Sehemu Ya Tatu (3)
Baada tu ya kuripoti chuo Morogoro, mtu wa kwanza kumtafuta alikwa Sophy nilitaka kimsurprise kwa kumwambia nimepangiwa chuo Moro tukishaonana. Kweli niliwasiliana nae na kumwambia niko Moro akataka kujua naondoka lini nikamwambia nipo nipo.. Basi akasema atakuja weekend.. Wakati huu nilikuwa nimeshapata chumba katika hostel za chuo, nikajiandaa weekend na kwenda kumpokea Sophy wakati huo nikiwa nazijua zaidi zile lodge za pale Msamvu kuliko sehemu nyingine..nikaongozana na Sophy mpaka lodge moja kati ya zile zilizoizunguka stend ya mabasi msamvu ilikua yapata saa 5 asubuhi.. Sophy akanambia tunaweza kulala wote kwa sababu nyumbani kwao ameaga kuwa anakwenda kwa rafiki yake na atalala huko, na alishapitia hapo kwa rafiki yake na kumueleza hali halisi kisha wakampigia mama
Turudi sasa kwa Nai, ingawa tusichoke pale tutakaporudi kwa Sophy kwa sbabu alikuja kunitafta tena baadae...
Wakati Sophy akiwa anakuja kila weekend kusuuzwa na rungu, sio kuwa mawasiliano yangu na Nai yalikata, hapana... Nai niliendelea kuwasiliana nae kama kawa japo sikumpa attention kubwa sana kwa sababu nilishapima upepo na kuona kupata uchi kwa Nai sio jambo la kitoto.. Licha ya kuwa geti kali, lakini Nai pia alijitambua sana tofaut na Sophy, nadhani mazingra ya malezi yake ndo yalichangia..Kwahy baada ya kukata mawasiliano na Sophy ndipo nikaanza kumpa attention kubwa sana Nai, nikaanza kumshawishi nimpakue.. Haikuwa kazi ngumu sana kama nilivyotarajia kwani ndani ya mwezi mmoja nilikuwa nimeshamueka sawa.. Nikaanza nae kwa kumpeleka sehemu tofaut tofaut za starehe pale Moro.. Wakt huu Nai alikuwa akisoma course za Computer kwenye chuo flan pale mjini.. Kwahy tulitumia muda wake huo kufanya yetu.. Nikiri wazi kuwa nilikosa lectures nyingi sana kwa ajili ya kufanikisha jambo la Nai.. Siku moja nikamwambia leo nahitaji faragha yako, nijifungie ndani mm na ww tufanye yetu.. Ndipo alipofunguka na kuniambia kuwa yy hajawahi kufanya hicho kitu tangu azaliwe that means she's virgin.. Nikasema sasa huyu ndo mke wa kuoa.. Kumbe pamoja na vigezo vyte alivyokuwa navyo, alikuwa na mapenzi ya kweli,mpole sana, hana tamaa..mwaminifu..ninaposema mwaminifu basi alikuwa mwaminifu kweli, yaani uaminifu wake ulipita kiwango.. Alishanishangaza mara kibao Nai, mfano mdogo ngja nikupe.. Nai anaweza kuja sehemu mkiwa mmeonana, baadae wakati unaondoka ukaamua labda umpe nauli ya bodaboda, lets make it 5,000 maybe.. Na kama safari yake ya boda boda itagharimu 1,500, ile change ya 3500 ataitumia kupanda bodaboda next time mkionana... Na hata umkazie vipi, atacheka tu na kukwambia acha kutumia pesa vibaya wewee...alikuwa ni wa kiwango hicho.. Nikiri wazi kuwa sijawahi kukutana na mwanamke wa kiwango chake katika maisha yangu..sasa changanya vigezo hivyo, halafu ongezea na ubikra wake ndo kabisaa...nikamwambia asijali mimi ndo mwanaume wa maisha yake, anikabidhi tu bikra yake nami nitamtunza na kumfanya awe mke hapo baadae.. Mapenzi Upofu.. Au waturuki wanakwambia KARA SEVDA..Nai alikubali na kupanga nae siku moja ya weekend nikaenda nae lodge moja pale msamvu. Aliingia akiwa muoga na mwenye aibu sana, lakini nilitake advantage kwa sababu sikutakiwa kumuonesha kuwa ni jambo zito, nikamvua nguo zake na kumbakisha na chupi ya rangi ya upendo..nami nikabaki na kiboxer changu na kuanza kwa kuyapapasa maziwa yake..Nai alikuwa na maziwa makubwa kiasi ya duara, wembamba wake ulitengeneza kishep flan hv kilichovutia, macho yake ndo yaliupamba hasa uzuri wake...nikatalii mwili mzima kabla ya kuivuta pichu chini na kuzama chumvini.. Naam.. Chumvini hakuna mjanja, Nai aliitikia miitikio ya kimahaba..sikumkawiza sana, nikampiga kifo cha mende nikigusisha kichwa chake pembeni kabisa ya kitanda kule maana nilijua lazima patakuwa na purukushani tu za hapa na pale..nikaweka mikono yangu yte miwili kwenye mapaja yake nikikandamiza vizuri.. Miguu yte ilikuwa ikiangalia juu..ndipo nkamsikia Nai akiuliza "sitoumia?".. Mm nikatabasamu nikamwambia " sio sana"... Akajibu "nasikia inauma sana" nikamwambia "akili za kuambiwa...changanya na zako".. Hii kitu bikra huwa haitaki mbwembwe nyingi, kama ukifanikiwa kumueka mtu mkao huu, basi ukiupeleka ww kandamiza moja kwa moja.. Hakuna kurudi nyumaa.. Ingawa KELELE ni lazima., ila kwa sababu ni mara moja tu haina shidaa....nikakandamiza paaa..Nai akapiga kelele " mamaaaaa" nikamziba mdomo, nikampumzisha. Nikaendelea kumfariji pale na baadae nikamzibua tena na tena, na huo ndo ukawa mwanzo mpya wa mimi na Nai..
http://pseudepigraphas.blogspot.com/
As I said earlier kuwa Nai alikuwa kama mwanamke flani hivi wa ndoto zangu..nilijikuta nafall in love kwake mazima, kwa kipindi hiki kifupi tu nikawa tayari nafahamiana na baadhi ya ndugu zake, mdogo wake wa kiume pamoja na dada yake mmoja aitwaye Hafsa... Hafsa yeye alikuwa ni daktari na ameajiriwa serikalini akifanyia kazi Mbeya, nilikuwa nikiwasiliana nae kwa simu tu, na alikuwa mtu mzuri na alinipokea vizuri kama shemeji yake...changamoto kubwa kwangu mimi ambayo siku zote imekua inanicost ni kutotaka kutumia condom, yaani sijui naionaje!! Mara zote nauza mechi..na wala sijawahi kujutia. Baada ya mgegedo ule wa kwanza, Nai akaanza kunogewa sasa, mara kwa mara alikuwa akinitembelea pale chuoni, ilifikia hatua wakati tunazunguka zunguka maeneo ya nyuma ya chuo yenye mapori basi namuinamisha Nai au namshikisha mti napiga mashine..na kwakua Nai alishaonja utamu wa mashine, alikuwa hana usemi, yeye unachomwambia ndicho anachofanya..
As usual, ilipopita miezi miwili tu tangu nianze kumla, Nai akaniambia kuwa hajielewi, anahisi mabadiliko makubwa katika mwili wake..nikamuuliza dalili common za mimba kama kukojoa sana, kusinzia ovyo etc, zote alikuwa nazo. Nikaenda pharmacy na kununua UPT kisha nikamuita Nai geto, akaja na kumwambia akaweke mkojo kwenye chupa ndogo ya maji.. Aliporudi nao nikauweka kiasi kidogo katika kifuniko cha ile chupa.. Nikachovya UPT kidogo na kuiweka kwenye meza...Two minutes later ngoma ikapiga mistar miwili.. Nikamwambia "Una mimba...". Nikamuona anashika kichwa.. Kwangu mimi kwa wakati ule mapenzi yalishanidrive crazy vibaya sana, niliona hakuna shida kabisa kama Nai atazaa, yani sikuona tatizo..lakini Nai ameshika kichwa kwanini? Nilipomhoji vizuri alifunguka kuwa yeye hana tatizo na hiyo mimba, ila changamoto ni bi mkubwa..bimkubwa wake ni kauzu vibaya sana kiasi ambacho kama atajua kuwa Nai ana mimba litakuwa kasheshe zito sana na huenda pia akataka tuitoe.. Hii kitu ilinishangaza kidogo, yaani mamaako kabisa alazimishe kukutoa mimba licha ya madhara yanayopatikana katika hilo jambo? Nai alinijibu kifupi tu " You know nothing about my mom". Sikuweza tena kubishana nae, lakini ni jambo ambalo halikuniingia akilini. Lakini kadri siku zilivyokuwa zinaenda mbele ndipo Nai alijawa na mawazo kuhsu hatma ya ile mimba..hakuona future nzuri kama mama yake atajua.Hapa ndipo nilipopata wazo la kumgongea simu sista yangu mmoja (mtoto wa mjomba) ambaye by that time alikuwa Singida kikazi (yeye ni nurse).. Niliamua kumueleza tatizo langu ikiwa ni katika hali ya kumshirikisha tu ili anipe mawazo mawili matatu juu ya jambo hili..nilitegemea zaidi utu uzima wake na busara zake nyakati hizi..lakini majibu aliyonipa ni zaidi ya heart-break, "sitegemei mtu msomi kama ww upo chuo kikuu hujui matumizi ya condom na namna sahihi ya kuepuka kufanya ngono zembe, yaani mtu mzima kabsa hapo unajit**bea ovyo bila kuwa makini? Unaniangusha mdogo wang, mimi sina cha kukusaidia hapo zaidi ya kukuona fala tu, na utalea mtoto huyo au usipokuwa makini zaidi watakufunga hao pumbaaav". Nilikata simu na sikuongeza neno lolote, nikiri wazi kuwa sasa ni zaidi ya miaka 12 tangu sis anijib hivi sijawahi kupokea simu yake, kumpigia wala kujibu msg zake na najitahidi kumkwepa kila ambapo nitaambiwa yupo, hata kwenye misiba.. Maumvu ya siku ile hayawezi kupona kabisa moyoni mwangu (na sijui ni kwanini). Kama sista unasoma hapa hii ndio sabbu kuu ya mimi kutopokea simu zako, na nadhani itabaki hivyo mpaka nitakapokufa iwe kwa Corona au Ukimwi...http://pseudepigraphas.blogspot.com/
Baada ya kukosa msaada japo wa mawazo kwa sista, niliamua kumalizana tu na Nai, nikamwambia amueleze maza kuhusu kile kibendi..wakati huu kilikuwa kimegonga miezi miwili tayari. Nai alikataa, lakini nilimlazmisha na nikafanikiwa, maza akaambiwa. Akauliza details za mtia mimba vzr, akaomba na namba ya simu.. Hakuonekana kuchukia, akanipigia simu kwa amani kabisa akinitaka niende nyumban kwao muda huo tukajadili kuhus mimba ya Nai..ilikuwa yapata saa 2 na nusu usiku. Nikachkua bodaboda na kwenda hadi nje kwa kina Nai, nikamjuza mama Nai kuwa nimefika...akanambia nisubiri nje, alipotoka alitoka na Nai amemshika mkono akanizungusha mpaka nyuma kabisa ya fensi ya ile nyumba, nyumba ilikuwa na fensi ya ukuta. Akanambia amenileta huku nyuma kwa sababu baba yake Nai ametoka na hajarudi so asije akatukuta ndani au pale nje.. Nai alikuwa kama hatua tatu kutoka pale niliposimama na mazaake, maza akaanza kuniambia kuwa there is no way tunaweza kumruhusu Nai azae nje ya ndoa, haiwezekani..!! Kwahy ni LAZIMA mimba ile itolewe, akanieleza wadhfa wa dingi yake Nai na cheo chake na jinsi alivyo mfano kama kiongozi, na jinsi pia familia nzima inavyoitegemea ile kazi , endapo Nai atagundulika amepata minba huenda ndio ukawa mwisho wa maisha yao maana baba yake atapoteza kazi (natamani kuieleza hii kazi lakini Nai wakati ananipa ruhusa ya kuandika hapa kuna vtu aliniambia nisiviandike kabisa, so naomba mnisamehe). So, the only solution ni abortion, ambayo itaniweka mimi, Nai na mama yake pamoja na familia nzima sehemu salama. Hapo nilikosa pa kukimbilia, kwa sabab mama alikaza kuwa "endapo itatokea baba yake hyu akapoteza kazi, je utaweza kutuhudumia kama familia?". Ingawa pamoja na yote hayo, bado nilimuona yule ndiye mama katili kuliko mama wengi niliowahi kukutana nao.. Mama ananishawishi kutoa mimba mwanawe licha ya madhara yanayoweza kupatikana baada ya hilo tendo?? So ikaamuliwa pale kuwa kesho yake Nai ataruhusiwa mapema sana asubuhi aje geto kwa ajili ya maandalizi ya kutoa mimba. Mimi nikamwambia yule mama kuwa siwezi kushiriki hiyo dhambi ya kutoa mimba, kama kumtoa aende mwenyewe.. Mama aling'aka akidai kuwa kama sikuona dhambi ya zinaa, na ya kutoa mimba niione kama nilivyoiona zinaa tu..kwanza ni dhambi hiyohiyo moja tu maana ni zinaa ndiyo iliyozalisha mimba..nikamuitikia sawa lakini moyoni nikisema kuwa siwezi kumpeleka mimi akatoe mimba, akinifia huko hyu mama hatokuja kukubali kuwa aliniagiza yeye..!!.
Kesho yake asubuhi sana Nai alikuja geto, akanambia kuwa mama yake amemfurusha asubuhi asubuhi aje kwangu ili tutekeleze agizo lake, sisi tukautumia mwanya huo kulana hadi jioni, hakuna ambaye alikuwa tayari kati yetu mimba itolewe...Jioni Nai aliporudi home na maza kugundua kuwa hakuna kilichofanyika, akamind saaana, alivyonipigia simu nikamjibu tu friendly..." Nilishakwambia kuwa siko tayari kwa hilo jambo, mimi siwezi kufanya hivyo..". Mama akakata simu na kuanza kudili na Nai. Attempt yake ya kwanza ni kumchemshia mizizi flani ambayo Nai hakuijua, akawa anamlazimisha anywe, Nai akagoma na kujifungia chumbani. Mama alipoona juhudi zake kama zinaelekea ukingoni, ndipo alipoanza kuwashirikisha dada zake Nai. Mmoja ni yule daktar ambaye nilikuwa nikiwasiliana nae sana, na mwengne alikuwa anasoma chuo Dodoma. Yule ambaye ni daktari mara tu baada ya kupata taarifa kuhusu hali ya Nai, alinipigia simu akinilaumu saaana, yaani alinilaumu hadi nikajiona fala. Alinambia kuwa why kila siku tunawasiliana na sijawahi kumwambia kuwa Nai ana mimba hadi mama amejua? Kama ningemwambia mapema yy angemchukua Nai na kuja kuishi nae Mbeya bila mama kujua kuwa Nai ni mjamzito mpaka angejifungua, baada ya Nai kujifungua mama yake asingethubutu kumuua mtoto.. Hapa ndipo pia akanimegea siri ya yule dada wa chuo kule dodoma alipo pia alikuwa wakati huo ana ujauzito mkubwa tu lakini alikuwa harudi nyumbani mpaka atakapojifungua coz akirudi lazma mama angesumbua sana na kutaka itolewe (mimi nahisi ipo siri nyuma ya huyu mama na hizi mimba lakini sikuweza kuijua hadi leo). Hafsa akanambia kwa sasa tumeshachelewa, so cha kufanya ni Nai kukubali tu ili mimba itolewe, nothing we can do...nilimweleza pia kuwa mama ananitishia kunipeleka polisi endapo sitamshawishi Nai atoe mimba.. Yy akaniambia 'kutoa mimba ni illegal, hawezi kwenda polisi, anakutisha tu.. Ww ongea na Nai vizuri ili akubali tu." Uzuri ni kuwa wote walijua kuwa mtu pekee wa kumfanya Nai aamue kutoa mimba ni mimi tu na mimi sikuwa tayari.. Hafsa pasi na kujua lakini ni kama alinitia nguvu flan hv, nikaona naweza kukaza na mimba isitolewe.. Lakin upande wa Nai mambo yalizid kuwa mabaya pale nyumbani, hakuwa anaishi kwa raha, muda wote vitisho na kuamriwa atoe mimba mpaka siku moja alipoamua kutoroka nyumbani kwao asubuhi kama saa 1 hivi.. Wakati mimi najiandaa kuwahi lectures za asubuhi Nai huyu..kaingia geto na kibegi chake.."nimekuja tuishi pamoja, nimechoka na vitisho, naapa sitorudi tena home tutakaa hapahapa nitakula utakachokula..". Daah..http://pseudepigraphas.blogspot.com/
Haya mapenzi yana nguvu sana kwakweli acheni tu...
ITAENDELEA
0 comments:
Post a Comment