Simulizi : Evil Sex
Sehemu Ya Pili (2)
Usiku mmoja Eddy akajikuta akistushwa usingizini na mzee mwenye mwili mkubwa huku uso wake ukiwa umetawaliwa na ndevu nyingi
Eddy hakustuka kwani huyu mzee ni mara nyingi akiwa utotoni alikuwa anakuja kumtembelea
"Eddy leo ni siku yangu ya mwisho kuja kukutembelea"
"Babu Mason una maanisha nini?"
"Ninamaana ya kwamba leo ninakukabidhi kila mamlaka niliyo kuwa nayo mimi...Hizi ni pete tatu nakukabidhi"
"Babu hizi zina maana gani?"
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"Hii ya dhambarau inakupa nguvu ya kuweza kumuamrisha kiumbe chochote cha ajabu kikakutii"
"Na hii ya Gold?"
"Ni utajiri ambao wewe unao na inakupa heshima na hii inakusaidia kuzuia hasira zako"
"Hii ya silva?"
"Hii inakusaidia kujilinda?"
"Kivipi?"
"Ukiivaa hiyo adui zako hawata weza kukuona wala kusikia harufu yako"
"Pia inaweza kufuta mawazo mabaya kwa adui zako"
"Sasa babu ninaweza kuzivaa kwa pamoja?"
"Ndio unaweza kuzivaa kwa pamoja ila hakikisha wale unakaa mbali na Dareen"
"Kwa nini babu"
"Lengo lao ni kuiteka dunia ila wewe ndio unaweza kuioko dunia kutoka katika mikono yao"
"Babu lakini ninampenda"
"Kumpenda sio tatizo.Wewe hukuweza kuuthurika kutokana na nguvu ulizo nazo"
"Sasa babu.."
"Hakuna cha sasa na kesho Dareen na atakuja Library na rafiki zake na atahitaji kukuteka uende kwao na ukienda hauta rudi tena na lengo lao litafanikiwa"
"Hakikisha unaweza kuyatambua mawazo yao wanayo kuwazia?"
"Kivipi babu?"
"Kuna kitabu Library kwenu kimeandikwa Vampire Story nenda kakisome hicho kitabu hakuna mwenye uwezo wa kukisoma zaidi yako"
"Babu ila nahitaji bado msaada wako"
"Ulipo sasa uwezo wako hauitaji msaada wangu kuza ukoo wetu wa MASON"
Mzee mason akapotea na kumuacha Eddy akiwa na mawazo mengi
**
Eddy akakichukua kitabu alicho elezwa na babu yake na kuanza kukisoma baada ya muda akamuona Dareen akija na wezake na Dareen akaanza kuwatambulisha wezake kwa Eddy
***
Dareen akawapigia simu wezake wawili wakakutana katika mti mkubwa wanao utumia kwa mazungumzo yao ya siri ambao upo mbali na chuo
"Jamani kuna mabadiliko nimeyaona kwa shemeji yenu Eddy"
"Yapi hayo?"
"Eddy amekuwa na nguvu nyingi kupita maelezo na leo ilikuwa ni siku ya kwenda kumtambulisha kwa wazee"
"Sasa amezitoa wapi hizo nguvu?"
"Hata mimi sifahamu kwani niliajaribu kumthibiti nikashindwa na akanifanya kama mtu wa kawaida"
"Hapa kutakuwa na kitu katikati inabidi tuwe makini naye"
"Au ni yule demu wake?"
Dareen aliuliza wezake na kuonekana kufikiria
"Yupi?"
"Yule aliyekuja jana pale library"
"Ahaa kweli yule tunatakiwa tumfanye kitu mbaya tema leo hii"
Wakakubaliana kwa pamoja kisha wakaondoka kwa kasi ya ajabu
***
Emdy akaacha kazi anayoifanya akafasia simu na kumpigia Janet
"Upo wapi mke wangu?"
"Leo hii nimekuwa mkeo wewe si unawale wanawake wako wazuri zaidi yangu"
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"Hembu niambie upo wapi kuna hali ya hatari inakufwata"
Janet hakuzungumza kitu chochote jambo liliiompa Eddy wasiwasi wa kufikiria Dareen na wezake wamesha lete madhara kwa Janet
Eddy akajaribu tena kumpiga simu ya Janet kwa mara hii akakuta haipatikani
Akairudisha mfukoni simu yake,akafumba macho kwa nguvu na kuanza kuvuta hisia za Janet alipo akagundua yupo kwenye jumba la makumbusho
***
"Janet ni nani huyo aliye kupigia?"
Jimy alimuuliza Janet
"Ni Eddy"
"Anasemaje?"
"Eti ananiuliza nipo wapi nimemzimia simu"
Gafla Janet na Jimy wakastukia wasichana watatu warembo wakiwa wamesimama mbele yao huku mmoja wao wakiwa wana mtambua kuwa ni mpenzi wa Eddy ambaye ni Dareen
"Waaoo Janet Mrs Eddy unajifanya wewe ni mjanja ehee zaidi yetu ehee?"
Dareen alizungumza huku akiwa anaipiga makofi kitendo kilicho waogopesha Janet na Jimy
"Kwanini munanifwatilia maisha yangu kama ni Eddy si nime waachia"
Janet alizungumza huku akiwa amejikaza japo ametawaliwa na hofu
Kabla hawajazungumza chochote Eddy akafika sehemu ya tukio jambo lililo waogopesha Dareen na wenzake
"Jimy ondoka na Janet"
Eddy alizungumza na Jimy akatii akamshika Janet mkono na kutafuta sehemu wakajificha huku wakitazama ni nini kitatokea
"Eddy unajifanya mjanja si ndio..?"
Dareen kwa kasi akamfwata Eddy ambaye gafla akapotea mbele ya macho yao wakabaki wameduwaa
Wakastukia mmoja wao akitoa ukelele wa maumivu makali huku akilishika tumbo lake na kuinama
Dareen akazidi kuchanganyikiwa baada ya kumshuhudia mwenzake wa pili akitupwa ukutani na kuanguka chini kama mzigo
Eddy akajitokeza mbele ya Dareen huku akiwa anatabasamu
"Dareen mimi ni zaidi ya jini sitaki kukuthuru sasa.Azabu yako inakuja"
Janet na Jimy wakazidi kushangaa vitu anavyo vifanya Eddy ambaye tayari wana muogopa
Dareen akawachukua wenzake na kuondoka wakiwa wanaugulia maumivu makali
***
Ni siku ya michezo kama kawaida wana chuo kukusanyika katika viwanja vyao wakicheza michezo mbali mbali huku wengine wakiwa watazamaji
Janet akastuka akiwa amezibwa macho kwa nyuma kugeuka akakutana na Eddy akiwa amependeza kwa jinsi ya mtindo wake wa nywele alivyo uweka
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"Eddy umefwata nini?"
"Janet kwani kuna ubaya wa mimi kuwa eneo hili?"
"Ubaya upo kwa sababu wewe si bin.."
Eddy akawahi kumziba mdomo Janet kisha akamziba mdomo na kumtoa kwenye kundi la watu ambapo alikuwepo na kwenda kuzungumza naye pembeni
"Janet uthithubutu kuzungumza hivyo tena"
"Eddy nitazungumza kutokana wewe si binadamu kama sisi na tena naomba uniache"
Janet alizungumza kwa hasira huku akiutoa mkono wa Eddy kwenye viganja vyake
"Janet naomba unisamehe kwa yale yote yaliyo jitokeza wewe ni mke wangu na itabaki kuwa hivyo"
"Hembu niondolee umalaya wako huko nenda kwa hao hao majini wenzako"
Janet akaondoka kwa hasira na kumuacha Eddy akiwa na mshangao
Njiani akielekea hostel kwao Janet akakutana na Jimy
"Jimy naomba unipelele hostel kwetu"
"Kuna nini? Kutokana ninawahi kiwanjani"
"Na wewe kama hutaki sema?"
Jimy akajikuta hana jinsi zaidi ya kuongozana na Janet hadi katika chumba chake wakaingia kwa pamoja Janet akafunga mlango kwa funguo
"Jimy nina hamu ya kufanya mapenzi na wewe"
"Mmmm!!"
Janet akamsukuma Jimy kwenye kitanda na kuanza kuvua nguo moja baada ya nyingine na kubakia na bikini tu
***
Eddy akasimama kwenye dirisha la chumba cha Janet akajikuta machozi yakimtoka taratibu baada ya kumshuhudia Jimy akifanya mapenzi na Janet
Akaanza kupiga hatua za taratibu zenye unyonge ndani yake,gafla akajikuta amezungukwa wa wanaume nane walio jazia miili yao huku Dareen akiwa amesimama kando yao
Kabla Eddy hajafanya chochote akashtukia mwili wake ukitetemesha na shoti ya umeme na kuanguka chini
Watu wa Dareen wakachomoa vifaa vyenye shoti kwenye mwili wa Eddy ambaye tayari amepoteza fahamu wakaondoka naye na kumuingiza kwenye gari walilo kuja nalo aina ya GX G8
***
Jimy akamuweka Janet stail ya chuma mboga na kuendelea kumpa dozi,Janet akazidi kutoa milio ya kelele kwa raha anazo zipata kwa Jimy
"Jimy nioe oohoo"
"Nitakuoa baby wee mtamu sana mmm"
Ni baadhi ya maneno ambayo yanatoka vinywani mwa Janet na Jimy
Maria akasogeza sikio lake kwenye mlango kusikiliza kelele za mahaba zinazotoka kwenye chumba chao
Hakuamini kusikia sauti ya Janet ikilalamika huku ikiita jina la Jimy,Kwa hasira akagonga mlango
"Wewe nani unaye tusumbua"
Janet aliukiza huku akiwa amekasirika
"Mimi Maria hembu fungua"
"Tupe dakika kumi tutafungua"
"Jimy fanya fasta fasta baby"
Jimy akaendelea kumpa mambo Janet kwa kasi ya ajabu na kuzidi kutoa kelele za raha kitu kilicho zidi kumkasirisha Maria
Jimy akamrithisha Janet vya kutosha na yeye akarithika Jimy akavaa nguo kisha akafungua mlango akakutana na Maria akiwa amekasirika mlangoni
Maria akamsunya Jimy na kuingia ndani na kuufunga mlango kwa nguvu
Wakatazamana kwa muda na Janet,Kibao cha gafla kutoka kwa Maria kikatua shavuni mwa Janet na kumfanya aangukie kitandani
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
***
Mwendo kasa wa gari walilomo Dareen,Eddy na watu wake ukazidi kuongezwa na kuzidi kuliacha jiji na kuelekea zaidi katika misitu ya Amazon huku Dareen moyoni mwakd akitawaliwa na furaha huku mikono yake ikichezea nywele za Eddy za kichwani ambaye hajitambui
Gafla dereva wa gari akafunga breki kali katikati ya msitu huku watu wote ndani ya gari isipokuwa Eddy asiye jitambua wakashangaa kitu kilichopo mbele yao
Jiwe kubwa kiasi lenye pembe tatu zilizo chongona na kulifanya kuwa na ncha kali huku likielea elea hewani na kutoa miale mikali ya mwanga mweupe liliiziba njia nzima ambayo Dereva wa Dareen alipaswa kupita
"Jamani ni kitu gani hicho?"
Dareen aliwauliza wenzake ambao nao pia hawakuwa na jibu la kumpa zaidi ya hatujui
Dareen akamuamrisha mmoja wao kuteremka ndani ya gari kwenda kulichunguza jiwe wanalo liona
Kitendo cha yeye kushuka na kupiga hatu mbili mbele akajikuta mwili wake ukibabuka na kupasuka mithili kana kwamba amejitoa muhanga kwa bomu la kujivisha mwilini
Dareen na wenzake wakapamta mshangao ambao walihisi kama wapo ndotoni kila mmoja
"Washa gari haraka tuondoke dereva"
Dereva akawasha gari ila halikuwaka akarudia tena mara ya pili pia halikuwaka na akajikuta ameshika kipisi cha funguo baada ya nyingine kukakikia ndani ya sehemu yake
***
Janet akanyanyuka kwa hasira akajaribu kumrudishia kibao Maria ila hakufanikiwa hii ni baada ya Maria kumdaka mkono wake
"Sikia Janet nikuambie hii ndio ahadi ya urafiki wetu?"
Maria alizungumza huku akiwa na jazba kali
"Sasa kama mwanaume hakutaki acha tujilie raha"
"Janet hunijui vizuri wimi eehee"
"Hata kama nakujua hunibabaishi kwa lolote hembu jitazame juu hadi chini na huo ufupi wako unathani kuna wanaume watakao kupenda"
Maneno makali ya Janet yakapenya kwenye moya wa Maria na kumsababishia maumivu makali na uchungu
Maria akamsukuma Janet ila kwa safari hii Janet hakuangua chini zaidi ya kurudi nyuma kidogo
Wakashikana na kuanza kuminyana mpaka vyumba vya jirani vikasikia kelele zao ikawalazimu kwenda kuwamua
"Nakuambia hivi Jimy atabaki kuwa wangu tu hembu nenda zako kule malaya mkubwa"
Janet alizungumza akiwa mikononi mwa wezake wanao mzuia asipigane na Maria
"Malaya ni wewe na familia yako ndio maana Eddy alikumwaga unajifanya mlokole kumbe huna jipya ku*a wewe"
Mvua kali ya matusi ikazidi kuporomoshwa kati ya Janet na Maria ikafikia hatua wanao waamua wakawatenganisha vyumba ili kila mmoja hasira zimpungue
***
"Umefanya nini wewe hadi funguo imekatika?"
Dareen alizungumza kwa hasira huku akiwa na hamaki
"Mkuu hata mimi nashangaa sijui imekuwaje"
"Fungua mlango"
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Dareen alimumrisha dereva ambaye kwa woga akafungua mlango
Kwa nguvu za ajabu Dareen akamsukuma dereva nje kisha akafunga mlango na kukaa kwenye siti ya dereva
Miale ya mwanga ikaupasua mwili wa dereva na kumbakiza vipande vidogo vidopo
"Kama kuna mwengine anahitaji kushuka kwenye gari aseme?"
Dareen alizungumza huku akiwatizama watu wake ambao kila mmoja alikaa kimya
Dareen akakata nyanya mbili mwekundu na bluu chini kidogo ya mskani kisha akaziunganisha kwa pammoja na gari likawaka
Akalirudisha nyuma kwa kasi ya ajabu hadi katika njia panda akakunja kona na kuelekea njia ya kaskazini huku akiwa makini barabara nzima
Taratibu Eddy akaanza kupata fahamu,akafumbua jicho moja kwa aina yake akawatazama akawaona jamaa wote wapo kimya kila mmoja akiduwaa duwaa
"Pagbo unaile sindano ya usingizi?"
Dareen aliuliza huku akizidi kukanyaga mafuta na kulifanya gari kuzidi kutokomea porini
"Ndio mkuu"
"Itoe umchome Eddy"
Eddy akamtazama jamaa kupitia kona za macho akamshuhudia jamaa akichukua sindano na kuvuta dawa kwenye kachupa kadogo kisha akamuomba mwenzake kumshika Eddy mkono
Kwa kasi ya ajabu Eddy akamminya mmoja wa watu wa Dareen mkono na kumvunja
Ukelele mkali kutoka kwa jamaa ukawashtua kila mmoja Dareen hakuamini anacho kiona nyuma ya siti walipo watu wake pammoja na Eddy mwenyewe
Damu nyingi ziliruka na kumchafua Eddy nguo zake hii ni baada ya kung'ofoa mmoja wao shingo yake
Mmoja wao aliye kaa karibu na mlango akaufungua na kujirusha na kwa bahati mbaya akatua kwenye lami akiwa ametanguliza kichwa kikapasuka hapo hapo
Eddy akazidi kuwavunja vunja watu wa Dareen huku gari likiyumba nyumba,Dareen akauachia mskani na kuanza kuminyana na Eddy gafla gari likaacha njia na kuanza kushuka chini kwenye korongo refu kwenda chini
***
Katika siku ambazo Jimy alijisikia raha na kusahau baadhi ya matatizo ni leo hii ni baada ya kupewa penzi na Janet ambaye siku zote alimtamani kupita maelezo
"Huyu nilazima nimpe vitu adimu mpaka akome mwenyewe"
Jimy alijisemea kimoyo moyo huku akielekea hostel kwao kwenda kuoga
**
Maria ni msichana mfupi kiasi ambaye amejaliwa kuwa na uzuri wa wastani.
Makalio yake makubwa yaliwavutia wanaume wengi ila kitu wanachn kihofia kwake ni jinsi ya ukali wake juu ya kila mwanaume anaye msima misha
Moyo wake unajikuta ukiwa na hisia kali za kimapenzi juu ya Jimy ambaye ni rafiki wa karibu wa Eddy pamoja na Janet
Mara nyingi hupenda kumueleza Janet hisia zake juu ya Jimy na mara nyingi humuomba Janet kumuunganishia kwa Jimy ili awe mpenzi wake
**
Hasira kali ilizidi kumpanda Maria baada ya kukumbuka vitu alivyo kuwa akimsaidia Janet juu ya kumpata Eddy
"Janet lazima alipe juu ya hili,iwe kwa kumwaga damu au kumuua lazima alipe tu"
Maria alizungumza huku akiwa na hasira kali huku mkononi mwake akiwa ameshika kisu kikali akiwa anajikata sehemu ndogo ya kiganja chake cha mkono wa kushoto kisha akailamba damu yake kwa ulimi
Maria akaitazama damu inayo mtoka kisha akachukua kitambaa na kujifunga kwenye kiganja kinacho mwaga damu
***
Gari walilomo Eddy na Dareen likazidi kushukwa kwa kasi kwenye maporomoka ambapo likagonga kwenye jiwe kubwa
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Kusimama kwa gari gafla kukasababisha Eddy kuchomoka kwa kasi kupitia kioo cha mbele cha gari hilo na kutupwa mbali kidogo eneo lenye nyasi na miba mingi
Dareen naye akajikuta kichwa chake kikijigonga kwenye dash board ya gari na akapoteza fahamu hapo hapo
Baada ya masaa kadhaa giza likatanda angani na kusababisha giza kiasi ambalo limeondolewa na mbara mwenzi kali
Eddy akanyanyuka taratibu huku akijaribu kuyatazama mazingira ya eneo alilopo huku akiwa anatokwa na damu kwenye sehemu ya uso wake
Akapiga hatu hadi kwenye gari ambapo akamkuta Dareen bado hajazinduka
Eddy akaanza kupiga hatua kuondoka eneo hilo ila baada ya hatua chache akasimama akapatwa na roho ya kumuhurumia Dareen
Eddy akafungua mlango na kumtoa Dareen na kumlaza chali sehemu yenye nyasi,kwa kupitia kiganja chake akampima mapigo yake ya moyo akayakuta yanadunda ila si kama kawaida
Akamfungua mkanda wa suruali aliyo ivaa na kumvua viatu ili kufanya maeneo hayo kuuwezesha mwili kurudi katika hali yake ya kawaida
Eddy akasimama na kuanza kuyatazama maeneo ya msitu huo ulio jaa miti mikubwa na mirefu huku kukiwa na mawe mengi makubwa pamoja na maporomoko mengine makubwa yanayo tiririsha maji mengi
Baridi kali ikazidi kuutesa mwili wa Eddy kutokana ana shati tu hakuwa na jinsi ya kufanya zaidi ya kuvumilia
Akambeba Dareen begani mwake na kuondoka naye kwa lengo la kutafuta mahala ambapo ataweza kupata msaada japo wa mtu yoyote katika msitu huo mnene
Kwa mwendo wa nusu saa Eddy akajikuta akichoka na kumshusha Dareen kutoka begani mwake na kumuweka chini kisha akatafuta sehemu akasimama ili kuzitazama njia tatu zilizope mbele yake ambazo kila moja inaelekea sehemu yake
Kukohoa kwa Dareen kukamstusha Eddy na kugeuka na kumtazama Dareen ambaye anajitahidi kunyanyuka kutoka sehemu aliyo lazwa
Dareen alinyanyuka na kukaa kitako hakuamini macho yake baada ya kumuona Eddy amesimama mbele yake,akajaribu kunyanyuka ila hakuwa na nguvu za kumruhusu kunyanyuka isitoshe akajikuta amelala chini kama awali
"Karibu tena duniani Dareen nilidhani umekufa"
Eddy alizungumza huku akichuchumaa pembeni ya Dareen ambaye anaonekana kushindwa hata kuzungumza vizuri
"Ed....dy nata...k...a da...MU"
Dareen alizungumza kwa shida sana.Halikuwa jambo la kushangaza kwa Eddy kwani watu jamii ya Dareen maisha yao yote yanaendeshwa na mfumo wa damu wa watu wengine
Eddy akachukua mkono wake na kumuwekea Dareen mdomoni sehemu ya chini ya kiganja yenye mishipa kadhaa ya damu inayopita
"Edd...y siwe...z..i kuny...wa d...amu yak..o n.i chung...u"
"Sasa unataka mimi nifanyaje? Basi endelea hivyo hivyo kuugulia kuumwa kwako acha mimi niondoke"
Eddy alizungumza kwa jazba kiasia akasimama nakuondoka
***
"Samahani Juma umemuona Eddy?"
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Maria alimuuliza mmoja wa rafiki wa Eddy ambaye mara kadhaa humuona naye
"Hapana mara ya mwisho kuonana naye ni jana asubuhi"
"Mmmm...sijui itakuwaje?"
"Unashida naye muhimu?"
"Tena sana nikimuona japo kidogo roho yangu itatulia"
"Ume mcheki kwenye namba yake ya simu?"
"Yaah nilimcheki ila simu yake haipatikani"
"Aaaha basi atakuwa amelala na demu si unajua weekend hii jamaa kama kawaida yake atakuwa anapiga vitu"
Maneno ya Juma yaka uumiza moyo wa Maria na kujikuta akiondoka bila kuaga
"Mmmm vipi tena mbona hatuagani mama...ila mtoto umejaaliwa mpododo mmmm mashalahaa"
Juma aliropoka huku akiendelea kufua nguo zake
Maria akatafuta sehemu yenye bench la kupumzikia akakaa peke yake na kuanza kulia kwa uchungu
"Kwa nini ni mimi kila siku?"
Maria alijisemea huku akiigonga gonga meza kwa hasira akitumia kiganja kile alicho jikataka jana na kusababisha damu kuanza kuvuja tena upya
***
Jimy na Janet wakakutana kwenye moja ya bustan iliyopo ndani ya chuo hicho ambayo humumika kama eneo la kupumzikia kwa kila mwana chuo anapojisikia
"Baby mwenzio wala jana sikurithika yule andunje alitukata stimu"
Janet alizungumza huku akiwa anachezea ndevu za Jimy aliye mlalia kwenye mapaja yake
"Hata mimi mamy.Hivi yule rafiki yako ana matatizo gani?"
"Achana naye mapepo yanamsumbua"
"Weee unasema kweli kuwa ana mapepo?"
"Ndio mapepo yana mpelekesha yule siku nyingine yana mpanda anakuwa kama kichaa"
"Mmmm... na ufupi ule sijui akipandisha hayo mapepo anakuwaje?"
Wakacheka kwa pamoja na Janet akashusha mdomo yake hadi kwenye lipsi za Jimy na kumpa busu zito ambalo hakujali watu waliopo eneo hilo wata wachukuliaje
"Jimy ninahamu twende ukanikune tena"
***
Eddy akasimama na kugeuka nyuma na kumtazama Dareen ambaye anakoroma mithili ya mtu anaye jinyonga na yupo dakika za mwisho mwisho
"Potelea pote"
Eddy alizungumza na kurudi eneo alipo Dareen kisha akapiga magoti chini na mkono mmoja akaupitisha nyuma ya mgongo wa Dareen na kunyanyua kidogo
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Akamuwekea mkono kama mara ya kwanza,Dareen hakuwa na jinsi zaidi ya kuanza kuinywa damu ya Eddy ambayo gafla mwili wa Dareen ukaanza kuvimba kama futuza linavyo jazwa upepo
Eddy akautoa mkono wake kwenye mdomo wa Dareen huku akishangaa jinsi mwili wa Dareen ukianza kuacha kuvimba na kurudi katika hali yake ya kawaida huku Dareen akionekana kupata nguvu zake
"Eddy asante kwa kuyaokoa maisha yangu..ila.."
Dareen hakumalizia sentensi yake kutokana na kuona watu wakipita bondeni wakiwa na vipande vya kuni vinavyowaka mithili ya mwenge na baadhi yao wamevaa nguo nyekundu zenye makofia yaliyo funika vichwa vyao
Huku wengine wakiwa wamevaa nguo nyeupe tupu huku nguo zao zikiwa na makofia ya kufunika vichwa vyao
"Eddy wale ni kina nani?"
Dareen alizungumza kwa sauti ya kunong'oneza
"Hawa ni binadamu wanao abudu dini ya kishetani"
"Ila wana utofauti na sisi ehee?"
"Ndio nyinyi si watu ila mumejivisha miili ya kibinadamu ila wale ni watu na wengi wao ni wale wenye nafasi kubwa katika dunia"
Wakazidi kuutazama msafara wa watu hao unavyopita kuelekea kwenye moja ya pango lililopo hapo msituni huku wakiwa wanaimba nyimbo ya ajabu
Watu wapatao mia tatu(300) wakaingia ndani ya pango hilo huku wakiwa hawatambui kama wameonekana kwani Eddy aliweza kutumia moja ya pete zake kupoteza muonekano wao
"Dareen tuwafwate hawa jamaa"
"Sawa"
Eddy akashangaa kuona Dareen amekubali kirahisi huku pasipo kuwa na ubishani
Ndipo akakumbuka aliposoma kitabu alicho elekezwa na babu yake mzee Mason kuwa 'Endapo damu yake ikiingia katika mwili wa Vampire inaibadilisha mfumo mzima wa vampire huyo na kumfanya kukubaliana kwa kila kitu atakacho amrishwa na Eddy'
"Imefanya kazi"
Eddy alijisemea huku akitabasamu
"Nini?"
"Hapana twende zetu"
Wakateremka kwenye bondeni kwa tahadhari kubwa wakaelekea kwenye lango kuu la geti hilo
Wakafanikiwa kuingia ndani ya pango, ndani ya pango kuna taa nyingi hafifu zinazo toa mwanga mchache na kusababisha giza kiasi
Wakakuta ukumbi mkubwa ukiwa na watu wengi wapatao zaidi ya elfu tano huku wakiwa na majoho meusi,mekundu na meupe wakiwa wameuzunguka moto mwingi
"Eddy pale wanafanyaje?"
"Wanaomba sala ya kuwaongezea idadi ya wafuasi duniani"
"Wewe unaifahamu hiyo lugha?"
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"Nasikia baadhi ya maneno tu"
Eddy na Dareen wakaendelea kuwatazama wale watu vitu wanavyo vifanya huku wakiwa wamejificha sehemu ya juu ya pango hilo,gafla mwanga mkali mweupe ukawamulika Eddy na Dareen katika eneo walilopo
***
ITAENDELEA
0 comments:
Post a Comment