Simulizi : Evil Sex
Sehemu Ya Nne (4)
Dareen akaanza kutumia nguvu kujitoa katika mkia wa joka huku akijaribu kulikiti vidole kwenye mwili wakeCHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
'hawa si nyoka kama unavyo fikiria'
Eddy alisikia sauti ikimsemesha pembeni yake na kumfanya ageuke haraka
"Usiniogope mimi ni mwema kwako ila nisaidie nami nikusaidie"
"Wewe ni nani?"
Eddy alimuuliza mzee wa miaka karibia miaka 90 aliye msemesha akiwa ndani ya banda lenye nondo nene
"Ukinifungua nitakueleza kuwa mimi ni nani?"
"Nijibu kwanza la sivyo sinto kufungulia"
"Usipo nifungua na wewe utadumu humu ndani kwa miaka kama niliyo kaa mimi"
"Sijakuelewa?"
Gafla sauti kali na nzito kutoka nje ya shimo ikasikika huku ikilitaja jina la Eddy
"EDDY NATAMBUA UPO ENEO HILI JITOKEZE KABLA SIJAMZURU MPENZI WAKO JANET"
Eddy akastuka na kujiuliza ni nani anaye mjua na imekuaje Janet amefika katika eneo hilo
Kabla Eddy hajafanya chochote akastukia akipigizwa ukutani na kitu chenye nguvu nyingi
Eddy akatazamana na joka ambalo gafla likajigeuza na kuwa mtu ambaye haeleweki ni jinsia gani kwani kifua chake kina maziwa ila ana jinsia ya kiume
Eddy akameza fumba la mate huku akitazamana na mtu huyo ambaye sura yake ina badilika badilika
Eddy akastukia akikabwa koo na mtu yule huku mikono yake ikitoa miba mirefu
Eddy akakumbuka mbinu ya kuweza kupotea machoni mwa adui,Akazungumza maneno machache nyenye asiliya kishetani gafla akapotea
Eddy kwa kasi ya ajabu akalirukia joka ambalo lilikuwa limejigeuza mtu.Eddy akichukua jiwe lenye ncha kali kisha na kumchoma joka kweje moja ya jicho
Joka likatoa ukelele na kuanza kujibadilisha badilisha maumbo ya binadamu na wanyama wakali
Eddy akalifwata joka lililo mshikilia Dareen na kuanza kulichoma kwa jiwe lile lile lenye ncha kali huku akizungumza maneno yaliyo mfanya asionekane kabisa
Akamvuta Dareen pembeni na kuendelea kulichoma joka kwa jiwe mpaka likafa huku damu nyingi zikimwagika
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"Dareen unaniona?"
"Hapana Eddy"
Eddy akamfwata Dareen na kumshika macho yake
"Unaniona?"
"Ndio hapa nakuona"
Dareen alizungumza huku akihema kwa nguvu
Dareen akamkumbatia Eddy na wakapaa hadi nje ya shimo ambapo kitendo cha wao kutu chini wakakutana na Dulah akicheka huku akiwa amemshika Janet
"Eddy huwezi kutukimbia hata siku moja"
"Wewe ni nani?"
"Eddy huna haja ya kuniuliza mimi nani ila enjoy the show"
Dulah akatoa miale mikali iliyo warusha Eddy na Dareen mbali kila mmoja akiangukia upande wake
Dareen akawa wa kwanza kunyanyuka na kwa nguvu alizo nazo akajaribu kumsogele Dulah ili akajikuta akirushwa juu na kuanguka chini
'Eddy kuna kitu umekikosea katika masharti tuliyo kupa'
Eddy alisikia sauti ikimsemesha akilini mwake na haikuwa ngeni kwani ni ya babu yake Mzee MASON
"Nimekosea wapi babu?"
'Umekosea kuipandikiza damu yako mwilini mwa Dareen'
"Sasa nitafanyaje babu?"
Kabla Eddy hajajibu chochote akastukia akivutwa na kuzungushwa na kutupwa mbali kidogo na eneo alilo angukia na Dulah
'Inakulazimu kufanya maamuzi magumu'
'Maamuzi gani babu'
'Nilazima umuue Dareen ili hili swala likuepuke'
"Dareen ni msaada kwangu babu siwezi kufanya hivyo"
'Usijaribu kuenenda kinyume na sheria zetu.Dareen ndio adui yako namba moja"
"Nitamuaje sasa"
'Ili afe ni lazima utafute mti aina ya mpingo kisha umkite maeneo ya kwenye moyo hapo ndipo ataweza kufa"
Eddy akasima huku akitazama jinsi Dareen anavyo pambana na Dulah ambaye anajigeuza katika maumbo tofauti
Eddy akakaa chini na kukunja miguu yake kisha na kuvikutanisha vidole vyake vya mikononi na kuanza kusali
Hali ya hewa ikaanza kubadilika huku mawingu yakiwa meusi,akazidi kuomba na mawingu yakatawaliwa na rangi nyekundu huku upepo mkali ukilitawala eneo zima
Miti ikaanza kung'oka na mawe yakizidi kuvujika hali iliyo mfanya Dulah kuishiwa nguvu
Dareen akapiga hatua na kumnyanya Janet na kusogea naye sehemu aliyopo Eddy
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"Kimbia na Janet"
Eddy alizungumza na Dareen akatii amri akamuweka Janet begani na kwa kasi ya ajabu akakimbia na kumuacha Eddy akiendelea kuomba
***
Dareen na Janet wakafika chuoni
"Dareen asante"
Janet alizungumza huku akimtazama Janet ambaye alianza kuondoka
"Usijali"
"Ngoja vipi kuhusu Eddy?"
"Ndio nataka kwenda kumsaidia"
"Dareen naomba umsaidie Eddy"
"Sawa"
Dareen akaondoka kwa kasi ya ajabu huku akili yake ikimuwaza Eddy
Dareen hakuamini macho yake baada ya kukuta eneo zima la msitu likiwaka moto mwingi ambao hakuweza kuingia ndani ya msitu
Machozi yakaanza kumtoka Dareen huku akianza kumuita Eddy kama atasikia ila hakusikia chochote
"Eddy...Eddy"
Dareen akazidi kuita huku akitokwa na machozi mengi akajaribu kuuzunguka msitu ila hakuweza kupata mafanikio ya kumuona Eddy
Kutokana tayari kulisha pambazuka gari za zima moto pamoja na helkopta za kuzima moto zikaanza kazi ya kuzima moto ulio shamiri katika eneo hilo
Dareen hakutaka kuondoka eneo la msitu hadi moto ulipo fanikiwa kuzimwa
"Dada hatujaweza kukuta masalia ya kiumbo chochote kama mwenyewe unavyo jionea sehemu nzima ni majivu tu"
Afisa mmoja wa zima moto alimpa taarifa Dareen na kumfanya mapigo ya moyo wake kumuenda kasi
"Kaka hata vidole hamujaona"
"Dada yangu moto ulikuwa ni mwingi sana kwahiyo si rahisi kwa masalio ya binadamu yoyote kuonekana"
Dareen akashindwa kuzuia machozi yake na sauti ya kulia
"Dada kwani kuna mtu alikuwemo ndani ya msitu?"
Dareen akamtazama afisa zima moto kwa jicho kali na kumfanya aogope na kurudi nyumba
***
Machozi yakaanza kumtoka Janet baada ya kusikia taarifa ya afisa mkuu wa zima moto akitoa taarifa juu msitu kuungua
"Eddy"
Jenet akajikuta akiliita jina la Eddy huku akiitazama tv katika eneo la bwalo la kulia chakula
"Eddy amefanyaje"
Tina rafiki wa Janet hakusita kumuuliza Janet
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Kabla hajajibu chochote akamuona Dareen akiingia kwenye bwalo huku akiwa amepooza sana
Janet akasimama na kumfwata Dareen huku wakiwa wanatazamana
"Dareen vipi? yuko wapi Eddy?"
Dareen kama mbogo aliye jeruliwa na risasi akamsukuma Janet na kuanguka chini
"Wewe ndio umesababisha Eddy kufa msituni kwa ujinga wako"
Dareen alizungumza huku machozi yakimtoka kwa chungu
Karibia wanafunzi waliomo bwaloni wakaisikia sentesi ya Dareen kuwa Eddy amefariki dunia
"Dareen Eddy amekufa!?"
Mmoja wa wanafunzi alimuuliza Dareen ambaye hakutaka kusema chochote zaidi ya kuondoka kwa hasira na kuwaacha watu wakiduwaa
Janet akanyanyuka taratibu huku akizidi kulia akaondoka zake na kuelekea chumbani kwake
Habari za kifo cha Eddy zikasambaa chuo kizima huku wasio mjua wakapata nafasi ya kumjua
Siku ya kumsalia Eddy sala maalumu ili apumzike mahali pema peponi ikawadia,wanachuo wakakusanyika kwenye ukumbi wa chuo huku wengine wakiwa wamevalia tisheti nyeusi zenye maandishi makubwa meupe yaliyo someka
R.I.P EDDY(Reast In Peace) huku wakiongozwa na mkuu wa chuo katika sala hiyo
Gafla kelele kutokea nyuma ya ukumbi zikaanza kusikika huku wanafunzi wengine wakiaza kukumbana na kukanyagana
Dareen akatazama nyuma akaona joka kubwa likiingia ukumbini kwa kasi huku likionekana kuwa na hasira kali
Wanafunzi wakazidi kukimbizana huku wengine wakianguka kwa mstuko huku wengine wakipoteza maisha kutokana na kukanyagwa na wenzao
Mkia wa joka hilo ukamchapa padri anaye ongoza sala na kumrusha pembeni na kupiga kichwa ukutani na akapoteze maisha hapo hapo
Dareen akaruka juu na kutua mgongoni wa joka hilo kabla hajafanya chochote akajikuta amearushwa kwenye viti vilivyopo ndani ya ukumbi huo
Janet akawa miongoni mwa walio fanikiwa kutoka nje ya ukumbi huku akiwa amepata michubuko mingi kwenye mikono yake
Sehemu kubwa ya eneo la nje ya ukumbi kumetapakaa damu za wanachuo walio uliwa na joka hilo
Kila mtu alikimbia eneo ambalo alilitambua yeye kunusuru maisha yake
Dareen akanyanyuka na kutazama na joka ambalo mdomo wake umejaa damu kwa kunyofoa vichwa vya watu
Joka likajirusha huku likimlenga Dareen ambaye akafanikiwa kulikwepa na kuvivaa baadhi ya viti
Dareen akachomoka kwa kasi ya ajabu kuelekea nje huku joka likiwa linamfwata kwa nyuma
***
Mawingu baada ya kubadilika kuwa mekundu,mvua kubwa ya moto ikaanza kunyesha
Dulah akiwa katika umbo la upepo akamyakua Eddy na kushuka naye kwenye shimo ambalo ndio makazi yake
Akamfungia kwenye moja ya chumba ndani ya mwamba ambacho hakina sehemu yoyote ya kuingizia hewa
Akatoka ndani ya shimo na kwenda eneo ambalo ipo familia yake ndani ya msitu huo
Hakuamini macho yake kukuta mkewe na watoto wake wakiwa wapo katika hatua za mwisho za uhai huku miili yao ikiwa imeungua vibaya sana
Dulah akaanza kumshuhudia mkewe akikata roho huku akifwatiwa na mwanae wa pekee akimalizikia
Hasira kali iliyo changanyikana na uchungu ikauvaa mwili wa Dulah na kwa kasi ya ajabu akaanza kurudi shimoni alipo muacha Eddy
***
Ubaridi mkali ukamstua Eddy kutoka katika hali ya kupoteza fahamu
Eddy akatazamana na babu yake mzee Mason ambaye amejitokeza katika umbo la binadamu japo ni vigumu kumshika mwili wake
"Eddy narudia tena umeenenda kinyume na kanuni na taratibu zetu"
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"Sasa babu nitafanyanye?"
"Ninachoweza ni kukusaidia kutoka humu tu kwani adui yako ana uwezo mkubwa sana"
Mzee Mason akamuwekea Eddy mkono kifuani na kumpa umbo kama lake ambalo linaweza kupita eneo lolote
Wakatoka na kuanza kuelekea kwenye moja ya njia zilizomo ndani ya pango huku wakikimbia
***
Dulah akafika kwenye chumba alicho muweka Eddy ila hakumkuta
Kwa uwezo alio nao wakuona umbali wa zaidi ya maili 100 akawaona Eddy na mzee mmoja wakitokomea ndani ya pango hilo
Kwa umbo lake la upepo akaanza kukimbia akiwafwata kwa kasi ya ajabu huku akiwa na hasira kali
Mzee Mason akasimama gaflwa
"Babu vipi mbona umesimama?"
"Anakuja chukua hichi kifimbo kita kusaidia"
"Kitanisaidiaje?"
"Chenyewe kina uwezo wake wa pekee na hiyo ndio silaha yako ya mwisho"
"Twende sasa asije akatukuta"
"Eddy kimbia"
"Ehee?"
"Kimbia tena haraka ondoka eneo hili tena usitazame nyuma"
Eddy akaanza kukimbia kwa kasi ya juu zaidi huku akishangaa kuona kasi yake ikiongezeka
Mzee Mason akajigeuza katika umbo la mishale miwili ya moto huku akijitega kumsubiri Dulah
Kwa kasi ya ajabu Mzee Mason akatua mwilini mwa Dulah na kumuangusha chini
Dulah akajigeuza katika umbo la binadamu mwenye misuli mikubwa na kuitoa mishale yote miwili
Kabla hajaivunja Mzee Mason akapotea mikoni mwa Dulah na kusimama nyuma yake
Akamshika Dulah na kumrusha kwenye kuta za pango hilo na kumsindikiza na ngumi kali iliyo upindisha mgongo wa Dulah
Dulah akasimama na kujinyoosha viungo vyake na kurudi katika hali ya kawaida
Safari hii Dulah akawa mkali zaidi macho yake yakamuona mzee Mason akija kwa nyuma yake
Akajigeuza katika umbo la joka kubwa aina ya Dragon na kumtemea moto mkali mzee Mason
Mzee Mason akadondoka chini huku mwili wake ukiungua vibaya kwani moto alio utema Dulah upo kama uji uji wa Volkano
Mzee Mason akajaribu kujipoza mwili wake ila hakuweza kwani Dulah alidizi kumwagia moto huo hatari kwa kiumbe chochote
Dulah akarudi katika umbo la mwanadamu kisha kwa kucha zake kali akamtenganisha kichwa na kiwili wili mzee Mason
Dulah akajaribu kuvuta hisia ni wapi alipo Eddy ila hakuweza kumuona
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Moja kwa moja akaelekea chuoni anapo soma Eddy
Akajibadilisha katika umbo la joka kubwa na kuanza kuwashambuli wanafunzi alio wakuta eneo la chuo
Kwa kasi ya ajabu akaingia katika ukumbi wa chuo ambapo kuna sala ya kumuombea Eddy na kuanza kuwashambuli wanachuo huku akiwang'ofoa vichwa vyao
***
Eddy akatokea kwenye mto mkubwa na kujificha kwenye majabali.
Gafla bibi kizee akasimama mbele yake huku akitokwa na machozi mengi huku akionekana kuwa na hasira kali
Eddy akamnyooshea kifimbo bibi yule na kujikuta hakuna kilicho tokea
Kibao kikali kikatua shavuni mwa Eddy huku bibi akiachia msunyo mkali wa hasira
"Mwana izaya mkubwa wee hivi ndivyo babu yako alivyo kufundisha?"
Eddy akajaribu kumnyooshea bibi kifimbo chake ila akastukia kikinyakuliwa na bibi huyo
"Wewe kwani ni nani?"
Eddy aliuliza huku akijichua chua shavu lake
"Mpumbavu umesababisha hadi mume wangu kipenzi kufa kwa ujinga wako"
Hapo ndipo Eddy akafahamu mtu anaye zungumza ni bibi yake
"Nifwate"
Wakaongozana na upepo mkali ukatoke na kuwanyakua na kupaa angani
Kufumba na kufumbua wakatoke kwenye mji mkubwa wenye watu weupe wenye asili ya kiarabu huku ukiwa umejengwa kwa dhahabu(GOLD) majengo yake
Eddy akajikuta anakosa uwezo wa kunzungumza na kinywa chake kikawa kimefungwa
Wakaingia kwenye jengo kubwa ambalo ni makao makuu ya mji huo ambao ni mzuri kuphta miji yote duniani
"Eddy huku ndipo kwenye chimbuko lako wewe"
"Kwa jina naitwa Magnalener ni mke wa babu yako Mzee Mason"
Eddy akajaribu kufungua kinywa chake ila akashindwa kuzungumza chochote
"Natambua unataka kuzungumza lakini wakati wako bado ni lazima utumikie adhabu yako kwa kukiuka maadili na taratibu zetu"
Eddy akaanza kutetemeka kwa woga huku akijaribu kukumbuka alicho fundishwa na babu yake ila hakuna alichoweza kukikumbuka hata kimoja
Wanaume wanne wenye maumbo ya makubwa na vifua vya miraba minne wakamkamata Eddy na kumnyanyua juu na kuondoka naye
Wakamfunga Eddy miguu na mikono na kumuingiza kwenye kisima kirefu kisicho kuwa na maji na chenye giza kali
Nng'e wakali na wenye njaa kali wakaanza kuushambulia mwili wa Eddy huku kila mmoja aking'ata sehemu anayo jisikia yeye
Machozi mengi yaliyo ambatana na maumivu makali yakamtoka Eddy huku akijaribu kujiviringisha ndani ya shimo hilo
***
Dareen akazidi kukimbia akielekea nje ya chuo akijitahidi kulitoa joka kubwa linalo mkimbiza nje ya chuo
Dulah akajibadilisha kutoka katika umbo la nyoka na kuwa upepo mkali
Nguvu na kasi ya kukimbia zikaanza kumuishia huku akishindwa kuzuia damu zinazo mtoka puani
Kwa kasi ya ajabu Dulah akamvaa Dareen na kwenda naye mbali na mji
Dulah akamshusha Dareen na kumuweka juu ya mlima na kumsubiria aweze kuzinduka
Dulah akajificha kwenye moja ya mti uliopo sehemu aliyo mlaza Dareen
Baada ya masaa mawili Dareen akazinduka huku akiwa hajielewi amefikaje katika mlima huo
Akasimama huku akiyumba yumba Gafla akamuona Dulah akiwa amesimama mbele yake
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"Usiniogope Dareen"
"Kwa nini unayafwatilia maisha yetu?"
"Kwasababu ninahitaji muunganiko kati yangu na wewe ili kumuangamiza Eddy"
"Kwanza sikujui na swala la kumuua Eddy si umesha fanikiwa"
Dulah akatabasamu kidharau kisha akazungumza
"Eddy hajafa ila Eddy ameiangamiza familia yangu"
"Unasemaje?"
"Eddy hajafa ila mimi ninaitwa Dulah"
"Sasa yupo wapi?"
"Hata mimi sijatambua hadi sasa Eddy yupo wapi ndio maana nilichukua jukumu la kuja kuvamia chuoni"
Dareen akakaa kimya huku akifikiria jinsi Eddy alivyo fanikiwa kutoka katika msitu ulio
"Dareen lengo lako lilikuwa ni kumuangamiza Eddy na kuuteka ulimwengu kwa ujumla sasa mbona uoakuwa upande wake?"
Dareen akakaa kimya huku asijue la kuzungumza
"Tazama anavyo kupelekesha pelekesha anawaua dada na kaka zako bado hujitambui"
"Isitoshe tazama jinsi anavyotuzuia siki kufanya kazi iliyo tuleta,Tazama ukoo wangu na familia yangu ulivyo angamia kwa ajili yake"
Dulah alizungumza kwa kufoka na uchungu na kusababisha Dareen kutokwa na machozi
"Dareen umepotea kumbuka wewe una falme yako na mimi nina falme yangu ila sisi sote asili yetu ni ushetani"
"Eddy yule ni zaidi ya shetani kutokana ana asili ya kibinadamu na shetani Dareen fungua macho yako na uangalie jinsi tunavyo kwisha"
"Hii vita peke yangu mimi siiwezi.Tambua Eddy udhaifu wake upo kwa Janet na wewe ndio ukawa chanzo cha kumuokoa Janet ona sasa"
Dulah alizungumza huku machozi yakimlenga lenga
Taratibu moyo wa Dareen ukaanza kumchukia Eddy na kumbukumbu zikaanza kumrudia na kukumbuka lengo lililo mleta duniani
***
Hali ya hatari ikaanza kutangazwa nchi nzima na jeshi la polisi hii ni kutokana na uvamizi wa joka kubwa lililo waua wanafunzi wachuo wapatao sabini
Chuo kikafungwa na haikutangaza siku ambayo kinawezwa kufunguliwa
Maria hadi anafika nyumbani kwao hakuamini kwa kitu alicho kiona kwa Dulah na binti mdogo aliye muita Dulah wiki mbili zilizo pita
***
Dareen akamkumaatia Dulah na taratibu wakajikuta wananyonyana denda
Dulah akamvua Dareen nguo zote kisha akazimalizia zake huku wakiendelea kunyonyana
Dareen akaanza kunyonya koki ya Dulah taratibu huku mikono ya Dulah ikichezea nywele za Dareen
Dulah akajilaza kwenye jiwe kubwa na Dareen akaikali koki ya Dulah na wakaanza kupeana penzi lililo jaa nguvu za kishetani
***
Adhabu ya Eddy ikadumu kwa masaa nane kisha akatolewa ndani ya kisima
Mwili mzima wa Eddy ulijawa na vidonda vingi vinavyomwaga damu
Wanaume wale wale wa miraba minne wakambeba Eddy na kwenda kwenye kisima chenye maji ya chumvi
Kabla hawaja mtumbukiza sauti kali ya kike ikasikika
Ni sauti ya Malkia wao ambaye amechukua umalkia kutoka kwa bibi Magnlener
"Munataka kumfanyaje huyo?"
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"Mama amesema tumpitishe kwenye visima vyote saba"
"Acheni"
"Hawawezi kuacha kutokana mimi ndio niliye waagiza"
Bibi Magnalener alizungumza huku akishuka kwenye ngazi za eneo hilo
"Mama huoni kuwa kisima cha kwanza kina mtosha kwa adhabu aliyo ipata?"
Kwa ishara Bibi Magnalener akawamuru wanaume hao kumtumbukiza Eddy kwenye kisima chenye maji ya chumvi kali
"Mamaaa....!!?"
Malkia alizungumza huku akishuhudia Eddy akidumbukizwa kwenye kisima chenye maji ya chumvi iliyo pelekea kumpa maumivu makali katika vidonda vyake
"Mama hii si wawa kwa nini una mtesa kijana wa watu kiasi hicho?"
"Yeye ndio chanzo cha kifo cha mume wangu Mason"
"Tena nashukuru Mungu alivyo kufa kwani mama jamii nzima ilikuwa inakushangaa wewe kuzalishwa na mwanadamu na kumpa kila ki..."
Kibao kikali kutoka kwa bi.Magnalener kikatua shavuni mwa Malkia kilicho myumbisha kwa bahati nzuri akadakwa na mmoja wa vijakazi wake
"Pumbavu mkubwa kumbuna mimi bado ni malkia na nina mamlaka yoyote ya kufanya chochote"
Bi.Magnalener alizungumza huku macho yake yamebadilika rangi huku mishipa yake ya shingo ikiwa imemsimama kiasi kwamba kila mtu aliyomo humo akaogopa
Malkia akaondoka kwa kasi huku akilia kwa uchungu na kwenda kujifungia chumbani kwake huku kijakazi wake akijaribu kumbembeleza
"Mama ananionea kwa kwasababu mimi ni mtoto wa mume wake mwingine?"
Malkia alimuuliza swali kijakazi wake ambaye anamuamini na ndio mshauri wake wa kwanza
"Unajua Mtukufu Malkia pale ulikosea,hukupaswa kuzungumza vile?"
"Kwa hiyo na wewe umefurahia mimi kupigwa na kuzalilishwa mbele ya vijakazi ehe?"
Malkia alizungumza kwa sauti kali ya kufoka huku akimtazama kijakazi wake ambaye kwa woga akatingisha kichwa cha kukataa
"Nilazima nifanye kitu ili niwe huru katika uongozi wangu"
"Kitu gani mtukufu Malkia?"
"Nilazima nimuue mama"
***
Maumivu malali yakazidi kupenya kwenye mwili wa Eddy kutokana na maji yenye chumvi kupenya vizuri kwenye vidonda vyake
Baada ya masaa mawili kupita Eddy akatolewa na kupelekwa kwenye kisima cha tatu chenye wadudu wadogo waitwao siafu ambao husifika kuwa na ishirikiano mzuri wanapo mvamia adui yao
Machozi mengi na maumivu makali yakazidi kuutesa mwili wa Eddy ikafikia kipindi sauti ikamkauka kwa kulia sana huku aliomba msaada
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Siafu wakaendelea kumshambulia Eddy sehemu mbali mbali zikiwemo za siri,masikioni na machoni na kuzidi kumpa maumivu Eddy yasiyo simulika kiasi kwamba akaanza kukitamani kifo
***
Katika malkia walio wahi kutawala katika mji huu wa ajabu unao itwa GOLDEN CITY uliopo katika sayari ya ajabu Bi.Magnalener ndio anasifika kuwa na roho ya kikatili kupita viongozi wote katika mji huo walio wahi kutawala
Mtu pekee aliyeweza kutengua au kubadilisha maamuzi yake pindi yanapo onekana ni mabaya alikuwa ni mzee Mason binadamu wa pekee aliye weza kumpenda huku akiwakataa wanaume majini kumuoa
Kabla hajachukua maamuzi ya kumuhamishia Mzee Mason kwenye milki yake kutoka duniani,Akabahatika kupata mimba kutoka kwa mwanaume ambaye alichaguli na wazazi wake
Miezi tisa baada ya kujifungu mtoto wa kike aitwaye Minael akaanza kazi ya kumsaka mwanaume aliye mpa ujauzito hadi akamtia nguvuni na kumuua kikatili
Siku aliyo pata ujauzito wazazi wake waliwaagiza wapishi kumuwekea dawa ya usingizi kwenye kinywaji chake bila kujitambua akanywa na usingizi mkali ukampitia na mwanaume maalum aliye andaliwa kumzalisha akafanya shuhuli hiyo usiku kucha na kabla Magnalener hajazinduka kwa msaada wa wazazi wa Magnalener jamaa akatoroshwa katika mji huo
Magnalener akaanza kumuua baba yake kisha akammalizia mama yake ambaye alikuwa ni malkia na kuchukua madaraka ya kuongoza mji huo
***
Dulah na Dareen wakamaliza kupeana raha za miili yao na kuanza kupanga mipango ya ni namna gani wanaweza kumpata Eddy
"Inatulazimu kuweza kumtafuta Janet mahala popote alipo"
Dulah alizungumza huku akimminya minya ziwa moja Doreen
"Unadhani itasaidi kwa Eddy kujitokeza mbele yetu?"
"Ndio kwani upendo wa Eddy kwa Janet haufichiki na endapo Eddy atajua sisi tumemkamata Janet atajitokeza mimi nina uhakika na hilo"
Wakarudi chuoni na kukuta kimefungwa kwa muda usio julikana,Ikawalazimu kuingia katika ofisi ya mkuu wa shule kwa ajili ya kutafuta mafaili yanayo onyesha kila mahali mwanachuo alipotokea
"Yes nimepamta"
Dareen alizungumza huku kidole chake kikiwa juu ya faili kubwa akimuonyesha Dulah
"Kuna namba yake ya simu?"
"Ndio"
Dulah akaichukua na kuiandika kwenye simu yake kabla hajaipiga Dareen akamshika mkono
"Unataka kufanya nini?"
"Nampigia kuweza kutambua yupo wapi?"
"Huoni atapata mashaka kwani sauti yako itampa mashaka"
"Ngoja uone"
Dulah akajikoholesha kidogo kisha sauti yake ikafanana kabisa na sauti ya Eddy
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"Haloo!"
Sauti kali ikasikika gafla katika mlango wa ofisi hiyo ikiwaamuru watulie kama walivyo
Wakageuka wakamkuta askari akiwa amesimama kwa tahadhari huku akiwa amewaelekezea bastola yake
***
ITAENDELEA
0 comments:
Post a Comment