Search This Blog

Tuesday 1 November 2022

KILIO CHA NAFSI - 1

 








IMEANDIKWA NA : MODEL TEDDY ANDREW



*********************************************************************************

Simulizi : Kilio Cha Nafsi

Sehemu Ya Kwanza (1)





Baridi kali liliendelea kuzitafuna nyama zake japo alikuwa amejistili sehemu sahihi kwa mtazamo wake lakini baridi hilo halikuacha kumshambulia. Lilikuwa ni baridi kali sana. Lililomfanya Samweli kutetemeka mwili mzima. Mtetemeko huo ulizidi kuongezeka hadi ndani ya kinywa chake maana hata mdomo nao ulikuwa ukicheza cheza. Aliendelea kujikunyata huku mdomo wake ukitetemeka na kusababisha meno yake kugongana gongana. Alipoona baridi linaendelea zaidi alinyanyuka eneo hilo na kuanza kutembea bila kujali kama kulikuwa na mvua kubwa sana iliyokuwa ikiendelea kunyesha, hayakuwa maji peke yake yaliyokuwa yakiushambulia mwili wake bali hata upepo mkali , ngurumo na barafu vyote viliusurubu mwili huo.



“Huyoooo ….huyooooo kamata mwizi… mwizi,” zilikuwa sauti za bibi kizee wa Kinapel aliyekuwa akipiga kelele katika lugha yake ya Kinapel. Kelele zake za kutaka usaidizi zilipenya vyema ndani ya ngoma za masikio ya vijana wawili waliokuwa wakicheza mziki ndani ya nyumba moja iliyokuwa ndogo kama yake bila kujali kama kulikuwa na mvua kubwa. Mita chache kutoka eneo hilo.

“Jamani saidiaaa,“ aliendelea kulalama huku akichukua fagio lililokuwa limegemezwa ukutani na kumpiga nalo Samweli aliyekuwa anang’ang’ania kuingia ndani ya kijumba chake kidogo.

“Yuko wapi?”

“Huyo hapo,” bibi aliongea huku akimsonta Samweli kwa kidole chake cha shahada jinsi alivyokuwa akimtazama Samweli dhahiri alionekana kumuogopa sana kutokana na muonekeno wake.

“Narmay msukumie huku.”

Kijana aliyekuwa ameshikilia sigara mkononi alitoa maagizo hayo huku akichukua fagio kutoka kwa Bibi huyo kwa mkono wake wa kushoto.

“Paaaa!Paaaaa!”

Sauti ya fagio ndiyo iliyosikika walimvuta huku wakimpiga hovyo bila kujali sehemu ya kupiga walimtoa mzobe mzobe eneo hilo wakiendelea kumpiga. Samweli alilia sana kwa maumivu ya kipigo na ya baridi, walimpiga huku wakimsukuma kuelekea bondeni huko walimfunga kwenye mti mkubwa uliokuwa umezungukwa na maji mengi kisha waliondoka .



Vijana hao wa Kinapel hawakuwa na huruma hata kidogo hawakujua kipi kilimpata Samweli hadi kuwa katika hali hiyo mvua nayo haikukoma kunyesha. Ilikuwa kama imechochewa ama iliambiwa nyesha sana Samweli yuko hapo! Hadi inakata Samweli alikuwa bado yupo katika mti huo akiwa amekufa gazi sehemu kubwa ya mwili wake.



“Chaidiaaaa… nakufaaa…. chaidiaaaa,” alisema kwa lugha ya kiswahili. Tena kiswahili kilicho kibovu sana lugha amabayo ilikuwa ngeni kabisa masikio mwa wasichana wawili wa Kinapel waliokuwa wakikatiza eneo hilo hakuishia kuongea tu bali alikuwa akijaribu kupunga mkono hewani ili kupata msaada wowote lakini hakuna aliyejitokeza.



“Bibi amekufanyia fujo?”

“Hapana. Ila ananuka sana sijui katoka wapi?“

“Aaaah! Basi poa siye tunajiachia lolote likitokea tujuze sawa bi _mkubwa.“

“Barida.“http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

Yalikuwa ni mazungumzo kati ya Bibi na wale vijana waliokuwa wamemsaidia kumuondoa Samweli eneo hilo. Mazungumzo yaliyofanyika kwa lugha ya Kinapel. Kidogo walisimama na kumtazama Bibi yule aliyekuwa amesimama katikati ya mlango akiwatazama kwa macho ya ushawishi kitendo cha Bibi kuwajibu kihuni kiliwashtua sana hawakuamini kama bibi aliyekadiriwa kuwa na umri wa miaka hamsini na kitu kutumia maneno ya vijana ilikuwa kali ya mwaka!



“Bibi nawe kumbe bado upo?”

“Hahahahaha! Potezea nendeni nashukuru kwa msaada wenu jioni mje niwalipe.“

“Poa bi_ mkubwa,” waliondoka huku wakiendelea kumtathimini Bibi huyo aliyewaacha midomo wazi.

“Sikia huyu bi mdashi itakuwa anauza nini?”

“Hata sijui ila nalo linawezeka kwani vipi?”

“Hakuna kitu ila ....”

“Ila nini? Umedata nini? Bi mdashi yuko poa japo kimezeeka ila kimeumbika sana utadhani kichanga daaah!” Vijana wale waliendelea kumjadiri bibi huyo.



***

Dar es salamu, Tanzania.

Naomi aliendelea kusimama eneo lenye mwanga hafifu sana macho yake hayakuwa nyuma kutazama huku na huko yalikuwa makini sana kumtazama kila mtu aliyepita eneo hilo.

“Mmmh! Davis mbona haonekani? Ama ameghairi kuja,”aliwaza ndani ya kichwa chake na kuitazama simu yake iliyokuwa mkono wake wa kulia mara baada ya kuiondoa roki.



“Saa sita kivyake acha nijichanganye kati siwezi kumsubili mtu asiyeeleweka,” alisema na kuanza kupiga hatua kutoka eneo hilo, alitembea kama hatua sita kisha alisimama mara baada ya kusikia sauti ya kiume ikimsimamisha.

“Mrembo umewaka mithili ya malkia wa Uingereza ,“ Mwanaume aliyekuwa mrefu kiasi mwembamba maji ya kunde na mwenye ndevu zilizonyolewa mtindo wa duara aliongea huku akiitafuna tafuna lipsi yake ya chini Macho yake yenye ulegevu yalikuwa makini kumtazama Naomi kuazia juu mpaka chini.



“Oooh! Mtoto mzuri sana cheki hipsi zake kama kapachika mito kifua nacho kimejazia ngozi yake sasa ooooh! Lazima nimtafune usiku huu huu,” aliwaza peke yake huku akiendelea kumtazama Naomi aliyekuwa bize na kuaganza huku na huko.

“Bebito kwani vipi?”

“Safi niambie.“

“Nakuona unaangaza angaza vipi unamtafuta baba?” Alimuuliza kwa utani huku akiachia tabasamu la ushawishi kwa Naomi.

“Baba?“

“Ndiyo kwani haiwezekani?”

“ Club na Baba!” Alijibu kwa mshangao akimtazama machoni.

“Eeeeh! Na..naomba tukakae pale kuna kitu nataka nikueleze.”

Naomi hakuwa mbishi alikubaliana na ombi la mwanaume huyo safari ya kuelekea eneo sahihi aliloliongea ilianza katika tembea hiyo kila mtu alimtazama mwenzake kwa macho ya wizi wizi.



“Ooooh! Kwanza naitwa Sharifu naishi Sinza je naweza kukufahamu japo kwa jina?” Alimuuliza huku akimtazama machoni. Macho yenye umakini zaidi tamaa ya ngono kati yake na Naomi ilikuwa imewaka ndani ya kichwa chake.

“Naitwa Naomi.“

“Jina zuri kama wewe… mhudumu tusikilize,” alipaza sauti mara baada ya kumuona msichana akikatiza eneo hilo akiwa ndani ya mavazi ya rangi yeusi kwa sketi yake huku shati likiwa la blue bahari, chini alivaa kiatu kifupi cheusi pia.

“Naomba Kilimajaro,” aliagiza na kuendelea kuangaza kila pahali hali hiyo ilizidi kumsumbua sana Sharifu ambaye hakujua kipi mrembo huyo alikuwa akikiangaza. Dakika tatu walikuwa wameshahudumiwa hivyo ikawa kazi ya wao kupunguza vinywaji hivyo ndani ya chupa hizo.



“Nimechoka naomba nikalale.”

Naomi aliongea kwa sauti ya kilevi kilevi huku macho yake yakishindwa kutazama vyema alipojaribu kunyanyuka alijikuta akidondoka, Sharifu akapata kazi ya kumnyanyua alimkokota hadi nje ya Clubu hiyo. Alingaza macho yake kuangalia usafiri mara aliona bajaji.



“Tupeleke Tripo one hoteli.“

“Msimbazi.“

“Aaah! Mjomba hapo tu!“

“Baba usiku. Sasa hivi saa tisa hoteli lenyewe liko uchochoroni fulu vibaka.“

“Poa usijali twende zetu.“

Aliwasha bajaji na kuondoka kwa kuwa hapakuwa mbali sana alijikuta akitumia dakika nne kufika eneo hilo. Sharifu alimshusha Naomi aliyekuwa usingizini mara baada ya kumlipa dereva bajaji.“

“Hapa mpaka saa nne asubuhi halali mtu nachinja mpaka maini sinichii,” aliwaza akiwa anamkokota Naomi kuelekea mapokezi alilipa na kuelekea ndani ya chumba.

“Puuu!” Ilikuwani sauti ya Naomi mara baada ya kudondoshewa kitandani alinesa nesa kama mara tatu kisha alijilaza vizuri. Sharifu kuona hivyo alimrukia na kuanza kumchezea chezea kila sehemu alihakikisha anatumia nafasi hiyo adimu kwa umakini sana. Rangi ya Naomi ilimchanganya sana alihisi mwili ukimsisimka kila alipoyatazama mapaja ya msichana huyo yaliyokuwa ndani ya kisketi kifupi sana aliyalamba na hata kuyang’ata kidogo.



“Aaaah! Silaha si ninazo,” aliwaza na kujipapasa mfukoni na kukutana na pakti tatu za kondomu aina ya Dume alitoa moja na kuifungua kisha aliivua suruali yake alichukua moja na kuivaa haraka-haraka. Alimrukia Naomi na kumsukumia vizuri kitandani kisha alianza kumtoa nguo moja baada ya nyingine hakutumia nguvu sana maana Naomi alikuwa na mavazi mepesi sana kuvuliwa.

“Nooo! Honey twendaaaa.. tukaongeeeee… kwanzaaaaa,” Naomi aliongea kwa sauti ya puani tena yenye kuhisi radha ya kitu fulani ndani ya mwili wake ikawa ngumu sana kwa Sharifu kutekeleza agizo hilo kwani tayari alikuwa ameshausukumia msumari wake ndani ya mgodi wa Naomi.

http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

“Hapana naomba kidogo tu,” alimjibu huku akitetemeka mwili mzima damu yake ilikuwa imechemka hata misuli yake ya kichwa ilikuwa imesimama sawia.

“Huwezi Shaarifuuu nisikilizeeeee mimiiiiiiiiiiii“alikataa ombi la Sharifu huku akiyabana mapaja yake.

“Aaa.aaa.aaah …apanaaa,” hakuweza kukubaliana na Naomi hivyo alilazimika kuusukumia msumari wake mgodini kwa Naomi lakini alijikuta akishindwa mara baada ya Naomi kumzuia kwa kuyabana zaidi mapaja yake hali iliyopelekea maumivu makali kwa Sharifu.



“Okay dakika moja.“ aliongea huku akishuka kitandani alijifunga taulo kiunoni haraka haraka na kutoka mbiyo hakutaka hata kuangalia sabuni iko wapi yeye alifungulia bomba na kuanza kujimwagia haraka haraka kisha alitoka . Macho yake hayakuamini kile yalichokutana nacho.



“Huyu demu kaelekea wapi?”Alijiuliza huku akianza kumtafuta Naomi aliyemuacha chumbani humu kitendo cha Naomi kupotea kwa muda wa dakika mbili kilimshangaza sana japo kilikuwa chumba kidogo tena chenye vitu vichache lakini alijikuta akimtafuta kila pahali Naomi hakuonekana.



“Aaaaah! Nimepatikana demu kasepa na wallet yangu nitamweleza nini baba,” aliongea peke yake huku mikono yake ikiwa imeyafunika macho yake, meno ya juu yakiuuma mdomo wa chini alitamani kulia lakini alishindwa kila alichowaza hakikufanikiwa. Alinyanyuka kitandani na kuchungulia tena uvunguni.

Hola!

Naomi hakuwepo na kiasi cha shilingi milioni saba kilikuwa kimepotea.



“Aaah! Nikimpata nahakikisha namuua,” alipaza sauti yenye ukali sana kisha alivaa suruali yake ya Jeans na Tsheti nyeusi alitoka nje akiwa na hasira sana. Hakufahamu anaelekee wapi, ila akili yake ikiwaza kumkamta Naomi. Msichana aliyemkwapua kila kitu kila alipojaribu kumkumbuka ndivyo moyo wake ulizi kuwa na maumivu makali sana, hakuamini kama siku moja angeweza kufanyiwa kitu kama hicho, siku zote alikuwa akiwacheka wanaume wenzake ambao walikuwa wamepitia katika masaibu hayo.Hakufahamu kama siku moja naye kibali kingeweza kumgeukia na yeye kuchekwa.



Sharifu alizidi kutembea huku akiyaangaza macho yake lengo la yeye kufanya hivyo ni kumtafuta Naomi, kila alipokutana na mwanamke hakusita kumsimamisha na kujifanya kuzungumza naye lengo la yeye kufanya hivyo lilikuwa ni kumtafuta Naomi lakini hadi anafika barabara kubwa hakuweza kumpata msichana huyo.

“Daaaah! Kweli faida ya umalaya ndio hii nitajibu nini kwa baba yangu pesa yote ya nyumba imechukulia,” akazidi kuwaza huku akitembea kuelekea ndani ya club aliyokuwa amekutana na Naomi huko nako alimtafuta hakufanikiwa kumpata hata kidogo, hivyo akawa ameodoka bila kupata chochote moyoni akiwa na huzuni sana na hajui kipi angemweleza mzazi wake!



Naomi hakuwa mjinga hata kidogo kitendo cha Sharifu kujionyesha ana pesa ndani ya ukumbi wa Club ya Dar live iliyoko mbangala Zakhiemu kilimfurahisha sana alihakikisha anatumia nafasi hiyo kumtapeli kijana huyo aliyejipendekeza kwake . Hakuwa mtu wa kulewa kwa bia tatu kama Sharifu alivyodhani kawaida ya Naomi ilikuwa ni zaidi ya bia kumi ndipo huanza kuhisi ulevi.

“Hapa ni kujilewesha ili nimkomeshe mbuzi huyu anashoboka nami atakoma kulinga.”

Hilo ndilo lililokuwa wazo ndani ya kichwa chake akiendelea kumchora Sharifu kila alichokifanya bia ya tatu hakuweza kuimaliza alijifanya kulewa mara baada ya kugundua muda ulikuwa umekwisha, kila alichokifanya Sharifu alikiona alitakiwa acheze na akili za kijana huyo hata alikubali kushikwa shikuwa kila sehemu.

“Hivi huyu fala atawezaje kuniingilia bila kuoga sasa namtanguliza akaoge najuwa atakubali tu anafahamu nimelewa.” Hapo ndipo alipowaza mara baada ya kuhisi kitu chenye asili ya joto joto kikiingia ndani ya mgodi wake wenye madini adimu sana alihakikisha Sharifu anakubali kuingia bafuni ili aweze kutumia nafasi hiyo kumpora vitu vyake vya thamani kweli mara baada ya Sharifu kuingia bafuni Naomi alinyanyuka haraka sana kitandani na kuchukua wallet , saa na simu ya kijana huyo kisha alitoka nje harakaharaka bila kuvaa vizuri alisimama mbele ya mlango mara baada ya kuufunga taratibu na kukivaa kisket chake kifupi kilichokuwa kikiishia katikati ya mapaja, huku juu alijiachia na kitop kifupi kilicokuwa kimekiacha kitovu chake nje alitoka mbio mithili ya mtu aliyekuwa akifukuzwa.

“Oyaaa boda mbona unakuwa mzembe kiasi hicho fanya fasta bhana.”

“Hapana sister nilikuwa sijakuona.“

“Hujaniona wakati nimekuita zaidi ya mara tatu.” Japo Naomi alikuwa amemuita bodaboda huyo mara moja ila hofu ya kukamatwa ilimogofya sana.

“Nikupeleke wapi?”

“Majimatitu.“

“Poa,” alijibu kisha aliwasha pikipiki yake na kuondoka eneo hilo. Njia nzima Naomi alikuwa na furaha sana kiasi hicho cha pesa ambacho hakukifahamu kwa wakati huo kilimchnganya sana tayari ndani ya kichwa chake alikuwa ameshaanza kupanga jinsi na namna ya kuzitumia pesa hizo!

“Hapa namtafuta Davis wangu aje tutafune mzigo huu,” aliwaza na kuichukua simu yake iliyokuwa ndani ya kijipochi chake kidogo cha mkononi mara baada ya kufika chumbani kwake.

“Baby uko wapi mimi nimekusubili sana pale …yaani umenikera mpaka basi njoo basi,” Naomi aliongea kwa hasira kidogo mara baada ya simu yake kupokelewa.

“Sikia niko home kwa mdingi nilienda kuzungumza naye kitu nikajikuta naangusha huku huku naomba tuonane kesho jioni.“

Upande wa pili uliongea kisha simu ilikatwa na kuzimwa kabisa. Naomi alipojaribu kupiga ikawa haipatikani.

“Aaaah! Mse*** sana… ananizimia mimi simu hajielewi acha nimtafute Deus,“ aliwaza na kuanza kulitafuta jina la kijana huyo mwenye asili ya kipemba ila alikulia mkoani Shinyanga ndani ya kijiji cha Bubipi simu iliitaa hadi ilikata na alipopiga tena nayo haikupatikana.

“Mfyyyyy,” aliachia msonyo wa nguvu kisha akaanza kuifungua wallet ya Sharifu ambayo alikuwa bado hajaifungua macho yake hayakuamini kukutana na idadi ya pesa hizo alihisi kuchanganyikiwa zaidi.

“Nakula bata mpaka kuku waone wivuuuu hahahaha!” Alicheka kwa furaha alijilaza kitandani kwake chali macho yake makubwa kiasi na yenye ulegevu legevu aliyaruhusu kutazama darini. Dari lililokuwa limepabwa kwa singibodi. Akiwaza jinsi ya kuzitumia pesa hizo ambazo zilikuwa nyingi sana kwake huku baadhi ya noti zikiwa kifuani kwake.

*****

Baridi halikuwa na huruma hata kidogo lilizidi kuzishambulia nyama za Samweli aliyekuwa bado akiendelea kuteseka katika mti huo japo alijaribu kuzungumza lakini lugha yake ya Kiswahili na muonekano mbovu wa mwili wake ulipelekea yeye kutopata msaada wowote .

Alikuwa mchafu kuanzia kichwani hadi unyayoni hakukuwa na dalili ya yeye kuyaona maji ndani ya siku za hivi karibuni kichwa chake kilipambwa kwa nywele chafu na ndefu zilizojisokota sokota na kuleta muonekano tofauti kwa macho ya watazamaji . Alikuwa na kucha ndefu na chafu kupita maelezo, nguo alizokuwa amevaa zilikuwa zimechanika chanika kila mahali kwa muonekano huo Samweli alikuwa kama kichaa!

Hakuna aliyemjali japo alikuwa karibu kabisa na njia. Njia yenye watu wengi, hadi giza linaingia Samweli alikuwa bado yupo eneo hilo akihangaika muda mwingine alijikuta akipoteza kumbumbuku na kuanza kuzungumza maneno yasiyoeleweka hayakuwa maneno tu, bali alikuwa pia akipiga kelele na kuzomea watu matendo hayo yalionesha dhahiri Samweli alikuwa akielekea kuwa kichaa!

http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

“Mama huyo mtu mbona yuko pale ?” Msichana mdogo aliyetazamiwa kuwa chini ya miaka saba, alimuuliza mama yake huku akimsonta Samweli kwa kidole chake cha shahada wakiwa ndani ya gari.

“Yuko wapi?” Mama yake mwenye asili ya Kileno alimuuliza binti huyo macho yake yakitazama eneo alilokuwa amesonta binti yule .

“Yule pale kwenye mti.”

“Ooooh! Mbona anatisha sana!”

“Naomba tukamfungulie tafadhali anateseka sana ona anavyopiga kelele. Twende”.



Kutokana na mapenzi ya dhati kwa binti yake wa pekee mwanamke huyo alijikuta akitafuta eneo sahihi alipaki gari na kushuka kisha alianza kuelekea sehemu aliyokuwa amefungwa Samweli mkono wake wa kushoto ukiwa umeushika mkono wa binti huyo. Hawakuweza kumsaidia kwa chochote kwani Samweli alikuwa akipiga kelele na hata muda mwingine alidiriki kurusha mikono akiashiria tendo la kuwapiga.

“Jamani tusaidieni.”

“Kuna nini?” Mwanaume mnene na mwenye kifua kikubwa na kipana aliuliza.

“Sifahamu. Ila naomba umfungue anateseka kwa baridi kali,” alijibu kwa masikitiko makubwa huku akimtazama machoni mwanaume huyo. Macho yenye kumanisha kile alichokizungumza. Hakuwa na cha kufanya zaidi ya kutekeleze ombi la mwanamke huyo alimfungua Samweli na kuondoka eneo hilo bila kuongea na mtu yeyote.

“Unaitwa nani?” Alimuuliza Samweli kwa lugha ya Kinapeli, Samweli hakujibu chochote zaidi ya kuondoka eneo hilo.

“Ana nini mtu huyu?”

“Sijui mama ila tumeshamaliza kazi yetu tuondoke eneo hili,” kibinti kile kilizungumza huku kikimshika mkono mama yake na kuondoka eneo hilo. Wakielekea eneo walilokuwa wameliacha gari lao. Waliingia kisha waliendelea na safari yao huku mioyo yao ikimsikitikia Samweli

***

Samweli alitembea bila kujuwa ni wapi alikuwa akielekea hakutaka kurudi haraka eneo lake la kila siku ambalo alikuwa akilitumia kama nyumbani kwake. Tumbo lake lilikuwa likihitaji chakula jinsi njaa ilivyokuwa ikimtafuna , ilikuwa lazima apate chakula chochote. Alizunguka huku na huko bila kupata chakula chochote akiwa dakika ya mwisho ya kukata tama ghafla alitokea msichana aliyekuwa na mfuko mdogo wa plastiki rangi nyeusi.



“Mungu nisamehe sijawahi kufanya kosa hili ila leo nalifanya!” Alisema Samweli huku akinyata polepole nyuma ya yule msichana wa Kinapel alipofika karibu yake alimpokonya ule mfuko ambao hakujua una kitu gani ndani. Ila alichokuwa akijali yeye ni kuupata ule mfuko .

“Mwiziii….mwiziii…mwiziiiii,” msichana yule alianza kupiga kelele za kuomba msaada dakika mbili idadi kubwa ya watu walilizunguka eneo hilo huku wengine wakianza kumfukuza Samweli aliyekuwa akikimbia ili kuyaokoa maisha yake bahati mbaya aliteleza na kudondoka , hali iliyopelekea wale vijana kumvamia na kuanza kumpiga hovyo.



“Achani…acheni…wajinga ninyi mnajichukuliaje sheria mkononi?” Mwanaume aliyekuwa na mavazi ya jeshi la polisi alisema huku akiwafukuza watu wale eneo lile uso wake ukiwa umeonyesha hali ya kukasirishwa sana na na kitendo hicho.

“Adhabu ya mwizi ni kifooo!Acha apokee haki yake,” mmoja wa wale vijana waliokuwa wakimpiga Samweli aliongea kwa gadhabu sana dhahiri hakupendezwa na kitendo cha askari yule cha kumtetea Samweli.



Narmry na mwenzake walitembea kwa mwendo wa polepole vichwani mwao walichanganywa na hali ya bibi yule hawakuweza kumuelewa alikuwa mtu wa aina gani katika umri wake huo hakustahili kutumia lugha ile alitakiwa awe na lugha nzuri na yenye mafunzo ndani ya jamii pamoja na vizazi hivyo .

“Sikia Nassoro bi mkubwa hafai.”

“Kwanini?”Aliuliza huku akimtazama machoni Nassoro aliyekuwa akisokota sokota sigara yake ambayo alikuwa hajaiwasha mara baada ya wao kufika ndani ya chumba chao kidogo kichafu na kisichokuwa na mpangilio wa aina yeyote.

“Hawezi akatumia lugha kama ile!”

“Ishii! Hilo ndilo lililokutatiza?” Aliuliza tena .

“Ndiyo. Anatufundisha nini? Na pesa yake sifati nimefanya hisani.”

“Kweli wewe mburula kabisa okay acha nitaifuata mie tena naondoka sasa hivi,” alisema na kutoka ndani ya chumba chao safari ya kuelekea kwa bibi yule ilianza. Alifika na kupokelewa vizuri kisha alilipwa pesa yake.



“Huyu si atanifaa,” aliwaza bibi yule akiwa amesimama katikati ya mlango mara baada ya kijana yule kuanza kupiga hatua za kuondoka eneo hilo.

“Samahani kijana nakuomba mara moja.”

“Mimi?”

“Ndiyo. Wewe,” alimjibu huku akianza kuingia ndani ya chumba chake kidogo kwanza yule kijana alisita kuingia ndani alibaki amesimama nje ya mlango akimtathimini bibi yule.

“Ingia,” alimkaribisha ndani mara baada ya kumuona akisita kuingia ndani.

“Jisikie huru kabisa je unatumia kinywaji gani?”

“Baridi sana! Hapana nipo sawa usijali,” alijibu huku macho yake yakikichunguza chunguza chumba kile akiwa bado anaendelea na zoezi lake la ukaguzi mara alishangaa yule bibi akimfuata na kuketi karibu kabisa na yeye.

“Naitwa Naija sijui unaitwaa nani?” Alimuuliza huku mkono wake wa kushoto akiuweka pajani kwa mvulana huyo ambae alikuwa sawa na mjukuu wake!

“Naitwa Nasor…,” alishindwa kuzungumza mara baada ya kushikwa sehemu yake ya siri na bibi yule aliyekuwa na mikono laini sana utundu wa vidole vyake vilipelekea Nasorro kuyatoa macho yake, kana kwamba alikuwa ameng’atwa na kitu ama alikuwa amevamiwa na kitu cha kuoghofya.Ilikuwa ni kazi ngumu sana kwake kumkwepa Naija aliyekuwa amejariwa ushawishi wa hali ya juu kwa mwanaume yeyote aliyekamilika alihakikisha anamchezea kila idara ambayo mwanaume alitakiwa ashikwe.



“ Biibii..bibiii…tafadhaliiiii..usi…,” Nassoro alijikuta akishindwa kuzungumza vizuri mara baada ya kuzidiwa na raha kutoka kwa bibi yule.

“Sasa nakumaliza mzee usiyekuwa na adabu,” aliwaza ndani ya kichwa chake kisha alimbinua Naija aliyekuwa juu ya kifua chake na kumlaza vyema juu ya kochi alilokuwa amelala yeye aliuchukua mkono wake wa kulia na kuuingiza ndani ya kifua cha bibi yule huko alikutana na chuchu ndogo kama za msichana wa miaka kumi na saba ambae hajawahi kunyonyesha.



Alihakikisha anazichezea kadiri alivyoweza chezea hiyo ilisababisha bibi yule kuanza kuhema kwa nguvu na kulitaja jina laNassoro kwa kulikosea kosea .

“Paaa!”Sauti ya kofi la mgongoni kwa Naija ilisikika mara baada ya Nassoro kuzidiwa asali ya bibi yule ambae alikuwa akishughulika kama msichana.

“Unanicheleweshaaaaaaa,” aliongea kwa sauti ya puani huku akimvutia kifuani kwake Nassoro kwa nguvu alikuwa juu yake akili yake ilielewa ni kipi alikuwa akikitaka bibi hapo hapo alimvua nguo zake kwa pupa na yeye aliitoa pensi yake ya jeans na kumvamia bibi huyo, amabae alikuwa ametanua miguu yake. Hakuwa na muda wa kurudia tena maandalizi kwani jogoo wake alikuwa ameshwawika na alikuwa akihitaji kufanya kazi iliyokuwa mbele yake akiwa juu ya kifua cha bibi huyo alimchukua jogoo wake na kumchomeka ndani ya kisima cha Naija polepole akawa anapanda na kushuka utadhani alikuwa eneo la mlima na likiwa na mabonde mabonde.

http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

Ulikuwa ni mchezo wa kufa mtu umri wa bibi yule haukuwa sawa na kile alichokuwa akimuonesha Nassoro kijana wa miaka kumi na tisa ambae damu yake ilikuwa inachemka.

“Utaniuaaaaaaa,” bibi alisema kwa sauti ya puani kisha alitulia tayari alikuwa amefika mwisho wa safari yake ndefu dakika mbili Nassoro naye alitulia juu yakifua hicho akihema kwa nguvu.

“Mwaaaah..mwaaaah,” bibi alimbusu Nassoro kifuani. Kifua kilichokuwa na nywele nzuri zilizokuwa zimelala vyema.

“Naomba ulale hapa hapa sawa?”

“Mmmmh.Hapana.. nita…”

“Utalala,” bibi alisema huku akimtoa Nassoro kifuani kwake alisimama vivyo hivyo bila nguo na kuuendea mlango aliufunga kisha alirejea kwa Nassoro aliyekuwa bado amejilaza .

“Na ukikubali utafaidi maisha nitakupa kila kitu sawa?”

“Kama nini? Na kwanini unataka nifanye haya yote?”

“Unataka kujua?”.

“Ndiyo?”.

“Nitakueleza”. Alimjibu kisha alianza kumchezea tena akitaka warudie mchezo waliokuwa wamemaliza kuufanya muda mfupi uliokuwa umepita. Kwakuwa Nassoro alikuwa akitafuta sifa hakuwa nyuma kumshughulikia Naija bila kujali umri wake alihakikasha anaomba poo mwenyewe hadi kunapambazuka walikuwa wamechoka vya kutosha.

“Hivi unaishi wapi?”

“Mimi nipo tu kwani vipi bi mkubwa?” Akamuuliza huku akimtazama machoni macho yenye kuuliza vipi unataka tena.

“Nataka uishi hapa nitakusaidia kwa kila kitu,” akazungumza huku akikipapasa kifua cha kijana huyo kilichomchanganya sana.

“Wewe nani afugwe!” Akajifanya kukataa lakini ilikuwa kazi bure kwa Naija alikuwa ameshaufahamu udhaifu wake na alifahamu ni wapi pa kumkamatia alichokifanya kwa wakati huo ni kuanza kumchezea kila sehemu na safari hii alihakikisha anakubali. Mikono yake mizuri na yenye ngozi laini ikawa anazunguka sehemu yake ya mwili huku ulimi wake ukikilamba kifua kwa ustadi wa hali ya juu kabisa kitendo kilichozidi kumchanganya sana Nassoro ambae alikuwa akihema kwa nguvu mithili ya mtu aliyekuwa ametoka kukimbia mbio ndefu.

“Ulishwahi kula kisamvu,”

“Tena hicho kitamu sana,”akamjibu akiwa anazilamba nyonyo zake ilibidi Naija atumia akili ya haraka haraka kabla ya kumpatia kisamvu hicho aliichukua mashine ya Nassoro na kuipeleka mdomoni kwa kutumia ulimi wake akawa anailamba mithili ya koni kwa watoto wadogo watokapo shule, lamba hiyo ikazidi kumchemsha damu Nassoro na mwili wake wote ukaionyesha misuri ilivyokuwa imevimba na kukutumka hakuna mfano.



“Inatoshaaaa…natakaa hukuuuuuu,” akazungumza huku akiupeleka mkono wake sehemu ya makalio ya Naija na kuanza kuyabinya binya polepole huku akikiingiza na kukitoa kidole chake cha shahada ndani ya kisima kikubwa cha Naija alitumia kama dakika nne kufanya zoezi hilo na kukitoa kisha akajitahidi kunyanyuka na kumsimamisha mikono akiwa amemshikisha kitandani akiinama kidogo na kufanya makalio yake ya kiutu uzima kuonekana sawa, Nassoro hakulemba alitaka kuonyesha ufundi mara baada ya yeye kuwa katika hali hiyo akamshika jogoo wake na kumuweka mbele ya mdomo wa Naija kisha akamuingiza taratibu kisimani humo hali iliyopelekea mwanamke huyo kuyafumba macho yake na kuyafumbua kwa radha adimu aliyokuwa akiipata kutoka kwa kijana huyo mdogo umri wa mjukuu wake kabisaa, Naija alijitahidi kumpatia vitu vitama kijana huyo ili tu aweze kuiteka akili yake ambayo alikuwa ameikamata kwa zaidi ya asilimia sabini.



Dakika kadhaa za wao kuwa katika hali hiyo walijikua wakiumaliza mchezo huo ambao ulikuwa wa kwanza kwa Nassoro kupitia njia hiyo wakati kwa Naija ilikuwa kawaida yake na huko ndiko alikokuwa akijisikia hali nzuri sana kuzidi na eneo sahihi la yeye kufanya vitu hivyo.

Utamu wa Naija ukawa umeiteka akili ya Nassoro kuanzia siku hiyo akawa mtu wa kushinda hapo na kufanya mapenzi na bibi yule kadiri walivyoweza hakuwa na wazo lolote la kutafuta maisha yeye alikuwa mtu wa singara na mapenzi huku huduma zote za chakula na vitu vingine vikiwa chuni ya Naija.





Naija alikuwa mwanamke mrembo sana ndani ya mji wa Jankpur magharibi mwa nchi Napel aliolewa na tajiri mmoja toka India aliyekuwa mfanyabiashara wa nguo toka India mpaka Napel. Hakuna kitu alichokikosa kwa mume wake alimpenda kupita maelezo. Aliishi maisha ya raha mstarehe akitumia pesa alivyokuwa akitaka.Ndoa yao hiyo ilidumu ndani ya miaka mitano kabla ya kutengana huku Naija akiwa na watoto wawili wote wa kiume. Hakuumia kwa chochote mara baada ya ndoa yake kuvunjika ndoa iliyokuwa imegharamikiwa kwa pesa nyingi sana.



Ile hali yake ya urembo na uzuri uliopitiliza ilimfanya aishi maisha aliyoyapenda mwenyewe, kwanza hakuweza kufanya kazi zaidi ya kujipamba na kuingia ndani ya kumbi za starehe huko ilikuwa ni lazima apate mtu ambae alikuwa na uwezo wa kumhudumia kuaanzia kinywanji na hata chakula muda mwingine aliweza kupola wanaume waliokuwa wanalewa hovyo hovyo.

Hakuwa na idadi ya wanaume alioweza kuzungumza nao kwa siku yeye alichojali ni pesa tu!Kweli alipata pesa nyingi na za kutosha kupitia kazi yake hiyo haramu na kufanikiwa kujenga zaidi ya nyumba tatu ndani a mji huo.Nyumba zilizokuwa za hadhi ya juu na za kifahari ambazo hata baadhi ya wanaume walikuwa hawana uwezo wa kuzijenga.

Miaka nane mbele ule muonekano wake wa awali na wa usichana ulianza kutoweka wanaume waliokuwa wakimkimbilia nao walipungua akawa mtu wa kwenda sehemu zenye hadhi ya chini sana.

“Hivi nitajiuza mpaka lini? Kwanza nina nyumba nzuri na za kutosha hapa nauza moja nifungue biashara ya wasichana ambao nitakuwa nawachukua Nchi mbalimbali na kuwauza,” aliwaza usiku mmoja akiwa amejilaza katika kitanda kikubwa ndani ya nyumba ya kulala wangeni.

Kweli mawazo ya Naija yalikuwa thabiti siku iliyofuata alielekea ofisi za matangazo kwa ajili ya uuzaji na ununuzi wa vitu, alitoa tangazo na picha ya nyumba aliyokuwa akitaka kuuza kisha alilipia gharama yote na kuondoka. Akiwa njiani alipokea simu ya mununuzi siku hiyo hiyo Naija alijikuta akiiuza nyumba yake kwa pesa nyingi sana.



“Safi sana acha niingie kwenye mtandano nitoe tangazo la wasichana ninaotaka najuwa nitapata tu, Afrika ni washamba sana,” aliwaza na kuiendea tarakilishi yake ndogo iliyokuwa juu ya meza ndogo yenye vioo ndani ya chumba chake kilichokuwa kimesheheni aina mbalimbali ya mapambo yenye mvuto ndani ya macho ya kila mtu aliyefanikiwa kuingia ndani ya chumba hicho . Akaiwasha na kuanza kuandika matangazo mawili tofauti tofauti kisha akaangali leli aliloona linafaa na kulituma akiambatanisha na kila malipo kwa yeyote atakaye penda kuifanya kazi hiyo.



Dakika saba alikuwa amemaliza kutoa tangazo na hata sehemu aliyokuwa akiishi, pia aliweza kutoa namba zake za simu na hata mishahara iliyokuwa ikihitajika. Wiki tatu aliianza kupokea wasichana mbalimbali na kutoka nje ya nchi hiyo kitu kilichoushangaza sana moyo wake na kujiona kama alikuwa amechelewa kufanya kazi hiyo, alihakikisha kila msichana anamuweka katika hali ya mvuto kupita maelezo na aliwagawa katika gredi alizokuwa akizitaka mwenyewe.



Wapo waliokuwa na maumbo mazuri na makubwa bila kusahau sura nzuri hao walikuwa na pesa zake maalumu tofauti na wale wenye maumbo madogo na wafupi, wembambea mfano wa mamisi hao walikuwa spesho kwa wanaume wanene ambo hupendezwa zaidi na wasichana wa aina hiyo hao nao aliwawekea pesa zao na sehemu yao maalumu. Mwanaume hakuruhusiwa kuwaona zaidi ya kuona picha zao na kuchangua aliyempenda kisha anaoneshwa chumba ambacho angemkuta msichana huyo.



Japo alikuwa ametoa tangazo la kazi tofuti lakini wasichana hao walikuwa wakifanyishwa biashara ya uuzaji wa miili huku wakiwa wamefungiwa ndani bila kutoka nyumba zima alikuwa ameifungia camera za Cctv ambazo zilikuwa na kazi ya kuchukua kila tukio lililokuwa likitokea ndani ya vyumba vyao na hata nje.Pia kuingia eneo hilo ulitakiwa kwanza ufanyiwe ukaguzi wa hali ya juu kupitia kwa walizi aliowaajiri kutoka nje ya nchi hiyo na kuwalipa kiasi kikubwa sana cha pesa.



Naija akupata tu wateja kutoka sehemu mbalimbali bali hata baadhi ya wanafunzi walikuwa wakija eneo hilo kununua wasichana hao miongoni wa wanafunzi waliokuwa wakipenda kwenda eneo hilo walikuwa watanzania. Watanzani wengi walimiminika kutoka katika vyuo mbalimbali vikiwemo vile vya udaktari na kuelekea eneo hilo kwa ajili ya kupata huduma hiyo. Mwaka mmoja tu wa yeye kuanza kufanya kazi hiyo alijikuta akiingiza pesa nyingi sana ambazo hakuwahi kuzitengemea kama angeweza kuzipata kwa wakati huo na kwa kupitia kazi hiyo!

Miaka mitatu ya biashara yake hiyo haramu Naija alifirisika mara baada ya kutokea kwa tetemeko la aridhi ambalo lilisababisha mali zake zote kupotea, hakuamini macho yake kwani hata ile nyumba aliyokuwa akiitumia kama danguro nayo ilianguka vibaya na kuharibika.Siku hiyo alilia sana na kukilaumu kibunga hicho utadhani yeye peke yake ndiye aliyeathirika na kibunga hicho, kila macho yake yalipokuwa yakiyatazama mabaki ya majengo yake hakuweza kuamini japo kuna baadhi ya wasichana ambao alikuwa akiwafanyisha kazi hiyo haramu walikuwa wemepoteza maisha lakini yeye hakulijari hilo alichokuwa akikiangalia ni pesa tu basi mengine yangefuuata hapo baadaye!



“Nitaishije sasa,” alisema peke yake akiwa juu ya mabaki ya jumba lake ambalo ndilo lilikuwa kubwa sana alilolijenga kwa kupitia kazi yake ya kujiuza, machozi nayo hayakuwa nyuma kutoka na kuzilowanisha kope zake zilizokuwa ndefu na zenye kuanza kuweka mvi kidogo muda mwingine aliweza kuyauma meno yake kwa hasira na kupelekea mishipa yake ya kichwa kusimama wima mfano wa mwanajeshi vitani.

“Nooo!Haiwezekaniiiiiiii,” akasema kwa sauti ya hali ya juu huku akikipiga kichwa chake na ngumi kali sana, bila kujari kama angeweza kuumia kwa kufanya kitendo hicho hakika alikuwa katika wakati mgumu sana kila alipojaribu kujifikiria ni vipi angeishi ndo alichoka kabisa umri ulikuwa umesonga sana kazi hakuwa nayo.

“Nitaelekea marekani mara moja nikiwa huko nitajua cha kufanya,” aliwaza na kunyanyuka eneo hilo na kuanza kutembea haraka haraka safari ya kuelekea banki ilianza, njia nzima alikuwa akizungumza peke yake lengo la kwenda huko ni kuangalia kiasi cha pesa kilichokuwa kimebaki.



Mara baada ya kufahamu ni kiasi gani kilichokuwemo hakutaka kubakiza chochote alitoa kila kitu na baada ya wiki tatu aliondoka Napel na kuelekea Marekani kwa ajili ya kufanya kazi yeyote, bado alijiamisha kuwa alikuwa na uwezo wa kupata kazi nchi hiyo japo hakuwa na mwenyeji zaidi ya passport yake, akiwa huko alibahatika kupata kazi ndani ya kampuni ya usafirishaji, kazi aliyoifanya kwa kujitesa sana lengo lake ni kupata pesa kwa ajili ya maisha yake akili ya kurudi kwa mumewe hakuwa nayo kabisa hakufahamu angewezaje kumuanza kwani kila alivyokumbuka ubaya aliomfanyia roho yake ilimuuma sana japo alikuwa na kazi iliyokuwa ikimuungizia pesa za kutosha kujikimu maisha yake lakini tabia yake ya kujiuza na kuuza wasichana kwa uficho sana hakuiacha, miongoni mwa wasichana waliokuwa wakifanyishwa kazi hizo ni Stella msichana toka Tanzania akiwa na marafiki zake wote walikuwa wanafunzi wa chuo .



Aliishi nchini humo kwa muda wa miaka sita kisha alirejea tena Napel ndani ya mji wa Jankpur akiwa tayari ameshapata mtaji wa kuindeleza kazi yake ya mara ya kwanza ambayo aliiamini kwa asilimia kubwa kuwa ingeweza kumuingizia kiasi kingi cha pesa kuliko kazi yeyete na ili kuzidi kuijiongezea kipato naye alianza kuijuza a hovyo hovyo hakuchangua mtu wa kutembea naye, akiwa huko alifanya mawasiliano na wasichana wale wa kitanzania mbao walifika mara moja Nchini humo.Siku chache aliwafukuza mara baada ya yeye kukamatwa na kushikiliwa na vyombo vya dola hapo ndipo wale wasichana waliporejea nchini kwao wakiwa wameharibu masomo yao. Miongoni mwa wasichana hao alikuwemo Naomi aliyeingia Tanzania bila mtu yeyote kufahamu hata mwanaume aliyekuwa akimsomesha hakuwa na taarifa hiyo. Ukamatwaji wa mwanamke huyo ulipelekea yeye kuishi maisha ya kisela mara baada ya kuachiwa japo alikuwa mtu mzima sana lakini tabia yake ilikuwa chafu sana, vijipesa vidogo vidogo alivyovipata kupitia kazi yake ndogo ya kuuza pombe za kienyeji ndiyo aliyokuwa akitumia kuwalaghai vijana wa kiume, akiwemo Nassoro aliyeshawishika kirahisi sana.

http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

****

Samweli alipakiwa ndani ya gari la polisi kwa kutupiwa kama mzingo puu! Hawakujali kama mtu huyo alikuwa na nyama na maumivu waliyokuwa wakiyapata wao .

“Unaitwa nani?” alimuuliza mmoja wa askari hao waliokuwa wemening’inia juu ya bomba la gari hiyo, huku macho yake yakimkagua vilivyo Samweli kuanzia chini hadi juu .Kwa kuwa Samweli alikuwa mgeni wa lugha hiyo hakuwaeza kuwajibu chochote zaidi ya kunyamaza kimya. Kitendo cha yeye kuingia mikononi mwa askari hao kulipelekea kiasi kufurahi maaana aliona unafuu wa maisha unaenda kutokea maishani mwake.

“Tena wamenisaidia nitaishi huko huko hadi nahakikisha nampata mke wangu siwezi si….”

Alishindwa kuyamalizia mawazo yake mara baada ya kukatishwa kwa kupigwa na kofi bega lake la kushoto.

“Si nakuuliza wewe nani na kwanini upo hapa?” Askari yule alimuuliza tena huku sura yake ikibadirika na kujikunja matuta matuta juu ya paji lake la uso. Bado Samweli hakuweza kumuelewa alishindwa kulijibu vyema lile swali kitu kilichozidi kuwakeresha askari wale.

“Puuu…puuu.”

Ilikuwa ni sauti ya bodi la gari hilo mara baada ya kupigwa kumuashiria dereva huyo ambae alikuwa pia askari mwenzao asimame.

“Kuna nini?”Aliuliza mara baada ya kutoka ndani ya gari hilo na kuzunguka upande wa nyuma kulikokuwa na wenzake wawili pamoja na Samweli.

“Aaaah! Huyu hatufai inaonekana ni kichaa kabisa.”

“Kwanini?”

“Kila tunachomuuliza hatujibu.”

“Aaaah! Acheni tumfikishe kituo mara moja,” aliwajibu na kuondoka hakutaka tena kuzungumza zaidi ya kuwasha gari hilo na kuondoka eneo hilo kwa kasi ya ajabu dakika saba gari hilo lilisimama mbele ya kituo kidogo cha polisi. Wote waliruka chini kabla ya kumtoa Samweli aliyekuwa kimya kabisa akiugulia maumivu ya kipigo kile alichokipata kwa wananchi wenye hasira kali dhidi yake.



Walimuongoza hadi ndani ya kituo hicho na kumkalisha chini.

“Vua hiyo suruali na hilo shati lako.

Samweli hakuweza kufanya lolote zidi ya kukaa kimya kile kilichozungumzwa kilikuwa kigeni kwake, wale askari walipoona yupo kimya walianza kumpiga makofi yasiyokuwa na idadi kisha walimtoa nguo hizo mwilini mwake nguo zilizokuwa zikinuka sana na kumtupia nyuma ya nondo, hawakujuwa kama mtu huyo alikuwa nusu kichaa. Siri hiyo alikuwa akiifahamu yeye mwenyewe na Mungu wake basi, akiwa ndani ya selo hiyo alijikuta akianza kufurahi kwani alikuwa amepata sehemu nzuri ya kulala japo ilkuwa na mbu lakini hakukuwa na baridi kama alivyokuwa akiishi mtaani eneo hilo pia lilikuwa salama kabisa kwa maisha yake hakika alikuwa na haki ya kufurahi kupita maelezo.



Siku tatu alikuwa bado eneo hilo japo lilikuwa eneo lisilopendwa na watu ila kwa Samweli lilionekana la maana sana kwani aliweza kupata chakula bure kitu ambacho alikuwa akikipenda sana. Hakutaka kuondolewa mapema eneo hilo lakini jioni ya siku hiyo askari wale walimuuachia mara baada ya malalamikaji yeyote kutotokea. Japo hakuwa raia wa nchi hiyo ila walijikuta wakisahau kufuatilia jambo hilo. Aliondoka eneo hilo akitembea kwa unyonge sana akili yake ilimtuma kurudi chini ya daraja sehemu aliyokuwa akiishi kwa muda mrefu sana. Na eneo hilo la daraja alipaona ndo nyumbani kwake.



Alifika na kujitupia chini hakujali kama kulikuwa na kitu cha kumuumiza akili yake ilijikuta ikawaza mambo mengi sana akiikumbuka familia yake na hata maisha yake yaliyokuwa mazuri na kila mtu aliyatamani.Kila kumbukumbu liyopenyeza ndani ya akili yake kope zake nazo zilizidi kulowana kumbukumbu hiyo ilimuweka katika wakati mgumu sana na kujikuta akilia kama mtoto mdogo huku akiendelea kuwaza kile kilichokuwa kimejificha nyuma ya maisha yake.





MIAKA KADHAA NYUMA.



Samweli alizaliwa ndani ya familia ya watoto watatu yeye akiwa mtoto wa mwisho kwa wazazi wake bwana Deus Lunyamira aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mwanza kipindi hiko. Huku mama yake aliyekuwa akifahamika kwa jina la Anna yeye alikuwa mfanyabiashara mkubwa sana jijini Dar es salaam. Familia yote iliishi katika mazingira mazuri sana na maisha ya raha mstarehe, kitu kilichokuwa kikiitwa shida ndani ya familia hiyo hakikuwepo kwani muda mwingine yeye na ndugu zake wote wakiwa wa kiume waliweza kulishangaa neno hilo shida!

Kwakuwa Samweli alikuwa mtoto wa mwisho hali hiyo ilipelekea yeye kuwa asali ya wazazi hao waliompenda kupita maelezo, hakuna alichokikosa toka utoto wake akiwa na miaka miwili Samweli alipelekwa moja kwa moja shule. Shule iliyokuwa ya gharama sana jiji Dar es salam alisoma hapo hadi alipofikisha umri wa kuijunga na darasa la kwanza.Japo alikuwa kipenzi kwa wazazi hao waliompatia madeko kupita kiasi lakini alikuwa na uwezo mzuri sana katika masomo yake kila mwaka alikuwa mtoto wa tano kutoka mwanzao hali iliyozidisha mapenzi kwa wazazi wake waliojitolea kwa kila kitu ambacho mwanao alikuwa akikipata, mapenzi hayo ya dhati kwa wazazi na kaka zake wakubwa kukampelekea naye kuonesha uwezo wake mzuri katika masomo yake.



Miaka saba ya elimu yake ya msingi haikuchelewa kukatika na mara baada ya matokea kutoka Samweli alikuwa miongoni mwa watoto watatu wa mbele waliofanya vizuri sana, matokea hayo yalipelekea wazazi wake kuongeza mapendo kwa kijana wao huyo mdogo. Siku nne mara baada ya matokea hayo alifanyiwa sherehe kubwa sana nyumbani hapo iliyohudhuliwa na watu wengi na hata baadhi ya marafiki zake wa shule kila mtu alipendezwa na ushindi wa Samweli hata baadhi ya wazazi wakapata mfano wa kuwaeleza watoto wao. Samweli kuwa mfano katika malezo ya vijana wao.



“Mwanangu nataka usome sana je utapenda kusomea kitu gani?” mama yake alimuuliza huku akiwa makini na usukani wa gari alililokuwa akiendesha wakielekea Mlimani City kwa ajili ya manunuzi ya Samweli kama moja ya zawaidi alizokuwa ameahidiwa endapo angefanya vizuri.

“Mimi napenda kuja kuwa Daktari mkubwa,” alijibu kwa kujiamnini sana moyoni hakuwa na wasiwasi hata kidogo alichokuwa akikizungumza alikuwa amekimanisha kwa asilimia mia na kiu yake ya kuwa Daktari ilikuwa akiendelea kuwaka kila dakika.

“Safi sana baba je unafahamu ni masomo yapi ambayo yatakuwezesha wewe kuwa hivyo?”

“Biology, chemistry, physics na mathematics hayo ndiyo ya muhimu sana.”

“Mmmmh! Vema na umejuaje?” Mama yake alishangazwa sana na maneno ya mwanae hakufahamu kama kijana huyo alikuwa akikifahamu kile alichokuwa akikitaka kukifanya maishani mwake!

“Mama mimi nakipenda kitu hicho kutoka moyoni na kila siku nilikuwa nikizungumza na walimu wangu nikiwauliza ndio walionieleza hivyo.” Samweli alimjibu tena mama yake macho yake yakiutazama uso wa mama yake uliokuwa umechanua kwa tabasamu zuri sana.

“Nakuahidi kukusaidia hadi dakika ya mwisho ili uyafikie malengo yako sawa baba?”

“Nitafurahi sana mama nami naahidi kutokukuangusha.” Akamjibu huku akikiinamisha kichwa chake kwenye bega la kushoto la mama yeke moyoni akiwa na furaha sana.

Kwakuwa wakuwafika eneo hilo walipaki gari lao sehemu sahihi kisha walishuka na kuingia ndani ya jengo hilo lililokuwa na kila aina ya vitu. Samweli alipewa nafasi ya kuchangua kile alichokuwa akikitaka yeye mwenyewe bila kubughudhiwa na mtu yeyote alipohakikisha amemaliza walitoka na kupelekwa sehemu nzuri ya chakula hadi siku inakatika Samweli alikuwa ametembezwa sehemu mbalimbali za starehe akiyafurahia maisha hayo ambayo hakuwahi kuyafikiria kama siku moja angekuja kuyaona.



Maisha ya Samweli yakawa yameanza kubadirika kwani kila siku alijituma sana katika masomo yake alikuwa radhi kutumia muda mfupi sana kupumzika nia yake kubwa ilikuwa ni kutimiza ndoto yake aliyokuwa nayo toka mdogo. Moyo wake uliumia sana pindi alipokuwa akiwaona madaktari alitamani naye siku moja kuwa kama wao.

“Hivi mtu kuwa daktari anatakiwa afanye nini?”

“Unataka uwe kama mimi?” Alimuliza Daktari aliyefika nyumbani hapo kumtibu nyakati za jioni wazazi wake walikuwa hawapendi wanao kwenda kutibiwa hospitali hivyo kila walipoungua walikuwa wakiwaletea Daktari nyumbani kama alikuwa nyumbani na kama alikuwa shuleni Daktari huyo pia aliwafuata huko huku.

“Napenda sana kuwa hivyo.”

“Uko kidato cha ngapi?”

Cha pili.”

“Safi sana lakini unajua ni masomo yapi unatakiwa uyachukue?”http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

“Nafahamu.”

“Basi jitume bila kuchoka kwani mafanikio mazuri huanzia kwenye maumivu usikate tamaa na penda kujifunza zaidi jishushe pindi unapoona panahitaji kufanya hivyo nia na madhumuni ya wewe kufanya vile ni kupata kile ulichokuwa ukikitaka sawa?” Akamwambia huku akiendelea kumtibu polepole, moyoni alifurahishwa sana na maneno ya kijana huyo aliyekuwa akimtibu kila alipougua.

“Ahsante sana siku moja utaniona nikiwa kama wewe.”

“Sitaki uwe kama mimi nitafurahi ukinizidi nami niko tayari kukusaidia kwa lolote sawa mdogo wangu." Akamjibu huku mkono wake wa kushoto ukiupiga piga mgongo wa Samweli.

“Nashukuru sana.”





ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog