Search This Blog

Sunday, 20 November 2022

HOW I MET MY WIFE (2) - 1

 

    IMEANDIKWA NA : NZI CHUMA



    *********************************************************************************



    Simulizi : How I Met My Wife (2)

    Sehemu Ya Kwanza (1)



    1st Of Nzi Chuma



    Nami nimetamani sana kushare "how I met my wife" baada ya kuisoma hii ya Kiga, imenisisimua sana. Kama ilivyokua hiyo, utamu unaweza kuchelewa kukolea kidogo, lakini mdogo mdogo tutafika.

    http://pseudepigraphas.blogspot.com/

    Tuanzie mwaka 2007 ambapo niliripoti advance shule moja Kilimanjaro kwenda kusoma PCM baada ya kukamilisha masomo yangu ya Olevel kule Tanga. Kutokana na ucheshi nilionao, uongeaji wangu na ubishi wangu, wengi wa wanafunzi wenzangu waliniambia nimekosea sana kuja kusoma PCM, nilitakiwa kusoma masomo ya arts ambayo wao waliamini yangenitoa zaidi. Upande wangu mimi kilichonivutia kusoma PCM ni kwa sababu naipenda sana hesabu, sana tena na ndo ambayo baadae niliifanyia degree yake na ndo inayoniweka mjini kwa sasa. Mwaka 2008 waliripoti form 5 wapya sisi tukawa rasmi ni kaka sasa maana shule yetu haikuwa na Olevel. Madogo wa form 5 wakanizoea sana haswa wa bwenini kwangu na walipenda sana ucheshi wangu na jinsi ninavyopiga nao story. Siku moja ukazuka ubishi mzito baada ya kuwaambia madogo kuwa mimi ninao uwezo wa kumtongoza demu yeyote kupitia simu ambaye nitapewa namba yake. Wengi walibisha wakidai kwamba haiwezekani, kama vipi nipewe namba. Sote tunajua kuwa simu haziruhusiwi shuleni lakini wakorofi walikuwa nazo na ukizingatia ni shule ya boys tupu tena advance only, hakuna mwalimu alijali sana. Basi kijana mmoja kwa jina la Mzamil yeye akatoa namba akidai kwamba huyu dada yeye alikosea namba na kumpigia. Kwahy akataka nimpigie huyo demu na kumuweka loudspeaker ili bweni zima wasikie ninavyosaundisha, nikapewa na simu ambayo ina salio la kutosha kwa ajili ya kazi hiyo. Nikaipiga ile namba ambayo nakumbuka ilikuwa ikiishia na 999 ikaita sanaa lakini haikupokelewa (kumbuka ulikua ni usiku wa saa 4), bila shaka huyu dada atakuwa alikua amelala. Basi wale jamaa wakaona hiyo sio shida, nipewe namba nyingine ya dada ambaye anaitwa Sophy. Huyu Sophy alikuwa na ukaribu na huyu mtoa namba huko kwao Morogoro, jamaa alidai kuwa ni mtoto wa mjombaake. Nikampigia Sophy na kwa bahati nzuri akapokea.. Haloo.. Hellow Sophy... Nani mwenzangu..? .. Nzi Chuma hapa.. Nambie Nzi Chuma... Nikamwambia mimi nahitaji urafiki mwema na ww dadaangu... Urafiki gani hatujuani...?? Jamaa wakacheka bweni zima baada ya mimi kujibiwa hivyo kitu kilichomfanya Sophy ashtuke na kukata simu. Wengi walinikejeli kwamba sina jipya na wengine waliniambia unaweza. Basi mimi nikaomba namba zote mbili, ile ya Nai inayoishia 999 na ya Sophy nikasave kwenye simu yangu kisha nikajipumzisha.

    Wakati nautafuta usingizi, simu ile ya kwanza ambayo niliitumia kupiga namba za Nai ikawa inaita, jamaa mwenye simu alipoona ni Nai ndo mpigaji akaniletea hadi kitandani kwangu, mimi nikashuka na kwenda kuongea nae nyuma ya bweni. Licha ya kuwa Nai hakuwa ananifahamu, lakini alionyesha anapenda sana urafiki, akafurahia maongezi yetu ambayo niliongea nae kwa zaidi ya saa nzima. Kabla ya kukata simu nikamwambia kuwa hii sio namba yangu, simu yangu ilizima tu chaji ndo maana nkatumia namba ile kumtafta, hivyo nitamtext kwenye namba yangu na tutaitumia hiyo namba kuwasiliana. Uzuri wa Nai alikuwa muelewa saaana, alinielewa bila ubishi. Kesho yake tena, Sophy akapiga kwenye ile namba, jamaa akaniletea simu, nikaongea na Sophy ambaye alinieleza vitu vingi sana kuhusu yeye, ikiwemo suala la jana usiku ambapo alikuwa amelewa halafu mimi nikawa namzingua. Nikahisi hapa kwa Sophy nimepotea njia, mimi na pombe wapi na wapi? Sikuwahi kujaribu wala kukaa sehemu wanapokunywa na wakati huo ndo kwanzaa nipo form six basi mtu akitaja mambo ya Pombe sijui nilikuwa namuona vipi..http://pseudepigraphas.blogspot.com/

    Siku zikawa zinaenda, sikuacha kuwasiliana na yeyote kati ya Nai wala Sophy, tulichat sana, kuongea sana na simu usiku.. Kuna kipindi ilikuwa inabidi nitumie uongo ili niweze kuongea nao wote wawili. Naweza nikaongea na mmoja kisha nikamwambia ngoja nikasome kwanza kisha nikampigia mwengine. Nai yeye alikuwa mwanamke wa mfano wake (na nikiri kuwa sijawahi kukutana na mwanamke wa sampuli hii maishani mwangu), yeye ukimwambia "wait nitakupigia" hatosumbua mpaka umpigie. Yaani ni mwanamke flan ambaye nahisi amelelewa katika mazingira flan ya kustaajabisha au amejiongeza tu. Kipindi hiki ambacho mimi nipo form six, wote Nai na Sophy walikuwa wapo mtaani tu baada ya kumaliza form 4. Nadhani tulimalza nao form 4 lakn matokeo yao hayakuwa mazuri kuendelea na advance. Sophy yeye alikuw ni mtoto wa mwalimu na Nai alikuwa mtoto wa kigogo flaniz wote Sophy na Nai waliishi Moro.

    Siku hazigandi, nikamaliza form six nikarudi nyumbani Tanga, nikaenda shule niliyosoma Olevel kuomba part time (kipindi kile shule zilikuwa na uwezo wa kuajiri) nikapewa part time nikawa nafundisha Physcs & Maths kwa malipo ya sh 150k kwa mwezi mmoja, nikaona sio mbaya nikaendelea kupiga piga hapa kwa sababu kutokea February nimemalza form six mpaka October kwenda chuo ni muda mrefu sana. Nikafundisha pale kwa mwezi mmoja na kupewa cheque yangu ya 150k, kwakuwa mawasiliano yangu na Nai pamoja na Sophy yalikuwa yanaendelea kama kawaida, nikaona sasa ni muda muafaka wa mimi kwenda Moro kuonana na kufahamiana na watu wote hawa wawili. Nikachomoka Ijumaa ya wiki ile jioni kama saa 10 nikapanda basi na kwenda moja kwa moja mpaka Dar, nakumbuka nilifika dar yapata saa 4:30 usiku.. Moja kwa moja hadi Tandale ambapo nilienda kwa dada yangu na kulala hapo ili safari ianze asubuhi ya kuelekea Morogoro.



    Wazee nimeona nianze kidooogoo.. Leo sina nguvu sana, ila kuanzia kesho itaendele kwa urefu sanaa..



    Tuwe pamoja mpaka tuone nilipataje mke wangu, msichoke kufuatilia wala msikate tamaa mapema, naamini kuna mengi sana ya kujifunza katika story hii...



    2nd Of Nzi Chuma

    http://pseudepigraphas.blogspot.com/

    Basi asubuhi kulipokucha ambayo ilikuwa ni siku ya Jumamosi mimi nikaingia ubungo Chap, na kupanda zangu basi moja kwa moja hadi Moro. Niliyekuwa nikitamani zaidi kukutana nae wa kwanza alikuwa Nai, kusema ukweli Nai alinivutia sana ongea yake, na tabia zake za kutokuwa msumbufu. Niliamini kuwa yeye ndo mwanamke bora zaidi kwangu kuliko Sophy. Basi nlifika msamvu mida kama ya saa 5 hivi. Nikatoka nje ya Stendi na kuulizia sehemu nzuri pale Msamvu ambayo naweza kukaa na kunywa soda. Nikaelekezwa mgahawa mmoja ambao ulikuwa pembeni ya ule uzio wa ile stendi ya Moro, nikaenda pale na kukaa huku nikiagiza soda. Wakati huu nikiendelea kufanya mawasiliano na Nai ambaye aliniambia kuwa yuko njiani anakuja. Sikuwahi kumuona Nai kabla (kumbuka ni mwaka ambao hata whtsap ilikuwa bado kdg, Fb nadhani pia ilikuwa haijawa maarufu. Kwahyo hamu yangu kubwa ilikuwa kumuona Nai. Nilisubr pale kwa dakika kama ishirini hivi.. Hatimaye Nai alinipigia simu na kuniuliza niko Msamvu upande gani, nikamuelekeza upande nilipo, nilikuwa nimevaa shati jeupe lenye mistari myekundu na myeusi kwa mbali na jeans yang moja ya blue. Niliwaona watu wawili waliovalia baibui nyeusi wakija upande ule nilioelekeza, nikahisi ndo wenyewe hawa.. Lakini nani ni Nai pale kati yao? Sikuweza kujua. Walipofika nilinyanyuka na kuwahug..na walirespond vizuri tu. Kipindi hiki nilikuwa napuliza pafyum moja hivi kuna mwanafnz wng mmoja wa kiarab aliniletea na kunambia just nimpe elf 30, hii pafyum ilikuwa noma sana. Hii kitu ni ya waarabu wenywe kabisa, nilikuwa nikikaa na mtu lazma aseme neno kuhusu hii kitu, na nikikukumbatia kama vile manaake ni kwamba harufu hiyo utaishi nayo siku nzma. Nikawakaribisha pale nilipokuwa nimekaa na kuanza kupata nao soda huku tukifahamiana vizuri. Wote walikuwa warembo, mmoja mwembamba sana mrefu ana lipsi flan amaizing na jicho la kurembua. Mwengine alikuwa mfupi kidogo mwembamba nae, macho yake hayakuvutia sana kama ya yule mwenzie. Yule mfupi akajitambulisha kama Nai, na yeye ndo akanitambulisha yule mref akasema anaitwa Arafa. Lakini muda mwingi alikuwa akiongea yule mfupi na ndiye aliyeonekana mchangamfu kuliko yule Arafa. Kwahyo yule Arafa akawa hajaongea neno lolote tangu amefika pale zaidi ya salamu tu. Mara nyingi walikuwa wakitazamana na kucheka. Mimi nikalazmisha yule Arafa aongee, ndipo alipoongea kidogo na kutambua kuwa alikuwa ndio Nai mwenywe.. Kutokana na kuongea nae sana kwenye simu, sauti yake nlishaijua vilivyo..http://pseudepigraphas.blogspot.com/

    Kwanini sasa mmenidanganya?? Niliwauliza na kujitetea kuwa walitaka wajue kama kweli namfaham mtu wangu or not. Kwakweli tulipata moment nzr sana pale ya kucheka na kufurahi pamoja,. Lakini mazingira yalivyokuwa ni kama vile nilichokuwa nakiwaza kisingewezekana hivi.. Nilitamani kumpata Nai walau kwa nusu saa nikasuuze rungu, lakini yule mwenzake ambaye nilikuja kujua baadae kuwa ni dadaake mtoto wa baba mkubwa alikuwa amebana pale na wala hakumpa nafasi ya faragha. Mpaka baadae ambapo waliaga na kuondoka. Wakati nawasindikiza ndipo yule dadaake akanipa mwanya wa kuongea na Nai huku yeye akitangulia mbele akituacha sisi nyuma tukija mdogo mdogo. Nliitumia hiyo nafasi kumshawishi Nai walau abaki na mimi kdg lakn akasema hlo jambo haliwezekani. Kwa sabab kwao ni geti kali sana, ilimlazmu yy kutoka Kwa chambo kwenda mpaka Masika ili aweze kuja kuonana na mimi. Kama asingekwenda Masika kumchukua Arafa manake asingeweza kuja ple. Kiufupi ni kuwa kule nymbn anaruhusiwa tu kutoka endapo atasema anakwenda Masika, ambapo baada ya muda mama yake ni lazma apige simu Masika na kuulizia kama amefika or not. Haya mambo ya watt wa geti kali nikaona ishakuwa jau. Nguvu zikaniishia pale ingawa nilifurahi kuonana na Nai kwa mara ya kwanza na alikuwa mrembo kama "schema" yangu ilivyokuwa ikinituma. Nikawasindikiza na wakatokomea mimi nikarudi pale nilipokuwa na kuulizia gest ya karibu ili niweze kupumzika.

    Uzuri wa Msamvu gest ni nyingi sana inategemea na bajet yako tu. Nikapata moja ambayo room ilikuwa 15k lakn ni standard nzr saana. Nikaweka kibegi changu katika kabati na kujitupa kitandani. Nikaanza sasa kufanya mawasiliano na Sophy.. Sikutaka nitoke mtupu, muda huu ilikua inakarbia saa 9 jioni. Nikawasiliana na Sophy kumweleza kuwa nimefika Moro na ajue kabisa nimekuja kwa ajili yake. Kutokana na maongezi yangu na Sophy nilikuwa na uhakika kuwa ni lazma angetokea na kupata mtu wa kulala nae hadi kesho yake ambapo ningeondoka. Sophy alirespond vzr sana tu, ila aliniambia ni kwann nisingemjuza mapema sana kuwa nahitaji kulala nae ili ajue yy anajipanga vipi.. Ukweli ni kuwa mimi sikutaka kugonganisha hawa watu wawili ndo maana nikamuweka pending kwanza Sophy. Ila alinilaumu sana, akanambia kuwa atafanya awezalo aweze kufika. Mimi sikuwa mwenyeji wa Moro kwa muda ule, lakini Sophy aliniambia kuwa anakaa Mzumbe, alidai kuwa sio mbali sana na mjini lakini pana kijiurefu kidogo. Nilikaa pale gest nikimsubiri Sophy huku nikiendelea kuwasiliana nae, lakini muda ulizidi kwenda. Hadi ikafika jioni saa 12 Sophy aliendelea kunitia moyo kuwa atakuja, hatimaye giza likaingia na usiku ukazidi, Sophy akawa hapatikani na wala hakutokea. Nikalala pale gest peke yangu nikiendelea kuchat na Nai usiku mzima mpaka Nai alipopitiwa na usingizi nami nikalala..



    http://pseudepigraphas.blogspot.com/

    Niliamka asubuhi, nikaingia bafuni na kuoga. Kisha nikashika simu yangu na kuanza kumtafuta Sophy, alipokea na kuniomba radhi kwa yaliyotokea jana yake na kuniambia kuwa yuko njiani anakuja. Ilibidi niwe mpole, sikubishana nae hata kidogo maana hamu ya kumkaza Sophy ilishakuwa juu. Nilimsubiri mpaka saa 2:30 asubuhi ambapo aliniambia ameshafika mjini na sasa anapanda daladala ya kuja Msamvu. Niliendelea kusubiri mpaka aliponipigia simu na kuniuliza nipo Msamvu sehemu gani ndipo nilipotoka na kwenda kumpokea. Tofauti na Nai, Sophy yeye alikuwa amejazia kidogo, mwenye muonekano wa kuvutia zaidi. Mchangamfu na mjanja mjanja sana, lips zake ni zile za kunyonya kabisa, tako la wastani na shepu ya aina ya kupigiwa mfano kabisa. Nilionana na Sophy lakini uchangamfu wake ni kama ambaye tunaonana kila siku kumbe ndo siku ya kwanza. Alitupia sketi flani fupi iliyoishia magotini, na kiblauz mchwara flani hivi ambacho kiliruhusu uyaone moja kwa moja matiti yake ambayo yalisimama dede kabisa ambayo yalimfanya Sophy asiwe na time na sidiria. Nilimuongoza Sophy moja kwa moja mpaka chumbani pale gest, wala hakuwa na aibu zile za akina Nai. Baada ya kufunga mlango tu nikamkumbatia, nilitaka nikimbizane na muda kidogo kwa sababu ilishagonga saa 3 (na kama mjuavyo muda wa kukabidhi chumba ni saa 4 asubuhi), sikutaka kupata hasara mara mbili kwa sbabu ilikuwa ni Jumapili na kesho yake nilihitajika kazini, kwahy ilikuwa ni lazima siku hii nilale Tanga. Wakati nimemkumbatia Sophy nikamshika kiuno chake laini vibaya sana, nikamuona amejinasua na akapiga goti pale niliposimama akafungua mkanda wa suruali yangu na kuitoa mashine na kuidumbukiza mdomoni, mimi nilibaki namuangalia tu kwa kumshangaa. Sophy alichangamka kuliko kawaida, alijua nini nataka wala hakuwa na hiyana. Alifyonza mashine kwa muda mfupi tu wachina hao.. Uraru wa kukaa boarding miaka yte bila kupiga mashine nadhani ulichangia. Nikakitoa kile kisketi chake na kuikuta pichu ambayo niliivuta chini wakati yeye mwenywe akimalizia kile kiblauz. Nikamlaza chali pale kitandani na kuanza kutalii sehemu mbalimbali za mwili wake. Nilipofika shingoni nikasikia akipiga kelele za ajabu sana, sikutegemea.. Nikasema ngoja nijaribu kutia ulimi maskioni, huko ndo ilikuwa balaa, Sophy alionionesha wazi kuwa udhaifu wake hasa uko hapo.. Nikatia ulimi na chuchu zake nyeusi zilizosimama kwenye maziwa yenye rangi ya maji ya kunde, nilimsikia akigumia tu.. Nikampenyeza mheshimiwa na kuanza kumgegeda Sophy, alikuwa na kijijoto kizuri sana, nilianza nae kifo cha mende, baadae nikapiga mbuzi kagoma kwenda, kisha nikamgonga moja iitwayo 'lazima alale' kabla ya kumtoa pale kitandani na kumshikisha meza ya mle chumbani. Hatimaye wachina hao wamekuja na Corona yao.. Nikamwaga ndani ya pango la Sophy ambaye alionekana tu ni mzoefu wa muda mrefu wa habari hizi. Yeye wala hakushtuka, lakini mimi baada ya pale nilijihisi mjinga sana, mtu simjui hanijui, sijampima, nimemuamini na kumwaga ndani, na je akipata mimba itakuaje? Nilitizama saa na kukuta ni saa 5:03 asubuhi. Kwahy mpango wangu wa kuwahi kabla ya saa 4 ukawa umeishia hapo, natakiwa nilipie 15k nyingine.. Sikumwambia chochote Sophy, nikambeba na kuingia nae bafuni kumuogesha. Siku ile tulipiga mechi na Sophy mpaka saa 9 jioni ambapo aliniomba kurudi nyumbani, nami ndo nikashtuka kumbe natakiwa kurudi Tanga siku hiyo. Baada ya kuoga nikabeba kibegi changu mgongoni tukatoka na Sophy, pale reception nikakutana na jamaa ambaye siye aliyekuwepo jana usiku na asubuhi ya leo, nikajaribu kumpiga sound nimpe japo buku tano badala ya 15k akagoma, nikaona sio mbaya, nikachomoa 15k nikamkabidhi na kusepa. Nikatoka na Sophy mpaka stendi pale msamvu, nimamshikisha 20k Sophy, nikamuambia arudi home tutawasiliana. Mimi nikapanda gari zinazoenda Dar (gari za Tanga moja kwa moja mwisho ni saa 6). Nikashuka Chalinze na kupata gari linalotoka Dar kupitia Chalinze (kipindi hiki njia ya bagamoyo ilikuwa bado). Nilifika Tanga yapata saa 6 usiku.







    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog