Search This Blog

Sunday 20 November 2022

HOW I MET MY WIFE - 5

 

    Simulizi : How I Met My Wife

    Sehemu Ya Tano (5)







    Sisi tunapanga yetu kumbe Mungu nae anamipango yake. Mwezi mmoja tu tangu arudi, akanambia anamimba. Alitegemea nifurahi alivyonipa taarifa ila sikuonesha furaha. Hii ilimchukizq na kuhisi sina mpango wa muda mrefu naye. Ikabidi nimshawishi kwa kumwambia mawazo yangu ni kwa bibi wa mtoto, hataweza kumkubali. Akaahidi ataenda kuongea nae. Kuna kitu kikawa kinaniambia kabisa hii ndo mwisho wako na Nora, bt nikawa ninahope maybe im wrong.



    Tulikubaliana siku hiyo hiyo akamwambie mama yake. So ilivyofika night kama saa sita hivi nikamtumia text, “nipe mrejesho, what did she say" hakujibu. Nikasubiri mpaka saa nane, kila text ikiingia nahisi yeye bt inakua sio. Nikalala.



    Kesho yake nastushwa na hodi mlangoni. Kufungua Nora. Nikajaribu kumsoma uso, naona hausomeki. Nikawa naogopa hata kuuliza swali. Nora akakaa, akaanza kulia.



    Nikkajua tu huyu kaambiwa ukweli, nikatamani kumsogelea nimbembeleze bt nikahisi atanizabua vibao. Then nikasikia anasema, “I don’t know why my mom hates you so much" then akaendelea kulia, nikajua huyu bado hajaambiwa. Ndo nikapata nguvu kumsogelea na kuanza mbembeleza. Nlivoona hatulii bado nikatumia mbinu aliyotumia kunibembeleza skuile nalia kule dom.



    Nikamsimamisha akiwa bado amenikumbatia analia, nikaanza kumfungua vifungo vya blouse aliyovaa, bahati nzuri alivaa sketi sku hiyo so nliifungua na kuiachia ishuke, akabaki na pichu. Nikawa nampapasa kuanzia mgongoni hadi kwenye matako, yaani kama nambembeleza, she was still crying. Nikambeba hadi kitandani. Nlivomlaza chali nikaenda direct uvinza. Nikkaona taratibu kilio kinabadilika, from huzuni tu utam. Nlimchezea sana that day, yani hadi nakuja mimi kuingia ashajifunga sana magoli.

    http://pseudepigraphas.blogspot.com/

    Baada ya mechi akawa amechangamka sasa. Ndo akanisimulia ilivokua… akasema, “nlivyorudi home jana nlikuta mom hajarudi, so nikajitahidi kjmpikia msosi anaopenda nikakaa kumsubiri. Wakati anakula nikamwambia, mom kuna kitu nataka kukwambia…. Mom akaacha kula akaniangalia kwa muda bila kujibu kitu, Nikamwambia I think I am pregnant. Wala hakustuka, ndo kwanza akaendelea kula… nlivoona ukimya nikamuuliza mbona haulizi hata ni ya nani, ndo akanijibu anajua ni ya nani, na kwa taarifa yangu nisijidanganye kuwa kubeba mimba kutamfanya akuruhusu ww unioe, eti labda tusubiri afe…”, alipofika hapa nikaona anaqnza kulia tena…. Dah nikikumbuka shughuri iliyomfanya anyamaze ile mwanzo nikaishiwa nguvu.



    Nikawa nambembeleza kawaida. Nikamwambia itabidi niende personally. Nikamshawishi arudi home then jpili mm ntaenda kuongea na boss. Nlichagua jpili kwa maana nlijua Nora lazma atakua ameenda church na watoto na alikua ameniambia KM hayupo that week. Akakubali plan yangu, akarudi home.



    Jpili mapema kama saa nne nikafika mbele ya nyumba ya KM. Nikagonga akaja kufungua housegirl, boss alikua room kwake so nikaambiwa nisubiri sebuleni. After few minutes akaja. She still looked beautiful though niliona ule ujana umemuisha. Nikawa natafakari nimsalimieje… nikajikuta nimetamka tu “shikamoo mama"… wala hakujibu, … “unafanya nn hapa", ndo alichoweza kuniambia. “nimekuja kukuomba msamaha boss, am sorry for everything that happened “, hii kama ilipandisha hasira zake. Maana alianza kufoka, ila alitumia lugha ya kiingereza nadhani kumficha hg asielewe, “sorry for what, sleeping with a school girl or kumjaza mimba, hivi unajua nimekustahi sana Kiga, ulipaswa uwe jela ndiko unakostahili malaya mkubwa wewe, mwanaume gani usiye na chembe ya aibu, tena usiizoee kabisa hii familia",



    “Boss najua unahasira, hata ingekua mm ningejisikia the same. Ila nilijikuta nimempenda Nora, sikua na nia ya kufanya kuwachanganya", hii kidogo ilimfanya apoe, maana nimegusa hasa kinachomuumiza. Nikaona ndo muda mwafaka wa kuendelea, “nnachoomba tusahau yaliyopita, tuliyofanya yabaki siri yetu na aibu yetu, hupaswi kumtesa pia Nora” nlivosema haya akawa ananijibu kwq sauti kama ya huzuni “please don’t say anything", mi nikajua ndo sindano inamuingia vizuri nikaendelea, “hapana boss, inabidi tuzungumze kama watu wazima mm na ww. Tuliyoyafanya hayakua sawa, najua ulinipenda sana, na ningumu kuruhusu mpenzi wako wa zamani kuwa na mwanao lakini ni muda sasa umepita, please niruhusu niwe na mwanao tulee mjukuu wako”,



    At this moment nikaona amezamisha uso kwenye mikono yake. Nikawa kama sielewi why kawa mpole ghafla, nlitegemeq apandishe hasira zaidi. Dakika mbili mbele nikajua why boss Rona kawa mpole kama kamwagiwa maji….



    Kumbe jumapili hii Nora hakwenda church…… ile nimeangalia mbele yangu namuona anaingia sebuleni ananiangaliakwa mshangao. Mawazo yangu yakawa yananiambia atakua hajasikia chochote. Ule ukimya uliokua pale ndani ungeweza kuukata na kisu ndugu msomaji. Wote tukawa tunamuangalia Nora. Alichokifanya alienda kwa mama yake, akapiga magoti akainamisha kichwa, “am sorry mama, I know now how you must have felt muda wote huu"…. Nikawa nasubiri anambie na mimi amenisamehe, ila alivyonigeukia nliona sura tofauti kabisa. She was burning with anger. Akiwa amemshika mama yake mkono akaniambia “how could u do this……umenionesha ni mwanaume wa aina gani …. Please get out of my life and forget us” nikawa nataka nijitetee pale “but babe…” hata sikumaliza, nlistukia amebeba stuli iliyokaribu akawa ananitwisha kichwani, bahati nzuri nikaweka mkono, nikasikia kama mfupa umekata huko ndani, akawa ananyanyua anitwishe tena, mama yake akamuwahi, nikaona hapa sio pa kukaa. Nikatoka kwa spidi.

    http://pseudepigraphas.blogspot.com/

    Ule mkono nlienda kufunga POP ndugu wasomaji. Bt it was a small price to pay kwa makosa nliyotenda. Makosa hayo nadhani yako categorized kama crimes against humanity. Sikua na namna ya kuwasiliana na yoyote kati ya Rona na Nora. Sikuweza jua Nora anaendeleaje na mimba yangu. Hii break up pia iliniathiri sana, maana mipango yangu yote ilikua inarevolve around my life with Nora. Kazini nikawa ufanisi unapungua, mpaka ikabidi Nasra anibane nimwambie kinachonisibu, nikamwambia tu ni issues za mapenzi. Kwa kweli Nasra alijitahidi kunifanya nichangamke. Alianza kuwa ananitembelea marakwamara home, ataniletea msosi,atanilazimisha kutoka ili mradi nisiendelee kukonda maana nliisha ndugu msomaji.



    Miezi ilipita, nikashangaa why nashindwa mpotezea Nora. Kwa msaada wa mitandao nikafanikiwa kujua hadi chuo alichopata. It was IFM. Nakumbuka chuo kilipofunguliwa nilikua naenda kila siku nakaa pale kantini, nikajua one day ntagongana nae. Wiki mbili hola, ikabidi niulizie ofisi yao ya registrar, nikaambiwa huyo mtu hajaripoti chuo. Bt nlikua nimedhamiria kumuona, nikahamishia trip zangu mitaa ya kwao, mpaka one day nikamuona housegirl wao yuko alone kwenye duka la jirani. Alivoniona akastuka, nikajua amenikumbuka.



    Nikamuomba asinichukulie vibaya, nataka kujua tu khs Nora. Ndo akanisimulia Nora alifanya attempts mbili za kujiua. Mama yake alichukua likizo ili kumuweka sawa mwanae. “yaani ww kaka itakua kosa ulilimfanyia da Nora ni kubwa sana", nikamwambia hapana mi nampenda siwezi mdhuru. Nikamuuliza alipo, akasema walienda Ethiopia ila wanarudi wiki hii. Nikajua ndo maana hajaripoti chuo, itakua walienda kumsaka Mekonnen.



    IFM nikawa naenda mara moja moja kucheki tu. Mungu sio Juma, kweli one day nikamuona. Na tumbo kubwa tu nikafurahi kimoyomoyo. Alikua amesimama na mkaka flani hivi shombeshombe. Nikapiga moyo konde nikamsogelea. Alivyoniona hakunipa hata nafasi ya kumsalimia… “unapataje ujasiri wa kuniface we malaya?” yaani hakujali ni mbele za watu. “Nora please, give me a chance, “…. Nikasikia kitu ambacho sikutarajia kusikia kutoka kwake, “kalale kwanza na mama yako ndo uje hapa k***lamamayako".



    Nadhani na yeye alihisi uzito wa maneno aliyotamka, maana alinyamaza kimya baada ya tusi. Aliona pia uso wangu ulivyokua umeshangaa na unaonesha disappointment. Nilikumbuka vile viapo vyake pale mwanza kuwa ataniheshimu na hataniacha niaibike, nadhani na yeye alikuwa anakumbuka the same, maana yule mkaka akawa anajaribu kumshika waondoke pale akamsukuma pia kwa hasira, kisha akaondokq huku analia akaniacha pale nimesimama kama sanamu. Kuna muuza madafu mmoja pale ndo akanistua, “oya dogo, hao mahafkast wanachukuanaga wenyewe asikuchanganye huyo, tafuta mndengeleko mwenzako” sikumjibu hata, nikasepa zangu.



    That day ndo nilimfuta Nora kwenye akili yangu rasmi. Nikaanza kumchukia. Hii ikafanya hali yangu iwe mbaya zaidi kisaikolojia. Nakumbuka ndo kipindi nikaanza kulakula mademu. Ndo ikapelekea hadi nikaanza kule wale mabinti waliokua majirani zangu kule Arusha akina Pendo. Namshukuru sana Nasra, maana aliona boss wake napotea. Maana sio umalaya tu, nlianza kua mlevi pia. Ndo alipoamua kutafuta mawasiliano na home.



    Kuna siku mi narudi zangu nimelewa saa sita hivi, niko na kidemu hata sikumbuki nlikitoa wapi. Kufika geto nawakuta my Sis akiwa na Nasra wamenisubiri nje. Nasra akakatimua kale kabinti, ndo kunipeleka ndani. Nimelewa, Nasra akanivua viatu pamoja na Tshirt, akanilaza kwenye kochi kaanza kunifuta mijasho ili nipoe nilale. Wao walilala room mi wakaniacha sebuleni. Asubuhi naamka ndo tunasalimiana. Yani Sis alivoniona fresh alilengwalengwa na machozi. Maana nlikua very rough, mindevu kama yote, nywele sizijali yani niponipo tu alafu nimekonda mbaya. Nasra alishamhadithia kinachonisumbua, so akasema ataenda kuongea na Nora. Nikamkataza tena kwa viapo yaani asithubutu. Nikawa namwambia tu it will take time bt I will get over her.

    http://pseudepigraphas.blogspot.com/

    Discussion ikapigwa fasta, Nasra akashauri nisafiri nibadili mazingira. Sis akakubaliana nae na akasema atashauriana na maza kuona permanent solution. Bt sis akasema kabisa huyu sio wa kukaa mwenyewe, he needs kuwa na mtu wa kumuangalia. Nasra akajitolea kunikeep company. Ofisi tukamuachia Mussa, kesho yake tukasepa Zanzibar kwa ufadhili na pendekezo la sister. The trip ilinireflesh kinoma. Na zaidi ya yote nlitokea kumuona vizuri Nasra. Ndani ya baibui aliyokua anavaa kulikua na shepu moja amazing mazee, na ile rangi nyeupe ya kirangi kwa.kweli she was good looking. Tulikua tukienda kuogelea nabaki namkodolea mijicho. Alikua akiona namshangaa atacheka alafu ananirushia maji. Tumekaa pale wiki, separate rooms, so usiku wakati wa kulala ndo tunaachana bt kuanzia asbh anakuja room kwangu tunashinda wote.



    The last day nakumbuka ndo akajidai mshauri nasaha hahahaha. Nakumbuka nlikua nmejilaza bed nasoma kitabu cha Simon Sinek kinaitwa ‘start with why' (btw, kama unadream zq kuanzisha biashara, au unabiashara tafuta hicho kitabu ukisome then utakuja nishukuru inbox ukimaliza), Nasra kaanza kuniambia I should not waste my life kwa ajili ya mapenzi, am still young na vitu kama hizo… nikaona ananizingua, nikageukia ukutani kabisa. Alivoona nimemind akajisikia guilty kwa kuspoil mood yangu. Akaja bed ananiomba msamaha, eti am sorry boss, sikua na nia ya kukukumbusha machungu, alivoona sijibu kitu akawa amejilaza tu next tu me. Nikaanza jisikia vibaya kuwa namfanyia sio fair, binti wa wattu has always been by my side. Nikamgeukia, nae akalalia ubavu akanigeukia, tukawa tunaangaliana.



    Hata sijui kwanini, ila tulijikuta tunatabasam.. then I touched kiuno, she didn’t stop me. Nikamsogezea lips, Nasra akazipokea. Sasa sijui nilimla kimasihara? Au aligawa mzigo kwa kunionea huruma, maana naskia wadada anaeza kukupa tu ili ujisikie vizuri. Ila nnachojua Nasra alikua wa moto balaa, alaf mlaini kama pamba. Siku hiyo alilala kwangu. Nikajilaum why sikuanza nae siku nyingi maana kama ruhusa nlishapewaga na Nora hahaha.



    Tulivorudi bongo, namkuta sis yupo bado. Ndo ananipa taarifa wamenifanyia mchongo wa kwenda kusoma Masters nje huko. Nikawa napinga sitaki kusoma. Wote wakaungana yaani Mama, Nasra na Sis kuwa itakua poa nikienda. Sikutaka kupoteza 2yrs of my life kusoma. Wanasema masters ya hiyo nchi ni mwaka mmoja tu. Na naanza mwezi ujao kila kitu washafanya.



    Basi ule mwezi wa maandalizi nikawa kama nimemuoa Nasra. Sijui aliaga vipi kwao, lakini most of days alikua pale kwangu. Hadi ofisini Mussa alishtukia namla Nasra. Na alionekana kutofurahishwa kabisa. One day akaniuliza kabisa, eti boss unatoka na Nasra? Nikamhakikishia sio kweli, namheshim sana kama mfanyakazi wangu ndo akawa kama ametulia, nikajua nayeye anampenda. Nikamwambia tu ntamuachia ofisi aiendeshe wakati sipo.



    So that’s how I went and stayed one yr in England…..





    ………….The twilight………..



    Last weekend nilifika salama home. As the saying goes, go East, go West, home is always the best. Alinipokea Shemeji yenu airport, sometimes huwa natamani nimwambie haitaji kutake all the trouble kutoka home, kunegotiate traffic njiani ili tu aje anipokee. But sitaki kuwa muongo, the sight of her as I come out of the airport mesmerizes me. Last weekend nlivomuona tu akanifuata, kabla hata hajanipokea mizigo, she gave me that long hug. Ile hug ya kuhisi mtu amedissolve kwenye mwili wako completely. Ile harufu nzuri na mgusano wa miili yetu ulifanya nijione mtu mwenye bahati kuliko wote duniani kuwa na huyu mrembo. Ikanikumbusha pia siku ya harusi yetu. Watu wote wa karibu kwangu na kwa mke wangu walikuepo siku hiyo. I felt very lucky that day. I was happy to see that even Boss Rona na familia yake yote walikuja. The only sad thing siku ya wedding yangu ni kuwa Mussa hakuwepo siku hiyo. Pamoja na mambo yote yaliyotokea between us, ila ningependa sana angekuepo pia siku hiyo.



    Mussa sikua na tatizo nae. Kwanza alijitahidi sana kumanage vizuri kampuni yangu kipindi nikiwa nimeenda UK. Nakumbuka wiki za mwanzo mwanzo baada ya kuondoka Tz, nlikua na wasiwasi sana kuhusu uendeshaji wa kampuni. Ingawa nlikua nimemuachia Mussa shughuri zote za uendeshaji, lakini sikua na Imani nae sana kama ataweza majukumu. So kila mara nlikua najaribu kumpigia simu kujaribu kuona namna mambo yanaenda. Sio yeye tu, Nasra pia nlimdadisi kila mara kama mambo yanaenda poa. Wote wawili walikua wananitoa wasiwasi. Infact, baada kama ya miezi miwili, nikaona kampuni inaenda poa Zaidi hata ya nlivokuepo mimi. Zile dili ndogondogo walikua wanazipata sana kutoka hasa serikalini maana bado jina la kampuni lilikua linaaminika. Nilipoona mambo yanaenda poa nikaacha kuwauliza na kuwadadisi sana.http://pseudepigraphas.blogspot.com/



    My life in the UK siwezi sema ilikua poa. Maana sikuinjoi kabisa. Nlikua kama roboti tu. Naenda chuo, nikitoka narudi room. Hii lifestyle ikawa inanifanya nakua kama antisocial flani hivi. Nakumbuka hata Nasra ambaye ndo mtu pekee ambaye kila siku ilikua lazma anicheki, akawa ananisisitiza sana nijaribu kujichanganya kwenye activities kadhaa. Ilifika muda mpaka nikatamani nikaongee na hawa jamaa wa saikolojia na mambo ya counselling. Bt nikaona nijaribu kujiweka bize labda itasaidia. So nikatafuta vi part time jobs pale karibu na chuo. Nakumbuka nilipata sehem kama mbili hivi, kuna maduka yanaitwa 7 eleven nikawa naingia shift ya kukesha kila ijumaa na jumamosi. Then kuna bar flani nlikua naenda kupiga kazi jumanne na alhamisi kuanzia jioni hadi saa sita usiku. This ikanisaidia tu kunikeep busy sana. Na kiukweli ilinipa pesa ambayo wala sikua na matumizi nayo sana. Kule lab (chuo) nako prof aliyekua ananisupervise alikua ananipa sana pesa, mkipiga kazi kidogo anakulipa. So nikawa kila mwezi natuma pesa in my personal account bongo.



    Kuna jamaa yangu mmoja hua anasema wanaume wote wana umalaya ndani yao. Kinachosaidia baadhi yao ni ile tu kulinda heshima. Ila isingekua hivyo basi tungekua tunatongoza na kugonga kila dem anaekatiza. Sijui kama ni kweli, ila kipindi niko UK kiukweli sikua na ham kabisa ya nyapu. Sio hata sababu ya Nora, maana Nora mwenyewe nishaanza kumsahau, basi tu sijui kwa nini hata ham ilinikimbia. So mpango na madem wala sikua nao. Nakumbuka kuna dada mmoja kutoka Gabon alionesha kila dalili anataka nimgonge, ila wala hata sikunotice kipindi hicho, nlivorudi bongo ndo nikawa najilaum why sikumla. So maisha yangu yote Uk nlikula only once, tena mechi ilikua mbovu balaa, yaani niliaibisha nchi siku hiyo nkt.



    I remember ilivobaki kama miezi mitatu nimalize masomo, nikiwa ndo kwanza nimeingia maabara asubuhi na mapema, ile nafungua email, nakutana na email ya Rona Ghatti. Subject, ‘MUHIMU’. Nikawa nimepigwa butwaa pale, nashindwa nifungue au niache. Boss Rona atanitafuta kwa lipi jema? Lazma kuna jambo baya ambalo limetokea na ameona anitaarifu. Nlipanik kinoma. Mawazo yangu yakawa yanajaribu kutafuta jambo gani ambalo limetokea. Nlikaa kama nusu saa, ndo nikapata nguvu ya kufungua, nikasoma…



    ……… Hi Kiga. Natumaini uko poa. Kuna habari ambazo sio nzuri kuhusu kampuni yako zinatembea hapa wizarani nikaona nikujulishe. Nilipoulizia nikaambiwa umesafiri muda mrefu. Please check na watu wanaoiendesha kampuni kwa sasa ili mlisolve hili kabla halijawa baya Zaidi.

    Regards,

    Rona.

    ………………



    Nikashusha pumzi. Maana sio kwa pressure nliokua nayo. Nlishaanza kuhisi labda Norah kadanja hahahaha. Bt email ikanipa pressure nyingine sasa. What’s happening. Mpaka Rona ameamua kunipa taarifa, itakua kuna issue kubwa mno. So nikaomba udhuru pale lab, nikasepa room. Mtu wa kwanza kumcheki ni Nasra. Alivyopokea tu nikamuuliza kitu gani kinaendelea pale job. Mwanzo alijaribu nitoa wasiwasi kuwa kila kitu kipo sawa, nikwamwambia asinidanganye maana nishapewa taarifa all is not well. Ndo akafunguka…..



    Mussa aliweza kupata dili moja kubwa kinoma. Ilikua kusambaza na kuinstall kompyuta mpya kwenye vyuo vyote vya ualimu bongo. Yaani ni ile tenda mkipiga mnakua mmetusua life. Shida ya Mussa ni kutokua na ule ujanja wa town, yaaani zile soft skillz za management hakua nazo, hasa ilipofika wakati anatakiwa anunue idadi kubwa sana kompyuta na wakati huohuo kuajiri mafundi wengi kwa mpigo katika mikoa yote yenye vyuo vya ualimu. Bajeti ikawa inagoma. Ikabidi asafishe account ya ofisi, lakini alivyojumlisha na ile advance ya seikali bado ikawa haitoshi, ilivyopelea ikabidi akope. Yote hayo lakini pesa ikatosha tu kununua komputa. Installation ilifanyika chuo kimoja tu, hela ikakata. Kwa kuwa huwezi wakopa mafundi, kazi ikalala. Bahati mbaya waziri akawa anatembelea chuo kimoja wapo, ndo kakuta komputa zipo kwenye maboksi bado. Msala ukasanuka.



    Nlimind kichizi. Nilimgombeza kinoma Nasra, akawa Analia tu. Namuuliza why hawakunishirikisha, akawa anasema Mussa alitaka iwe surprize, nikute mpunga tu kwenye account. Nikawa namwambia alivoona kazi haiendi mbona hakuniambia wakati tunaongea kila siku, akajitetea kuwa Mussa alimwambia kila kitu kitakua sawa so akaamini mshkaji atasolve. Nikamvutia waya Mussa sasa. Ndo akanipa mwanga kwa nini ameshindwa, lawama zote anazitupa kwa supplier wa computers, kuwa alimpandishia sana bei. Nikaona now sio muda wa kulaumiana, jamaa ataenda jela asipoangalia. Within 3 days nikawa nimeshaongea na jamaa wanaitwa ‘Wakuda Inc’ ambao walikua ni kama mahasimu wetu in business,. Iliniuma ila sikua na jinsi, nikatoa maelekezo wauziwe ile kazi. Tukakubaliana nao walipe deni tulilokopa, waturudishie pia sehem ya gharama tulizotumia. Likawa limeisha. Ila na kampuni ndo ikawa kama imekufa rasmi.



    Nasra na Mussa wakawa unemployed. Bt Nasra ilikua ashakua kama a friend with benefits, so nikajihisi napaswa fanya kitu walau asipauke mjini. Nikaongea na sis akaniambia nimwambie aende Arusha haezi kosa la kufanya. Kwa maelezo ya Nasra, Mussa alienda kuajiriwa na Wakuda Inc. ingawa mara zote Nasra alikua ananiambia hana mahusiano na Mussa ila nlikua simuamini. Alikua ananiambia ni kweli Mussa ashamwambia anampenda, ila hataki kuingia kwenye mahusiano na mtu ambae hampendi, “kwani mimi unanipenda?” nakumbuka kuna siku nilimuuliza, “hahahahaha, wewe ni case tofauti boss” akajibu huku akicheka.



    Ile email ya boss Rona ilikua mwanzo wa mimi kuwasiliana nae. Alionesha amekua mpole na amepona majeraha ya moyo. Hadi nikahisi labda kapata mtu mwingine amempenda. Mawasiliano ya email yalivyochanganyia, ikabidi niombe tuwasiliane kwa simu, nikamtumia namba yangu ambayo kimsingi ni ileile ambayo nlikua naitumia zamani, kwa sasa nlikua naitumia kwa WhatsApp pekee. Kesho yake nikakuta kweli amenitext kwenye simu. Akanipa na hongera kwa kupata mtoto wa kiume ambaye kwa sasa anamiezi kadhaa. I was so happy hatimae kumuona mwanangu ingawa ni kwa njia ya picha tu. Kuuliza anaitwa nani akaniambia wamemuita ‘Tafari Kiga Koyo’. Walipenda mtoto asisahau asili yake ya Habeshi. Ingawa tulikua tunawasiliana, ila hata siku moja hakuwahi kuniambia habari za Nora, na wala sikuuliza. Na pia tulijifanya kama tumesahau hivi yaliyotokea nyuma, we never even once speak about them. Ilikua ni salam, mtoto anaendeleaje, kazi vipi, masomo vipi, formal convo only.



    Siku hazigandi. Nikamaliza chuo. Wiki moja kabla sijarudi nlimwambia Nasra akanitafutie nyumba Kinondoni. Ikawa hivyo, alipata a good house with two bedrooms mitaa ya mwananyamala komakoma pale. Alivopata nikamtumia hela akalipiakodi na kununulia vitu vya muhimu. Ile natua airport namkuta kaja kunipokea. Nasra bana, mbele ya watu si akaninyonya denda la few seconds hahaha, hata sikupinga. Nasra alikua amezidi kunawiri, picha alizokua ananitumia hazikua zinamtendea haki. In person alikua amezidi kung’aa, ingawa hakua bonge, ila mwili uliongezeka nyama kiasi, kiasi kwamba hata ndani ya baibui aliyovaa uliona kabisa tako lileee. Kufika home, ham ya mapenzi ambayo ilikua kama imefifia nlivokua UK, ikarudi kama mara miasita Zaidi. Hizo kelele Nasra alipiga hakuwahi zipiga before. Tulikulana balaa. Pamoja na zawadi nlizomletea aliinjoi sana mikito ya that day.



    Nasra alinipa kampani kama two days then akarudi Arusha. Nikaanza sasa kumsumbua Rona anisaidie nimuone mtoto live. Akanambia kwa kweli mamlaka ya kutoa hiyo ruhusa hana. Mama mtoto yuko na mtoto 24 hrs, na inavyoonekana hana mpango wa kunikutanisha nae, kiufupi she has moved on completely hata ile furaha yake imerudi since amepata mtoto. Duh nikaona hapa kazi ipo. Nikawaza tu, njia za kistaarabu zikishindikana itabidi tu tupelekane mahakamani ili nipate haki ya kuwa na mwanangu. I remember after a week ya kupumzika nikaenda zangu home Arusha kuwasalimia mom na sis. One day sis ndo akaniambia “hivi kwa nini msioane na Nasra?”, nikashtuka, “why, amekwambia anataka nimuoe?”, “hapana, ila naona mtoto wa watu anavyokupenda, na amekua na wewe through thick and thin. Na pia usidhani sijui kuwa unamla, so ambacho sitapenda ni kuona unamtumia mtoto wa watu then unamuacha, bora kama huna mpango nae umuweke wazi kabisa” nikaona hii miyeyusho, ikabidi nimwambie mbona Nasra anamtu wake, sis akacheka kinoma then akanambia, “so unatembea na girlfriend wa mtu?, Nasra ameniambia kuna mtu anataka amuoe hata kesho akikubali, ila yeye hataki kuolewa kwa sasa, mi najua hataki kuolewa kwa kuwa anamatumaini wewe utamuoa, ndo maana nakuambia kama huna mpango nae mwambie”…. Hata sikumjibu, nikaendelea na mambo yangu. Ile wiki nimekaa Arusha, Nasra ndo kampani yangu. Sometimes analala kabisa home, tunazuga atalala chumba cha wageni usiku anahamia kwangu. Bt sijawahi jutia, she was soooo sweet, ule utam ambao unasema mbona leo tam Zaidi ya jana, kesho unasema the same thing dah.



    I remember mom alinipa gari yake Harrier nyeusi niwe naitumia, siku naondoka akasema nenda nayo tu mm siitumii sana. Nikamilikishwa mchuma. Kurudi dsm nikaona jitafute cha kufanya sasa, maana ingawa pesa nlikua nayo in my account, bt ile kutokua na shughuri maalum ikawa inaniboa. Nikatumia connections nlizozitengeneza wakati nina kampuni, nikapata kazi chuo kimoja mitaa ya kurasini kama system administrator. Kazi hazikua nyingi sana, labda mwanzo wa semester ambapo ilibidi niwaweke vijana wapya kwenye mfumo. So tofauti na shughuri za kawaida sana za kila siku, ni kazi ambayo haikua inanipa stress. Jitihada zangu za kumuona mwanangu wala hazikufua dafu, Rona akawa ananipa moyo kuwa nisiwe na haraka, kwa kuwa mtoto ni wangu nisiwe na wasiwasi oneday ntampata.



    Miezi ikapita. Idadi ya madem nliyowala ikawa inaongezeka tu. Hasa mabinti wa chuo. Walikua wakiona ile Harrier wanachanganyikiwa. Ila mchepuko wangu wa kudum Nasra tukawa tunaendelea kama kawa. One Friday nipo kazini mom akanipigia simu ananiomba niende Arusha maana hajisikii poa na akiniona labda atajisikia nafuu. Ilikua ni strange kwangu, nikaona maza anazeeka vibaya. Ila nikaona sio kesi. Uzuri Nasra alikua amekuja Dsm kusalimia wazazi wke pia, nikamwambia kama vipi tudrive keshoyake to Arusha. So akaja kulala kwangu, then asbuhi tukasepa. It was a lovely trip. Tulitiana sana njiani. Tatizo la Nasra, ukipitisha tu mkono katikati ya mapaja yake anakwambia analoana duh, inabidi mpaki pembeni hahahha. Kuna mahali kulikua na vichaka flani, nikampeleka nyuma ya kichaka nikamuinamisha. Hadi tunafika Arusha tuko hoi.



    Nimekaa Arusha weekend yote. Jtatu nlikua nimepanga nigeuze. Bt hali ya maza ikabadilika ghafla, so ikabidi nisisafiri. Nakumbuka siku ya jumanne jioni, maza akafariki. It still saddens me when I remember. RIP mom, I miss you. It was such a huge blow in my life. Ingawa kifo cha mama kilinichanganya, ila kilimchanganya Zaidi sis. Hakua anaweza kufanya kitu, so kila kitu inabidi mimi ndo nihusike kujibu. Nakumbuka jumatano jioni nimetoka nje ya nyumba ili niongee na simu, walikua watu tuliowaomba wafuatilie issues za hospitali alikokua mama. Ile namaliza kuongea nikageuka, uso kwa uso na Nora.



    Hakua amebadilika sana. Pamoja na kujifungua na kulea, ila bado alikua kipotable kama zamani. Alikua amejifunga vitenge na kichwani anakiremba ule mtindo wa msibani, but she still looked beautiful, especially her eyes. Tulibaki tunaangaliana tu, there were so many words that needed to be said between us, ila ndo maneno hayakua yanatoka. Kama mwanamziki mmoja anaitwa Passenger alivyoimba akasema, …’sometimes words aren’t the right words to say’. Tumesimama pale bila kusema kitu kwa dakika kama mbili nzima. Then she approached me… “Kiga……. (akapause) pole kwa msiba, najua ni kipindi kigumu unapitia bt Mungu atakuvusha”… alivonambia hivi, sijui hata kilio kilitoka wapi, ila nilihisi simanzi nzito mno moyoni. I started crying. She gave me a hug, nililia sana begani kwake mpaka pakawa pameloana. Sikua najua simanzi nliyokua nayo ni kwa sababu ya kuondokewa na mama, au kuna masimanzi mengine yalikua yamejikusanya kufuani. Muda wote nalia, yeye ananiambia tu, “I’m so sorry, I’m sorry……..”.



    Wakati bado nalia begani kwake, simu yangu nayo ikawa inaita mfululizo. Sikua na uwezo wa kuongea, baada ya kutulia kidogo tukawa tumekaa kwenye viti vilivojitenga pale nje, simu ikaendelea kuita ilibidi Nora aichukue simu yangu apokee. Kuanzia hapo ndo akachukua rasmi majukumu ya kufanya coordination zote za msiba. Nakumbuka tukiwa bado tumekaa pale kitu cha kwanza kuuliza baada ya kupata ahueni ni alipo mwanangu, akaniambia Tafari alichukuliwa na Nasra akampeleka kumlaza bt alimwambia akiamka aniletee. Akawa ananiaga kuwa itabidi aende town kushughurikia issues za kuongeza maturubai pamoja na caterers, ila kabla hajaondoka nikaona Nasra anakuja akiwa amembeba Tafari. The boy was a bit shy, bt after few minutes akawa haniogopi. Ile kumhug mwanangu for the first time, kidogo nianze kulia upya. It felt good.



    Mtoto ikawa nipo nae muda wote. Mama yake alikua bize sana, so Nasra ndo akawa ananisaidia kama kumuogesha na kumbadili nguo. Ule msiba ulinifanya nimfaham pia vyema Nasra, alikua na moyo wa upendo sana. Namna alivyokua anamhandle Tafari unaona anafanya kabisa kwa upendo sio kwa kua imembidi. Nora hakunishangaza sana jinsi alivyo take charge ya shughuri za msiba. She is that kind of person. Siku zote hizi za msiba pia, simu yangu alikua nayo yeye. Mwanzo sikua nimewaza kuhusu msg za madem zangu akiwemo Nasra, na hata nlivokumbuka ikawa ni too late, kama ni kuziona atakua ashaziona. Baada ya maziko, tukakaa Arusha wiki moja Zaidi, then tukarudi wote DSM kwa gari binafsi. Nakumbuka tulikua tunabadilishana kudrive. Tulianza mimi na Nora tukiwa mbele, mimi nikiendesha, Nasra akiwa backseat. Kufika mitaa ya Same Nasra akawa amelala usingizi. Nikastukia Nora ananiambia, “she is a very good girl, Nasra”, nikaangalia kwenye kioo nikaona Nasra alivolala, kwa kweli alikua ana sura nzuri, nikamjibu Nora, “yeah, she is”, “she loves you, you know?”, alivosema hivi nikageuka kumuangalia, nikiwa na lengo nione facial expression yake, alikua anatabasam, “I don’t know if that’s true”, nikamjibu. Kimya kikapita, nikageuka tena kumcheki, nikakuta ameangalia nje, uso unaonesha kama macho ameyafinya hivi kuonesha kuna kitu anakiwaza.



    Akiwa bado ameangalia nje akanambia, “Kiga…. Since that day pale IFM, sijawahi kuwa sawa. Kila nikikumbuka najisikia mkosaji na nisiestahili hata kukuomba msamaha. Maneno nliyokutamkia yaliniuma mimi Zaidi hata yalivyokuuma wewe nadhani, ndio, najua yalikuuma Kiga, but nilijiona sifai hata kuwa mama ingawa nlikua mjamzito, mama gani anayetukana mama kwa kiwango kile, so ingawa sikuwahi kukuomba msamaha ila hakuna siku nimeacha kukuomba msamaha kabla sijalala” akawa amenyamaza. Nlivomuangalia nikaona michirizi ya machozi kwenye mashavu. Mara zote Nora anakuaga jasiri ambaye haoni haya kukuangalia direct machoni, bt this time, hakua na huo ujasiri. Then akaendelea “I am so sorry. Najua huezi nisamehe, ila naomba walau ujue tu kuwa najutia niliyoyasema mbele yako that day”.



    Sikua hata na lakusema. Maana ni kweli sikuwa tayari kusema nimemsamehe, ningekua namdanganya. Akawa anaendelea tu kulia, nlichoweza kusema ni kumuuliza kama naweza kuwa namuona mwanangu nikimhitaji, akajibu “offcourse, he is for both of us” alijitahidi kuongea katikati ya sobs. Then tukasikia, “mlete mtoto”, dah, hatukujua hata Nasra alikua ameamka mda gani na amesikia kwa kiasi gani. Bt naona Nora hakua anajali sana, alivomkabidhi Nasra mtoto, akawa anataka kuendelea kusema kitu, bt ghafla tunaona traffic police mbele ametupiga mkono…… ikabidi anachosema akiahirishe kwanza. Baada ya afande kutulima faini pale, safari ikaendelea, bt hakuna kilichozungumzwa mpaka tunafika Korogwe.



    Pale Korogwe tulipaki kupata msosi na kupumzika kidogo. Mimi nikaanza kupiga vyombo pale, so kuanzia pale Korogwe Nasra ndo alituendesha. Nora yeye alichukua usukani Chalinze pale maana mwenyeji mjini. Nakumbuka tumefika dsm jioni sana, Nasra kwao Magomeni, Nora Tabata so the easiest route ilikua tumpitishe Nora then nimpitishe Nasra, ila Nora akashauri tumpitishe kwanza Nasra asije chelewa wazazi wakammind. Hatukupinga, akadrive mpaka magomeni, then akageuza gari mpaka Tabata. Tulivofika akauliza tu, lini nataka kumuona dogo, nikamwambia next weekend, akasema poa tutaarrange.



    Nikarudi zangu home. Kufika namkura Nasra hahahaha. Vipi? Anasema eti amejisikia tu kulala Mwananyamala leo. Baada ya kula, kuogeshana na kulana ndo ananiambia, “Nora anakupenda kinoma, and am happy atlast mmesahau yaliyopita”, anayasema haya huku anachezea dushe na kunikiss shingoni. “mi na Nora ni ngum kuwa pamoja, kila mtu alimfanyia mwenzie kitu kisichosameheka”, akaniambia alimsikia Nora akiomba msamaha kwenye gari, na kwa jinsi anavyoongea atakua ashakusamehe chochote ulichomfanyia. Akawa anazidi nikiss mara mdomoni, mara kifuani everywhere, nikaanza na mimi kupapasa upaja, mtoto alikua amejazia fresh sana yani. Yaani kupapasa tu unaeza anza piga kelele za kusikia utam. Tulifanyana kinoma that night.

    http://pseudepigraphas.blogspot.com/

    Kitu kilichonishangaza ni kuwa, urafiki wa Nasra na Nora ukaanza kukua na kushamiri. Yaani alipo huyu mwingine humkosi. Siku nyingine unashangaa tu Nasra kaja home akiwa na Tafari then jioni anamrudisha tabata. So tukawa tunahang out wote watatu sasa, kama ni beach tutaenda wote, outing wote bt yote because ya ule ukaribu wa hawa watu, maana hata mkiwa out, wao ndo walikua wanahave fun, kama ni kuogelea wataogelea wote na kucheza pamoja, yani kiukweli mi nlikua naenda sababu ya mtoto tu sanasana. Ila ile kulana na Nasra ikawa inapungua sana, visababu vya ajabu atu atakupa. Na akikubali baada ya kumla atakwambia usimwambie Nora. Yaani tukawa tunajificha mno, na ni mara chache sana atakubali umle.



    Kumbe sababu hata sio Nora. I remember after some months za huu urafiki, oneday tuko kigamboni huko kula upepo wa beach. Nasra akawa yuko pande za swimming pool na Tafari anaogelea nae. Nora ndo akaniambia, “Nasra kuna kitu anatamani kukwambia bt anashindwa”, nikashtuka, “kitu gani,?”, Nora akaniangalia usoni, with a half smile, akaniambia, “she is pregnant”, nikawa nimezubaa sijui cha kusema, Nora akaendelea, “hana uhakika kama ni ya kwako au ya Mussa”, kidogo nikapata afadhali. Muda huo ndo Nasra nae anakuja na dogo. Ile anafika tulipokaa alivyoona ule ukimya akajua tu nimeambiwa, akamgeukia rafiki yake, “Noraaa!!”, “He deserves to know, I had to tell him maana najua wewe usingeweza” akamjibu pale. Basi Nasra akakaa pia na aibu kibao. Nikamuuliza, “ina muda gani?” kajibu “miwili”, “unahisi ni ya nani kati yetu”, “I don’t know” akaanza kulia. “sasa ukilia itasaidia nini” nikamwambia, Nora ndo akamjibia rafiki yake, “we unazani jambo dogo hili, she feels confused, we should help her not accuse or blame her”, nikamgeukia tena Nasra, “ushaongea na Mussa?”, akajibu, “sijamwambia kuhusu mimba, nikimwambia tu atataka ndoa na sijajua kama ni yake”,



    ikabidi tuanze kumhoji poa kuhusu siku zake na kulinganisha na siku tumefanya. Mahesabu tuliyopiga tena kwa calculator bado hata sisi hayakutupa majibu ya moja kwa moja, yaani mimba ni yangu au ya Mussa, maana tunaongelea difference ya one day. Tukaondoka pale na muafaka kuwa uwezekano umelalia Zaidi kwa Mussa, so akaongee nae. Nasra akakubali.



    Miezi michache mbele Nasra akafunga ndoa na Mussa. Nakumbuka mi na Nora ndo tulishughurikia kila kitu. Nakumbuka usiku baada ya sherehe ya ndoa, nlimrudisha Nora home kwao. Tulivofika nje ya nyumba yao, nikawa nasubiria ashuke, lakini naona hashuki. Wote tulikua tumepata glasses kadhaa za wine. Akaniambia, “Nasra mke wa mtu now, inabidi umheshim”, nikamwambia “mimi na wake za watu wapi na wapi?” akacheka, “umesahau eeh?”, ndo nikakumbuka, dah. “Im sorry Nora, am sorry for everything”, akanishika mkono akasema, “I know”. Then akawa anataka kunikiss shavu, mi nikajikwepesha nikamuwekea lips, basi hakua na jinsi, akabidi azinyonye.



    That day alichofanya nikuniambia “twen’zetu mwananyamala”. Ilipigwa mechi moja matata. Ilikua mechi ya kuombana msamaha, mechi ya kupeana adhabu kwa makosa tuliyotendeana, mechi ya kuambiana tulivyomisiana, mechi ya kuambiana namna tunavyopendana, it was sex that was full of emotions. Nora alishindwa kujizuia, alilia balaa that day. Mpaka leo nashindwa elewa kilichomliza, labda ni ile hisia kuwa rasmi ameruhusu rombo iliyopita kwa mama yake impitie pia, tena akiwa anafaham. Bt all in all, muda wote alinihug kama anaogopa kuniachia nitamuacha. We decided to forget what has happened and concentrate on making each other happy.



    Kesho yake alihamia kabisa na mtoto.



    Well, nikama stori imeisha vile sivyo?, hhahahahah, wazee wanasema, it is not over until it is over.







    .......The end of the beginning........





    Familia yetu na ile ya Nasra na Mussa ziliendelea kuwa karibu. Hasa ukaribu wa Nora na Nasra. Nasra alifanikiwa kujifungua watoto mapacha, boy and a girl. Wakati wanazaliwa sikuhisi kitu, bt tulivorudi home Nora ndo akanambia, “wale watoto ni wako bro”. sikuamini. But baada ya miezi sita, ndo nikaona kabisa hawa wangu hawa. Ila ndo ntafanyaje. Nlijua kabisa Nasra amelitambua hilo bt sio sisi wala yeye aliyelizungumzia. Kwa upande wa Mussa sijui alijua akaamua kuuchuna, au hakua ametambua bado.



    Watoto wakiwa na miezi saba tu, tukapata taarifa Mussa amepata ajali ya gari. And after two days he passed away. Baada ya maziko, Nasra akarudi kwao magomeni, but hali ya kifedha ya wazazi haikua nzuri sana, so Nora akawa anajitahidi kumpa tafu rafiki yake ila yale mazingira hayakua condusive kwa watoto. Nora ndo alisuggest, akanambia wale watoto itabidi tufanye namna tuwachukue.



    Sijui Nora alimshawishi vipi Nasra, akakubali akahamia pale kwangu. Mwanzo akawa ananionea sana aibu, hata sikujua sababu. But kadri miezi ilivyoenda ndo alizidi kunizoea kama shemeji sasa. Kule Arusha biashara home zilikua zinayumba balaa. Nikamwambia sis, Nora aingie kwenye management. So baada ya chuo tu kuisha, Nora akawa muda mwingi yupo Arusha. Dsm tukawa tunabaki na Nasra. Akiwa Arusha Nora akawa ananiambia, ukijisikia kula we mle, I know anakupenda, na najua wanaume utakua unamtamani ila unaogopa hahahha. Nikawa kwa kweli sina mpango.



    Nakumbuka ilichukua few months Nora kubadilisha hali ya kampuni, hadi akafungua tawi lingine hapa Dar, ili kurahisisha export processes. So Nasra akapewa job kwenye ofisi ya dar. Everyone was happy. Nora oneday akaniuliza kama nshakula, nikajibu hapana, akanambia tu shauri yako, mzigo utaanza kuliwa na majirani then watoto wako wapate baba mpya….. Nora alikua serious, sijua aliongea nini na Nasra, but one day Nora akiwa hayupo, nikashangaa kuanza kuona mabadiliko ya kimavazi akiwa mle ndani. Sometimes sketi fupi, sometimes bukta dah, na ile shepu nikajua tu hapa nakaribishwa. Kama utani tu siku moja tumekutana kwenye korido, nikamshika mkono nikaanza kumuongoza room kwake, naona anakuja tu hata hapingi.



    Nora yeye alinipenda sana tu. But alikua na ule userious flani hivi na misimamo ile ya kama umekosea atakuchana live, so ule ‘u-kike’ hakua nao sana. Nasra yeye ni kama amefundwa namna ya kumhandle mwanaume. She made sure nimekula vizuri, nimeoga, nimenukia na alikua na ule upole wa kike, yaani hata kama hajakosea atakuomba msamaha. Cha muhim Zaidi alimheshim sana Nora, akiwepo hajishughurishi kabisa na mimi. Na niliona ubest wao ndo unazidi. Nasra akawa ananipush sasa nioe ili niwe kwenye ndoa. Nikamwambia, nikioa si ataninyima, “Mama Tafa mwenyewe keshaidhinisha, mimi sina mpango wa kuolewa tena wala kuongeza mtoto, as long as im with the man I love nimeridhika kuwa nilivyo”



    Kweli tulifunga ndoa, tukahamia mitaa ya tegeta nyumba kubwa Zaidi. Now miaka minne since nimemuoa Nora. Kama unajiuliza Nora alikua serious kuruhusu kushare na Nasra, jibu ni ndiyo. Sio mara moja ashanisurprise kwa threesome. Sometimes hotel room najua yuko alone, nawakuta wote wako ready kuliwa. Sometimes naangalia football sitting room nikienda kulala nawakuta wote bed, Tunapiga mechi ya mtu tatu kiroho safi.

    http://pseudepigraphas.blogspot.com/

    Kwa sasa game za Nasra zimepungua kiasi maana alihamia Arusha, na Nora akaja Dar. Kids wote wako na Nasra Arusha, we are planning kuongeza mtoto mwingine na Nora. And by the way, watoto wa Nasra wakiwa wadogo kabisa tuliwabadilishia kabisa na vyeti vya kuzaliwa, ndugu wa Mussa ilibidi waambiwe ukweli kuwa damu sio yao.





    So ladies and gentlemen, that's a story of how i met my dear wife Nora.





    MWISHO WA MSIMU WA 1

0 comments:

Post a Comment

Blog