimudu hadi nilipofika form 4 ndipo likaja jaribio jengine la mapenzi ambalo hili nilishindwa kuchomoka. Wakati tupo form 4 tulipewa nyumba na Mzee mmoja ambaye alikuwa baba wa rafiki yetu tuliyesoma nae (RIP mzee Chalamila)
Baada ya muda ukawa ni utaratibu wake kuja pale kusoma na kuondoka. Mpaka hapo tulipofungua ukurasa mpya wa mapenzi ndipo alikuwa akija pale kwa mambo yte mawili, kusoma na kuliwazwa. Nikaanza kumchombeza nianze kula tunda kimasihara lakini ni kama vile hakuwa tayar hvii.. Lakn kadri alivyonizoea, akawa anaonekana kueleweka, hadi siku moja ambapo nilimkaribisha chumbani na akaingia. Nikaona fursa nzr leo ya kula tunda, nikashka shika kiuno wakat tumekaa kitandani pale mara matiti kdg mara napapasa mapaja ili mradi hakuwa akibishana sana lakini hakuwa comfortable.. Baadae nilikuja kugundua kuwa wasela mle ndani walikuwa wanahangaika sana kutupiga chabo.. Pale juu ya mlango bado palikuwa hapajazibwa, palikuwa na ule uwazi unaoachwa katik vyumba hasa vya ndani katika mlango.. Jamaa walikuwa wanaweka viti na kupanda ili watufaidi, yule demu nadhani alishtukia mapema lakn hakusema chochote. Baada ya mm kugundua basi nikaahirisha zoezi na kutoka nae..kilichofuata baada ya hapo ni Tatu kuja kusoma tu na si mengine, tulikubaliana kuwa tutafute muda na sehemu sahihi ya kufanya jambo hilo.. Ingawa shinikizo kubwa lilikuwa kwangu, Tatu yy siku zote alikuwa akiniambia kuwa si muda sahihi kufanya jambo hilo na amekua akiniusia kabisa kuwa sisi kama waislam hatutakiwi kufanya jambo hilo. Mimi nilimuuliza kama ashawahi kufanya hilo jambo or not, jibu lake alisema kuwa tayari amekwishafanya lakini kwa sasa hatamani tena kufanya jambo hilo.. Nikimuuliza kwani huyo uliyefanya nae ana nn na mm nina nn mpka uninyime? Anajibu kuwa nakuona ni mtu sahihi kwangu na kama una malengo sahihi nadhani utasubiri tu. Mimi siku zote niliendelea kumshawishi anipe mzigo hadi siku ya Jumamos moja ambayo Jumatatu yake ilikuwa ndo tarehe ya kuanza mitihani ya kumaliza kidato cha nne.. Tatu alinitafta na kunambia leo ndo siku ambyo nataka tukafanye lile jambo, akiamini kabisa kwa jinsi ninavyopenda masomo na nilivyokuwa na hasira ya kufaulu mitihani ile, nisingekubali.. Lakini alikuwa wrong, nilikuwa nimejiandaa vya kutosha sana, wala sikuogopa mitihani ya taifa. Tukaenda gest moja pale mjini nikashinda na Tatu kuanzia saa 4 asubh hadi saa 10 jioni, nikapiga mzigo licha ya kuwa nilipata tabu kdg, Tatu alionekana hajatumika siku nyingi na pia hajafanya sana hii michezo, huu ndo ukawa mwanzo mpya na Tatu. Nilivyorudi kule geto jamaa zangu walinilaumu sana hiyo siku maana nlipotea bila taarifa yoyte na walikuwa wananitegemea sana kwenye zile discussion za mwisho mwisho. Jamaa nikawaeleza ukweli wa mambo wakasema hawajawahi kuona mtu mwenye roho ngumu kama mimi, yaani wao wanawaza mitihani itakuaje mimi nimeenda kugegeda mtu?!! Ila hawakuwa na wasiwasi na mm kwa sababu walikijua vzr kichwa changu.http://pseudepigraphas.blogspot.com/
Baada ya kumaliza mitihani sasa . ndipo tulipofungulia vzr penzi na Tatu, nikawa napiga nyapu nadhani ni kila baada ya siku mbili au moja. Ila kitu kilichonishangaza kuhusu Tatu ni jinsi alivyokuwa anavimba nyapu kila baada ya tendo, yaani akitoka pale huwa anashindwa hata kukojoa, nyapu inavimba kuanzia nje hadi ndani. Kwahy sometimes tululazmka kusubr mpka siku tatu ndo akae sawa tufanye tena.. Kwakweli sikuwahi kujua hiki ni kitu gani na sijajua mpaka leo hii wakati naandika hii makala (Tatu kama unasoma hapa unisamehe kwa kueleza siri hii). Mahusiano na Tatu yalianza kunoga kiasi ambacho baada ya muda mchache sana nilijikuta niko deep kabisa in love. Nilikuwa nampenda sana Tatu kuliko kawaida, na yy alionesha kunipenda zaidi ya ninavyompenda mimi. Tatu alikuwa fundi wa mapishi, so mara zingine nilimualika nyumbani kwa dadaangu mmoja ambaye alikuwa best yangu sana, anaachiwa jiko na kukitoa chakula tunachotaka. Kwenye hizi bites ndo alikuwa na balaa zito sana alijua hasa kuzitoa. Kwahy kwa kipindi hiki chote cha likizo ndefu ya kusubr matokeo na kupangiwa shule (October to April) nilikuwa nikila gud time na Tatu. Baba alinishirikisha katika biashara zake ili nisikae idle, so ikawa inaniwezesha mimi kupata pesa kdg za kutanua na Tatu. Alipata vizawadi viwili vitatu na vipesa vidogi vidogo vya kiuanafunzi ambavyo vilimtosha sana tu. Nilinogewa na Tatu mpaka nikaamua sasa kumpeleka nyumbn walau na mama nae akamuone, kitu ambacho mzee wng alimind sana ila huwa hana kawaida ya kukuaibisha mbele za watu. Alisubr Tatu aondoke akaniita pembeni na kunieleza jinsi alivyochukizwa na ujio wa Tatu pale nyumbani, akanieleza pia kuhusu anavyotegemea na alivyo na imani kubwa juu yangu katika masomo. Kwakweli mzee aliniambia vtu vingi sana kuhusu masuala ya mahusiano na masomo na hasara ya kukosea sehemu katika maisha kunavyocost. Nilimuelewa sana mzee na nikamuahidi kutorudia hilo jambo na nitawekeza nguvu katika masomo na masuala ya mapenzi kwakweli kabisa hayataniyumbisha (tuseme RIP kwa mzee wng ambaye alifariki mwaka juzi Novemba 2018). Ni kweli mzee aliongea maneno ya busara sana lakini mimi nilijitahd kwenda kwa tahadhari na nilijitahd pia Tatu hafiki tena pale home, lakini mapenz na Tatu yalikuwa hayaachiki. Ile siku Tatu alipokuja nyumbani mama yangu alivutiwa sana na tabia zake (nadhani wamama wana vtu vingi wanavyoangalia). Kwhy mara nyingi mama aliomba nimkutanishe na Tatu sehemu tofaut tofaut.. Tatu sasa akawa amezoeleka kwa watu wengi wakiwemo dada zangu, brothers na mama pia..muda wote huu nilikuwa napiga mzigo bila kinga wala kitu gani na Tatu alikuwa wala hanasi mimba, mpaka akafikia hatua akageneralize kuwa kizazi chake kina shida, kwahy sisi tukawa tunajiachia tu...Hatimaye majibu yalitoka na baadae nikapangiwa shule Kilimanjaro..
Sasa turudi pale mwanzo ambapo baada ya kwenda Moro nilirudi kuendelea kufundisha ile part time kama kawaida wakati huu Tatu alikuwa ameshaanza masomo yake ya Diploma ya Electrical Engineering pale ATC Arusha, yy alipomaliza form 4 alipangiwa moja kwa moja chuo cha ufundi. Bado tuliendelea kuwasiliana na bado tulikuwa wapenzi, ingawa hii kukaa mbalimbali ilichangia kdg mimi kupunguza uaminifu kwake lakini yeye aliamini mimi ndo mume wake sahihi.. Wakati flani mimi nikiendelea kufundisha pale, Tatu alipata kilikizo cha wiki moja kule chuoni, akaja na kama kawaida yetu tukapata kugegedana mara tatu katika ile wiki. Baadae Tatu alirudi chuoni Arusha, ni kama vile penzi letu lilikuwa limefufuka upya hivi..mawasiliano ya calls na msgs yaliimarika sana..ingawa bado niliendelea kuwasiliana pia kwa ukaribu na Sophy pamoja na Nai.. Wiki mbili baada ya Tatu kuondoka pale ndipo aliponipa habari ambayo sikupenda kuisikia, aliniambia kuwa amejihisi tofaut katika mwili wake, na wazo la kwanza alilopata ni kupima mimba na amejikuta positive.. That means ana mimba yangu....
http://pseudepigraphas.blogspot.com/
******beginning of new life*******.
Ofcourse ni mwanzo wa maisha mapya, habari ya Tatu kuwa na mimba ni katika habari mbaya zaidi ambazo nilikutana nazo kipindi kile. Ni kipindi ambacho Tatu alishaamini kuwa yeye hashiki mimba kirahisi, lakini this time ikawa tofauti,Alinasa. May be Tatu alikuwa akijiamini kwa sababu mzunguko wake wa menstruation ulikuwa ule mfupi kabisa wa siku 21 na alibleed kwa siku mbili tu. Sote tukahisi ni ngumu sana kuipata siku yake ya hatar na kwakuwa tulishafanya mara nyingi sana huko nyuma bila yeye kushika mimba, tukaona ndo alivyo, ni normal. Sasa hapa Tatu akaanza kusumbua na simu nyingi akidai kuwa anahitaji kujua hatma yake!! Mimi ndio nasubiri nipangiwe chuo nikasome, kiufupi ndo kwanzaaa kunakucha, siwezi kuwa na future yoyote kusema ukweli. Huu kwangu ulikua mzigo mzito sana kuubeba.. Ila nilimpa moyo nikimwambia everythng will be ok, lakini Tatu hakuwa na amani...mwisho nikamsikiliza yeye anataka vipi, Tatu akaniambia "kwakuwa mimi tayar nafahamika hadi kwa mamaako sio vibaya tukamueleza yeye kisha nikawajuza nyumbani, na kwa jinsi ninavyomjua baba ni lazima atanifukuza, so akinifukuza nitahamia kwenu mimi namuona mama yako hana shida ataishi na mimi vizuri tu". Huu ushauri haukuwa mbaya na nilimueleza Tatu kuwa ushauri wako sio mbaya, lakini changamoto kubwa ni kwa mzee wangu, hatokubali hilo jambo litokee asilani abadani..Discussion ilikuwa kali, Tatu akitaka abaki na mimba mimi nikitaka itoke, ilituchukua karibu wiki nzima mpaka siku Tatu aliponiuliza " kwahy sasa tunafanyaje?" nikamjibu hili tulimalize wenyew tu...tutafute namna nzuri ya kuiflash hiyo mimba bado changa sana naamini haitatusumbua...tukapanga namna nzuri ya kuitoa..akaniambia kule Arusha yupo mama ambaye huwa anafanya hiyo kazi ngoja akamuone.. Kweli alienda kumuona huyo mama na akataka 90k kufanya hiyo kazi..kumbuka nilikuwa nalipwa 150k na kipindi hiki nilikuwa naishi home lakini matumizi yangu yalikuwa makubwa kidg, sikuwa na uwezo wa kutoa 90k, nikamwambia aachane na huyo mama halafu asubr siku mbili mimi nitamjuza kitu.. Lakn siku mbili kwa Tatu zilikuwa nyingi sanaa... Aliona kama namyeyusha hivi..siku hiyohyo jioni akanipigia simu na kuniambia yupo mtu huko Tanga anafanya hiyo kazi kwa 20k, na nauli ya Arusha kpnd hiki ilikuwa just 12k, so usafiri go n return 24k na 20k ya mtoaji na gest ya 5k ukipata na msosi 5k jumla 54k, sio mbaya ukizingatia mama pale chuga alitaka 90k.. Nikamtumia Tatu 40k niliyokuwa nayo kwa siku ile, kesho yake akafunga safari na kuja Tanga... Alikamilisha zoezi lake na usiku kama saa 3 hivi akanitafta akiniambia yupo ile gest ambayo tumekua tunakutania mara kwa mara nije nimsaidie kitu.. Kuna rafk yng wa karibu akanitisha saana akijarb kuniambia jambo la kutoa mimba ni hatar mno na mara nyingi watu hupoteza maisha,so kama nikienda na akapoteza maisha nijue kuwa mimi ndo shahidi namba moja..nikahisi kama kumuelewa mshikaji hivi, nikakausha kwanza sikwenda.. Lkn Tatu aliendelea kupiga simu na kuomba sana niende, mpaka nilipoamua sipokei ndipo aliponiandikia msg moja ambayo ilininyanyua pale nilipokuwa na kukimbilia kule gest.. Najaribu kukumbuka keywords za ile msg ni kama aliandika "Nzi Chuma, tulistarehe sana pamoja mimi na wewe hili lililotokea hata mm sijalitarajia, huu ndio muda ninaohitaji faraja yako zaid kuliko kipindi chochte katika maisha yng, ukiniacha nikateseka usiku huu peke yangu utakua umenifanyia ukatili wa hali ya juu sana"..ubinadamu ulinivaa na kusogea pale gest. Alikuwa ana chupa ya maji ya moto ambayo aliniambia nichukue na kumkanda, nadhani mimba ilitolewa kwa njia ya kuingiza mikono huko ndani. Tatu alitia huruma sana, alilala katika kifua changu usiku mzma nikijaribu kumliwaza na kumtia moyo kuwa mimi ndio mume wake haswaa..na hakika nitamuoa. Asubuhi kulipokucha Tatu hakuwa na nguvu bado ya kutembea, hakuweza kusafiri kabisa.. Nikapata wazo la kwenda naye nyumbani kwa sababu baba yang alikuwa amesafir kipindi hiki.. Nilienda nae ili kupunguza gharama za chakula na malazi kwa sababu hela yenyew ilikuwa ya kuungaunga.. Alikaa home siku mbili kisha mama naye akamjaza noti zimsaidie..mama nilimueleza kabisa hali halisi kuwa huyu ametoa mimba kutokana na mazingra yake kutoruhusu kuzaa kwa sasa.. Mama alikuwa anampenda saaaba Tatu saaana..na kila siku alinisisitiza kuwa yule ndio mwanamke wa maisha yng.. Nilitakiwa kumuoa Tatu. Tatu alirudi Arusha na mawasiliano yetu yaliendelea..
Wakati tunaendelea kufundisha pale na jamaa yngu mmoja baadae tulizoeleka na wanfunz weng wakatuomba tufanye tuition nje ya muda wa shule na siku za weekend, wazo ambalo tulilifanyia kazi tulianza kwa kusuasua lakn baadae palikubali sanaa mpka tukawa tunatengeneza zaidi ya 50k kwa siku...hii ilitusaidia kidg kufanya maandalizi ya kuingia chuoni..mimi na huyu jamaa yng tulipangiwa chuo kimoja pale Moro, mimi niliomba vyuo vingi sana pale Moro maksud kabisa nikiamini ndio fursa adhim ya kwenda kuonana na Nai pamoja na Sophy kwa ukaribu zaidi...siku moja wakti tunaaga wale wanafunz wetu pale tuit kuwa leo ndo mwisho wa tuition walisiiitika sana, lakini kuna mwanafnz mmoja ambaye siku zte alikuwa ananiumiza roho, huyu mtt alikuwa na tako sio la kawaida, yaani shepu yake ilivyoendana na size ya urefu wake ilikuwa balaa.. Na hili zigo alilofungasha kwa kweli ndo lilinichanganya zaidi..nilimwita pembeni siku hyo na kumuomba namba, akanambia nimpe namba yangu atanitafta.. Nikajua ndo style za kukataliwa hizi ila nikampa na tukaagana..
http://pseudepigraphas.blogspot.com/
Sasa hapa ndo tutapata upande wa Moro, mwanzo wa maisha mapya ya Moro ambapo nilikuwa karibu zaidi na Sophy na Nai, acha niendelee na kazi, nikipata upenyo mwengine nitaiendeleza..
ITAENDELEA
0 comments:
Post a Comment