Simulizi : Evil Sex
Sehemu Ya Tano (5)
Ikamlazimu Janet kukaa vizuri kitandani huku simu yake ikiwa sikioni hii na baada ya kupokea simu na kuisikia sauti ya Eddy ambaye ana amini ameshafariki dunia
Simu ikaendelea kuwa hewani huku akisikilizia sauti ya upande wa pili wa simu ikiwakaripia watu walio mpigia simuCHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Akazidi kustuka baada ya kusikia milio kama mitatu ya bunduki kisha ukimya ukatawala
"Halow Haloo"
Janet alizungumza huku mapigo ya moyo yakimuenda kasi kwa mstuko alio upata
***
Usiku wa manane Malkia Minael akatoka chumbani kwake akiwa amevalia mavazi meusi yaliyo mbana na kumficha sura na kumbakisha sura tu
Akaelekea katika visima alivyomo Eddy huku akitembea kwa tahadhari kubwa
Akafanikiwa kufika kwenye kisima cha maji ya chumvi hakumkuta Eddy,Akaenda kwenye kisima cha siafu akamkuta Eddy akiwa anakoroma kama mtu anayekata roho
Kabla hajafanya kitu chochote kwa hisia kali alizo nazo akahisi kitu kikija kwa nyuma yake
Akasimama haraka na kugeuka,akakutana na mlinzi wa eneo hilo
"Unafanyaje hapo?"
Mlinzi alimuuliza huku akijiweka tayari kwa shambulizi lolote
"Unaniuliza wewe kama nani?"
Minael kwa nguvu alizo nazo akamrukia mlinzi kabla hayafanya chochote na kwa kasi ya ajabu akamsukumiza kwenye shimo la lenye simba wa ajabu na wenye njaa kali
Minael akarudi katika shimo alilo Eddy,akamtoa na kumlaza chini kisha akampulizia upepo ulio ziba vidonda vyote vya Eddy na kurudi katika hali yake ya kawaida
"Nifwate"
Minael akaongozana na Eddy hadi kwenye lango kuu la kutoke.Eddy kama kawaida yake akazungumza maneno aliyo fundishwa ya kuweza kujibadilisha pasipo
mtu kukuona
"Dada una niona?"
"Hapana"
Eddy akamshika mkono Minael ambaye naye akawabadilika na kuwa kama yeye
Wakapita katika lango kuu pasipo kuonekana na mlinzi wa aina yoyote na kuelekea duniani
***
Dulah na Dareen wakawa wamelowa damu milini mwao baada ya kumfanyia askari shambuliza la kinyama kwani Dareen alimnyonya damu kisha Dulah akajigeuza joka na kumla mwili wake
Dulah akaisogelea simu yake iliyokuwa imeanguka ila bado ipo hewani na aliisikia vizuri sauti ya Janet
Akaiweka simu sikioni na kwa mtindo ule ule wa kuibadilisha sauti yake na kuwa kama ya Eddy ikaendele
"Sory baby kuna kazi mara moja nilikuwa nina ifanya"
"Eddy ni wewe?"
Swali la Janet likamfanya Dulah kumgeukia Dareen ambaye kwa ishara akamuambia aseme ni yeye
"Ndio mpenzi wangu upo wapi?"
"Nipo nyumbani.Eddy nilisikia umekufa..?"
"Hapana Janet sikufa niliweza kujiokoa kule porini.Tunaweza kuonana?"
"Ndio mpenzi wangu"CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"Basi kesho panda basi tukutane Rock City"
"Sawa mume wangu nakupenda sana"
Janet alizungumza kwa furaha sana kwani hakutarajia kusikia kama Eddy yupo hai
"Nakupenda pia"
Dulah akakata simu kisha akagongeana mkono na Dareen kisha wakatoka ofisini
Wakaingia katika duka la nguo pasipo walinzi wa duka hilo kubwa la nguo kujua chochote.Wakachagua nguo zilizo wapendeza kisha na kutoka kwa mtindo huo huo wa kuto kuonekana
***
Eddy na Minael wakafika katika kwenye hotel iitwayo MAKARANA HOTEL wakachukua chumba na kuingia ndani
"Eddy unamjua Janet?"
Eddy akastuka kidogo baada ya kusikia swali hilo
"Eddy mbona umestuka kiasi hicho?"
"Sijatarajia kama unaweza kunitajia jina la huyo mtu"
"Ila unamjua?"
"Ndin nina mfahamu"
"Janet yupo kwenye hatari ya kuangamizwa na maadui zako wanataka kumtumia yeye ili wakupate wewe"
"Umejuaje hayo yote?"
"Eddy kumbuka mimi na wewe tupo tofauti.Mimi ni jini wewe nusu jini kwahiyo uwezo tumetofautiana"
"Ni kina nani hao wanao taka kumuangamiza Janet?"
"Ni Dareen na Dulah hii yote wanataka kulipiza kisasi kwa ulicho wafanyia ndugu zao"
"Kipindi tunakuja huku niliyasikia mazungumyo kati ya Dulah akiitumia sauti yako na Janet wakipanga mipango ya kukutana kesho"
"Wanakutania wapi?"
"Mji wa Rock City ila sijajua ni saa ngapi watakutana"
Eddy akajikuta akiwaza jinsi ya kumuokoa Janet
"Alafu hukuniambia jina lako unaitwa nani?"
"Ninaitwa Minael ni mtoto wa Malkia Bi.Magnalenar"
Minael akamuadisia Eddy historia ya maisha yake na ya mji wao wa Dhahabu tupu jinsi ulivyo tengenezwa
"Eddy natamani sana kufanya mapenzi na wewe ila muda bado"
Eddy akautoa mkono wake juu ya paja la Minael
"Sisi haturuhusiwi kufanya mapenzi na mtu mwenye damu ya binadamu"
"Kwanini?"
"Kuna uwezekana mkubwa wa mimi kufa.Nataka nikusaidie hadi mwisho hata nikifanya mpaenzi na wewe ninakufa nikiwa nimekusaidia?"
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Walizungumza usiku kucha hadi asubuhi moja kwa moja wakaelekea mji wa Rock City na kufika stendi ya mabasi makuu na kukaa katika moja ya mgahawa wakitazama abiria wanao shuka katika mabasi ya mikoani
***
Dulah na Dareen wakafika katika stendi ya mabasi na kutafuta sehemu iliyo tulia wakimsubiria Janet afike waondoke naye
***
Moyo wa Janet ukatawaliwa na furaha huku akiwa na shahuku kubwa ya kukutana na Eddy ambaye amempigia simu wakutane stendi kuu ya mabasi
Akawa anaona kama vile basi aliendi haraka akatamani lipae na awahi kufika
Muda wa saa saba mchana basi alilo panda Janet likafunga breki katika stendi kuu ya mabasi na abiria wakaanza kuteremka mmoja baada ya mwengine
***
Bi.Magnalener akatoa agizo kwa askari wake wawili anao waamini kuja duniani kumtafuta mwanae na kumrudisha katika himaya yake.
Akawaagiza kumkamata Eddy na kumrudisha aendelee na adhabu yake
Walinzi wawili wakafika katika stendi kuu ya mabasi wakiwa wamevalia suti nyeusi na miwani nyeusi na kuanza kuwatafuta Eddy na Minael
Eddy na Minael wakamuona Janet akishuka kwenye gari wakamkimbili kabla hawajamfikia wakasimama gafla
Dulah akajibadilisha na kufanana na Eddy kitendo ambacho Janet hakukiona kwani kimefanyika ndani ya sekunde tano
"Janet.."
Eddy aliita huku akiwa amesimama pembeni yake kukiwa na Minael
"Janet njoo huku"
Dulah anayefanana kama Eddy kuanzia sura hadi nguo alizo vaa zinafanana
Janet akaanza kupata wasiwasi kwani Eddy wa kwanza amesimama na msichana asiye mjua na Eddy(Dulah) wa pili amesimama na Dareen anaye mfahamu
"Janet toa simu umpigie uone nami ni Eddy wa kweli?"
Dareen alizungumza na taratiau Janet akatoa simu yake ya mkononi kwenye pochi yake na kuipiga namba ya Eddy(Dulah)
Hisia za Minael zikamfahamisha kuna walinzi wawili wapo eneo hilo la stendi.
