Search This Blog

Wednesday, 1 June 2022

EVIL SEX - 1

 









    IMEANDIKWA NA : EDDAZARIA G MSULWA



    *********************************************************************************



    Simulizi : Evil Sex

    Sehemu Ya Kwanza (1)



    Kikundi cha wanafunzi wapatao kumi na tano wa chuo kikuu wakibishana juu ya uwepo wa majini katika dunia



    "Mimi nabishana hadi asubuhi hakuna majini duniani"



    "Eddy wewe tatizo lako mbishi mimi nakuambia majini wapo duniani"



    "Unajua ni nini,nyinyi waoga mimi siwezi kuamini mashetani hapa duniani"



    Mjadala ukanyamaza gafla baada ya gari aina ya Range rover kusimama na kushuka wasichana watatu weupe warefu wenye kila mvuto katika macho ya mwanaume wakiwa na mabegi ya mgongon

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Jamani vyombo hivyo"



    "Eddy watoto waibukie"



    "Si muende nyinyi mimi ndio mumeniona malaya"



    Wasichana wakapita mbele ya kundi la wavulana na kuwasalimi wengine wakaitikia isipo kuwa Eddy akabaki akiwatazama hadi wanazamia kwenye ngazi za gorofa



    "Oya mcheki Eddy anavyo wakodolea mimacho hao madem"



    "Mmm jamani macho hayana pazia"



    Taratibu Eddy akanza kupandisha ngazi na kuwaacha wezake wakimtania kwa maneno ya utani,Eddy akaanza kuchungulia darasa moja baada ya jingine kuwatafuta wale wasìchana



    Akajikuta amefika darasa la mwisho la gorofa na kuwakuta wale wasichana wakiwa na wasichana wengine,Kutokana darasa si lake akajikuta akizuga kwa kuweka earphone masikioni na kusikiliza mziki utokao kwenye simu yake



    Eddy akajikuta amekaa zaidi ya lisaa zima pasipo wanafunzi kuruhusiwa na profesor wao,Baada ya muda wakaruhusiwa wakaanza kutoka mmoja baada ya mwengne



    "Sory sister"



    "Bila samahani kaka"



    "Naitwa Eddy nipo mwaka wa kwanza nasomea maswala ya accounts"



    "Nashukuru kukufahamu.Unajingine?"

    "Ndio nahitaji kukutoa chakula cha usiku"



    "Ok niachie namba yako"



    Eddy akampa namba ya simu huku akiachia tabasamu pana



    "Ooohoo nimesahau dada unaitwa nani?"



    "Nitakuambia baadaye"



    Eddy akabaki anathaminisha umbo la yule msichana kwa nyuma akastuka akiguswa kwa nyuma



    Edd akastukia akiguswa begani akageuka na kukutana na Janet ambaye ni mpenzi wake tangu walipoanza chuo



    "Eddy mbona nilikuwa nakupigia simu hupokei?"



    "Muda mwingine si ninakuwambia ninakuwa darasani sasa nitapokeaje?"

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Ok leo nataka tutoke pamoja usiku"



    "Bwana mimi nitakuwa najisomea"



    "Eddy hivi unajua siku hizi umebadilika sana kwanza unanijibu upendavyo,hunijali na wala nisikufiche story zako zote nazijua"



    Janet alizungumza kwa hasira huku machozi yakimlenga lenga



    "Kama umeijua sijui umejua story zangu basi zichukue na uziandikie kitabu uuze basi"



    Eddy akaanza kuondoka Janet akapiga hatua na kumvuta tishet yake kwa nyuma Eddy akageuka kwa hasira



    "Nimesema niachie wewe mwanamke kabla sijakufanya kitu kibaya"



    "Eddy leo hii ndio unazungumza hivyo baada ya kuutoa usichana wangu ndio umekuwa jeuri si ndio"



    "Kwahiyo unahitaji nikurudishie huo usichana wako...kesho nitakwenda kukununulia wa kichina nikuwekee"



    Janet akampiga Eddy kofi la shavu la kushoto jambo lililozidi kumkasirisha Eddy



    "Sikia wewe usitake nikufanyie kitu ambacho sijapanga kukufanyia nitaiharibu sura yako hiyo"



    Eddy akandoka na kumuacha Janet akiwa analia kwa uchungu,Janet akajikokota taratibu hadi hostel anayoishi na kujilaza kitandani huku akilia kwa uchungu



    Simu ya Eddy ikaita na namba ngeni ndio inapiga kwa haraka bila kujiuliza akapokea



    "Mambo shem"

    Ni sauti ya Maria rafiki wa Janet ilizungumza na kusababisha tabasamu la Eddy kupotea usoni



    "Pouwa"



    "Shem umemfanya nini Janet?"



    "Ngoja nitakupigia nipo bize"



    Eddy akakata simu na namba za Janet na Maria akaziweka kwenye black list kabla hajairudisha mfukoni simu ikaita na namba ngeni,akapokea na kusikilizia



    "Hallow Eddy"



    Sauti nzuri ya kike ilisikika



    "Pouwa nani mwenzangu"



    "Best yako yule uliyenipa namba jioni.Uko wapi?"



    "Hostel wewe je"



    "Njo basi hapa ZKY Hotel tupige mastory"



    "Powa dakika kumi nitakuwa hapo"



    Eddy akakata simu kwa furaha na kujiandaa haraka,akakodi tax hadi ZKY alipoambiwa kwa bahati nzuri wakaonana



    Eddy kwa furaha akakumbatiana na rafiki yake kisha akakaa kiti cha pembeni yake



    "Eddy sory kwa kukusumbua"



    "Hakuna tatizo vipi nikuagizie chakula gani?"



    "Eddy huko nilipotoka nimekula nimeona nijeshushie na huu mvinyo"



    Muhudumu akaja kumuhudumia Eddy kisha akaondoka

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Ehee nimekumbuka hivi uliniambia utaniambia jina lako"



    "Mimi naitwa Dareen"



    "Waoo unajina zuri"



    "Mbona kawaida wangu"



    Eddy na Dareen wakaendelea kunywa na kula mpaka wakalewa



    "Eddy baby siwezi kurudi nyumbani nataka tulale pamoja"



    "Kweli baby?"



    "Ndio"



    Eddy akanyanyuka na kwenda mapokezi kuchukua chumba akarudi alipo Dareen wakaelekea chumbani

    ***



    Janet usiku mzima hakupata usingizi kila mara moyo wake ukawa unastuka,taratibu akaamka na kuchukua biblia yake na kusoma baadhi ya mistari kisha akapiga magoti na kusali



    Joto kali likazidi kutawala katika chumba alicholala akili yake ikaanza kumuwaza Eddy mpaka akakatisha maombi



    "Maria Maria Maria"



    Janet akamuamsha Maria ambaye anakoroma



    "Mmmm.."



    "Amka unipeleke kwa Eddy ninahisia mbaya juu yake"



    "Saa ngapi saa hizi?"



    "Saa sita usiku"



    "Mmm Janet bwana wewe huoni muda umekwenda?"



    "Maria nakuomba tu mpenzi nisaidie kwenye hili"



    Taratibu Maria akajinyanyua huku akipiga miyayo ya usingizi akavb nguo wakatoka pamoja



    Wakiwa njiani upepo mkali ukaanza kuvuma mpaka wakaanza kujikunyata



    Wakahisi kitu kikipiti nyuma yao wakageuka haraka hawakuona kitu



    "Janet umesikia hicho kitu?"



    "Ndio sijui ni nini?"



    Upepo ukazidi kuvuma majani ya miti ikazidi kupeperushwa



    Wakaanza kusikia vishindo vikija nyuma yao kwa mwendo wa taratibu



    Maria akamkumbatia Janet ambaye akaanza kusali taratibu kimoyo moyo



    Mlio mkali wa mtoto mchanga ukasikika ukilia mbele yao jambo lililozidi kuwaogopesha



    "Janet mimi nilikuambia tusije huku umeona sasa"



    Janet hakuzungumza kitu chochote zaidi ya kumuomba Mungu wake huku akizidi kuelekea mbele kwenye hostel za wavulana

    ~~

    Eddy akaanza kumvua nguo Dareen moja baada ya nyingine huku akiwa ana mthaminisha

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Macho ya Eddy yakatua kifuani mwa Dareen kwa uchu wa ajabu Eddy akaanza kumnyonya Dareem maziwa yake



    Dareen akaanza kutoa miguno ya raha anazopewa na Eddy,ikafikia hatua Dareen akaanza kumkwaruza Eddy kwa kucha zake kali na kusababisha michubuko kadhaa katika mwili wa Eddy



    Eddy akazidi kumnyonya Dareen maziwa yake,hakuishia hapo akashuka hadi kwenye kitomvu ya Dareen na kuanza kukinyonya kwa staili inayomfurahisha Dareen



    Vidole vya Eddy vikawa na kazi ya kukisugua kisimi cha Dareen,akayashika mapaja ya Dareen na kuyapanua taratibu na kuanza kumnyonya Dareen kama dakika tano



    Macho ya Dareen yakaanza kuingia ukungu mweusi jamba ambalo Eddy hakuweza kuliona kwani bado anaendelea kunyonya ikulu ya Dareen



    Eddy akajikuta amegeuzwa na kulazwa chini na Dareen kuwa juu yake kitendo kilicho mshangaza Eddy kwani kimefanyika ndani ya sekunde kadhaa



    Dareen akaipanua mikoo ya Eddy kama anamsulubisha na kuanza kumnyanya Eddy shingo yake.Kwa raha anazopata Eddy akajikuta amefumba macho na kuzidi kumkumbatia Dareen kwa nguvu huku akitoa miguno ya furaha.



    Meno makali ya Dareen yakapenya shingoni mwa Eddy na kusababisha damu kadhaa kumtoka shingoni ambazo zikaishia kinywani mwa Dareen



    ***



    Ni furaha kubwa ikatawala katika falme ya kishetani ambayo ipo katika ulimwengu ambao hakuna mwanadamu wa kawaida anaweza kufika



    Furaha yao ikazidi kupamba moto baada ya wasichana walio watuma kuanza kufanya kazi waliyo waagiza ambayo lengo lake ni kuibadili dunia na kuiweka katika mfumo wa kidunia



    Mabadiliko ya wanadamu kwenda katika hali ya kishetani hufanyika kwa njia ya wao kufanya mapenzi na wanadamu na kuwaambukiza chembechembe ambazo zitamfanya mwanadamu kuwa na muonekano wa kibinadamu ila tabia za kishetani



    ***



    Janet na Maria wakaanza kupiga hatua kuelekea kulipo na mlio wa mtoto mchanga ambao unatokea kwenye shimo la taka lililopo kandokando ya barabara wanayopita



    Wakasimama pembeni ya shimo wakijaribu kutazama ni wapi alipo mtoto anayelia



    "Janet mbona huyo mtoto hatumuoni"



    Maria alizungumza huku akijaribu kutazama ndani ya shimo mara gafla wakasikia mlio mkali kwenye masikio yao

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Mlio mkali wanaousikia Janet na Maria ukaambatana na matone matone ya mvua na kuwafanya Janet na Maria kukimbilia kwenye moja la jengo linalotumika kuhifadhia vitabu visivyo tumika



    Mvua ikazidi kunyesha ikiambatana na radi kali pamoja na upepo na ikawalazimu Janet na Maria kuingia ndani huku taa zikiwa zimezimwa



    "Maria tujibanze humu haka kamvua kapite kwanza"



    "Na hili giza mwenzio sina imani kabisa humu ndani"



    "Mungu atasaidia wangu"



    ***



    Dareen akaendelea kuinyonya shingo ya Eddy na kusababisha Eddy kupungukiwa na nguvu za mwili



    Dareen akajilaza pembeni mwa Eddy ambaye hajielewi,Baada ya masaa mawili Eddy akarudi katika hali yake ya kawaida akamtazama Dareen ambaye anakoroma fofofo



    Taratibu Eddy akazishika nguo na taratibu akaanza kuzivaa kwa tahadhari kubwa bila Dareen kustukia kitendo hicho,hakuona haja ya kuva shati taratibu akanyata kuelekea mlangoni



    "Eddy unakwenda wapi?"



    Sauti ya uchovu ya Dareen ilisikika vizuri na kusababisha Eddy kustuka ambaye amekaribia kufikia kitasa cha mlango huku akiwa ameshika shati lake mkononi



    "Mmm na....na...kw...enda h...ap...o chin..i"



    Eddy alipata kigugumizi cha gafla na kumfanya Dareen kuachia tabasamu kisha akasimama na kumfwata Eddy alipo na kumshika mkono



    "Njoo Eddy wangu mbona unataka kunikimbia mmmm...?"



    Eddy akajikuta hana cha kuzungumza,Dareen akamshika Eddy mkono na kuuzungusha kiunoni mwake na kuanza kukichezea kifua cha Eddy



    "Eddy sasa upo sawa na mimi humezi kubadilika tena"



    "Kivipi?"



    "Utaelewa tu mpenzi"



    Eddy akajikuta anajishika eneo la shingoni na kuhisi maumivu



    "Umenifanya nini hapa shingoni?"



    Eddy alizungumza kwa jazba huku akimtaza Dareen kwa hasira

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Eddy huwezi kunifanya kitu chochote mimi na wewe ni familia moja"



    Kauli za Dareen zikazidi kumchanganya Eddy na kumshukuma Dareen pembeni kisha akafungua mlango na kutoka



    Eddy akajikuta ana tazamana na Dareen ambaye aliachana naye chumbani huku akiwa na nguo nyeusi juu hadi chini,Woga ukaanza kumtawala Eddy akajaribu kukimbi ila Dareen akamzuia kwa mkono mmoja huku akimshik kifuani



    "Eddy huwezi kunikimbia hapa duniani"



    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    ***



    Janet na Maria wakaanza kusikia milio ya vitabu vikipigwa ukutani kwa woga wakakimbilia katika mlango walio ingilia wakastukia ukijifunga kwa nguvu na wakajikuta wakigeuka nyuma kutazama ni nani anaye angusha vitabu na kuona kivuli kikubwa kikiwafwata walipo



    Kivuli kikazidi kuwafwata Janet na Maria sehemu walipo gafla kikapotea na mlango ukafunguka kama awali



    Maria akawa wa kwanza kutoka huku akikimbia akielekea kwenye hostel zao,Janet akamkuta Maria akiwa amejifunika shuka tayari huku mwili ukimtetemeka,Hakumasemesha kitu zaidi ya yeye kupanda kitandani na kulala



    ***



    Edd akaanza kuhisi mabadiliko kwenywe mwili wake,Asubuhi ya siku hiyo hakusalimiana na mtu wa aina yoyote hata marafiki zake wakaanza kumuhofia ana tatizo



    "Oya Edd unatatizo gani kaka nimekupa hi ukanikaushia au ndio shemeji nini amekuzingua?"



    Jimy alimuuliza Eddy ila hakujibu kitu chochote zaidi ya kumtazama tu



    "Kaka hapo shingoni niaje au ndio mechi ilikuwa kali adi ukang'atwa nini?"



    Jimy akaachia kicheko na kusababisha watu daraasani na kuwageukia na kuuwashangaa



    "Eddy kaka kama ni malaya hiyo amekupatia mmmmm mpaka kakufanya bubu aise powa bwana ila pole ngoja mimi naelekea store kucheki jezi si unajua mimi ni team captain"



    Jimy aliondoka huku akicheka kicheko cha kinafki.Jimy akaingia store na kuucha mlango wazi na kufungua loka lenye jezii za darasa lake



    Gafla mlango wa store rome ukajifunga kwa kujibamiza,akastuka ikamlazimu kuchungulia ni kitu gani chenye nguvu ya kuufunga mlango alio uwekea jiwe kwa chini

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Akamkuta Eddy akiwa amesima huku ameuegemea mlango



    "Akhaaa Eddy tutauana kwa presha bwana wewe unaona sehemu yenyewe inatisha"



    Jimy alizungumza huku akitabasaa,Eddy akamtaza Jimy kwa muda kisha akaanza kumfwata taratibu huku macho yake yakimtirika machozi ya damu



    Jimy akaanza kurudi nyuma kwa wogo akasimama gafla baada ya kukumbana na mtu kwa nyuma



    Akageuka na kukutana na Dareen akiwa anatabasamu,kwa woga Jimy akajikuta akianguka chini na kuzimi



    "Eddy no usimfanye chochote"



    Dareen akamzuia Eddy ambaye tayari meno yake yalisha chomoza kwa kumshika mkono kwa nguvu



    "Eddy please ekewa ninacho kuambia"



    Macho ya Edddy yakarudi katika hali ya kawaida



    "Dareen hivi umenifanya nini?"



    "Eddy umekuwa na roho ya kishetani ambayo lengo letu ni kuitawala dunia"



    "Kivipi?"



    "Sasa hivi una mvuto mzuri zaidi kwa kila akuonaye na unanguvu kubwa ya ushawishi wa kimapenzi kwa kila msichana"



    "Kila msichana utakaye mng'ata ni lazima awe katika hali kama hii niliyo nayo"



    "Kuna mbinu na taratibu nitakazo kufundisha ambazo ukikosea mtu huyo anaweza kufa na malengo ya kapotea"



    Kwa kasi ya ajabu Dareen akamfungua Eddy vifungo vya shati lake kisha akafwatia na suruali akabaki kama alivyo zaliwa



    "Hatua ya kwanza hakikisha mwanamke hawezi kugundua lengo lako ni lipi"



    Dareen alizungumza huku akimzunguka Eddy



    Dareen akamrukia Eddy kifuani na miguu yake kuizungusha kiunoni mwa Eddy huku mikono yake ikiwa mabegani mwa Eddy



    "Usithubutu kumnya shingo mwanamke kwani utamng'ata pasipo matarajio"



    Eddy akamfungua zipu ya nguo ya juu aliyovaa na kumvua kifua kikabaki wazi

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Unapona unahamu ya kunywa damu ya huyo msichana hakikisha unamnyonya maziwa yake kwa stail hii"



    Dareen akaanza kumuonyesha Eddy jinsi ya kumnyonya maziwa



    Dareen akaanza kutoa miguno ya ajabu yenye kila aina nzuri ya kuvutia



    Eddy kwa nguvu za ajabu akamvua Dareen suruali aliyoiva pamoja na bikini



    "Eddy hatua nyingine unatakiwa uweze kuzuia nguvu zako kwani kwa mwanamke wa kawaida utamuua"



    Eddy akamyanyua Dareen na kumuweka juu ya meza kwa nyenye vitabu na kusababisha baadhi ya vitabu kuanguka chini



    Eddy akapiga magoti na kuyapanua mapaja ya Dareen na kuanza kumnyonya ikulu yake kwa kasi ambayo hata mwenyewe akajishangaa ameitoa wapi na kumfanya Dareen kufurahi sana



    Eddy akazidi kumpagawisha Dareen na michezo ya hapa na pale,wakaanza mechi iliyochukua takribani lisaa zima



    Jimy akafumbu macho yaliyojaa ukungu na kuona Eddy akimalizia kuvaa shati,kwa woga akarudisha kichwa chini na kulala



    ***



    Janet na Maria wakajikuta wakichelewa kuamka kila mmoja akiwa na uchovu mwingi kutokana na hali iliyowapata jana usiku



    "Janet utakwenda class?"



    "Mmmm sijisikii vizuri"



    Kila mmoja akageukia upande wake na kuendelea kuuchapa usingizi



    ***



    Vyombo vya habari nchini vikaanza kutangaza mabadiliko yaliyo tokea katika chuo kikuu



    Wanafunzi wengi wametawaliwa na hali ambayo duniani haijawahi kutokea



    ***



    "Samahani kaka"



    Msichana mmoja alimsimamisha Eddy ambaye anaonekana kuwa na haraka



    "Bila samahani"

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Naweza kuzungumza na wewe?"



    "Kwa sasa?"



    "Yaa kama huto jali"



    "Kwa sasa naelekea libray labda nikuachi namba yangu ya simu ili mida mida unicheki"



    Eddy akaandika namba ya simu kwenye simu ya yule msichana kisa wakaachana na kila mmoja akielekea sehemu yake.



    Eddy akajikuta akitawaliwa na mawazo ambayo hakujua yametokea wapi,



    Akastushwa akishikwa begani na kugeuka na kukutana na Dareen akiwa na wezake wawili ambao Eddy aliwaona siku ya kwanza wakiwa wanashuka kwenye gari



    "Baby na wewe mbona unastuka hivyo?"



    "Ahaa nilikuwa na mawazo ila kidogo mamy"



    Wakakaa kwenye viti vilivyo vitupu huku Dareen akiwa karibu na Eddy



    "Baby unawatambua hawa?"



    "No siwajui"



    "Huyu anaitwa Layte na huyo apa anaitwa Witye"



    Eddy akawapa mikono Lyte na Witye huku wakionyesha kufurahishwa kwa kumjua Eddy



    "Jamani huyu ni Eddy ni mpenzi wangu ambaye nina waadisia yaani huwa ananifanya muda mwengine nasahau hata lengo tulilo jia"



    Wakacheka kwa pamoja.



    "Anaonekana ni mtamu ehee"



    Lyte alizungumza na wakaendelea kucheka kwa furaha



    "Ila jamani huyu muheshimuni kama shemeji yenu sitaki mumsumbue"



    "Dareen unawivu wewe mmmm"



    Wakajikuta wakikaa kimya na kumtizama msichana anayekuja na kumfwata Eddy



    "Habari zenu"CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/



    Janet aliwasalimia ila hakuna aliye itikia zaidi ya kumtazama



    "Samahani Eddy nakuomba mara moja"



    Eddy akamtazama Janet kwa macho ya dharau kisha akanyanyuka na wakasogea pembeni kuzungumza naye



    "Eddy mpenzi wangu hivi ni kitu gani nilichokufanyia?"



    "Janet hicho ndicho ulicho niitia?"



    "Eddy unajua fika kuwa ninakupenda sasa hivi sikuelewi kabisa"



    Janet akastuka akiguswa bega kwa nyuma kugeuka akakutana na Dareen akimtazama kwa macho makali



    Janet akabaki anatazamana na Dareen huku akikosa cha kuzungumza



    "Eddy tutazungumza kesho"



    Janet akaondoka na kuwaacha Eddy na Dareen wakicheka



    Machozi yakaanza kumlenga lenga Janet hadi akajikuta akigongana na Jimy



    "Shem vipi mbona unalia?"



    "Mmmm.."



    "Janet tena afadhali nimekuona"



    "Jimy sijisikii vizuri naomba uniache kwa sasa"



    "Janet hichi ninacho kuambia ni muhimu sana juu ya kunusuru mapenzi yenu"



    Janet akakaa kimya na kumsikiliza Jimy



    "Kuna hali ambayo imempata Eddy ambayo kusema kweli hata mimi inaniogopesha Eddy sio mtu bali ni jini"



    "Nini..?"



    Janet alionekana kustuka



    "Mimi kwa macho yangu nilimshuhudia Eddy akitoa machozi meusi huku macho yake yakiwa yamebadilika"



    "Weee Jimy hembu acha masihara Eddy huyu wangu hawezi kuwa kama unavyosema"

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Wewe si unamuona Eddy alivyo siku hizi hakujali wala hana muda na wewe tena kama umemchunguza kwenye shingo ana alama ya kung'atwa"



    "Sasa tutafanyaje?"



    "Mimi nitawasaidia"



    Sauti ya kike ikasikika ikiwaambia na kuwalazimu wageuke na kumtazama ni nani aliyezungumza.Wakakutana na msichana ambaye ni mara yake ya kwanza kumuona



    "Naamini munajiuliza mimi ni nani na nimejuaje kitu munacho zungumza"



    "Samahani dada hii mada haikuhusu wewe fanya tu upite"



    Janet alizungumza huku akimtazama msichana wa watu



    "Janet hembu ngoja tumsikilize labda ana chamana cha kutuambia.."



    "Tumsikilize nini wakati hawa ndio waibaji wa waume za watu hapa chuo"



    "Dada usimzarau usiye mjua kwani hujui nani atakaye kusaidi katika matatizo yako"



    "Ni hivi Eddy ambaye ni mpenzi wako kwa sasa ana hali ambayo si binadamu japo mwili ni wakibinamu"



    Alizungumza huku akimtazama Janet machoni



    "Naomba munifwate"



    ***



    "Eddy naomba nika kutambulishe kwetu"



    Dareen alizungumza huku akimtazama Eddy machoni mwake



    "Kwenu?"



    "Ndio kwani nataka ukapajue kwetu kwenye asili yangu ambayo wewe pia unayo"



    "Unaonaje tukaenda nikimaliza masomo?"



    "Mimi nahitaji leo"



    "Mmmm mbona umenistukiza sana"



    "Hapana huwa sisi hatupendi kutoa ahadi kwa mtu alafu ishtimie"

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Mimi sipo tayari kwa hilo swala"



    "Eddy unasemaje!?"



    Dareen alizunguza huku akiwa amemtazama Eddy kwa mshangao



    "Dareen kama ulivyo sikia mimi siwezi kwenda kwenye eneo munalo ishi"



    Dareen kwa hasira akamrukia Eddy na kumgandamiza ukutani huku akiwa amemkaba shingo



    Macho ya Dareen yakabadilika na kuwa yana rangi rangi za kila aina huku meno yake ya mbele manne yakiwa yamechongoka



    Kwa nguvu alizo nazo Eddy akauchomoa mkono wa Dareen na kumsukuma pembeni mpaka Dareen akashangaa



    "Huwezi ukaniongoza kwa kitu chochote Dareen"



    Dareen kwa kasi ya ajabu akamrukia Eddy na kumrudisha ukutani



    Eddy akautoa mkono wa Dareen na kuuzungusha kisha akamsukuma pembeni



    "Usirudie tena kufanya kitu kama hichi utaumia"



    Eddy akaondoka na kumuacha Dareen akiugulia kwa maumivu huku asira ikiwa imempanda



    **



    Mwaka 1859 ukoo wa Mason uliaanzishwa na mzee Mason ambaye alikuwa na nguvu za kumiliki kila aina ya majini na viumbe vya tofauti dunia nzima



    Nguvu zake zilitokana na kuzaa na malkia wa majini ambaye alimrithisha Mason na kumfanya kuwa na nguvu nyingi na kila kiumbe cha ajabu liliweza kumsujudia



    Ukoo wake ukazidi kuongezeka kwa kasi ya ajabu huku watoto wake wakiwa wana hali tofauti na binadamu wengine



    Ila katika kipindi chote hakuweza kuona mtu ambaye anaweza kumkabithi nguvu zake mpaka alipofariki ila nafsi yake ikaendelea kuishi



    Mwaka 1993 mwezi 3 nafsi ya Mzee Mason ikapata tulizo la kumpata mtu ambaye ana uwezo wa kuridhi nguvu zake.Hii ni baada ya Eddy kuzaliwa



    Kila usiku wa manane mzee Mason akawa anamtembelea mtoto Eddy na kila anavyokua ndivyo alizidi kumpatia nguvu zake

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Haikuwa ngumu kwakd kuweza kumkabithi Eddy mamlaka yake yote ili nafsi yake iweze kupumzika kwa amani



    Mzee Mason akamchora Eddy alama za nyota kwenye nyayo zake hii ni kumpa nguvu ambazo hakuna kiumbe kibaya kitakacho mzuri



    Eddy akazidi kukua na nguvu zake zikazidi kuongezeka pasipo yeye mwenyewe kujitambua



    **



    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog