Search This Blog

Tuesday 1 November 2022

PENZI LA MZOA TAKATAKA - 5

 





    Simulizi : Penzi La Mzoa Takataka 
    Sehemu Ya Tano (5)




    Mlinzi alifungua geti kisha akasema "Unataka nini we mwendawazimu? Hebu ondoka haraka sana"

    "Samahani kaka kwa usumbufu ila nilitaka kujua kama mnatakataka humo ndani ili mnipatie hela nikazitupe, mimi sio kichaa nina akili timamu na hii ndio kazi yangu" Alijibu Nyogoso huku akiachia tabasamu bashasha. Lakini tabasamu hilo kamwe halikuweza kujibiwa na mlinzi yule, zaidi alimsonya kisha akamsukuma halafu akafunga geti. Mfano wa mzigo wa kuni, kishindo kilisikika baada mzoa takataka Nyogoso kuanguka. Alitazama huku na kule hakuna mtu ambapo alinyuka akajipangusa vumbi kwenye nguo zake kisha akaondoka zake kichwa chini huku kila mara akigeuka kuitazama nyumba ile. Yote hayo mlinzi aliyomfanyia mzoa takataka Mazoea aliyaona kupitia uwazi wa dirisha, aliumia sana aliamuwa kwenda kumuonya mlinzi yule ila lengo lake liliota mbawa kwani alipofungua mlango wa chumba chake, mama yake akaingia.http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Unaenda wapi?.." Aliuliza mama Mazoea baada kukutana naye mlangoni. Alikisogelea kitanda kisha akaongeza kusema "Njoo kidogo nina maongezi mawili matatu na wewe"

    "Mmmh, mama mbona unanitisha sasa?.." Alisema Mazoea wakati huo akijongea kwenye kitanda chake.

    "Hapana sikutishi ila nataka uniambie ni kitu gani kilicho kuvutia kwa yule kijana mzoa takataka!.."

    "Namna alivyi tu, moyo wangu umetokea kumpenda. Na ningependa mniache mwanenu nifanye kile ambacho moyo wangu unataka" Alijibu Mazoea huku akiwa amekunja uso wake, akionekana kutofurahiswa na swali la mama yake.

    "Unasema? Hivi Mazoea unanitafutia ubaya ama? Unawezaje kuniambia kwamba nikuache na maamuzi ya moyo wako!.. Naona sasa tayari unanipenda kichwani" Huku akirusha mikono yake, hasira nazo zikichukuwa nafasi yake. Aliongea maneno hayo mama Mazoea,maneno ambayo yalimchukiza binti yake na ndipo uliza kwa jazba wakati huo akiangua kilio "Kwanini unapenda kuingilia hisia zangu? Kwannini lakini?.."

    "Sio kwamba nakuingilia ila mimi nataka nikutoe huko binti yangu. Unapotea mamaa. Kwani wanaume wenye maisha mazuri hujawaona mpaka umpende mzoa takataka?.." Mazoea akajibu "Basi mimi nimependa vile vile alivyi"

    "Haaaah!" Mama Mazoea alistuka wakati huo akiweka mikono kichwani akistaajibishwa na jibu la mwanae. Pumzi ndefu alishusha kisha akasema "Kweli wewe ni mjinga. Eeeh leo ndio nimeamini. Nahisi na wewe huwenda utakuwa na nyota ya kuwa mzoa takataka wa kike ndani ya hili jiji pumbavu mkubwa wewe" Maneno hayo mama Mazoea aliyaongea kwa hasira kisha akanyanyuka akaondoka chumbani humo huku akiendelea kumwambia maneno chungu mzima. Baada mama huyo kutoka chumbani kwa binti yake, Mazoea alizipiga hatua za haraka haraka kumfuata mlinzi pale getini. Alipomfikia alimpiga makofi halafu akamwambia "Jerome..naona kazi imekushinda"

    "Kwanini Mazoea jamani" Aliuliza Jerome wakati huo akijipapasa shavu lake kulia alipo pigwa kofi.

    "Ni nani aliyekwambia umfukuze yule mzoa takataka?.." Alihoji Mazoea kwa sauti ya ukali. Punde akaongeza kusema "Zuia mbwa wote ila sio yule mkaka mzoa takataka, akija siku nyingine naomba uniite endapo kama nikiwa ndani. Sasa ole wako urudie kumfukuza. Mshenzi mkubwa wewe nyooo! Jiangalie sana" Aliongea hivi huku akionekana kukasirishwa na maswali ya mama yake lakini pia na kitendo kile alicho kifanya Jerome kumtimua kipenzi chake.

    "Laah! Sasa kosa langu nini mimi?.." Jerome alijiuliza ndani ya kichwa chake huku akimkodolea macho Mazoea ambaye kwa muda huo alikuwa akirudi ndani.

    "Sio bure kuna kitu hapa katikati ila ipo siku itafaamika tu" Baada kujiuiliza swali hilo alihitimisha kwa kujisemea hivyo kisha kaketi kwenye kiti chake cha kila siku ilihali radio ikiwa kando yake. Upande wa Mazoea, alipoingia ndani alikumbana na maneno mengine kutoka kwa mama yake. Mama Mazoea aliyaongea maneno hayo kwa hasira kali sana moyoni mwake. Alisema "Mazoea kumbuka wewe bado mdogo na unahitaji kuwa na maisha bora hapo baadaye kwa faida yako mwenyewe. Mali hizi unazo ziona ni za kwangu na baba yako sio zako, soma upate zako. Sasa basi nataka kujua kutoka kwako, ungependa kuendelea kusoma au utaendelea na mzoa takataka wako?.. ". Mazoea alipoyasikia maneno hayo hakujibu, aliifungua mlango akaingia chumbani kwake kujilaza. Muda huo huo mama Mazoea aliongeza kusema." Nakupa siku tatu ufikirie kisha unipe jibu, staki kupoteza pesa zangu kwa mtu asiyetambua umuhimu wa anacho fanyiwa" Mazoea alijikuta yupo kati kwa kati, kusuka ama kunyoa. Vyote ni vyamuhuimu kwake, elimu anaitaka lakini pia mzoa takataka anamtaka. Wakati Mazoea akiumiza kichwa juu ya mambo hayo, upande wa mzao takataka Nyogoso mambo yanaokana kuwa safi,alipata mzigo wa shilingi elfu moja. Alifurahi sana, haraka sana akajitwisha akaenda kuutupa jalalani kisha akarudi maskani kupumzika akingojea kesho ifike arudi kuhangaika.

    Kesho yake ilipofika,alionekana mama Mazoea akijiandaa tayari kwa safari ya kuelekea kazini. Punde alistisha zoezi hilo baada siku yake ya mkononi kuita, alipopokea akapewa taarifa kuwa rafiki yake kipenzi, mfanya kazi mwenzake amefariki Dunia na mazishi yatafanyika jiji Mbeya. Ni taarifa ambayo ilimshtua mama Mazoea, kwa uchungu aliokuwa nao hakusita kudondosha machozi,na sasa ilimlazimu kuhudhulia mazishi hayo huku akimkabidhi nyumba binti yake pamoja na mlinzi Jerome.

    "Nasafiri kwenda Mbeya, rafiki yangu amefariki. Kwahiy basi nyumba nakuachia wewe ingawa kila kitu nimeshaongea na Mazoea. Jerome ujinga wowote atakao ufanya Mazoea nikirudi niambie wala asikutishe hajakuajili yeye". Alisikika mama Mazoea akimwambia mlinzi wa geti Jerome. Jerome alikubaliana na maelezo ya bosi wake kisha akamtakia safari njema. Furaha isiyo kifani ilitawala moyoni mwa Mazoea baada kuachwa uwanja, alitamani japo dakika chache aonane na mzoa takataka ili aweze kumpa kwa mara nyingine tena yale ya moyoni lakini pia ikiwezekana ampatie lile tunda la katikati ikiwa kama ishara ya upendo.http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Bila shaka pole pole Mungu anaanza kujibu maombi yangu" Alijisemea Mazoea ndani ya moyo wake wakati huo akifungua geti na kisha kuketi nje wakati huo macho yake yakitazama kulia na kushoto akidhania huwenda akamuona mzoa takataka. Masaa yalisogea, subira pekee ikijenga mizizi moyoni mwake imani nayo ikimpa tuamaini kuwa mzoa takataka atapita. Naam! Hatimaye kwa mbali alimuona Nyogoso akizipiga hatua kuja eneo ilipo nyumba yao huku akipasa sauti akisema "Mzao takatakaaaa.. Takatakaaaa napita". Furaha ya Mazoea ikaongezeka zaidi, alihisi kama mzoa takataka Nyogoso anachelewa kumfikia. Hima alinyanyuka, akasimama kisha akajisemea ndani ya moyo wake "Hii ndio nafasi pekee ambayo sitakiwi kuchezea. Sijawahi kufanya mapenzi ila leo nitaanza rasmi. Nitajitahidi kufanya kile niwezalo kuhakikisha nakupa mahaba yote. Nakupenda sana wewe mkaka" Alijisemea maneno hayo Mazoea ndani ya moyo wake wakati huo akibubujikwa na machozi ya furaha ilihali muda huo mzoa takataka ameshamkaribia..





    Mzoa takataka Nyogoso alipokaribia nyumba yakina Mazoea alishtuka kumuona binti huyo, alikumbuka kuwa huyo binti alipelekea kuwahi kunusurika kufungwa jela lakini pia mama wa binti huyo anapinga vikali dhidi yake japo aliwahi kumuonyeshea tabasamu siku ile hospital. Nyogoso alikunja uso wake akijaribu kumuogopesha Mazoea lakini katu binti huyo hakuweza kuogopa zaidi ya kutabasamu huku akikata kucha kwa meno kidole chake cha mwisho ilihali haibu nayo ikitawala vema uso wake. Mzoa takataka Nyogoso hakujali yote hayo aliyokuwa akiyafanya Mazoea, aliondoka zake ingawa kabla hajafika mbali alisikia sauti ikimwita. Alisimama muda huo tayari Mazoea alikuwa amemkaribia ambapo alisema "Kwani wewe unafanya kazi gani?.. Na kama kazi yako ni kuzoa takataka iweje nyumba yetu hulizii au sisi takataka hatuna?..sio vizuri bwana hebu njoo uchukue takataka" Mazoea alipokwisha kusema hayo alimshika mkono mzoa takataka akarejea naye mpaka kwenye geti la nyumba yao kisha akamuuliza "Unanikumbuka?.." Nyogoso aliposikia swali hilo hakujibu alikaa kimya kwa kadhaa ila mwishowe akajibu "Nakukumbuka sana, lakini tafadhali mimi sipo tayari kutoka na wewe kimapenzi. Tambua wewe ni mrembo sana, hadhi yako na yangu abadani hiziendani. Wapo matajiri wenzako hao ndio wanathamani ndani ya moyo wako. Hebu jaribu kuni.." Kabla mzoa takataka Nyogoso hajamaliza alichotaka kusema, Mazoea alidakia akasema." Naomba unielewe kuwa mimi nakupenda, pia ondoa wasiwasi kusimama na mimi hapa. Sababu najua unaongea maneno haya yote ukimuhofia mama yangu, nakuhakikishia kwamba mama hayupo ameelekea Mbeya msibani, lakini vile vile baba naye hayupo, yuko Africa kusini kwenye biashara zake kwahiyo usiwe na mashaka mpenzi wangu nikupendae kutoka kwenye kiini cha moyo wangu " Alisema Mazoea kwa sauti nyororo aliyobarikiwa na Muumba mbingu na nchi, sauti hiyo ilipenya vema kwenye masikio ya mzoa takataka Nyogoso kiasi kwamba iliweza kumfanya kukunjua uso wake aliokuwa ameukunja kwa dakika kadhaa huku moyo wake nao ukiwa umefura hasira na woga ndani yake. Muda huo Mazoea aliongeza kusema "Kwanini hutaki kunipa faraja ya moyo wangu? Kwanini inanifany Dunia naiona chungu?. Nikubalie tafadhali nakupenda sana hebu acha kuutesa moyo wangu" Machozi yalimtoka Mazoea baada kuongea maneno hayo kwa uchungu. Hali hiyo ya mrembo Mazoea kudondosha chozi ilimuumiza Nyogoso kwa namna moja ama nyingine kaisi kwamba alijikuta akishusha pumzi ndefu na wala asiseme neno lolote. Kimya kifupi kilitanda mahali hapo wakati huo Mazoea akijifuta machozi yake, punde kimya hicho kilitoweka baada Nyogoso kusema "Najua maumivu uyapatayo katika moyo wako, ila fahamu kuwa mama yako hapendi kabisa hili unalo zungumzia. Huoni kama ikitokea mimi na wewe tukawa wapenzi inaweza kughalimu maisha yangu? Kama sitofungwa jela basi nitauliwa. Binti mwenye pesa sio mwenzako, jua nina mama kijijini ananitegemea!.."

    "Sitaki kusikia hicho unacho kiongea" Alisema Mazoea kwa hasira na kisha kumkumbatia mzoa takataka Nyogoso pasipo hata kujali nguo chafu alizovaa. Kifua cha Mazoea kilichoonekana kuwa na matiti mchongoma kikagusana na kifua kipana cha Nyogos. Baada Mazoea kufanya kitendo hicho akawaza "Hapa hana ujanja tena. Hatimaye ndege mtundu kanasa kwenye ulimbo, si rahisi kujinasua" Aliwaza alijisemea hivyo hivyo Mazoea huku akiwa bado kang'ng'ana kwenye kifua cha mzoa takataka. Nyogoso alidondosha chini mfumo wa takataka ambao kwa wakati huo haukuwa na kitu. Alibaki mikono mitupu ilihali ndani ya kichwa chake akijiuliza ni kipi kinachompa ujasiri binti mpaka anafikia hatua ya kufanya kitendo hicho. Majibu alikosa wakati huo huo Mazoea alijing'atua kwenye kifua chake kisha akasema "Naomba tuingie ndani"

    "Tuingie ndani?.." Aliuliza Nyogoso kwa taharuki kubwa.

    "Ndio..unaogopa?.." Alijibu Mazoea akiwa anatabasamu.

    "Nikafanye nini mimi kwenye jumba hili?.."

    "Usiogope bwana mpenzi, kwanza niambie jina lako unaitwa nani maana kila nikionana na wewe nasahau kukuuliza ila leo nataka uniambie"

    "Naitwa Nyogoso" Alijibu mzoa takataka Nyogoso.

    "Waoow! Jina mzuri kama wewe, mimi jina langu naitwa Mazoea. Haya twende ndani sasa" Alisema Mazoea na kisha kumshika mkono Nyogoso akaingia naye ndani. Hali ya woga ilimtanda Nyogoso, alitazama huku na kule namna nyumba hiyo yakina Mazoea ilivyo jengwa. Lakini mwishowe woga ulimpotea baada Mazoea kumuhakikishia kuwa wazazi wake wote hawapo. Wawili hao walizipiga hatua mpaka sebuleni, walipofika Mazoea akamkaribisha Nyogoso kwenye sofa kisha akampatia chakula pamoja na maji safi "Natabiri kwa kuwa nakupenda..." Alisema Mazoea kwa tabasamu bashasha huku akimpakulia Nyogoso chakula kwenye sahani.

    "Unatabiri nini?.." Nyogoso aliuliza.

    "Hapo ulipo unanjaa kali, kwahiyo basi chakula hiki chote nataka ukimalize. Sasa ole wako usimalize" Alijibu Mazoea kwa masihara. Nyogoso aliangua kicheko kisha akasema "Si rahisi bwana"

    "Utajua wewe ila lazima chakula hiki chote kiishe" Aliongeza kusema Mazoea, yote ikiwa moja ya masihara aliyokuwa akionyesha mbele ya mzoa takataka Nyogoso. Kijiko cha kwanza chenye chakula alimlisha kisha akamuacha aendelee kula huku wakipiga zogo mbali mbali. Alipomaliza kula aliondoa vyombo, baada ya hapo alizipiga hatua kuelekea chumbani kwake ambapo muda mfupi baadaye alirudi sebuleni akiwa ndani ya khanga moja huku began akiwa na taulo mahususi kwa Nyogoso mzoa takataka. "Haya twende tukaoge" Alisema Mazoea.

    "Tukaoge?.. Yani mimi na wewe tukaoge pamoja?.." Alitaharuki mzoa takataka Nyogoso na hata asiyaamini masikio yake kwa kile anacho kusikia.http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Ndio. Hakuna ubaya mimi na wewe ni wapenzi. Nyanyuka twende bwana" Alisisitiza Mazoea. Nyogoso akionekana kuwa na woga kwa kile kinacho taraji kwenda kutokea dakika chache mbele, alinyanyuka akajivisha ujasiri akaelekea bafuni na mrembo Mazoea. Walipoingia bafuni, Mazoea ndio alikuwa wakwanza kuitelemsha khanga yake. Lahaula mzoa takataka mwili wake ulisisimka, punde akajikuta akisimamisha sehemu yake nyeti mara tu alipoyatazama maumbile ya Mazoea. Binti ambaye matiti yake yalisimama vema huku kiuno chake kikiwa cha kawaida. Umbo namba nane ndilo lililoonekana kwa Mazoea.

    Upande wa pili mlinzi Jerome alijisemea "Am kweli mapenzi hayana mwenyewe. Naam! Leo nimeamini. Yani Mazoea anaacha kunipenda mimi kijana mtanashati, kijana mtulivu, nisiyekuwa na majivuno! Eti anampenda huyo bwege kichaa. Huyu sio bure dishi litakuwa limeyumba. Mazoea anahitaji maombi tena kwa imani kubwa,au kwa mimi mlinzi ndio maana ananidharau? Lakini licha ya kuwa kwenye kazi hii, Mbona bado naonekana kuwa bora kuliko huyo jamaa aliyeingia naye ndani?.. ". Alijisemea Jerome wakati huo akitembea huku na kule akinyata na kujitazama akaidiliki kujiona yeye ndio bora kuliko mzoa takataka. Hatimaye wawili hao walimaliza kuoge, Mazoea akamtaka Nyogoso amnyanyue juu juu kumpeleka chumbani. Nyogoso aliangua kicheko kwanza wakati huo huo Mazoea akamuuliza "Au mimi mzito huwezi kunibeba?.."

    "Hapana huna uzito wowote, nina uwezo wa kunyanyua mzigo wa takataka sembuse wewe?.." Alijibu Nyogoso.

    "Haya basi ninyanyue". Nyogoso alifanya hivyo ambavyo Mazoea alitaka kufanyiwa. Alipitisha mkono wake wa kulia nyuma ya miguu ya Mazoea vile vile mkono wa kushoto nao akapitisha nyuma mgongoni. Alijisikia raha sana Mazoea, furaha aliyokuwa nayo katu haikuwa na kipimo. Alimuelekeza mahali kilipo chumba chake, alipofika Nyogoso alisukuma mlango kwa teke kisha akambwaga Mazoea kitandani. Muda huo huo Mazoea katu hakutaka kumuachia Nyogoso kizembe, alimng'ang'ania kwa nguvu zake zote wakati huo khanga yake ikiwa tayari kando yake. Mzoa takataka alipagawa sana, aliona hakuna namna zaidi ya kukata kiu yake ya kipindi kirefu aliyokuwa nayo. Pole pole akamnyonya chuchu Mazoea huku mkono wake akipeleka ikulu ndogo. Sauti ya mihemko Ilisikika kutoka kwa mrembo Mazoea, sauti ambayo mlinzi Jerome aliisikia.. Alistuka, akatazama dirisha la chumba cha Mazoea ila hakujali aliendelea kusinzia kwenye kiti chake mahususi anachokalia anapokuwa getini.

    Mzoa takataka aliendelea kupitisha ndimi yake kwenye chuchu za Mazoea,na safari hiyo akaamua kunyonya kabisa sehemu ikulu ndogo kitendo ambacho Mazoea hakudhania kama angefanyiwa hivyo na Nyogoso ambaye alionekana kuwa mgeni kwa masuala hayo, lakini katika jambo hilo la kunyonya sahemu ikulu ndogo alijiongeza. "Ashiiiiiaaaah ooonhoooo apsiiii aaahssss" mihemko ilizidi maradufu,ghafla Mazoea akajikuta hajitambui kwa sababu ya raha alizokuwa akihisi. Punde akamkumbatia kisha akamgeuza yeye akawa juu Nyogoso akawa chini.

    Na kama mwanzo Mazoea alivyokuwa amempania mzoa takataka kwa kumpa mapenzi moto moto,kweli ndicho kilichotokea,kwani Mazoea aliamua kumnyonya Nyogoso uzima wake kisha akamwingiza ikulu ili afanye kazi aliyotumwa. Hicho kitendo kiliyomfanya Nyogoso kutoa miguno ya hapa na pale...wakati huo Mazoea akiwa tayari ameshagusa mpira moja kwa moja mechi kuanza uwanjani.

    Purugushani za hapa na pale ziliendelea pale kitandani huku mrembo Mazoea akionekana sambamba kabisa kutawala dimba..maana kila baada ya dakika mbili alikuwa akifika goloni,yote ikitokana na jinsi gani alivyokuwa akilisakata kabumbu katika uwanja mdogo kabisa,uwanja ambao wachezaji huwa ni wawili tu.

    Raha isiyokuwa na mfano alihisi mrembo Mazoea huku akijisugua vema kabisa juu ya kiuono cha Nyogoso,ili hali Nyogoso nae mikono yake akiwa katika harakati za kuchezea chuchu za Mazoea. Bada miili yao wote kuchemka vizuri,hatimaye Kijana Nyogoso alihisi kufika kileleni ambapo miguno ya kiutu uzima ilisikika...miguno ambayo ilisikika ikijichanganya na sauti ya mahaba ya mrembo Mazoea..hali ambayo ilimfanya Mazoea kugusisha kufua chake kwa Nyogoso. Nyogoso naye akamkumbatia vema Mazoea kwa dhumuni la kufika kwa pamoja kwenye kilele cha manazi,lakini kabla wawili hao wajafika kileleni, mara ghafla...





    Kabla Nyogoso hajafika kwenye kilele cha manazi, ghafla aliutoa uzima wake ukulu ndogo. Uzima huo ukatoa kero yake nje kitendo ambacho kilimfanya Mazoea kutoa sauti kali ya kukatishwa utamu usio isha hamu. Kwa nguvu zote akamkumbatia ipasavyo Nyogoso wakati huo naye mzoa takataka akaurudisha uzima wake ikulu ndogo, ligi kwa mara nyingine tena ikawa imeaza upya. Ni dhahili shahili Nyogoso hakutaka kulemba mwandiko kwa binti huyo wa kitajiri, alithubutu kumpindua pindua kadri awezavyo, huku akionekana kuwa na nguvu mpya hali mpya. Mzuko wa kwanza ulimalizika, wawili hao wakapata wasaa wa kupumzika ilihali maneno ya chombezo nayo aliyokuwa akiyanena Mazoea yakipenya vema kwenye masikio ya mzoa takataka Nyogoso ambaye kwa muda huo alikuwa amelala chali, kichwa cha Mazoea kikiwa kwenye kifua chake.

    "Unaonekana mtundu sana lakini kuna kitu kimenishangaza" Alisema Nyogoso.

    "Ni kitu gani hicho?", Mazoea aliuliza wakati huo akichezea kidevu cha Nyogoso.

    "Mwanzo tunafanya jambo hili, kuna hali ambayo sikuweza kuielewa vizuri kuna...",kabla Nyogoso hajamaliza kusema alichotaka kuongea, Mazoea alidakia akasema "Hofu ondoa, mimi sikuwahi kufanya mapenzi, ndio leo nimeanza"

    "Lakini mbona kama unaonekana ni mwenyeji?..", Aliuliza Nyogoso. Mazoea akaangua kicheko kisha akajibu "Maandalizi yako ya kiufundi ndiyo yaliyonifanya kuwa kwenye hali hiyo, lakini pia upendo wangu kwako umenisukuma kuvaa ujasiri wa hali ya juu ili kuhakikisha nakupa kile kinacho stahili kwako. Penye uchungu nahisi utamu. Hahahahah nakupenda sana Nyogoso wangu ", alimaliza kwa kicheko Mazoea.

    Baada ya hayo kimya kidogo kilitanda chumbani humo, tayari Mazoea alianza kuunyonya uzima wa Nyogoso. Sauti ya mihemko alitoa Nyogoso huku mkono wake wa kulia ukichezea nywere za singa zilizokuwa kwenye kichwa cha Mazoea. Nywere ambazo zilitunzwa zikatunzika.

    "Haah! Assssh aah oops" Alilalama mtu mzima Nyogoso mzoa takataka. Muda huo Mazoea aliacha kunyonya uzima wa Nyogoso,tayari akaanza kusakata kabumbu.

    "Oooh Oooh aaah assss...ashiii aaahh mamaaaa" Sauti nyororo iliyojaa mahaba ndani yake Ilisikika ikitoka kinywani mwa Mazoea, punde akang'atuka kwenye kiuno cha Nyogoso kisha akabadilisha mkao. Alilala chali miguu yake akaitupa kwenye bega la Nyogoso, ikulu yake ikaonekana vema kabisa kitendo ambacho kilizidi kumjaza nguvu na hali mpya mzoa takataka, aliurudisha ikulu uzima wake shughuli ikaendelea. Utamu na maumivu yote yalikuwa juu yake mrembo Mazoea, jambo hilo lilimfanya kutoa sauti kali ya kimahaba. Sauti ambayo aliisikia mlinzi Jerome. Kwa mara nyingine tena Jerome akageuka kutazama usawa ule kilipo chumba cha Mazoea, alihisi kitu hivyo alinyanyuka akazipiga hatua kwa kunyata kwenda kuchungulia ili aone kinacho endelea. Sauti ya mihemko ilizidi kulindima chumbani mwa Mazoea muda huo huo Jerome alikuwa amelikaribia dirishani. Kimo cheke kilimpelekea kushindwa kuona kinachoendelea chumbani, aliishia kusikia sauti tu za hapa na pale. "Daah! Mungu wangu, hawa wengine umewapa nyota gani? Mbona bahati kama hizi kwangu hazitokei? Kweli huyu Mazoea ndio kathubutu kumvulia nguo mzoa takataka?. Lah! Sio rahisi kiivyo, huyu jamaa atakuwa ametumia dawa", alijisemea maneno hayo mlinzi Jerome, aliweka rungu lake chini kisha akazishika sehemu yake nyeti ambayo tayari ilikuwa imevimba shauri ya mihemko aliyokuwa akiisikia baina ya Nyogoso na Mazoea. Ligi ilikuwa ngumu sana katika uwanja mdogo usio na refa, mzoa takataka hakutaka mzaha wala Mazoea naye hakukutak kumuangusha. Alicheza vizuri sana kana kwamba ni mzoefu wa ligi, alijitahidi kuzibiti mashambulizi lakini wenyeji wa Nyogoso ukambeba, alifika mwisho wa kilele ilihali nje hali kwa mlinzi Jerome ilikuwa tete, alilowesha suruali yake huku akitamani kile anachofanyiwa mzoa takataka angefanyiwa yeye. Kimya kilitawala, hapo Jerome akajisogeza kwenye lindo lake ikihofia kukutwa dirishani hapo wakati huo huo Mazoea alivaa khanga yake moja huku Nyogoso naye alivaa taulo wakaelekea bafuni kuoga kabla ya kuendelea na mchezo,siku hiyo Mazoea alikuwa amempania mzoa takataka licha ya kuisikia maumivu, kwake aliona sio kitu. Alifanya hivyo akiamini kuwa pindi mama yake atakapo rejea kutoka Mbeya kamwe hatopata nafasi ya mtende, nafasi ya kukaa na mzoa takataka kwa masaa mawili ama matatu.http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Mbona unatembea hivyo?.." Aliuliza Nyogoso baada kumuona Mazoea kabadrika kimwendo. Mazoea alicheka kisha akasema "Kawaida shaka ondoa". Hatimaye walifika bafuni walioga na kuchezeana na kila mmoja akimuogesha mwenzake. Mapenzi moto moto yalionekana ndani ya mioyo yao, shuguli hiyo ilipomalizika Mazoea akamuandalia chakula mpenzi wake. Nyogoso alitamba, alijiachia kwenye sofa huku akila chakula ambacho hakuwahi kukifikiria ndani ya ubongo wake, chakula cha ghalama kwa mahotel makubwa jijini, lakini siku hiyo anapata kukila bila ghalama yoyote. Baada ya hayo, walipata wasaa wa kumpumzika kitandani walau kuvuta hisia zao. Punde kila mmoja damu ilimchemka, mzoa takataka Nyogoso akaanza kukitomasa kifua cha Mazoea ilihali muda huo Mazoea naye akichezea uzima wake. Mzoa takataka Nyogoso alijihisi tofauti kabisa, akasahau shida zote akajihisi yupo nyumbani kwake akajisahau kuwa yupo kwenye himaya ya mama Mazoea. Raha mstarehe ikaanza upya, sauti za hapa na pale kwa mara nyingine tena zikagonga kwenye ngoma ya masikio ya mlinzi Jerome. Alistuka. Akasema "Khaa! Wana rudia tena?. HakyaMungu wameamua. Na hivi ni kupeana majaribu", alinyanyuka baada kusema hivyo kisha akazipiga hatua kurudi pale dirishani kusikiliza mihemko ila ghafla mihemko hiyo ilikata baada Mazoea kushindwa kuendelea na safari, alihisi moto mkali unawaka ndani ya ikulu yake. Uvumilivu ulimshinda akaamua kusema ukweli juu ya kitendo hicho ingawaje alianza kwa samahani kwani hakutaka kumuuzi mpenzi wake kwa vyovyote vile. Na sasa waliamua kulala, punde usingizi mzito ukawapitia walilala fo fo fo wote wakiwa hoi bin'tabaani. Lakini wakati wapenzi hao wakiwa kwenye dimbwi kubwa la usingizi uliochangia na uchovu,upande wa pili alionekana baba Mazoea akitelemka ndege akitokea Africa kusini kwenye biashara zake. Punde dereva wake alifika Airport kumpokea, aliingia ndani ya gari tayari kwa safari ya kurejea nyumbani huku akionekana kuwa na shauku kubwa ya kutaka kuiona familia yake mkewe na binti yake atwae Mazoea





    Foleni za jiji la Dar es salaam zinampelekea baba Mazoea kufika nyumbani kwake usiku, alikuwa amechoka sana alipojitupa kitandani usingizi ulimpitia akaamka saa kumj alfajiri. Alitaharuki sana baada kutazama saa ya ukutani iliyokuwemo chumbani humo, pumzi ndefu alishusha kisha akajisemea "Laah! Uchovu sio kitu cha kawaida,nimeshindwa kumuona binti yangu sasa"., muda huo huo simu yake ya mkononi iliita, alipokea. "Hello bosi, pole kwa uchovu" Ilisikika sauti ikimwambia hivyo baba Mazoea.

    "Ahsante nimeshapoa, enhe vipi kuna habari gani?.." Aliuliza baba Mazoea.

    "Bosi,kuna tatizo hapa ofisini. Nadhani kwa kuwa umerejea basi itakuwa vizuri ukifika hapa ofisini ili kila kitu kiende sawa", Ilijibu sauti hiyo iliyokuwa ikisikika kwa njia ya simu.

    "Sawa nakuja sasa hivi". Alikata kauli baba Mazoea kisha haraka sana akajiandaa kuelekea ofisini ili kutatua tatizo hilo. Ni mfanya biashara mkubwa wa kuuza na kununua magari kutoka nchi mbali mbali Duniani, ni mtu mwenye utajiri mkubwa nchini. Aliitwa Mr Domic baba wa mrembo Mazoea. Upande wa pili Nyogoso alistuka kutoka usingizini, akajikuta amelala nyumbani kwa kina Mazoea. Hofu dhufo lihali ilimjaa moyoni mwake ila Mazoea alimtuliza akimuaminisha kuwa wazazi wake hawapo hivyo hapaswi kuogopa, na hata asijue kwamba baba yake amerejea kutoka Africa kusini.

    "Hupaswi kuogopa mpenzi wangu, hofu ondoa kabisa yani ikiwezekana jihisi hii ni nyumba yako" Alisema Mazoea akimwambia mzoa takataka Nyogoso. Nyogoso aliishia kutabasamu wakati huo Mazoea alitoka chumbani humo punde akarejea na chumba ya chai pamoja na vitafunio.

    "Karibu chai mpenzi wangu", aliongeza kusema Mazoea kisha akamimina chai kwenye kikombe. Muda huo huo honi ya gari ilisikika nje ya geti, tayari ilikuwa asubuhi ya saa nne sasa. Mlinzi Jerome alifanya hima kufungua geti. Naam! Ni bosi wake alikuwa amerejea baada kupata zalula ofisini.

    "Jerome..", Aliita baba Mazoea.

    "Naam bosi wangu" Jerome aliitikia huku akiachia tabasamu bashasha.

    "Habari za asubuhi"

    "Njema tu, sijui kwako?.." Alisema Jerome wakati huo akifunga geti. Baba Mazoea tayari alikuwa ameshuka gari. Alizipiga hatua kuingia ndani hali ya kuwa kule chumbani Nyogoso alistisha kunywa chai baada kusikia sauti ya mtu.

    "Nahisi kitu, hebu chungulia dirishani utazame nje", alisema Nyogoso kwa taharuki kubwa. Haraka sana Mazoea alisimama kitandani kisha akatazama, akapata kuiona gari ya baba yake. Alistuka akasema "Mungu wangu, baba karudi", Alivaa nguo haraka haraka akaelekea bafuni kuziondoa nguo za Nyogoso kabla baba yake hajaziona. Wakati huo huo mzoa takataka Nyogoso alijifunga taulo,hamu ya kunywa chai ilitoweka mara moja, alishika tama. Hakujua afanye nini kutoka ndani ya nyumba hiyo ili asikutwe na baba Mazoea. Machozi yalimtoka, mapigo ya moyo wake yalimuenda mbio wakati huo huo akajisemea "Tamu hatimaye imekuwa chungu. Nyogoso sasa nimekwisha, sielewi mstakibali wangu. Mazoea.. Mazoea umeniponza mimi",Aliendelea kudondosha machozi mzoa takataka Nyogoso. Mlango uligongwa, aliyegonga mlango huo hakuwa mwingine bali ni baba Mazoea. Nyogoso alizidi kupagawa baada kusikia mlango ukingongwa na mwisho alisikia sauti ya Mr Domic baba Mazoea ikimuita binti yake. Aliita zaidi ya mara tatu pasipo kuitikiwa.

    "Kaenda wapi sijui", alijisemea baba Mazoea wakati huo akiingia chumbani kwake, nafasi hiyo Mazoea akaitumia kuingia nazo nguo za Nyogoso chumbani kwake.



    "Ahahahah hahahah" Aliangua kicheko mlinzi Jerome. Alipokatisha kicheko chake akasema "Mzoa takataka sijui kichaa,umenogewa na utamu wa binti wa kisha umenisahau kabisa. Leo sasa kwa mara yangu ya kwanza ndio nitashuhudia senema ya kihindi namna star anakufa kwenye maua" Alisema mlinzi Jerome kisha akarudi kuangu kicheko, alifurahi sana. Alikaa kwenye kiti chake wakati huo bado furaha ikiendelea kutamalaki usoni mwake. Punde alimuona Mazoea akimjia mbio, alipomkaribia akamsabahi "Mambo Jerome!.."

    "Mambo poa.." Aliitikia mlinzi Jerome huku akijutanua vizuri kwenye kiti chake. Baada ya salamu ndipo Mazoea akamueleza shida yake. Alisema.

    "Jerome, samahani nakuomba sana tena sana usimwambie baba wala mama habari yoyote kuhusu huyu mkaka mzoa takataka"

    "Kwanini?.." Aliuliza Jerome.

    "Basi tu nakuomba sana", Mazoea alijibu kwa upole, uso wake ulionyesha kuw na hofu kubwa. Lakini licha ya Mazoea kukwambia hivyo Jerome, ajabu Jerome aliangua kicheko sana, alipokatisha kicheko chake akasema "Kuhusu hilo naweza nisiseme ila nataka kujua utanipa nini ili nifiche iwe siri?.."

    "Pesa. Shilingi laki nne taslim nitakipitia Jerome" Alijibu Mazoea kwa kujiamini kabisa akiamini kuwa kwa kiasi hicho cha fedha alizotaja kamwe mlinzi Jerome hawezi kukataa.

    "Mmmh! Sawa lakini ngoja kwanza nijifikirie halafu baadaye njoo uchukue jibu lako" Alijibu Jerome, jibu ambalo lilimstua Mazoea hakuamini kama Jerome angeliweza kulemba mwandiko kwa kiasi hicho chote cha fedha. Akiwa mnyonge alirudi ndani kichwa chini mikono nyuma wakati huo huo Jerome alianza kutuliza akili yake na kuanza kuwaza juu ya kile alichoambiwa na Mazoea.

    "Laki nne? Hela zote hizo nitazitumia wapi wakati muda wote nipo hapa getini? Tangu nianze hii kazi hata mtaa wa pili siujui. Nimekuwa kama mfungwa. Aah wapi kamwe siwezi kuchezea bahati kama hii. Ngoja nimwambie anipe mambo matamu kama aliyompa mzoa takataka, akikataa basi nitaweka wazi kila kitu ",Aliachia tabasamu mlinzi Jerome baada kuona mawazo yake yapo sahihi, aliona pesa kwake sio kitu ila penzi la Mazoea ndio muhimu. Muda Jerome aliomtajia Mazoea aje kuchukua jibu uliwadia, Mazoea hakutaka kupoteza hata dakika. Haraka sana alifika kuja kuchukua jibu kabla ya kupanga mkakati wa kumtorosha mzoa takataka ndani kingali baba yake hajamstukia.

    "Kaka Jerome, nimekuja sasa kuchukua jibu. Upo tayari nikupe fedha hizo ili unitunzie siri" Aliuliza Mazoea huku akionyesha unyonge wa hali ya juu mbele ya mboni za mlinzi Jerome mwenye kiu kubwa ya mapenzi.http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Kwanza mimi sio kaka yako, tafadhali tengua kauli yako. Na vile vile sipo tayari kupokea hizo pesa zako" Aling'aka Jerome. Mazoea alistuka, kwa taharuki kubwa akasema "Unataka nini Jerome? Pesa zote hizo unazikataaa?.."

    "Ndio nazikataa", Alijibu kwa mkato Jerome. Jambo hilo lilimfanya Mazoea kuzidi kupagawa, alimtazama Jerome kwa jicho la hasira wakati huo hofu dhufo lihali ikizidi kumjaa moyoni mwake. Alikaa kimya kwa muda wa dakika mbili kisha baadaye alivunja kimya hicho kwa kumuuliza Jerome kitu gani anachotaka ili aweze kumtunzia siri.

    Jerome aliangua kicheko kwanza "Ahahahahah.. Hahahahah..", halafu akasema. "Kama unataka nifiche suala hili ili iwe siri? Basi nipe mambo yale uliyompa mzoa takataka. Na kama hutaki, nitaweka kila kitu hadharani. Baba yako nitamwambia lakini pia hata mama yako naye nitamwambia".

    "Jerome?..", alistuka Mazoea. Hakuamini kama Jerome angemtaka kimapenzi ndipo amtunzie siri ya yeye kutoka kimapenzi na mzoa takataka. Ghafla alijihisi kukosa nguvu, alishindwa kuelewa kipi afanye ili amuokoe Nyogoso katika mikono ya wazazi wake. Wakati huo huo mzoa takataka naye alikuwa akilia kwa uchungu chumbani huku akijiuliza kipi kitamtokea endapo baba Mazoea atamgundua kuwa yumo ndani..!!









    Alipagawa mzoa takataka Nyogoso,ilihali Mazoea naye akizidi kuchachawa. Hitaji la Jerome lilimfanya kushindwa kutoa uamuzi ulio sahihi, akajikuta akishusha pumzi wakati wote huku akimtazama Jerome kwa jicho la hasira.

    "Mazoea!",sauti ya Mr Dominic. Baba wa Mazoea iliita. Mazoea akatoka kwenye dimbwi lile la mawazo, akageuka akamtazama kule ilipotokea sauti ya baba yake. Alimuona akiwa amesimama mlangoni huku uso wake ukiachia tabasamu.

    "Abee baba", aliitika kisha akatii wito. Alipomfikia akaambatana naye mpaka sebuleni. Waliketi kwenye sofa na kisha maongezi yakaendelea. "Kuna habari njema mwanangu", Aliongea baba Mazoea.

    "Ipi hiyo baba?", Mazoea aliuliza huku akitega sikio lake vema tayari kwa kuisikia habari hiyo njema anayotaraji kuisikia kutoka kwa baba yake. Mr Domic alikaa kimya kidogo wakati huo akimtazama binti yake ambaye naye alionekana kutokujiamini.

    "Natumai utafurahi", aliongeza kusema baba Mazoea.

    "Ndio lazima nifurahi", alijibu Mazoea.

    "Wakati nipo Africa kusini kwenye biashara zangu, nilifanya mpango wa kukutafutia shule. Nia yangu ukishahitimu chuo uende ukaongeze elimu zaidi kuliko kukaa bure". Alisema Mr Dominic.

    "Waooh! Vizuri sana baba. Ahsante kwa kunijali mwanao", akiwa na tabasamu bashasha alisema Mazoea. Ni habari ambayo iliifurahia usoni ila moyoni kamwe hakufurahishwa nayo, aliamini safari ya kuelekea Africa kusini inaweza kumuweka mbali na mzoa takataka Nyogoso. Muda huo Mr Dominic aliongeza kusema "Kwahiyo basi naomba ujitahidi, usiniangushe sawa sawa?.."

    "Sawa baba, ondoa shaka" Alijibu Mazoea.



    **********

    Giza lilitanda, Nyogoso akiwa bado yumo chumbani. Mlinzi Jerome alingojea penzi la Mazoea kwani alijua lazima atafanya naye mapenzi. Lakini fikra za Jerome ziliota mbawa baada masaa kuzidi kwenda pasipo dalili yoyote ya Mazoea kuja. Mpaka usingizi unampitia hatimaye kesho nyingine inafika, katu hakuweza kumtia machoni Mazoea. Alilaani sana kitendo hicho. Akiwa na hasira alijisemea "Bila shaka hanijui, ameniona mtoto mdogo? Sasa ngoja nitamkomesha". Asubuhi hiyo mama naye alianza safari ya kurejea Dar es salaam baada mazishi kumalizika. Mama huyo alianza safari yake huku akiwa na wasi wasi juu ya binti yake aliyezama kwenye penzi la mzoa takataka, hivyo alitamani afike mapema ili ajue ni kipi kilicho endelea pindi alipokuwa Mbeya. Wakati mama Mazoea akiwa safari, upande wa pili Mazoea aliandaa chai mezani kwa niaba ya baba yake huku chai nyingine akampelekea Nyogoso chumbani. Akiwa chumbani alisikia sauti ya baba yake ikimuita sebuleni. "Mazoea!"

    "Abee"Aliitikia Mazoea kisha akatii wito.

    " Hivi unataarifa kuwa mama yako yupo njiani sasa anarudi?.. "Aliongea Mr Dominic akimwambia binti yake wakati huo akionyesha kufurahi moyoni..

    " Hapana sina taarifa hiyo " Alijibu Mazoea akikataa usikivu wa taarifa hiyo ya mama yake kurejea Dar es salaam.

    " Basi ndio hivyo anakuja. Ni hilo tu nilitaka kukwambia kwahiyo unaweza kurudi chumbani kwako kuendelea na shughuli zako". Aliongeza kusema Mr Dominic, hata asijue ni kiasi gani taarifa hiyo ilivyomuumiza binti yake. Muda huo chai ilishindwa kupenya kwenye koo la mzoa takataka Nyogoso. Akili haikuwa yake tena, aliwaza ni namna gani atatoka salama ndani humo.

    "Niache Mazoea, akili yangu kwa sasa haipo sawa. Huoni kama umeniponza", alilalama mzoa takataka Nyogoso lakini Mazoea akajitahidi kadri aweazavyo kumuondoa hofu. Haikuwa kazi rahisi. Punde simu ya Mazoea iliita, ilikuwa kando yake. Alistuka akapokea kisha akasema "Hello".

    "Eeh hujambo?..", ilimsabahi sauti hiyo. Ilikuwa sauti ya mama Mazoea.

    "Sijambo mama shkamoo"

    "Malakhabaa. Kwa sasa nipo njiani narudi Dar. Kwahiyo nilitaka kukupa taarifa"

    "Anhaa sawa mama nakutakia safari njema". Mama Mazoea alikata simu baada kumtaarifu binti yake. Pumzi ndefu alishusha Mazoea, hofu ikazidi kumtanda achilia mbali mzoa takataka aliposika Mazoea ameongea na mama yake. Alisimama kitandani akatazama mazingira nje namna yalivyo. Kwa mbali akapata kumuona Jerome akiwa amekaa kwenye kiti chake kando ya geti huku akisikilizia radio yake. Mazingira aliyaona magumu, subira pekee ndivyo ikatawala moyoni mwake. Masaa yalikwenda na mwishowe mama Mazoea alifika nyumbani ikiwa bado Mazoea hajafanikisha zoezi la kumtoa Nyogoso ndani. Mazoea alizidi kupoa mithili ya maji ya mtungini, alimpokea mama yake mkoba aliovaa begani kisha wakaingia ndani wakati huo kila mara Mazoea akigeuka nyuma kumtazama Jerome kwa jicho ngebe ilihali Jerome naye akimcheka kwa kebehi.

    "Siku zote dawa ya jeuri ni kiburi, nadhani laiti kama angekubali hitaji langu sidhani kama mama yake angemkuta ndani mzoa takataka wake. Sasa kafanya jeuri ngoja na mimi nimfanyie kiburi. Hapa ngoma dro kudadadeki", alijisemea Jerome kwa furaha kabisa huku akipiga rungu lake pole pole kwenye kiganja cha mkono wa kulia.

    "Mtaka cha uvunguni sharti lazima uiname. Sasa umeshindwa kuinama utakipataje hicho cha uvunguni?..", aliongeza kujisemea Jerome.

    Mazoea na mama yake walipofika sebuleni waliongea mambo mbali mbali, lakini baadaye Mazoea aliwaacha wazazi wake waendeleaa kuzungumza maswali mengineyo kuhusu maendeleo ya maisha ingawa mada iliyodumu zaidi ni ile ya Mazoea kwenda kusoma Africa kusini.

    "Hilo litakuwa jambo jema sana mume wangu", aliunga mkono mama Mazoea.

    "Umeona eeeh! Nafaikiri ataishi huko ikiwezekana hata kuolewa aolewe huko huko sio hapa Tanzania", alisisitiza Mr Dominic. Muda huo mama Mazoea alisimama pasipo kuongea neno lolote kuhusu suala hilo la Mazoea kuolewa Africa kusini, akazipiga hatua kuingia chumbani ilihali Mr Dominic naye alimfuata huku akisema "Inamaana hujapendezwa na tumaini langu?..". Wakati hayo yakijili huko chumbani baina ya Mr Dominic na mkewe, upande wa pili Mazoea aliitumia nafasi hiyo kumtoa Nyogoso chumbani. Alipiga moyo konde, aliona heri lawama kuliko fedheha. Alimshika mkono kisha akatoka naye ndani haraka haraka. Jerome alipowaona wawili hao alistuka akasema "Anhaa kwahiyo umeamua kutumia ubabe? Sasa nafunga geti na kufuri halafu funguo naichomeka sehemu ya ya siri nione kama utaweza kuchomoka ndani humu na mzoa takataka wako", mlinzi Jerome alipokwisha kusema hivyo alifanya kama alivyopanga. Alifunga geti kisha funguo akiweka kwenye nguo yake ya ndani ilihali wakati anafanya kitendo hicho, chumbani mama Mazoea alisema "Jerome naona kazi inataka kumshinda".

    "Kwanini?..", aliuliza baba Mazoea.

    "Maua yanayeyuka, hamwagilii maji kwa wakati maalumu. Hebu ngoja kwanza nikwambie", alitoka chumbani akazipiga hatua kwenda nje kwa dhumuni la kumwambia Jerome amwagile maji maua. Hapo alipata kumuona kijana yule mzoa takataka akiwa sambamba na binti yake.

    "Jerome naomba tafadhali usifungue geti", alitoa amri mama Mazoea na mara moja akazipiga hatua kuwafuata. Alipowafikia alimpiga binti yake makofi huku akimtukana kwa jazba. Muda huo huo baba Mazoea naye alitoka ndani baada kusikia prugushani nje. Hakujua kipi kilicho pelekea kutokea prugushani hiyo ila aliposika kuwa mzoa takataka Nyogoso ndio anatoka kimapenzi na binti yake, hapo alipata kuelewa akamtazama mlinzi Jerome kwa jicho la hasira kisha akamuuliza "Ni kwanini unaruhusu watu kama hawa kuingia ndani mwangu?.. Yani huyu mjinga kichaa sio kichaa ndio wakulala na binti yangu?.."

    "Samahani sana bosi, ila sio kosa langu bosi. Mazoea alinilazimisha na akanipa onyo kumzuia huyu jamaa", alijitetea Jerome. Lakini baba Mazoea kamwe hakutaka kuelewa porojo ya mlinzi huyo zaidi alimuachisha kazi haraka sana iwezekanavvyo licha ya Jerome kuomba msamaha kwa kilio cha machozi. Majuto ikabaki kuwa mjukuu kwa mlinzi Jerome, akajikuta akijutia fedha zile alizoahidiwa na Mazoea, hakuwa na akiba yoyote, pesa za ujira wake alikuwa akizituma kijijini kwa mchumba wake lakini siku kadhaa nyuma kabla ya kuachishwa kazi alipata taarifa kuwa mchumba wake huyo ameolewa na mtu mwingine.

    "Ama kweli ng'ombe wa masikini hazai", alijisemea Jerome huku akifungua geti na kuishia zake.

    "Na wewe, nakuhakikishia kuwa lazima nikufunge jela mwanahidhaya mkubwa wewe" Mr Dominic alimgeukia mzoa takataka Nyogoso na kisha kumwambia maneno hayo kwa sauti kuu. Alipokwisha kumwambia hayo alipiga simu police, punde gari la police likaja mahali hapo likambeba mzoa takataka na kuondoka naye. Nguvu ya pesa ilitumika, Nyogoso akatuhumiwa kosa la kuiba. Akahukumiwa miaka sita jela.



    ********* **



    "Daah! Pole sana swahiba wangu", alisema Bukulu baada mfungwa Nyogoso kumsimulia kisa na mkasa kilichomuweka jela. Nyogoso aliyafuta machozi yake kisha akaitikia "Ahsante sana". Punde amri ilisikika kutoka kwa Afande Daniel akiwataka wafungwa waingie ndani ya gari lao ili warudi magereza. Awali Daniel aliachishwa kazi kwa tuhuma za rushwa lakini baadaye alifanyiwa mpango na viongozi wa ngazi ya juu kwenye serikali akawa amerudi kazini na moja kwa moja akawekwa kwenye kitengo cha Askari magereza. Huko alionekana kumchukia vilivyo mfungwa Nyogoso akiamini kuwa yeye ndio chanzo cha kuachishwa kazi baada siku ile kuwatoroka. Alithubutu kumnyima haki baadhi anazo stahili kupata mfungwa. Alizuia asipewe uji, alimpiga mateke na mijredi kwa nyakati tofauti. Maisha ya Nyogoso jela haya kuwa ya amani kabisa. Lakini baadaye furaha ilirejea baada kutoka jela kwa msamaha wa raisi. Alibeba zege, alibeba mizigo (Kuli) alijituma kwa nguvu zote hatimaye akapata nauli akarudi kijijini kwao. Alipofika Alistaajabu kukuta nyumba Imepoa, alipasa sauti kumuita mama yake ili amuombe msamaha juu ya kile alicho kifanya. Lakini hakuitikiwa. Punde si punde akaja jirani yao ambaye naye alimsahau kidogo Nyogoso shauri ya kubadirika pindi alipolowea jijini Dar es salaam.

    "Shkamoo mzee wangu" Nyogoso alimsalimu jirani huyo.

    "Malakhabaa, wewe nani?.."

    "Mimi Nyogoso, mama katoka muda sana?..", alijibu Nyogoso na kuacha swali. Jirani yao alishangaa sana. Akasema "Wewe ndio Nyogoso?.." Alisikitika, akaongeza kusema "Pole sana, mama yako alifariki zamani sana"http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Mama amekufa?..", alihoji Nyogoso kwa mshtuko wa hali ya juu,mstuko ambao ulimpelekea kupatwa wendawazimu shauri ya kufikiria kuwa mama yake amekufa pasipo kumuomba msamaha. Wakati Nyogoso akiwa kichaa, kwingeneko ndani ya jiji la Dar es salaam. Mrembo Mazoea aliamua kujiuwa baada wazazi wake kukatisha penzi lake na mzoa takataka.



    MWISHO

0 comments:

Post a Comment

Blog