Akageuka nyuma haraka akawaona walinzi hao wakija kwa kasi ya ajabu huku wakiwa wamewalenga yeye na Eddy
Akili ya Minael ikafanya kazi ya haraka kufikiria ni nini cha kufanya.Akanyoosha mkoo wake wa kulia juu na alipo urudisha chini upepo mkali mfano wa kimbunga ukawavaa walinzi pamoja na watu wa karibu na kwenda kuangukia mbali
Eddy akapiga hatua za haraka kumfwata Janet ila kabla hajamfikia kikumbo kikali kutoka kwa Dareen kikamrusha mbali na Janet ambaye tayari Eddy(Dulah) alisha mshika mkono
Kitendo cha Minael kumtazama Eddy alipo angukia,akajikuta akisukumwa na mmoja wa walinzi ambaye aliwahi kunyanyuka kutoka katika sehemu aliyo angukia
Eddy(Dulah) akazidi kutokomea na Janet huku Dareen akiwafwata kwa nyuma na kuacha watu wakizagaa zagaa eneo la stendi wakiyaoko maisha yao
Upepo mkali ukazidi kutawala eneo la stendi na kupelekea magari madogo madogo kupeperushwa huku watu wengi wakirushwa sehemu mbalimbali na wengine kupoteza maisha
Minael akaitoa mikono ya mlinzi ambayo imemshika kiuno chake.Akaizungusha kwa kasi ya ajabu na kuivunja kisha akamsukuma mlinzi huyo na akaangukia kwenye kioo cha mbele ya gari ndogo ambayo nayo inapeperushwa kwa upepo mkali
Hali ya mawingu ikazidi kubadilika na giza kali likatawala eneo la mji huku radi nyingi na za kutisha ambazo tangu dunia kuumbwa hazijawahi kutoke Duniani zikipiga kila kona ya mji huku zikaambatana na mingurumo mikubwa ya kutisha
Minael akapiga hatua za haraka na kumuwahi kumtoa Eddy kabla ya tawi la mti mkubwa kumuangukia.Minael akamuweka Eddy pembeni na kumpulizia hewa ambayo baada ya muda akazinduka
Upepo mkali ukazidi kuharibu mali za eneo hilo huku magorofa yakianguka na idadi ya watu wanao fariki na kujeruhiwa ikiongezeka
"Minael hii ni nini?"CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Eddy aliuliza huku akiwa amekumbatiwa na mina ili asiweze kupeperushwa na upepo huo
"Eddy huu ni mwisho wa dunia"
"Nini?"
"Yeah mwisho wa dunia umeshafika"
"Kwa nini?"
"Eddy Janet ndio anaweza kuizuia hii hali peke yake.Nilazima tumpate la sivyo wote tuna angamia na kwenda kuzimu"
"Kivipi bado sijakuelewa kabisa? Na janent anahusikaje"
Minael hakulijibu maswali la Eddy zaidi ya kuendelea kumng'ang'ania Eddy.Gafla tetemeko kubwa la ardhi likaanza kutokea na kusababisha ardhi kuanza kupasuka na kuyameza baadhi ya majengo
***
Dulah akajibadilisha kutoka katika umbo la Eddy na kuwa katika umbo lake la kawaida na kumfanya Janet kushtushwa
Hali ya giza zito na radi kali ikazidi kuwaogopesha Dareen,Janet na ila ikawa ni tofauti kwa Dulah ambaye anaonekana kuifurahia hali hiyo
"HUU NI WAKATI WANGU WA KUITAWALA DUNIA NA VIUMBE VYOTE"
Dulah alizungumza huku akianza kubadilika mwili wake na kuwa mkubwa huku kichwani mwake akichomoza pembe mbili kubwa zenye ncha kali na kuwafanya Dareen na Janet kuzidi kuogopa
Sura ya Dulah ikazidi kuwa mbaya kwani meno marefu na yenye ncha yakali huku masikio yake yakiwa mafefu kwa kwenda juu
***
Miaka 23 iliyopita kundi kubwa la malaika lilitumwa duniani kuja kutafuta mwanamke mzuri na mwenye maadili mazuri na mwenye kuijua dini ili aweze kubeba mimba ya binti atakaye weza kuiokoa dunia ambayo imebakisha miaka 23 kuweza kuisha
Katika wanawake wengi waliopo duniani ni mmoja tu ambaye aliweza kubahatika na huyu si mwingine ni Joyce Joseph ambaye alikuwa na mtumishi wa kujitole katika moja ya kanisa dogo ambalo lilikuwa linaitwa TRUE LOVE FROM GOD (TLFG)
Joyce alikuwa ni mwanamke aliyepitia kipindi kigumu cha manyanyaso katika ndoa yake kwa kushindwa kubeba mimba na jambo lililo sababisha mumewe bwana Celvin kumfukuza na kusababisha maisha yake kuyahamishia katika kanisa hilo
Malaika huyo aliye valia umbo la mwanadamu kwa uwezo wake na uzuri wake akafanikiwa kuziteka hisia za Joyce na wakaingia katika penzi zito ambapo baada ya muda Joyce akapata ujauzito
Joyce akapewa nyumba kubwa ya kifahari ambayo ina kila kitu ndani na pesa nyingi ambazo atatumia yeye hadi azeeke
Katika kipindi chote cha mapenzi kati ya Joyce na Malaika huyo kutoka mbinguni akili ya Joyce ilifungwa na hakuweza kujua wala kumuuliza Malaika huyo ni wapi anapo tokea
Katika mazingira ya kutatanisha Joyce akajikuta akiishi peke yake hadi akajifungua mtoto wa kike pasipo kujua mume wake yupo wapi na hakupata uwezo wa kumfikiria wala kumuwazia kutokana na akili yake kufungwa
Akampa mtoto wake jina la JANET na katika kipindi chote cha kukua kwa Janet alikuwa yupo tofauti na watoto wengine katika tabia mpaka anaingia katika chuo kikuu cha nchi hiyo
Kijana mtanashati anatoke kuziteka hisia za Janet ambaye kwa kipindi chote hakuwahi kukutana kimwili na mwanaume yoyote
Siku aliyo tamkiwa wazi na Eddy kua anampenda Janet alijisikia furaha mbayo hakuwahi kuipata katika maisha yake tangu azaliwe
Janet akajikuta akizidi kupagawa kwa penzi la Eddy huku akiwa ni muoga wa kufanya mapenzi na Eddy
"Sasa Janet mpenzi wangu maana ya mimi kuwa wapenzi ni nini?"
Eddy alizungumza huku akimtazama Janet wakiwa wamejifungia katika chumba cha Eddy katika hosteli za chuo hicho
"Kwanini unaniuliza hivyo"
"Ni miezi mitatu imepita hatujawahi fanya chochote huoni kuwa mimi ninaumia"
Eddy alizungumza kwa sauti ya ukali kidogo na kumfanya Janet kuwa kimya kwa muda
"Lakini Eddy si nimekuambia tukifunga ndoa tutafanya?"
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"Aaah mpaka ndoa ok ni hivi kila mmoja aendele na maisha yake na mimi nikatafute mwanamke ambaye nitafanya naye mapenzi"
Maneno makali ya Eddy yakapenya hadi moyoni mwa Janet na kuuchoma moyo wake na akajikuta akianza kudondosha machozi mengi
"Janet acha unafki unadhani kunililia kwako ndio utanifanya mimi niamini kuwa wewe ni bikra.Nimeshajua unatembea na jamaa wa mwaka wa tatu ndio anakupa wewe jeuri na mumetoka kut***a alafu unanikatalia kama vipi fanya utoke tu humu"
"Eddy inatosha mimi sio malaya kama unavyo dhania Eddy sina mwanaume mwengine zaidi yako"
Janet alizungumza huku machozi yakimwagika na kulowanisha uso wake
"Ahaa huna ehee? Ni hivi unauona ule mlango...Fanya kama vile unasepa sitaki kukuona tena humu ndani kwangu"
Janet akakaa kimya huku akigugumia kulia na kumtazama Eddy ambaye anaonekana kutokuwa na masihara katika anayo yazungumza
'JANET USIFANYE MAPENZI NA EDDY'
Sauti ya ikasikika masikioni mwa Janet hakutambua ni wapi ilipo tokea
'JANET FANYA MAPENZI NA EDDY ANAKUPENDA'
Sauti nyingine ilisikika masikioni mwake huku sauti hii ya pili ikiwa na nguvu sana pamoja na msukumo mkubwa wa kumtamani Eddy
Janet akaanza kuvua taratibu nguo moja baada ya nyingine hadi akabaki kama alivyo zaliwa
"Eddy nipo tayari kwa hilo unalo lihitaji"
Janet alizungumza huku akimtazama Eddy.Kwa hali ya utaratibu Eddy akamsogelea Janet na kuanza kumyonya maziwa yake huku mikono yake ikiendelea kupita sehemu tofauti ya mwili wa Jatet
Janet akaanza kutoa miguno ya raha huku akijitahidi kuyacna mapaja yake kila pale Eddy alipojaribu kumpanua
"Eddy unajua mwenzako nina ogopa?"
"Nitafanya taratibu"
Eddy akaendelea kuichezea ikulu ya Janet hadi ikafikia hatua Janet akaishiwa na nguvu.Eddy akaivua boxer yake kisha akaipaka mate koki yake na taratibu akaanza kuiingiza kwenye ikulu ya Janet
Janet akazidi kutoa miguno ya raha yenye maumivu ndani yake ila akawa anajitahidi kuvumilia koki ya Eddy inavyo ingia na kutoka ndani ya ikulu yake
Eddy akaiweka miguu ya Janet kwenye mabega yake huku mikono yake ikiendelea kuyaminya maziwa ya Janet
"Eddy taratibu please"
Janet alizungumza huku akimzuia Eddy kwa kumshika mapaja yake.Mechi kati ya Eddy na Janet ikaisha huku kwa upande wa Janet akipata maumivu kutokana ndio mara yake ya kwanza kufanya kitendo hicho
***
Mapenzi kati ya Eddy na Janet yakazidi kupamba moto huku Janet akaanza kusahau malezi bora aliyo pewa na mama yake na kujikuta anatumia vilevi vinavyo mtoa katika hali nzuri ya kufaulu katika masomo yake
Ni siku ambayo Janet hakuweza kuisahau katika maisha yake
"Eddy Eddy"
Janet aliita kwa sauti ya ukali baada ya kumkuta Eddy akifanya mapenzi na mwanamke mwengine katika chumba cha Eddy
"Janet tabia ya kuingia ndani yangu pasipo kubisha hodi imeanza lini?"
Eddy alizungumza kwa sauti ya ukali
"Eddy nina haki ya kufanya hivyo kwani wewe ni mpenzi wangu na ninastahili kuingia muda na saa ninayo ihitaji mimi"
Janet alizungumza huku akipiga hatua za kukisogelea kitanda
"Nisikilize dada yangu Eddy huyo ni mpenzi wangu nakuomba uondoke"
"Wee wee Janet jua kuwa mimi ndio mwenye chumba hichi sasa ni hivi toka wewe na huyu ndio anatoka"
"Eddy unasemaje?"
"Umenisikia"
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Janet kwa hasira kali akapanda juu ya kitanda kabla hajafanya chochote Eddy akawahi kuishika mikono yake
"Janet nitakupasua"
"Eddy nipasue v mimi nipo tayari kwa chochote"
"Fatuma vaa nguo zako nitakupigia simu"
Fatuma akavaa nguo zake haraka haraka huku akiwa anatetemeka kwa woga kisha akatoka na kuwaacha Eddy na Janet
"Eddy mpenzi wangu sema ni nini umekosa kutoka kwangu eehe?"
Janet alizungumza huku machozi yakimwagika
"Eddy hayo ndio malipo ya penzi langu kwako ehee?"
Janet alizidi kuzungumza kwa uchungu huku akimtazama Eddy aliye juu yake akivuja jasho la hasira huku akiwa amemshika koo
"Eddy mimi nipo tayari kufa kwa ajili yako.Niue tu najua sina dhamani kwako.Umeutoa usichana wangu na umenifanya vya kutosha leo ndio faida yake hii"
Maneno ya Janet yakamlegeza Eddy taratibu akajikuta anautoa mkono wake kwenye koo la Janet na kukaa pembeni
"Eddy kumbuka mangapi nimekufanyia wewe mwanaume.Nimekupa pesa hadi namba ya siri ya account yangu benki nimekupa.Unadroo pesa kwa muda na jinsi unayo taka wewe LEO LEO HII EDDY"
Janet alizungumza huku akinyanyuka taratibu kitandani na kumtazama Eddy
"Eddy ninafeli darasani kwa ajili yako.Unaninywesha mapombe yasiyo na hata majina nakunywa ilii nikuridhishe ila ndio faida yake hii.Huyo mwanamke anakupa nini haswa"
Janet alizidi kuzungumza maneno yaliyo mchoma Eddy moyo wake
"Janet am sory"
"Eddy nimekusamehe ila sinto sahau ulicho nifanyia"
Eddy akamshika Janet kiuno taratibu na kuanza kukiminya hadi akalainika na wakaanza kufanya mapenzi huku Eddy akitumia ujanja wake kumpagawisha Janet ambaye taratibu akajikuta hasira zinampotea
"Eddy baby kwanini ulinisaliti?"
Janet alizugumza huku akiendelea kuisikilizia koki ya Eddy inavyo fanya kazi ndani ya ikulu yake
"Nisamehe mke wangu ni shetani alinipitia"
"Eddy hivi ulikumbuka kutumia kondom magonjwa mengi mume wangu"
"Ndio baby"
Eddy akamuweka Janet mkao wa kifo cha mende na kuendelea kumpa kitu roho inapenda huki kila mmoja akifurahia
***
Janet akajikuta anaanza kulia huku akimchungulia Eddy akiwa anazungumza na mwanamke mwengine nje ya darasa lililopo katika ghorofa ya mwisho katika chuo chao
Akamshuhudia jinsi Eddy anavyopewa namba ya msichana huyo ambaye ni mrefu na anaasili ya kiarabu huku akiwa amejazia katika sehemu ya kiuno chake
Msichana huyo alipo ondoka Janet akapiga hatua za haraka hadi alipo Eddy na kumgusa bega kwa nyuma
Eddy anageuka kwa haraka na kukutana na sura ya Janet anayeonekana kukasirika kwa kitendo cha Eddy kusimama na mwanamke huyo
***
Hali ya kutisha inazidi kuongezeka diniani kadri muda unavyozidi kwenda ndivyo dunia inavyozidi kuharibika huku kila mwanadamu mwenye pumzi akijaribu kuyaokoa maisha yake huku vitu vya ajabu zikiwemo radi na ngurumo za kutisha zikizidi kutawala kila kona
"Minael tunafanyaje?"
Eddy alimuuliza Minael huku akiwa amemkumbatia minael ambaye aliweza kustahimili upepo mkali wa kimbunga unao haribu majengo makubwa pamoja na vitu vingine
"Eddy ni lazima tumpate Janet yeye ndiye atakayeweza kuizuia hii hali la sivyo sote tutaangamia"
"Wapi tutampata sasa"
"Ngoja nitazame"
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Minael akayafumba macho yake kwa nguvu huku akijaribu fikra zake kuzipeleka katika eneo alilopo Janet.Akili ya Minael ilifanya kazi kama Computer inayotafuta mawasiliano kwa haraka huku ikionyesha sehemu zote alizopita Janet akiongozana na Dareen pamoja na Dulah.Minael akayafumbua macho yake kwa haraka huku damu zikimtoka puani mwake taratibu huku mwlili wake ukianza kupoteza nguvu na kuanza kuyumbishwa na kimbunga kikali.Hii imetokana na Janet kutumia nguvu kubwa katika kumtafuta Janet alipo
"Vipi umempata?"
Eddy aliuliza kwa tabu kutokana na upepo mkali kumpiga usoni mwake na kumfanya ashindwe kuhema vizuri
"Ndio nimempata ila yupo katika mikono hatari"
"Sasa tutafanyaje?"
"Inabidi twende sasa hivi"
"Mimi na upepo huu siwezi kutembea"
Mina akamshika Eddy mikono yake na taratibu akanza kumpunguzia nguvu ambazo zingeweza kumsaidia Eddy katika kupambana na hali ya upepo inayo ogopesha kupita maelezo.Taratibu Minael akamuachia Eddy na kwa mwendo wa haraka wakaanza kukatiza katika mawimbi ya upepo huo uendao kwa kasi na wenye nguvu ya ajabu.Wakafika katika eneo lililo na Kilima kirefu na kila walipo jaribu kupasogelea wakashindwa
***
Dulah kwa uwezo na nguvu alizo nazo akalizungushia eneo zima la kilima walipo miale mikali ambayo si rahisi kwa kiumbe chochote kukatiza.Dulah akamuamuru Dareen amvue nguo Janet nguo zote na kumuweka katika kitanda kilichotokea gafla huku kitanda hicho kikiwa kimetengenezwa na madini aina ya dhahabu
Dareen akambeba Janet ambaye kwa vitu vya ajabu alivyo viona akajikuta akipoteza fahamu na kumuweka katika kitanda hicho na kuanza kumvua nguo moja baada ya nyingine hadi akabaki kama alivyo zaliwa
"Chukua hicho kisu pembeni ya kitanda na ninahitaji umchinje Janet"
Dulah alizungumza kwa sauti nzito ya kutisha yenye mirindimo ya radi na yenye na kumfanya Daree kutii kwa haraka huku akitetemeka.Dareen akakishika kisu taratibu na kumtazama Janet aliye lala pasipo kijitambua.Machozi taratibu yakaanza kumwagika Dareen na roho ya huruma ikaanza kumtawala huku akijifikiria jinsi ya kumuua Janet asiye na hatia.Taratibu akili ya Dareen ikaanza kukumbuka ya nyuma jinsi alivyo muokoa Janet katika msitu wenye majoka makali kisha akili yake ikamrudisha nyuma siku alipokuwa akimfanyia vituko Janet na Maria walipotoka kwenda kwenye hosteli anayoishi Eddy kwa lengo la kumtafuta katika wakati wa usiku ila kwa vitisho vyake Janet na Maria hawakufanikiwa kwenda katika hostel ya Eddy
"MUUE........."
Dulah alizungumza kwa sauti ya ukali huku akijibadilisha na kurudi katika umbo la kibinadamu.Dareen akabaki amekinyanyua kisu juu huku machizi yakimwagika huku akiendelea kumtazama Jane
***
Minael na Eddy wakafanikiwa kupita katika miale iliyo zunguka kilima kikubwa alipo Janet kwa tahadhari kubwa wakaanza kukatiza katika maeneo ya kilma hicho hadi wakafika katika eneo walilopo Dulah na Dareen ambaye mikono yake imeshika kisu kwa ajili ya kumkita nacho Janet aliyelala katika kitanda cha dhahabu
Eddy akajaribu kupiga hatua ila Minael akamshika na kumrudisha katika eneo walilo jificha
"Minael wale watamuua Janet"
"Ndio ila usiwe na papara kwani huyu jamaa ni hatari sana la sivyo sote tutapotea cha msingi nikuweza kuizuia hii hali ya isiendelee"
"Kwanini ulisema Janet ndio anaweza kuizuia hii hali?"
"Janet ana nguvu za kimalaika sema yeye hajui jinsi ya kuzitumia na akifa yeye dunia nzima itaangamia ila akipona yeye dunia nzima itapona"
"Sasa nduvu hizo anazitumiaje"
"Damu yake ni muhimu sana na ndio itakayo iokoa dunia"
Eddy akachungulia na kumuona Dareen akiwa anajishauri kwa kitu cha kufanya huku machozi yakiwa yanamwagika.Sauti ya Dulah ikazidi kumuogopesha Eddy kwani ilimuamrisha Dareen kumuua Janet
"Eddy nisubiri hapa ngoja mimi niende"
"Mina Minael"
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Eddy aliimuita Minael ambaye alinyanyuka kwa kasi huku akitembea hewani kwa kasi ya ajabu na kwenda kumkuba Dareen aliye angukia pembeni.Kitendo cha Minael kuwepo katika eneo hilo kikamstua Dulah na kwa haraka akajigeuza na kuwa joka kubwa lenye vichwa saba vyenye mapembe makubwa huku kichwa cha katikati kikitoa moto mkali mithili ya ujiuji wa VOLKANO inayolipika.Kwa urefu wa umbo la joka hilo Likajizungusha katika kitanda cha dhahabu jambo lililo gumu kwa mtu yoyote kwenda kumgusa Janet
Minael akapaa angani na kuikutanisha mikono yake kwa pamoja na kuitanguliza mbele na kuaanza kutoa miale mikali iliyotua kakika ngozi ya joka Dulah na kuanza kumuunguza kwenye kichwa kimoja na kumfanya Dulah kutoa milio ya kutisha ya maumivu na kuzidi kumpandisha hasira Dulah.Dareen akanyanyuka taratibu na kushuhudia mapambano makali yanato endelea.Kwa kasi ya ajabu akapiga akakibia hadi kwenye kitanda alicholazwa Janet kabla hajafanya chochote gafla akastukia mkia wa joka hilo ukimpiga na kumuangusha mbali eneo alilo jificha Eddy
“Daree”
Eddy alimuita Dareen kwa sauti ya chini.Dareen akamtazama Eddy kisha taratibu akasogea na wakajificha kwa pamoja
“Janet unataka umfanyaje…..?”
“Eddy sasa hivi si wakati wa kuulizana maswali kama hayo tujue ni jinsi gani tuna muua Dulah”
“Tutamuuaje wakati unaona jinsi anavyo tisha?”
“Eddy wewe ni mwanaume hutakiwi kuwa muoga kiasi hicho cha msingi unatakiwa kujua jinsi gani ya kuiokoa Dunia na Janet akifa basi dunia nzima tuta angamia”
Dareen akamsogelea Eddy na kumpiga busu la mdomoni kisha akasimama,kwa kasi ya ajabu akaanza kukimbia katika eneo alilolazwa Janet huku akijitahidi kuukwepa mkia wa Joka Dulah unao jaribu kumpiga.Dareen akajirusha hadi kwenye kitanda alicholazwa Janet.
Minael baada ya kuuona kazi anayoifanya Dareen ya kumuokoa Janet,akaanza kazi ya mashambulizi ya kumchanganya Dulah ambaye amejigeuza na kuwa katika vichwa saba vya joka kubwa.Kwa nguvu alizo nazo Minael akafanikiwa kuvikata vichwa viwili vya Dulah na kuzidisha hasira ya Dulah
Dareen akaanza kazi ya kumfungua Janet kwenye kitanda kisha akambeba kuelekea sehemu aliyo jificha Eddy,Kabla hajamfikia akastukia Mkia wa Joka Dulah ukimchoma kwenye ngongo na kutokezea kwa mbele.Akajitahidi kujichomoa ila akashindwa na akalazimika kumrusha Janet na kumfanya Eddy kumdaka Janet
“Eddy kimbia na Janet haraka”
Dareen alizungumza huku akitokwa damu za mdomoni.Eddy akamuweka Janet begani na kuanza kukimbia naye huku akiwaacha Minael na Dareen wakipambana na Dulah.Mwanga mkali mweupe ukatokea mbele ya Eddy na akajikuta akisimama.Wakatokea watu wawili walio valia ngua nyeupe huku migongoni mwao wakiwa na mabawa makubwa.wakamnyooshea Eddy mkono na akajikuta nguvu zikianza kumuishi kisha mmoja akaenda kumchukua Janet na kumpulizia pumzi iliyo mfanya Janet kunyanyuka na mavazi yake kubadilika na kuwa meupe.
Janat akamgeukia Eddy na kumuona akiwa amelala chini huku macho yake akiyazuia yasipigwe na mwanga mweupe uliopo eneo hilo kwani ni mkali sana akataka kwenda kumshika ila mzee aliyejitokeza akamshika mkono
“Huyu hausiani na sisi?”
“Kivipi?”
“Wewe ni jamii yetu ya malaika ila huyu Eddy ni jamii ya Shetani”
“Kwanza nyinyi ni kina nani?’
“Mimi ni baba yako mzee nilimpa mama yako ujauzito kwa lengo maalumu la wewe kuikomboa dunia.Ila lengo hilo halitaweza kufanikiwa kwani wewe uliendenda kinyume na jamii yetu.Sasa hivi ni wakati wa shetani kuitawala Dunia”
“Kama kweli wewe ni baba yangu ninaomba nimsaidie Eddy kwani ni mpenzi wangu”
“Hilo Janet mwanangu halita wezekana ni wakati wetu wa kuondoka”
Janet akashikwa mkono na baba yake kisha wakapotelea katika mwanga mkali na kumuacha Eddy akiwa amejilaza chini.Taratibu Eddy akasimama huku akiwa anapepesuka hakujua nini afanye.Gafla tetemeko kubwa la ardi likaanza kumega vipande vya ardhi huku vikiwa vinaingia kwenye shi,o kubwa na kuzidi kumuogopesha Eddy.
Eddy akapata wazo la kurudi alipo waacha Dareen na Minael,Akaanza kukimbia kwa haraka na kwa kila jinsi anavyokimbia ndivyo jinsi aridhi ilivyo zidi kumeguka na kuingia ndani zaidi.Akafika eneo alilo waacha Dareen na Minael na kumkuta Dareen akiwa chini amejilaza huku mwili wake ukiwa unshimo kubwa tumboni mwake ambalo lilisababishwa na kuchomwa kwa mkia wa Joka kuwa
“Ed…..eedy na…..kupe…..”
Dareen akanyamaza kimya na kukata roho.Eddy akasimama kwa hasira na kumtazama Dulah ambaye amejigeuza yena katika umbo la kibina damu huku akiwa amemkaba koo Minael huku akiwa amemuelekeza kwenye shimo kubwa ndani yake likiwa na moto mkali wenye rangi nyekundu.Kwa kasi ya ajabu Eddy akaenda kumkumba Dulah pamoja na Minael na wote wakadumbukia katika shimo hilo na kuanza kuungua miili yaoCHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Janet akiwa mawinguni usawa wa eneo la shimo walilodumbukia Eddy na wezake akajikuta akitokwa na machozi huku akijilaumu ameshindwa kumuokoa Eddy mwanaume anayempenda kutoka moyoni mwake.Akawashuhudia watu wengine wakiwa wanapaa kuja mawinguni huku wengine wakiwa wanamezwa na dunia ambayo ardhi yake imegeuka na kuwa shimo la moto huku kila mmoja akitoa vilio vya aina yake
“MWANANGU HUO NDIO MWISHO WA DUNIA HAKUNA MTU ATAKAYETUKA KATIKA ZIWA LILE LAMOTO KWANI NI WATENDA DHAMBI NA HAWA WALIOPO HUKU NI WALIO TENDA MEMA”
Baba Janet alizungumza huku akimuonyesha Janet watu wanavyoungua kisha akamshika mkono na kwapamoja wakapaa zaidi angani na kupotea katika usawa wa dunia
MWISHO
0 comments:
Post a Comment