Search This Blog

Sunday, 20 November 2022

HOW I MET MY WIFE - 2

 

    Simulizi : How I Met My Wife

    Sehemu Ya Pili (2)







    Nikabaki na watoto pale, nikaanza kuwapigisha story, na kwa kuwa napenda sana kids wala haikua kazi ngumu, tukawa tushazoeana navyo ndani ya muda mfupi. Mara Lyamuya akatoka, ananiambia ashatenga msosi nikaribie. Nikaona sio kesi, nikawashawishi na wale madogo tukazama ndani, tukapiga msosi wote. Msosi ulivyoisha na kila kitu kuondolewa kwa meza, dogo mmoja akamwambia Lyamuya, njoo tukumalizie kukufumua, nikaunga mkono hoja.



    Basi wakawa wanafumuana huku tunapiga story pale. After few hours nikaaga nikasepa. Ile natoka tu, nikampigia simu boss Rona, “am honny babe”, [where are you], nikamjibu “nipo town”, [then hurry up, utanikuta kitandani kwako nishakuloanishia,ukifika nikuingiza tu, I hope utafika ukiwa bado umedinda]….



    Boss Rona alikua na keys za home kwangu. Nilichofanya ni kuchukua taxi kabisa ili niwahi. Kufika home namkuta kweli on my bed, yuko kama alivyozaliwa kajitenga ule mkao wa mbuzi kagoma, it was a spectacular sight,yaani lile tako linaniface mimi dah!.



    I removed my clothes, every piece of cloth. Inches zangu 8. S'thing zipo 45 degrees to the north, wala hata hatukusalimiana, wala kuongea chochote, ikawa kama nalenga shabaha. Mzee nikailengesha ikazama yooote, bila kumgusa sehem nyingine ya mwili, yaani mashine ikapenyezwa bila msaada wa mikono, mikono yangu nimeifunga nyuma ya kiuno changu, nikaacha kwanza mshedede usalimiane na mwenzie.



    After some takos, nikaanza kumzabua vibao vya matako. Nnachompendea boss Rona, nyama zake laini kinyama. Ukizichapa kibao zinashake kama umedumbukiza shilingi kwenye beseni la maji. Kiufupi wazee, nliinjoi.



    Lyamuya ofisini wala hakuonesha kukasirika, aliendelea kunichangamikia tu. Days went by nikawa namsoma kabisa anazidi kufall kwangu, ila mi ndo shaghairi mazima.



    Then one Saturday evening something happened. Nlikua home siku hiyo. Nipo kwenye kibaraza cha hapa kwangu. Nimekaa kwenye ile misingi ya kibaraza, mgongo umeegemea nguzo nyuma na miguu imekanyaga nguzo mbele. Nlikua nasoma kitabu kimoja kinaitwa the Doomsday conspiracy kilichoandikwa na lengendari mwenyewe kwenye fasihi andishi, Sydney Sheldon.



    Kwa mbali nikasikia vicheko vikaondoa concentration yangu kwa muda. Kucheki mbele, nikamuona msichana mmoja akiwa na dogo mwingine wa kiume wananyang’anyana kitu kama boksi huku wanacheka. Kilichonifanya niendelee kuwatazama ni huyu msichana. Kwa umri alionekana atakua yupo sekondari, sikuwahi kumuona hapa quarters za shirika kabla so mawazo yangu yakanambia atakakua yupo likizo hizi za mwisho wa mwaka.



    Kilichokamata Zaidi attention yangu ni wajihi wake, she looked indian au half cast flani. Alikua amevaa mtisheti oversize na umepauka umeandikwa Celtel, pia kavaa pensi flani ya kijani kama ya timu ya Yanga material yale ya kuvutika, na pensi yenyewe ilikua kama imevutika eneo la mapajani na kumpa muonekano flani usiovutia sana. Miguuni kavaa ndala za umoja.



    Yule binti ghafla akatizama nilipo, nikajistukia, nikarudisha macho kwenye kitabu. Nikaanza kuhisi kama anakuja vile uelekeo wangu. Na kweli, baada ya sekunde kadhaa nasikia shikamoo!, nikanyanyua macho, nikaitikia Marahaba! Then nikakosa cha kuendelea kusema. I will not lie, even though she was not appealing sexually to me at first sight, but she had the most beautiful eyes I have ever seen, Ever!!!!.



    “kitabu gani unasoma?”, nikamjibu [Doomsday conspiracy], “ni kizuri?” [sana], “unapenda sana vitabu eeh?” akaniuliza huku akikichukua kitabu from my hands, [yup, unapenda pia kusoma vitabu?] nikajikuta namuuliza. Akajibu, “sio sana, apart from the novels we read in school kama the black hermit, sijasoma vitabu vingine”.



    Nikajikuta naanza kutoa semina ya uzuri wa kujisomea vitabu . “wow! You really like books, unavyoongea naona kabisa unaongea from your heart, can I borrow this book nikajaribu na mimi kusoma?” nikamwabia, [hiki hapana, ila nina vingine kibao ndani, twende ukachague], hakua na kipingamizi, yule dogo mwingine ambaye nilifahamu baadae ni mtoto wa jirani yao akawa anafuata tu kwa nyuma.
    http://pseudepigraphas.blogspot.com/



    Kufika ndani, nikaona binti anachanua midomo kwa mshangao. Hasa alipoona my library. I really like reading so ninavitabu vingi sana ndani. Nikaanza kumuonesha vitabu vya mwandishi aliyeandika kitabu alichokuta nakisoma. Nlikua nna collection ya vitabu Zaidi ya 15 vya Sydney Sheldon, kama vile; Master of the game, Tell me your dreams, Bloodline, Nothing lasts forever, If tomorrow comes, Rage of angels, The other side of midnight, Windmills of the Gods, The sands of time, Memories of midnight na kadhalika.



    Then akaona yale mavolume makubwa akawa anashangaa, “unawezaje kusoma likitabu likubwa kama hili?” akauliza huku ameshika kitabu cha Pillars of the Earth cha mzee baba Ken Follett (ambaye pia nlikua na collection ya vitabu vyake kama Winter of the World, Eye of the needle, Fall of giants, Dangerous Fortune n.k).



    Nikamwambia hata wewe ukikianza huezi kukiacha. Nikamuuliza kama ameshawahi ona movie ya hicho kitabu, akasema hapana, nikamwambia story tamu kama hizi Hollywood wanazitengenezea movie, ingawa kwenye movie mambo mengi yanakua yameondolewa, so its better to read the book than watch its movie.



    “kitabu gani kingine kimechezwa movie?” akauliza, ‘the Bible’ nikajibu….. she got the joke and she laughed. Then nikamtolea kitabu cha mtaalam mwenyewe George RR Martin, A song of ice and fire . mpaka muda huo nlikua na vitabu vyake vinne,

    - A game of thrones

    - A clash of kings

    - A storm of swords

    - A fist of crows

    Nikamwambia, “hapa duniani kuna intelligent people wengi, ila watu ambao ni genius wapo wachache sana, mind you, unaweza ukawa genius na ukafeli masomo darasani. Ma genius nnaowajua mm ni Albert Einstein, Michael Faraday, Alexander Graham Bell, Mozart na George RR Martin huyu aliyeandika hivi vitabu, ametengeneza a masterpiece in literary works” (kwa wasiojua hii a song of ice and fire ndo imetengenezwa series ya a game of thrones, kama ulipenda hii series, basi jua waliosoma vitabu vyake waliinjoi Zaidi),



    maelezo yangu juu ya vitabu yalimvutia huyu binti ambaye mpaka wakati huo sijajua anaitwa nani na anakaa wapi. Baada ya lecture yangu, nikamshauri achukue kitabu kidogo ili akasome, na nikapendekeza kitabu cha James Hadley Chase, “find him, I’ll fix him” maana nlijua ni story fupi nzuri na itamjengea ham ya kusoma Zaidi. Akachukua hicho kitabu akasepa.



    Kesho yake jpili jioni nasikia hodi mlangoni. Kufungua, ni yule binti. Kuniona akatabasamu then akasema, “huezi amini bro, ive finished the book, kidogo nikeshe” akawa ananisimulia jinsi kilivyo akasahau mm ndo nlimuazima hahahah. She liked the book. Akasema leo anachukua kingine, nikampa kitabu cha Sydney Sheldon kinaitwa Zoya. Ni kikubwa kiasi, nikajua kitamkeep busy wiki yote.



    Na kweli, kuanzia j3 hadi ijumaa sikumuona. Nikajikuta natamani weekend ifike nimuone tena, sio kwa ubaya, ila niliinjoy zile conversations. Halafu pia, nilikua napenda jinsi anavyojiamini, yes she is young bt ni mtu ambaye hana ule uoga wa kitanzania, anaconfidence na akiwa anakuhoji maswali yake ya kiudadisi hakwepeshi macho, anakutazama direct kwenye mboni zako, unajikuta wewe ndo unakwepesha macho.



    Na kweli jumamosi akaja. Ila alikua kama hajakimaliza kitabu, yaani ile ameingia ndani kapitiliza kwenye kochi kakaa then kafungua kitabu akawa anakisoma. Kuangalia alikua amebakiza page chache amalize. Nikaona na mm niendeleze kitabu changu, by now nlikua nasoma kitabu cha John Grisham, ‘the rain maker’. Nikiwa nasoma huku nnapata kinywaji changu pendwa, mm nakiitaga ndege (the famous grouse),. She is a student so I didn’t even bother to offer her a glass.



    Baada ya muda namuona amemaliza kusoma alafu ananiangalia. “Don’t ever give a book of this kind to me again” akaniambia kwa sauti isiyo ya ukali lakini yenye userious. Why?, “last night I slept at 4.30am, and I cried a lot” akanijibu huku akielekea kwenye shelf la vitabu.



    Akarudi kwenye kiti akiwa ameshika kile kitabu alichonikuta nakisoma last week. “whats your name?” akaniuliza, nikamtajia, nikamuuliza pia jina lake, aliponijibu ndo nikaunganisha dots ambazo wewe msomaji ushaziunganisha tayari. Anaitwa Norah Mekonnen (somo lingine kwa.mabaharia, ukimuuliza binti jina akakujibu kwa majina mawili jua huyo bado mwanafunzi kihalisia na pia ktk haya mambo)http://pseudepigraphas.blogspot.com/



    Alivyotaja jina nikawa kama nimeduwaa. Baada ya sekunde ndo kuanza kumhoji vizuri, akasema ndiyo, ni mtoto wa Rona, yani ni mtoto wa boss Rona, mtoto wa mwanamke nnayejilia kama mke wangu. Dah!, na binti naye kaanza kunihoji pale nafahamiana vipi na mama yake, nikasema ni boss wangu, akajidai kuniuliza pale kama she is a good boss, nikamwambia she is the best,



    alivyosikia hivyo akatabasamu then akanambia, “my mother is the most amazing woman I have ever met, I love her to death, and I am happy that she is my best friend, maana mama yangu bado kijana so we hang out and we talk abt everything, she is amazing”.



    Alivyokua anamdescribe mama yake, nikajikuta napandisha midadi, ukichanganya na ulevi niliokua natumia, nikajikuta nachukua simu namtumia ujumbe boss Ronna.



    [i know weekends ni muda unakuwa na familia yako, bt I need your body boss, pls njoo bila chupi], baada ya muda nasikia milio ya msg zinaingia bt hata sikuziangalia.

    Norah akawa ananihoji pale khs what I studied, nikawa namjibu. Then kaniuliza plans zangu, nikajikuta naropoka tu, “after 5 years I will start my own company”, wow! Akajikuta ametamka, then akawa ananipongeza kwa vision na nini hahaha.



    Mara ngo ngo ngo, dogo kaenda kufungua, uso kwa uso na mama yake. Baadae nlikuja kufahamu mama yake alikua anajua binti amekuja kwangu kurudisha kitabu na kuchukua kingine, kimsingi Ronna hakua na wasiwasi na mimi, she thought im a good boy and wont **** a teenager hahahaha.



    Boss Ronna akamwambia dogo arudi home maana kuna issue mimi na yeye tunatakiwa tudiscuss abt work. Wakati anaondoka akaniaga, “Bye Bro” mm nikamjibu ‘by Kiddo’. Yaan mpaka leo ananiita bro, na mm namwita kiddo hahahaha.



    Norah alivyosepa, boss Ronna kanifuata nlipo. Nlikua nimekaa kwenye office chair, akanikalia na kuanza kula denda. Kumpapasa ndani ya gauni naona sigusi chupi, yaani nakutana direct na nyama za tako. Ayah, yah, yah, yah, yah, yah. Akiwa bado anahangaika na lips, nikafungua zipu ya jeans nliyokua nimevaa, dushe nikaitoa then nikaiweka usawa wa nanlii. Kuisugua sugua kwenye kitumbua naona boss kaishika kailengesha then kaisokomeza. Meeeeeen. I lasted very few takos. Maana she knows how to shake that waist…





    {kwa wiki mbili sasa nipo moja ya nchi za Asia nikifukuzia deals kadhaa. Kumradhi nilishindwa kuendelea kuweka mfululizo wa hiki kisa. Ila usiku huu, ambao hapo home ni jioni bado, naomba niwaletee muendelezo. Tukumbuke pia wakati mwingine inabidi nidilute sana uhalisia ili kuendelea kuweka reasonable doubt kwa wote watakaohisi wanahusika}



    Norah alizoea sana kuja kwangu, huenda kwa sababu ya hobbie mpya nliyo mjengea ya kusoma vitabu, au huenda home alikua anakua bored sana, or maybe she just liked my company, maana ingawa nlikuwa nimemzidi miaka takribani 7 lakini compared to other neighbours, I was younger and huenda alikua anajisikia faraja ile kuhang out na mm. kwahiyo mara nyingi weekends alikua ikifika mida ya saa tisa anakuja.



    Pamoja na kuwa alipazoea sana pale kwangu kiasi cha kutokua anabisha hodi mlangoni [yaani alikua anaita tu broooo!!!, then anafungua mlango], tulitokea kuzoeana sana pia. Yale mazoea utadhani marafiki wa siku mingi. Tulijikuta tumezoeana mpaka akawa anatumia choo changu (ingawa choo kilikua ndani ya nyumba, ila hakikua chumbani), utasikia anasema, “bro, nataka nkakate gogo”, na mimi namtania [sitaki harufu kwangu kiddo, go home], then anakimbilia toilet kwangu huku anacheka. We were that close.



    Ingawa we were very close, ila hajawahi niuliza issue za kuwa na demu, wala mm sjawahi muuliza kuhusu kuwa na boyfriend, I just assumed she is too young to have one. Apart from the books we both liked, story nyingine tulizokua tunapiga nae ni kuhusu magari (we both loved cars, big luxury cars), pia tuliongea kuhusu her mother sometimes. Na ndipo nilipogundua the impact of mahusiano yangu na boss Rona. Kwa mujibu wa huyu Norah, katika kipindi hiki since ametoka shule mama yake amekua na furaha muda wote.



    Nilipo muhoji “ina maana mama yako alikua hana furaha siku zote?” akasema, sio kuwa hakua na furaha, ila kipindi hiki anaionesha live, yaani anatabasamu mara kwa mara hata bila sababu, anacheza Zaidi na watoto, sometimes akitoka job akinikuta ataninyanyua aanze kunichum na kuanza kucheza na mimi mziki hata kama hakuna mziki unaoimba, so the happiness is more evident kipindi hiki. “kuna kitu kinampa furaha, and I’m happy she is happy, whatever she is using she must keep it”. Mimi nikajikuta tu nahamisha mada,…



    Pia katika maongezi ndo nikajua ameshamaliza kidato cha nne. Alikua anapenda kusomea sheria ingawa mama yake alipenda awe daktari. Mm nikamwambia itategemea umefaulu masomo yepi, akatoa ile sauti ya kicheko cha kuguna, then akasema, “you know nothing, bro” akikopi msemo maarufu wa kwenye kitabu alichokua anasoma kipindi hico cha ‘A song of ice and fire’ a.k.a game of thrones (you know nothing John Snow). Baadae matokeo yalivyotoka ndo nikajua alimaanisha nini, dogo alipata marks za chini kwenye Mathematics na Civics ambazo alikua na C, masomo mengine yote biashara, sayansi na Sanaa alikua na A na B.



    Pia alikua anasema ingawa atasoma sheria ila baadae sana ataanzisha biashara yake mwenyewe. Basi nikajikuta naropoka tu, “itabidi usomee biashara, why waste time on law wakati unapenda kufanya biashara”. Akasema, napenda vyote, sheria itanifanya niwe na title ila biashara itanipa pesa. “bt biashara itakupa vyote, title na pesa”, akatoa tena kile kicheko chake. Kasha akasema “ntasoma Law au Medicine anayotaka mama, biashara inafanywa, haisomewi bro”.



    Oneday kama kawaida yake mida ya saa tisa na nusu kaja. Kufika mlangoni akaita, ila hakuingia. Aliona viatu vya kike mlangoni. Akawa anarudi. Mimi kwakuwa nlishasikia anaita, nikamuwahi kabla hajafika mbali. “hey Kiddo, karibu ndani”, akanigeukia, sura yake sikuweza kuisoma kama amekasirika ama la, ila ule uchangamfu hakua nao. “ntakuja kesho”. Akageuka zake akawa anasepa. Nikatamani nianze kujieleza, ila nikawa nashindwa. Maana nikijielezea itakua kama najitetea wakati its not like we were lovers, she was just a friend. So nikabaki nimesimama namuangalia tu mpaka kapotelea uelekeo wa home kwao.



    Nimerudi ndani aliyekuepo akaanza kunicheka. Alikua ni my twin sis ambaye yeye na maza walikua Dodoma kwa issue ya biashara lakini pia kunisalimia. Sis yeye alikuja mapema ila mom alisema atakuja jioni sana. Pamoja na kuwa sikuwa nafanya chochote kwenye kampuni ya familia, ila nilikua na shares in the company. Mwisho wa mwaka kama hivi, ilikua ni lazima niparticipate kwenye vikao vya bodi ya wakurugenzi. Mom na Sis walikua waendeshaji wa shughuri za kila siku, ila inapofikia wakati maamuzi makubwa hasa yanayohitaji kupiga kura I was involved na kura yangu mara nyingi ilikua inakua upande anaoutetea mama yangu. Sikua na akili, ujuzi wala mbinu za uendeshaji biashara, and my mom built the company on her own, so I always sided with her judgement.



    Norah alikua amesema atakuja next day, right? Guess what, hakuja hiyo next day na sikumuona the following week, na the other week. Wiki mbili sijamuona. Hadi ijumaa ya wiki ya pili, boss Rona akaniita ofisini kwake, nikajua anataka dushe ofisini, I was not in the mood. Sikujua hata why najisikia kama napaswa kuonana na Norah nimwambie kuwa alichokiona sicho anachofikiria. And this pissed me off in a way.

    http://pseudepigraphas.blogspot.com/

    Nlipoingia tu ofisini kwa boss, akasema “kesho jumamosi ni birthday ya Norah, ukaribie. I consider you her friend so najua atafurahi ukiwepo”, nikamjibu tu sawa. Wakati natoka nikasikia, “by the way, I miss you. Ntapitia kwako leo, ok”, “No my sister is around, akiondoka ntakujulisha”, then nikafungua mlango nikasepa. Sikua nimemdanganya, Sis kweli alikuepo, alikua na bwana ake Dodoma so wakati mama alikaa wiki moja, yeye aliendelea kuwepo Dom.



    Jumamosi mida ya saa moja, nikatoka home mm na sis. Ingawa alikua my twin, ila good looks zote nilichukua mimi. Yeye alipewa tu shape. Na kweli kajaaliwa. That day she dressed to kill. Akawa amenishika mkono ili kupata sapoti ya kutembea na high heels, tukatinga kwa Boss. Aliyetufungulia mlango, Norah. Alivyotuona sura yake ikajikunja kwa nusu dakika alafu akarudia hali ya kawaida, ingekua vigumu kugundua kama ningekua simfaham vizuri, bt I knw muonekano wetu ulimtatiza kiasi. “karibuni” tukaingia, tukamkabidhi zawadi tulizokuja nazo, (nlimletea kitabu cha George Clason kinaitwa ‘The richest man in Babylon’, perfume and a T-shirt) then nikamuacha sis pale sebuleni na wadada/wamama wengine, nikapitiliza hadi nyuma ya nyumba ambako wababa/wakaka wengi walikuepo wakikata ulabu. Sikua hata na hamu ya pombe, so was just drinking water.



    Muda wa party niliutumia kupiga story na watu mbalimbali, bahati nzuri asilimia kubwa ilikua wafanyakazi wenzangu, kuna muda nikajikuta napiga story na KM mwenyewe. Akawa ananipa story alivyokuwa mchezaji maarufu na namna ambavyo mpira haujamlipa kama wachezaji wa siku hizi, mm namsikiliza tu, kwa mtu aliyekua ananifahamu ange detect kabisa leo Kiga hayuko sawa. Wakati wa msosi sis alikuja tukawa wote, yeye ndo nadhani alinisoma vizuri na sababu ya kutokua sawa aliigundua pia. Aliona kila mara namuangalia Norah, and I was not happy.



    Wakati sis amerudisha vyombo tulivyotumia, baada kama ya dkk 10 hivi nikamuona anakuja nilipokua akiwa ameongozana na Norah. Nikawa namuangalia vizuri sasa Norah,. Alivaa top nyekundu ikiwa na picha ya ua rose kifuani, alikua na sketi fupi kiasi inayofika juu kidogo ya magoti na kukuachia kidogo tu uone mahali utam unapoanzia. Sketi ilikua nyeusi na sio za kubana, ilikua kwa ndani ni kama ngozi inayoshine, ila ina layer kwa nje ambayo ni kitambaa chenye matundu kama ya chandarua. Mguuni alivaa viatu vyenye kisigino kirefu kiasi, kikiwa na kamba flani za ngozi amezizungusha hadi chini kidogo ya magoti.



    Juu ya kitop alichokua amevaa alikuwa ameweka kikoti cheusi cha jeans, ila kikoti kilikua kifupi kinaishia chini kidogo ya mbavu ya mwisho, naam usawa wa kitovu. Nywele aliziachia zichanue, nywele zake kawaida hua zinakama mawimbi ila siku hiyo sijui aliziwekea nini, zilikua zimenyooka kikining’inia mabegani. Ile sura ya kihabeshi ilimpa muonekano flani amazing, hasa pua yake iliyochongoka na macho ambayo mara zote nimekua nikiyasifia.



    “shikamoo”, nikashtuka, nikakaa sekunde kadhaa nashindwa kuitikia. Kwasababu kwanza sio kuwa ndo tulikua tunaonana, tulishaonana mlangoni. Pili, hakua na mazoea ya kunipa shikamoo Zaidi ya zile siku za kwanza kwanza kuonana. “Marahaba” hatimaye nikaitikia. Then nikaanza eti kuwatambulisha, wakati wamekuja wote hahahaha, “Norah huyu twin sis wangu anaitwa xxx”, sis akadakia, “tambulisha vizuri dogo, mwambie kabisa mm ndo kulwa”, for the first time in weeks nikaona tena tabasamu la Norah. I smiled back. “well”, Norah akadakia “nlikua najua Bro….. Kiga ana twin sis bt sikujua yupo Dodoma”, nikatumia hiyo fursa kujielezea sasa, “that day ulivyokuja ukaishia mlangoni ndo alikua amefika, nilikuomba uingie nikutambulishe ukakataa”, nilijieleza kwa sauti ile ya kama unalaum. Sis ikabidi atuache, Norah akakaa near me, “am sorry, sikujua, nilikua nna ……..” kabla hajamaliza tukasikia MC wa siku hiyo anamuita ili tumuimbie happy birthday na kukata keki. So akasepa kabla hata hatujaongea fresh.



    Baada ya birthday song, akawalisha keki watu wake wa karibu, mimi sikuwa kwenye list, na hata sikumind. Then Boss kasimama akatoa kahotuba kafupi, akasema “ingawa leo ni siku ya kuzaliwa mwanangu kipenzi, na rafiki yangu mkubwa Norah, lakini tumetumia siku hii pia kumpongeza kufanya vyema mitihani yake (tukapiga makofi). Pia siku hii tunamuaga rasmi maana jumatatu shule zinafunguliwa na kesho jumapili tunasafiri kwenda Mwanza (watu wakapiga makofi, mimi nikawa nimeduwaa tu). Mwanangu ameamua kwenda kusoma masomo ya biashara, tunachukua nafasi hii kumpongeza sana na Mungu akamsimamie (makofi Zaidi)”. Boss alivyotamka Norah anaenda kusoma biashara, tukajikuta tumeangaliana na Norah, akatabasam then akawa anaongea bila kutoa sauti kwa ishara ya mdomo tu akisema “thank you”.



    Pati imeisha pale, nikawa najiuliza namuagaje Norah, maana kesho asbh ndo anasepa. Nikawa sina jinsi kabisa wala idea. Tukawa tunaondoka tu na sis, tukafika mpaka walipo Norah na mama yake (walikua wamesimama pamoja wakiaga wageni mbalimbali) Sis akacheza kama Messi. “Norah nimefurahi kusikia unaenda kusomea biashara, mimi pia nilisoma hiyohiyo kombi, na ungekua huondoki kesho ningekupatia kitabu flani kingekusaidia sana”, “wow, unasafirigi nacho?” boss Rona akauliza, “hapana, huyu dogo (akimaanisha mimi) alikichuguaga home sijui alidhani ni novel”. “basi nendeni nae akichukue, ila Kiga hakikisha unamsindikiza wakati wa kurudi maana anaeza kutana na hawa walevi waliokua hapa wakamsumbua”,..



    My sis was very good in Mathematics, na watu wa aina yake huwa wana intelligence inayoitwa “logical”, (according to mwanafalsafa mmoja anaitwa Howard Gardner, kuna intelligences tofauti zaidi ya tisa, so hakuna mtu ambaye sio intelligent, ndo maana huwezi sema Nyerere alikua intelligent Zaidi ya Hemedi Maneti au Remmy Ongala or kuwa Bakhresa ni intelligent Zaidi ya Malota Soma au Hussein Masha) sasa hawa watu wenye logical intelligence usiombe ucheze nao mchezo wa draft, wanauwezo wa kufikiria hatua Zaidi ya tatu kabla yako. Na ndicho kilichotokea nadhani, Sis alicheza kete moja tu, Boss Rona kajileta mwenyewe katoa kingi yake.



    Hao, mimi, Sis na Norah mguu mpaka home. Sis akawa anatupigisha stori pale, mimi naitikia tu, Norah yeye hakua anasema kitu, sijui alikua anawaza leo anaenda kuliwa hahahaha. Kufika sis kaingia kajidai anatafuta kitabu, then akasema “dogo mrudishe mwenzio, kitabu nadhani maza kaondoka nacho, nitampelekea nikienda Mwanza next month”. Basi tukawa tunatembea mdogomdogo zile za sekunde tatu hatua moja, mwanzoni hata tukawa tunashindwa tuongee nini, ikawa kama hata hatufahamiani, wakati we were like best friends. Baadae nikaona amenisogelea huku tunatembea, then akanishika mkono. Nikajidai sijafeel kitu, tukaendelea kutembea taratibu, ikabidi nivunje ukimya, “mvua siku nyingi hazijanyesha”, and she loughed, she loughed hard yani, ile ya kuvunja mbavu. “mambo ya mvua yametoka wapi?”, [sasa ningesema nini mwenyewe umenuna], akazidi kucheka, wakati huo tulikua tushafika pembeni ya ukuta wa nyumba wanayokaa.



    She turned to look at me, hakua karibu sana, alikua ile tunaiita safe distance. With those big cute eyes she looked at me and asked, “will you miss me?” while staring back at those eyes nikamjibu [offcourse kiddo, I will miss you much], “utamiss nini Zaidi?” akaendelea kuuliza, [our conversations], she smiled, akawa ametazama chini, nikaendelea [and your smell, and your laughter, and your beauty and most of all your eyes], nliposema eyes akanitazama tena, as if kusema here they are. Nikamuuliza pia, [will you miss me], she didn’t reply, after few seconds of silence, she approached me, from safe distance tukawa sasa kwenye ile ‘anything can happen distance’,…



    She put her hands around my neck and invited me to kiss. I accepted. She had this taste that I cant describe. Ladha flani hivi ya innocence. I was kissing her upper lip, yeye anakiss ya chini, tulianza kichwa changu kulia kwake chake kukulia kwangu, then vichwa kikabadilishana positions lips nazo zikabadilishana positions. She was soft. Muda huo, my hands zikawa zinatambaa mgongoni kwake, baada ya muda nikasema isije lolote likatokea nikaondoka bila kushika tako lake. Nikateremsha mikono nikayashika. Nikaona kama amestop kunikiss kwa sekunde kama mbili then akaendelea, nikajua hapa nimepewa go ahead ya kupapasa tako. Nikaingiza sasa mikono kwa ndani ya sketi kupitia kiunoni, vidole vikapenya hadi ndani ya chupi yote hii niliguse tu tako live. Yah yah yah yah yah yah, nlivyoyafikia sikujutia. Yalikua laini balaa, madogo … hapana nisiseme madogo, niseme sio makubwa, yes sio makubwa ila malaini.



    Mzee nikawa nayaminya kama Bill Nas (Samahani Nandy kama utasoma hapa). Ile pindo la sketi kiunoni likawa linalimit movement zangu, nikachomoa mikono nikaipitisha chini ya sketi, nlivyofika kwenye chupi kikaikamata kuishusha, ila kabla sijafanya nlichokusudia akajichomoa fasta. Hapo nimedinda mbaya. Akawa amesimama anajiweka sawa, nikawa namsogelea nilianzishe tena. Nikasikia “stop”, nikaacha. Akanitazama tena usoni, akasmile then akanambia “goodnight bro”, akasepa mhabeshi wangu.



    (Hapa nilipo muda huu ni karibu midnight, pamoja na kuwa siku ilikua na pilika nyingi imebidi niandike fasta ili kutimiza ahadi ya jana kuwa leo ntaendeleza kidogo. Kwa sababu ya uharaka naweza kuwa details zimepungua or lack of flow mtanisamehe)



    Inaendelea.....



    Ushawahi kesha kwa sababu ya hisia za mapenzi?, well, it happened to me that day. Nimegalagala kitandani tu mpaka saa 11 asbh. Kama kuna mchawi siku hiyo alikuja room kwangu akawa ananiangalia nadhani alihisi nimekua chizi, maana I was smiling to myself a lot. Ile hisia ya mapenzi inayokujaza kifua kwa joto flani kama umemeza moto. I had not experienced that kind of love before. Nilishakua na mahusiano ya kugegedana na wasichana wengi sana, hasa chuoni, ila sijawahi kuhisi this kind of love. That kiss was like key that opened all these feelings that were locked for a long long time.http://pseudepigraphas.blogspot.com/



    Baada ya kujua kwa hakika kuwa nimefall in love na Norah, sikutaka tena chiu ya boss. Kuna siku kaja home kwangu akitaka dushe, ila akili, mwili na moyo vyote vikawa vinagoma nisimgegede. After all she is a mother in law tayari. Nakumbuka siku hiyo alivua kabisa nguo zote pale sebuleni, ila walaa. Nikawa nasingizia naumwa. Basi akaingia Imani akavaa nguo kaenda kitchen kuniandalia juice, dah.



    Kule shule kwa Norah hawakuwa wanaruhusiwa simu, ila kama mjuavyo hizi shule za boarding huwezi kukosa walau mwanafunzi mtukutu mmoja mwenye simu. So ratiba yake kila jumamosi atatafuta time ananipigia kwa simu ya mmoja wa madenti wenzie. We were talking a lot. Ule urafiki ukawa umerudi maradufu. We joked, we loughed, sometimes tulikasirikiana kilavidavi ivo yani. Mara nyingi alikua ananikumbusha namna that kiss ilivyompa raha. Mpaka that time nlikua sijamuuliza status yake ya mapenzi, kama ashawahi liwa ama bado, na hata sikuwa na wazo la kumuuliza, na hata yeye hajawahi niuliza.



    Kitu kimoja kilichofanya niendelee kumpenda Norah, kuna muda alionekana yuko so matured tofauti na age yake. Akiamua kukushauri kitu utafikiri mtu mzima. Kwa mfano issue ya kampuni nliyomwambia ntaianzisha, mara nyingi alikua ananiambia nisipochukua maamuzi magumu ntaishia kuiota tu kampuni. She adviced me to set goals. Yaani kama mahitaji ya kampuni inahitaji vitu kadhaa kuianzisha, basi niset timed goals ambazo zinapimika kila baada ya muda mahsusi. Na cha Zaidi akashauri nimwambie mama yangu anipe mtaji lakini niwe tayari nina something ili mom awe kama investor tu kwa % kadhaa. Nilimuona ni mtu mwenye vision, ingawa suala la kuomba collabo na mama sikulitaka, my dream was tk own 100% of my company kama nikijaliwa kuianzisha, shares ntawagawia mke na watoto.



    Zaidi Norah alikua ananipa moyo. Anasema eti I have everything that a man need to succeed in life. Nikamuuliza kama vipi? Akasema, “kwanza, uko educated na zaidi bado unapenda kujifunza mambo mbalimbali, hii inakufanya uwe up to date. Pili you have a rich background kwa hiyo kuna level ya umasikini huwezi kuiishi na tatu you have good looks which makes you attract people na hivyo kukufanya iwe rahisi kutengeneza connections”, nikawa nambishia pale kuwa hivyo alivyovitaja sio ingredients za mafanikio nikawa namtolea mifano ya watu waliofanikiwa na hawakuwa na vyote hivyo.



    Yeye akawa anabisha akisema kama mtu hana hivyo na katoboa in life basi ni mwizi. Hiyo topic ikapelekea kuniambia my good looks zinaweza kumshawishi mwanamke yoyote nnaye mtaka nikamla. Yani haka katoto, nikakabishia kwa mifano pia, maana kuna wasichana nilishawaaproach wakanitolea nje. Akasema haamini kama kuna msichana anaweza nikataa. Eti akanipa assignment, nimtokee Miss Dodoma wa wakati ule, Miss Dom, dah... hahahaha. Tukaishia kucheka.



    Assignment ya miss Dom mwanzo nikaipotezea, ila akili ikawa kama inanishawishi niifanyie kazi. Kuna siku nipo town na washkaji katika story wakasema mashindano ya Miss Dom yanafanyika in two weeks, na warembo wako kambini tayari. Nikasema ngoja nikatest zari niprove kama kweli naweza kung’oa dem yeyote.http://pseudepigraphas.blogspot.com/



    Nilikua na uhakika atakua mmoja wa wanaowacoach mamiss wapya, ila huezi mfuata tu ukamla kimasihara, you needed a plan. Plan ya kwanza ilifeli, maana nilimfuata regional manager ofisini kwetu kumuomba eti shirika liwe moja ya masponsor wa shindano, nikijua ikiwa hivyo ntapata access ya miss Dom. Manager kanijibu, "bwana mdogo, hizi kazi tunazofanya na u-miss wapi na wapi?". Nikawa mpole.



    Time for plan B. nikaenda kwa waandaaji wa miss Dodoma, nikaunganishwa na promoter mwenyewe, top manyota. nikamwambia, “boss, nina kampuni (wakati huo hata sina) na kampuni yangu ingependa kutoa mchango kwenye hii kitu mnayofanya”, basi promoter akawa excited kweli akajua kuna mshiko, hahahaha. akaniita tukakaa ofisini. “ehee, kampuni yenu inajihusisha na nini na mnatusapoti vipi?”, nikamjibu, “kwa kuwa ni kampuni changa, lengo letu ni kutoa tu mchango kwa hawa vijana ili kukuza uelewa wao. Hatuna pesa za kutoa" kusikia hakuna pesa nikaona kabisa interest yake inapungua, nikajua nikiendelea kuongea hizi blabla atanitimua.





    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog