Search This Blog

Wednesday, 1 June 2022

EVIL SEX - 3

 







    Simulizi : Evil Sex

    Sehemu Ya Tatu (3)





    Janet na Jimy wakafika kwenye moja ya hotel wakachukua chumba cha gharama

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Jimy akaanza kumchezea Janet kila mahali ya mwili wake na kuzidi kumpagawisha Janet ambaye akaanza kutoa milio ya raha huku akimminya minya Jimy katika mgongo wake na kufanya Jimy ajisikie furaha kupita maelezo



    Kama kawaida Jimy akaanza kumnyonya Janet maziwa yake taratibu huku akimchezea naniliu yake



    Jimy alipoona Janet amelainika vya kutosha akaanza kumpa Janet chakula cha usiku huku akiwa anamuweka baathi ya mikao ambayo ilizidi kumpagawisha Janet ambaye hakuwahi kukutana nayo



    Jimy akazidi kumpagawisha Janet hadi wakafikia tamati na kujilaza pembeni



    "Janet hivi Eddy akija hufahamu itakuwaje?"



    "Wewe mpotezee hana jipya"



    "Sio hana jipy kwani yule ni rafiki yangu na wewe ni.."



    "Ni nini ina maana hunipendi au nimefanya makosa kukutongoza?"



    "Hapana maana yangu haikuwa hiyo"



    "Ila?"



    "Basi tupotezee hiyo mada"



    ***



    Katika falme ya kishetani ikapata habari juu ya kubadilishwa kwa Dareen na kuwa chini ya mamlaka ya Eddy ambaye wanamtafuta tangu akiwa mtoto



    Wakapanga mpango wa kutuma vijana zaidi ya themanini kwenda kumkomboa Dareen ambaye yupo mikononi mwa Eddy



    ***



    Vijana kutoka katika falme ya kishetani wakaingia duniani na kuanza kazi ya kuwatafuta Eddy na Dareen



    Vijana wapatao kumi wakaingi katika pango ambalo hutumiwa na watu wanao abudu dini ya kishetani



    Kwa nguvu walizo nazo wakaweza kuwaona Eddy na Dareen wakiwa katika moja ya sehemu ya juu ya pango hilo wakiwa wamejificha



    Kiongozi wao wa msafara kwa nguvu alizo nazo akaweza kuwamulika Eddy na Dareen na kuwafanya watu wote waliomo ndani ya ukumbi kustuka



    Mwanga ukazidi kuwamulika Eddy na Dareen kitendo kilicho msumbua Dareen kutokana ngozi yake ilianza kubabuka babuka



    Eddy akamkumbatia Dareen kwa nguvu kisha akatamka baathi ya maneno gafla hali ya kubabuka mwili ya Dareen ikapotea



    Eddy akazidi kuzungumza maneno ambayo Dareen hakuyaelewa gafla mwanga unao wamulika ukazima hii ni kutokana na nguvu alizonazo Eddy



    "Eddy tuondoke"



    Dareen alizungumza huku akimshika mkono Eddy ambaye mwili wake umekakamaa kama mti mkavu ila mdomo wake tu ndio unafanya kazi ya kuzungumza kwa haraka kama mashine



    "Yaghari nari da nage do no rati ro neeè"

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Ni baadhi ya maneno anayo yazungumza Eddy kwa lugha yake peke yake huku taratibu akiinyanyua mikono yake juu



    Upepo mkali ulio ambatana na radi kali ukaanza kuharibu vitu vilivyomo ndani ya ukumbi huku radi ikiwaunguza vijana kutoka katika falme ya kishetani huku upepo ukiwapeperusha watu waliomo ndani ya kumbi hiyo



    Wengi wao wakapigizwa kwenye kuta za pango hilo na kupoteza maisha hapo hapo huku wengine wakijitahidi kung'ang'ania vitu wanavyo amini haviwezi kuchomolewa na upepo mkali huo



    Dareen akazidi kumng'ang'ania Eddy mguu wake ili asipelekwe na upepo ulio mkali,



    "Eddy ninakufa mwenzio"



    Dareen alizungumza kwa tabu huku upepo ukizidi kumsukuma ili aachie mguu wa Eddy ambao umekaka maa kiasi kwamba hauwezi kunyanyuka mahali ulipo



    Upepo ukazidi kuvuma na wawakati huu ulianza kuzunguka mithili ya kimbung'a hata wale walio ng'ang'ani vitu vigumu ikiwemo mawe makubwa wakajikuta wakiaachia



    Nguo za Eddy zikaanza kuchanika na kupeperushwa na na upepo,Mawe kwenye pango yakaanza kumeguka na kuanguka na kuanza kufunika baadhi ya sehemu



    Viganja vya Dareen taratibu vikaanza kuuachia mguu wa Eddy kutokana na nguo za Eddy kuchanika,Dareen akakosa nguvu ya kuendelea kumshikilia Eddy na kujikuta akiachia mguu wa Eddy



    "Eddy i love you"



    ***



    Maria akasimamishwa na kijana ambaye kwa muonekano wake ni mzuri,ana kila sifa za kuitwa mwanaume



    "Nikusaidie nini?"



    Maria alimuuliza huku taratibu sura yake ikianza kujikunja



    "Maria si ugomvi mimi kukusimamisha"



    "Umelijuaje jina langu?"



    "Maria nakutambua wewe ni rafiki wa Janet mpenzi wa Eddy na sasa yupo na Jimy"



    "Wewe ni nani aliyekuambia hizo habari?"



    "Haaa! Maria hapa ni chuo,Hiyo ndio habari inayo tamba hapa chuo"



    "Mijitu mingine mimbea kama nini hamfwatilii masomo yenu munakalia umbea tu"



    Maria alizungumza na kuanza kuondoka



    "Mimi nataka kukusaidia kulipa kisasi kwa wote walio kukosea"



    Maria akasimama na kumgeukia jamaa



    "Kwa jina ninaitwa Dulah au Abdala"



    "Sina haja na jina lako.Nani aliyekumbia nina hitaji kulipiza kisasi?"



    Dulah akacheka kisha akamjibu Maria



    "Nimejua tu kwamba unampango wa kumchukua Eddy pili umepanga kuwaangamiza Janet na Jimy kwa mikono yako mwenyewe"



    Maria akajikuta anaduwaa kwani swala la kufanya mipango hiyo hakuwahi kumuambia mtu yoyote zaidi ya kuyajadili moyoni na akilini mwake



    "Wewe ni nani?"



    Maria akajikuta akiuliza kwa mara nyingine huku akimtazama Dulah kiumakini



    "Nizoee ila ukiuhitaji msaada wangu utanitafuta humu humu chuoni.Siku njema"



    Dulah akaondoka na kumuacha Maria akitafakari cha kufanya ila akakikosa zaidi ya kumuona Dulah akipotele kwenye macho yake



    Maria kwa hatua za haraka akaelekea sehemu aliyo elekea Dulah ila hakumuona zaidi ya kuwaona wanafunzi wengine wa hapo chuoni



    ***



    Janet akajikuta furaha yake ikiisha baada ya kumkuta Jimy akinyonyana denda na msichana mwengie ndani ya store ya kuhifathia vitu vya michezo

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Jimy ni nini unacho fanya...!?"



    Janet alizungumza huku akishangaa na kuwafanya Jimy na msichana wake kustuka



    "Jimy wewe ni mtu wa kunifanyia mimi hivi ehee?"



    "No Janet ni shetani tu amenipitia ila.."



    "Hakuna cha ila hapa Jimy ni vitu vingapi ninakupatia wewe ehee,pesa,penzi hadi gari nimekuachia ila hujatosheka tu?"



    Janet alizungumza huku machozi yakianza kumwagika kwa hasira



    "Ila dada umeona wapi mwanaume wa peke yako?"



    Msichana wa Jimy alizungumza huku akiweka pozi la kushika kiuno



    "Alafu wewe malaya ninapo zungumza na mume wangu ukome kuingilia"



    Janet alizungumza huku akimnyooshea kidole mwanamke wa wa Jimy



    "Malaya ni wewe unaye honga mwanaume...ila mimi ananihonga nitakacho"



    Janet kwa hasira akamfwata mwanamke wa Jimy na kumsukuma pembeni na kusababisha ugomvi kuzuka na kufanya wanafunzi waliopo nje ya jengo hilo kuinpia ndani kushuhudia kinacho endele



    ***



    Dulah na binadamu mwenye nguvu za kujibadilisha katika kila jinsia(mwanamke au mwanaume)



    Baba yake Dulah ni binadamu ila mama yake ni jini ambaye alitokea kumpenda baba Dulah miaka 24 iliyopita wakabahatika kumpata Dulah ambaye alikulia katika mji wa majini hadi alipo timiza miaka 17 akahamishiwa kwa baba yake duniani



    Dulah baada ya kumaliza kuzungumza na Maria akajibadilisha na kuwa mwanamke mrembo bila mtu yoyote kugundua



    Akaingia Store na kumkuta Jimy akipanga panga jezi za michezo vizuri kwenye makabati



    Akampulizia Jimy hewa iliyomfanya avutiwe na Dulah na kujikuta akimfwata na kumshika kiuno



    Jimy akamkumbatia Dulah na kuanza kumnyonya denda kwa fujo gafla akaingia Janet



    ***



    Maria akazidi kumtafuta Dulah ila akajikuta anakatisha zoezi lake na kwenda kushuhudia ugovi kwenye jengo la store



    Kwa ufupi alio nao akajipenyeza katikati ya watu na kufika mbele kabisa kwa wanao pigana.Akatabasamu baada ya kukuta Janet akichapwa makofi na dada mmoja



    Wanachuo wakazidi kushangilia kwa furaha,wenye moyo wa huruma wakawaamua Janet na Dulah aliye jigeuza umbo la mwanamke



    Sura ya Janet ilijaa alama za vidole vya Dulah ambeye alimchapa vibao vingi vya usoni na kusababisha Maria kumcheka kwa furaha



    Wakatawanyika kila mtu kuelekea kwenye shughuli zao ikiwemo Maria ambaye alijawa na furaha



    Gafla Maria akashikwa kwa nyuma kugeuka akakutana na sura ya Dulah ikitabasamu



    "Maria unaonekana leo una furaha sana?"



    "Wee acha tu best yangu yaani hapa nilipo siku yangu itakuwa njema kwa Janet kupigwa haaa nimefurahi"



    "Utafurahi zaidi ya hapo endapo utanikubalia kitu kimoja?"



    ***



    Eddy akajirusha na kumdaka mkono Dareen na kumzuia asipelekwe na upepo mkali kama wa kimbunga



    Akamvuta na waka karibiana kisha Dareen akamkumbatia Eddy ambaye anaendelea kuzungumza lungha ya ajabu



    Upepo ukaanza kupungua na mwishowe ukaacha kuvuma kabisa,Majabali yakaendelea kuangua chini huku yakikifunika pango



    Dareen na Eddy wakatoka huku wakikimbi na kufika nje ya pango kuepuka kufunikwa na mawe makubwa yanayo dondoka



    Kutokana na kuchoka Eddy akajilza kwenye nyasi huku akihema kwa nguvu mithili ya mtu aliye toka kukimbia mbio za marathon

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Dareen naye akatafuta mti na kujiegemeza huku akihema hema taratibu huku akimfikiria Eddy kwa kitu alicho kifanya mbele yake



    Dareen akapiga hatua hadi eneo alipo jilaza Eddy kisha na kumpa mkono kwa ajili ya kumnyanyua kutoka chini



    Dareen akamvuta Eddy kwa nguvu na wakajikuta wame kumbatiana huku wakitazamana,Dareen akafumba macho na kuusogeza mdomo wake taratibu kuufwata mdomo wa Eddy



    Eddy akamsukuma pembeni Dareen na mshale wenye ncha kali kikatua kifuani mwa Eddy



    Dareen akatazama sehemu ulipo tokea mshale,Akawaona watu wawili walio valia mavazi meusi wakiwa wamesimama kwenye jiwe kubwa waki watazama kwa chini huku wakiwa wamewaelekezea mishale



    Dareen akawagundua kuwa ni wenzake ambao wamekuja kumteka kwani mishale wanayo itumia ina mthuru yeye ila haina mathara kwa binadamu wa kawaida



    "No siwezi kumuacha Eddy peke yake bora nime kwa ajili yake"



    Dareen alizungumza huku akijiweka tayari kwa kuwashambulia wenzake



    Kabla Dareen hajafanya kitu chochote akastukia akishikwa mguu na Eddy



    "Dareen usiende"



    "Kwa nini?"



    "Wata kuua wapo wengi ni si wawili kama unavyo waona wengine wamejificha chini ya lile jiwe"



    "Sasa tutafanyaje?"



    "Ngoja nikuonyeshe kitu"



    Eddy akasimama na kuuchomoa mshale ulio mchoma



    Akazungumza maneno machache ya kuto eleweka mbele ya Dareen na kusababisha adui wao kuto onekana



    ***



    Kundi kubwa la vijana kutoka katika falme ya kishetani wakajificha pembeni ya Jiwe kubwa huku viongozi wao wakisimama juu ya jiwe hilo wakiwatazama Dareen na Eddy mahali walipo



    Gafla wakajikuta wamewapoteza Dareen na Eddy machoni mwao



    "Shiiti wametupotea kila mmoja awe makini"



    Kiongozi wao akawa tahadharisha wezake kwani tayari walisha zidiwa ujanja



    Gafla miili yao ikaanza kuhisi fukuto kubwa,Kutazama mawinguni wakashuhudia miale mingi ya moto iki shuka kwa kasi ya ajabu



    ***



    Eddy akazidi kuomba na mvua kubwa ya moto ikaanza kuteremka katika eneo walilopo adui zao



    Dareen akabaki ameduwaa huku akiwashuhudia wenzake wakitoa kelele za maumivu makali huku wakipoteza maisha



    Mvua ya moto ikakata gafla baada ya Eddy kuacha kuomba na kutazama eneo walilo jificha adui zao



    Sehemu yote iliwaka moto na hakuna hata adui aliye weza kupona



    "Eddy wewe ni nani?"



    Eddy akamtazama Dareen kwa muda kidogo kisha akatabasamu na kumjibu



    "Mimi ni Eddy"



    "Hapana nataka kujua umezitoa wapi hizi nguvu kutokana wewe ni mtu wa ajabu?"



    "Dareen muda wa kulijibu swali hilo bado haujafika"



    Eddy akaondoka na kuelekea eneo walilo ungua adui zao huku Dareen akimfwata kwa nyuma



    Kutokana bado moto upo Dareen akasimama mbali kidogo ili kuepuka kuungua kama wenzake



    Eddy akalichunguza eneo lote na kulikuta halina dalili ya kiumbe hai kuishi pale



    Wakaendelea na safari yao ya msituni huku kukianza kupambazuka taratibu



    "Eddy umejiona huko nyuma?"



    "Kuna nini?"

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    ***



    Janet akaelekea moja kwa moja katika baa ya mbali kidogo na chuo akitumia gari yake aina ya BMW huku akiwa anatokwa na machozi



    Baathi ya watu hawakusita kumshangaa msichana mrembo kama yeye kulia



    Janet akaagizi pombe kali aina ya wiscky na kuanza kupiga mafunda ya nguvu huku akijipiga piga kichwa



    "Weee muhudumu hii bei gani?"



    Janet alizungumza kwa sauti ya pombe



    "Laki na nusu huo mzinga"



    Janet akafungua kipochi chake kidogo kisha akatoa pesa aliyo ambiwa



    Akabeba mzinga wake na kuingia nao ndani ya gari lake na kuondoka kwa kasi na kufanya watu wamshangae



    Janet akazidi kuchochea spidi ya gari lake lenye uwezo mkubwa wa kukimbia huku akielekea kwenye msitu wa Amazon



    Akajikuta akimkwepa Swala aliye kaa katikati ya barabara na kupelekea gari yake kuacha njia na kuanza kuingia porini



    Akajitahidi kufunga breki za gari lake ila kutokana na tope katika msitu huo akajikuta gari lake likiserereka na kuparamia jiwe dogo la wastani na kufanya lipae juu kidogo na kitendo cha kurudi chini likatua kiubavu ubavu



    Na kuserereka hadi kwenye mti mkubwa na kugonga na sehemu yote ya mbele ikabonyea huku vipande vipande vya kioo cha mbele ya gari vikimrukia Janet mwilini mwake



    "Nakufa mimi"



    Janet alizungumza kutokana na mskani wa gari kumbani kiunoni mwake



    Janet akajitahidi kujitoa ndani ya gari ila akashindwa na kuzidi kupata maumivu makali



    Akiwa bado ndani ya gari akamuona nyoka mkubwa aina ya chatu(ANACONDA) akilisogelea gari kwa kasi ya ajabu huku macho yake mekundu yakiwa yanawaka kupita maelezo



    ***



    "Eddy nguo yako yote nyuma huko imechanika makalio yote yapo nje"



    Dareen alizungumza huku akicheka,Eddy akajishika na mkono na kukuta ni kweli alicho ambiwa



    "Ahaa imekuaje tena?"



    "Si mule pangoni ulivyokuwa unaomba ndio imekuwa hivyo"



    "Ila si tupo humu porini nani ataniona zaidi yako?"



    Dareen akazidi kucheka



    "Sasa Eddy tukikutana na watu itakuwaje?"



    "Hapo ndio kuna kimbembe ila nitajikausha kama simi"



    "Eddy acha vituko vyako bwana"



    Dareen na Eddy wakaendelea na safari yao huku wakiwa wanapiga story tofauti tofauti ili kuto kuchoka na wanapokwenda



    "Eddy shiiii....!!"



    Dareen alimnyamazisha Eddy huku kidole chake akiwa amekiweka mdoni kwake huku macho yake yakitazama kila sehemu mbele yao



    Mwili wa Eddy ukasisimka gafla huku vinyweleo vyake vikisimama kama namba moja



    Macho ya Dareen yakaanza kubadilika na kuwa mekundu sana kitendo kinacho muwezesha kuona vizuri kila kitu wakati wa usiku



    Dareen akamrukia Eddy na wakaangukia pembeni na joka kubwa likapita kwa kasi kama mshale sehemu ambayo alikuwa amesimama Eddy



    Joka kubwa likajigeuza na kuwageukia Eddy na Dareen huku joka hilo likitoa pumzi mithili ya mtu anaye vuta sigara



    Dareen akasimama na kutazamana na joka hilo huku meno manne ya mbele ya darini yakijichomoza na kuwa marefu wastani huku kucha zake zikichomoza na kuwa ndefu

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Joka likajinyanyua urefu fulani kwenda juu na kujifuta kwa nyuma na jujifyatua kama mshale kumlenga Dareen



    Dareen akajirusha juu hewani na joka likapita kwa chini yake,Dareen akajigeuza kwa kasi ya ajabu hewani na kutua juu ya mgongo wa joka hilo



    Dareen akatumbukiza kucha zake kwenye mbavu za joka na kuanza kumchana



    Joka likajipindua pindua huku likigara gara arthini ila Dareen hakuweza kumuachia akaendelea kumpasua kwenye mbavu zake kwa kuelekea nyuma ya mkia



    Dareen akasimama wima huku akilishuhudia joka likiwa lina gara gara na baadhi ya vitu vya tumboni mwake vikitoka nje



    "Hongera"



    Eddy alizungumza huku akimshika Dareen mgongoni



    "Asante"



    Dareen alizungumza huku akihema na jasho likimtoka taratibu



    "Katika huu msitu kuna nyoka wengine sita kama hawa ndani ya huu msitu"



    Eddy alizungumza huku akimtazama Dareen machoni



    "Wewe umejuaje?"



    "Najua ila tuendelee na safari yetu"



    ***



    Maria akatokea kumzoea Dulah kutokana na uchangamfu wake na ukarimu wake



    "Hivi Dulah wewe hapa nchini ni mwenyeji wa mkoa gani?"



    "Mbona umeniuliza hilo swali?"



    "Hapana nimekuuliza tu kutokana nahitaji kufahamu"



    "Nitakuambia muda mwengine ambao wewe utakuwa tayari kupajua kwetu"



    Dulah alizungumza huku akipandisha ngazi za moja ya gorofa la chuo



    "Kwani unataka niende kwenu?"



    "Ndio kwani kuna ubaya wowote?"



    Maria akabaki akitabasamu huku moyo wake ukitawaliwa na furaha kuona amempata mwanaume mzuri japo hajamueleza hisia zake



    "Dulah una mchumba?"



    "Hapana ila nina mke"



    ***



    Janet akapiga kelele ila hakumzuia Joka kuweza kulisukuma gari lake na kupinduka huku matairi yakiwa juu



    Joka likagonga mlango wa dereva na kuubonyeza,likarudia tena kuubamiza mlango na kuufanya ukalegea



    Joka likafanikiwa kuuvunja mlango wa gari la Janet ambaye kwa woga akajikuta akizimia



    Joka likamchomoa Janet na kumtoa nje ya gari na kutokomea naye gizani



    ***



    Gafla Eddy akajikuta akidumbukia kwenye shimo ambalo juu yake kuna nyasi zinazo zuia mtu kuona kama kuna joto



    "Eddy Eddy"



    Dareen akiita huku akichunguli kwenye shimo huku likiwa na giza jingi



    Eddy akatua juu ya mifupa na mafuvu ya watu walio kufa muda mrefu huku kukionekana kuna kitu cha hatari kinacho ishi ndani ya shimo hilo



    Kwa tahathari kubwa Eddy akasimama huku akitazama kila upande wa ndani ya shimo na kuona matobo mengi makubwa pembezoni mwa kuta za shimo



    "Shitii"



    Eddy alizungumza huku akitazamana na kitu chenye macho makali makubwa mekundu na chakutisha kupita maelezo

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Eddy akakichunguza vizuri kitu hicho hakupata jibu la uhakika kuwa ni sokwe au kiumbe kingene cha ajabu



    Gafla Eddy akasikia mngurumo nyuma yake ambao unaendana na sauti ya simba jike mwenye watoto wadogo



    ***



    Kishindo kikubwa kikamstua Dareen kwa nyuma yake ambaye alikuwa akichunguli shimo alilo zama Eddy



    Akageuka haraka na kukutana na joka kubwa jeusi ambalo kwa pembeni yake kuna binti amelala hajitambui huku akionekana kulowana na udenda wa joka hilo mwilini mwake



    Dareen akanyanyuka taratibu na kutizamani na joka ambalo linaonekana ni hatari sana kwa maisha ya kila kiumbe hai ndani ya msitu huo



    Joka likajivuta kwa nyuma huku likimtazama Dareen kwa macho makali mekundu yanayo waka kwa rangi ya kijani na kujifyatua na kumlenga Dareen maeneo ya kifuani



    ***



    Moyo wa Maria ukajikuta unazizima kutokana na Dulah kumumbia ana mke



    "Mbona umepooza gafla?"



    Dulah alimuuliza Maria



    "Mmmm"



    "Kwanini unataka kunipenda wakati mimi si...."



    Dulah akakakatisha mazungumzo na kunyanyuka na kumuacha Maria akiwa anamshanga



    ***



    Akili ya Eddy ikafanya kizi ya kufikiria ya haraka sana,



    Akatamka maneno yanayo mfanya aweze kupotea,ila akajikuta maneno hayo hayajafanya kazi yoyote



    Akageuka nyuma na kukutana na kiumbe kikubwa cha kutisha chenye kutoa mingurumo tofauti tofauti ya wanyama



    "Mungu wangu nisaidie"



    Eddy akavuta pumzi nyingi kisha akazishusha taratibu na kuanza kuzungumza maneno ya ajabu



    Moshi mwingi mweupe ukaanza kutanda ndani ya shimo huku ukiwa unatoa harufu kali ambayo ni kama harufu ya bomu la machozi



    Moshi ukazidi kutanda na ukaanza kubadilika rangi kutoka nyeupe hadi rangi ya njano



    Kitu chenye kasi kali kikamkumba Eddy na kumuingiza ndani ya tobo moja kati ya matobo mengi yaliyomo ndani ya shimo hilo



    ***



    Dareen akalikwepa joka na kuliwahi kulishika maeneo ya mbavu zake na kuanza kulichana kwa kutumia kucha zake zenye ncha kali



    Joka likajibamiza kwenye miti mikubwa na kusababisha Dareen kumuachia na kurushwa pembeni



    Kwa haraka Dareen akasimama na kulitazama joka ambalo linamfwata kwa kasi ya ajabu huku likionekana kuwa na hasira kali



    Dareen akakimbia kwa kasi kubwa ambayo huitumia pale anapo jihami na adui zake

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Akazunguka eneo alilopo joka hilo huku akitafuta namna na jinsi ya kulivamia joka hilo



    Dareen kwa kasi ile ile aliyo nayo akalikumba joka ambapo likatumbukia kwenye shimo alilomo Eddy



    Dareen naye akajirusha ndani ya shimo kwa kasi ile ile huku macho yake yakimuona Eddy akiwa amelengo na domo kubwa la joka hilo linalo dondoka ndani ya shimo hilo



    Dareen akamsukuma Eddy kwa kasi ya ajabu na kumuingiza ndani ya tobo kubwa



    Eddy na Dareen wakanyanyuka kutoka walipo angukia



    "Daren umefwata nini huku?"



    "Eddy huu si muda wa kuulizana maswali tujue tunatokaje humu ndani ya huu mshimo"



    Dareen alizungumza huku macho yake yakiwa mekundu huku kucha zake zikiwa zimechongoka



    "Ok sasa tunafanyaje?"



    Kabla Dareen hajajibu kitu chochote akastukia akivutwa na mkia wa joka na kumtoa nje ya eneo walilo jificha



    ***



    Dulah akazidi kupiga hatua za haraka kumfwata binti mdogo aliye muona kwa mbali huku akiwa amevalia mavazi meusi tu



    Maria akaanza kumfwata Dulah kwa nyuma huku naye akijaribu kuongeza mwendo



    Dulah akamshika mkono binti aliye muita kisha wakaongeza kasi ya kutembea iliyo mshindwa Maria kuhimili kuwakuta



    "Tumevamiwa katika hifathi yetu msituni"



    Binti yule alizungumza huku akiwa anahema akionekana kuchoka kwa safari aliyo toka



    "Na nani?"



    "Mwanamke na mwanaume na tayari wamesha muua shangazi?"



    Dulah akapandwa na hasira kali akamshika mkono binti aliye kuja kumpa habari na kupaa naye angani



    Maria nusu azimie hakuamini alicho kiona kwa Dulah kupaa hewani



    ***



    Dulah akafika katika msitu wanao ishi na kukuta mwili wa joka kubwa ambaye ni shangazi yake ukiwa umechanwa pembezoni kwa kitu chenye ncha kali



    "Watafute wenzako watoto mukimbie kwenye huu msitu"



    "Sawa Anko"



    Dulah akajigeuza joka kubwa la kutisha na kwa kasi akaelekea kwenye shimo ambalo ndio makazi yao



    Kabla hajaingia ndani ya shimo akamkuta binti akiwa amejilaza,



    Akajigeuza na kuwa binadamu wa kawaida akamsogelea na kumgeuza



    Akamkuta ni Janet mwanamke wa Eddy,akaachia tabasamu kisha akamminya kwenye mshipa wa shingo na kumfanya Janet kustuka



    Janet akaanza kubabaika baada ya kumuona Dulah akiwa hana hata nguo moja

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Niache"



    Janet alizungumza huku akiwa ana rudi nyuma,



    Dulah akajigeuza Joka tena na kumviringisha Janet kiunoni mwake



    ***

    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog