Search This Blog

Friday, 3 June 2022

SURPRISE YA AIBU - 4

 





    Simulizi : Surprise Ya Aibu

    Sehemu Ya Nne (4)





    “Ndiyo, umejuaje?”

    “Si kujuaje bali kukushangaa kumjua mkubwa mdogo usimjue.”

    “Ooh! Kumbe Moureen aliyekuwa binti yangu?”

    “Ndiyo.”

    “Namfahamu,kafanya nini?”

    “Kwa sasa yupo wapi?”

    “Sijui.”CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Kwa nini ujue mkubwa tena mtoto wa kiume usijue mdogo ambaye ni mwanamke anayetakiwa kulindwa.”

    “Alifanya upuuzi wake nikamfukuza.”

    “Akirudi leo kukuomba msamaha utamsamehe?”

    “Kama amekutuma mwambie sitaki kuona hata kivuli chake.”

    “Ukimuona utamkumbuka?”

    “Sina shida ya kuonana naye.”

    “Sasa naomba unisikilize vizuri, nina imani simu yako imejaa salio hivyo unisikilize kwa kituo ili mwisho tujue tutafanya nini?”

    “Hakuna tatizo.”

    Nilianza kumpa historia yangu yote tangu aliponifukuza mpaka siku nilipofanya naye mapenzi bila kujua na kushtuka baada ya kuisoma business card yake aliyonipa usiku.

    Niliendelea kumueleza aliponiuliza aliponikuta mapokezi na kumkatalia huku wasiwasi wangu juu ya kutembea na mzazi wangu ukijidhihili.

    “Hata siamini siwezi kutembea na mwanangu ,” baba aling’aka.

    “Ndiyo umeisha tembea naye, najua ningekuja chumbani kwako ungeweza kupata presha bure na kuonekana nimeua.”

    “Hapana siwezi kutembea na mwanangu.”

    “Ndo umetembea naye kazi yangu ya kuuza utamu wa mwili kipi unaona ajabu?”

    “Mungu wangu, basi naomba tuonane.”

    “Ili?”

    “Sitaki jambo hili lifike mbali.”

    “Mbali wapi?”

    “Jamii ikijua nitaonekana sina maana.”

    “Umesema hutaki kuona hata kivuli changu, tuonane ili iweje?”

    “Kwa kilichotokea lazima tuonane, tujue tufanye nini kuiziba siri hii ya aibu.”

    “Katu sitaonana na wewe mpaka nakufa.”

    “Moureen najua umekasirika mama, naomba tuonane nipo tayari urudi nyumbani na kukusamehe.”

    “Sasa hivi na maisha yangu na familia yangu, sihitaji msaada wa mtu.”

    “Nakuahidi kukupatia kiasi chochote ili siri isimfikie mama yako.”

    “Nimwambie ili iweje, nilitaka kukueleza unyama ulionifanyia matokeo yake Mungu amekulani na kujikuta ukifanya uchafu na binti yako wa kumzaa.”

    “Nisamehe mwanangu mbona najuta.”

    “Nina imani umelewa, kwa hiyo naomba kuanzia leo usinipigie wala usinijue, ukaribu wetu uliisha toka uliponifukuza kwako kama mbwa.”

    “Hapana tunaweza kukaa tukayamaliza.”

    “Na nani, kwanza sasa hivi si mtoto bali mwanamke wako wa kujipozea ukiwa nje ya Dar najua unataka kuniulia mama yangu kwa kulitafuta gonjwa.”

    “Usifike huko mwanangu.”

    “Nina imani nimeeleweka naomba tuishie hapa ukija jnitakuhudunmia kama mteja na si baba yangu.”

    “Nakuahidi kuanzia leo sitatoka nje ya ndoa yangu nimekoma.”

    “Hayanihusu.”

    Sikutaka mazungumzo mengi nilikata simu na kuizima kabisa kisha nilikwenda kwenye friji na kuchukua pombe kali na kunywa mpaka nikapoteza kumbukumbu.

    ***

    Baada yatukio lile la aibu niliamua kupumzika kazi ile kwa muda na kuendelea na shughuli zangu. Lakini siku zote nilizoamua kupumzika nyumbani sikujisikia raha kabisa nilikuwa kama mvuta sigara. Nilikuta nikipata hamu za kurudi tena kijiweni hata nimpate mwanaume wa kumpa bure ili tu nijisikie raha.

    Niliamua kutoka siku moja moja kwa hamu sikuwa nikitoka kwa shida. Pamoja na kutoka kwa hamu sikutaka nitoke kapa bali nipate hata mtu mmoja ambaye angekidhi haja zangu na kufanya siku yangu iishe vizuri.

    Siku moja nikiwa kijiweni siku ambayo ilikuwa kigumu, hakuna aliyepata mpaka tukajiuliza labda serikali imepiga marufuku.

    Majira ya saa sita na nusu iliingia, ngoma ilikuwa nzito na kibaridi kilikuwa kikali kilichotuingia mpaka kwenye mifupa. Tukiwa tunapanga jinsi ya kurudi nyumbani, gari aina ya Toyota Land Curuser lilisimama pembeni yetu na kushushwa kioo na sauti ilitoka ndani.

    "Hei njoo mara moja."

    "Nani mimi?" tuliuliza kwa pamoja kila mmoja alijishika kifuani kwake.

    "Wewe."

    "Nani?" tuliuliza kwa pamoja.

    "Wewe mwenye gauni jekundu," hakuwa mwingine ila nilikuwa mimi.

    Nilichepua mwendo na kuingia kwenye gari kwani mlango tayari ulikuwa umefunguliwa. Baada ya kuingia alitaka kuondoa gari nilimuuliza.

    “Mbona unaondoka bila kuelewana?”

    "Unataka kiasi gani mrembo?"

    "Unataka huduma gani?" nilimuuliza.

    "Nataka unitoe chozi lisilo na kilio."

    "Elfu 30," nilipunguza ili nipate cha kulalia.

    "Punguza nyingi."

    "Tena nimekupunguzia hata sijui una shetani gani, hebu angalia mtu kama mimi utanipa kiasi gani?"

    Nilisema kwa sauti ya kubana huku nikinyanyua gauni langu fupi na kuuweka mwili wangu nje, kufanya vile lilikuwa pigo mujarabu lililomfanya mzee wa watu mimacho imtoke na kumeza mate ya uchu.

    Baada ya kukubaliana alitoa elfu therasini keshi na kulisogeza gari sehemu nzuri. Mtoto wa kike niliteremsha suruali nusu mlingoti na kumpa huduma sitahiki iliyomfanya mzee wa watu atatalike juu ya kiti kama kakalia siafu. Baada ya kumliza chozi lisilo na msiba alichanganyikiwa na kuniuliza:

    "Sasa mrembo una kondom ili angalau unipige funda moja ya maji ya dafu, itakuwa kiasi gani?"

    Kweli samaki alikuwa kameza chambo na ndoana, mzee alimeza vyote kwa mpigo na kumshika tumboni, Baada ya kilio kisicho na msiba na kuchanganyikiwa na umbile langu. akabadili anataka funda moja ya maji ya dafu. Sikutaka kumlazia damu niliongeza bei.

    "Utaongeza kama ile."

    "Okay, nipe huduma ili niwahi kulala."

    "Basi ongeza kiyoyozi nikupe raha," nilimueleza huku nikimkata jicho la kuumaliza, kwa kazi ile nilikuwa changudoa wa kimataifa.

    Aliongeza kiyoyozi na kufanya ubaridi ndani ya gari kuongezeka. mzee wa watu baada ya kuchimba udongo muhogo ilionekana na kukaa mkao wa “mimi tayari kazi kwako.”

    Kama ilivyokuwa kawaida yangu nilitaka kumliza mzee mzima ili aelewe kote alipopita alikuwa amekosea. Nilianza kuwajibika mtoto wa kike, mpaka tunapumzika mzee wa watu alikuwa hoi, nimuona akiniangalia kama kaniona nina tofauti na wengine aliowahi kuwaona.

    “Mmh! Mrembo unajua.”CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Hujawahi nini kukutana na machejo adimu?”

    "Sijawahi, mrembo laki inakutosha?" mzee wa watu alipagawa na kuropoka.

    "Mmh ongeza kidogo," japo tulikuwa tumekubaliana aongeze elfu 30 lakini huduma niliyompa nilijua atajinyonga mwenyewe nami nilijifanya haitoshi.

    "Basi nitakupa laki na nusu, kesho nitakata kitu kamili nakuomba usiende na mtu yoyote unisubiri sawa mrembo?" mzee alichanganyikiwa.

    Alisema huku akinichezea mashavu zangu laini na kunipa laki na nusu kisha aliniongezea elfu 20 za nauli ya kurudisha nyumbani.

    "Mrembo usisahau basi inaonekana u mtaalamu wa kutikisa minazi na kufanya madafu kuanguka na kupasukia kichwa bila maumivu na kukufanya usikie utamu usio kikomo."

    "Wewe tu, hapa ukigusa hutoki yaani gusa unate."



    Basi nitakupa laki na nusu, kesho nitakata kitu kamili nakuomba usiende na mtu yoyote unisubiri sawa mrembo?" mzee alichanganyikiwa.

    Alisema huku akinichezea mashavu zangu laini na kunipa laki na nusu kisha aliniongezea elfu 20 za nauli ya kurudisha nyumbani.

    "Mrembo usisahau basi inaonekana u mtaalamu wa kutikisa minazi na kufanya madafu kuanguka na kupasukia kichwa bila maumivu na kukufanya usikie utamu usio kikomo."

    "Wewe tu, hapa ukigusa hutoki yaani gusa unite."

    SON GA N AYO

    Niliangana naye kwa kukubaliana tukutane kesho pale pale, aliponikuta majira ya saa nne usiku.

    Nilitereka kwenye gari na kuwafuata wenzangu ambao walikuwa wamepigwa baridi ya sheria yake. Kwa vile walikuwa wameliwa na mbu bure niliwapa elfu arobaini wagawane ili wapate nauli ya kurudi nyumbani. Nilikodi teksi na kurudi nyumbani.

    Niliamini mwenye nazo ziku zote anaongezewa, wenzangu waliokwenda kwa njaa alitoka kapa tofauti na mimi niliyekwenda kwa hobi zangu nilipata tena fedha ya kutembea na wanaume zaidi ya watano lakini niliipata kwa muda mfupi.



    ***





    Siku ya pili ilikuwa lazima nipumzike, lakini nilikuwa na mawazo mengi juu ya mwaliko wa babu wa kwenda kuonana naye. Niliamini ile ni kazi nyepesi yenye malipo mazuri tena ya mteja mmoja maalumu. Niliamua niende nikaonene naye. Kwa vile tulikubaliana tukutane saa nne usiku nilitoka nyumbani saa tatu usiku na kukodi teksi mpaka eneo la tukio.

    Nilifika eneo la kazi na kukuta shoga zangu wakiwa katika hinyahinya ya kukimbizana na wateja. Waliponiona alinishangaa.

    "Shoga za jana zilikuwa nyingi nini! Zikakufanya usahau shambani?'

    "Walaa nina oda special."

    "Wewee!" walishtuka wote.

    Kabla sijajibu kitu gari la mzee wangu lilisimama mbele yetu na kufanya shoga zangu walikimbilie. Sikusumbuka naona nilisogea mlangoni na kuwaeleza wenzangu:

    "Jamani vitu vya watu hivi."

    Nilifungua mlango na kuingia ndani ya gari, baada ya kufunga babu aliondoa gari. Nilishangaa gari kuondoa bila makubaliano . Gari lilikata mitaa na kuliona gari likiendelea Mikocheni. Ile ilinitisha na kujiuliza babu yule ananipeleka wapi.

    Wazo langu la haraka lilikuwa labda ananipeleka guest ili nikampe huduma kutokana na makubaliano ya siku ya jana. Sikutaka kumsemesha lolote zaidi ya kusubiri kitakacho tokea kwa kuamini hata bila mapatano nilijua nitapata malipo manono. Baada ya mwendo wa robo saa gari lilisimama mbele ya geti la rangi nyekundu.

    Baada ya kupiga hodi geti lilifunguliwa na gari liliingia ndani kwenye jumba moja la kifahari.

    Mzee Yule alilisimamisha gari na kuteremka kisha alizunguka upande wangu na kunifungulia mlango kama Muheshimiwa.

    "Mjukuu karibu."

    "Asante babu."

    Niliteremka kwenye gari na kuongozana naye moja kwa moja ndani ya nyumba ambako nililakiwa na sebule ya nguvu iliyokuwa na kila kitu. Japo kwa upande wangu sikuwa mgeni wa sehemu kama zile ilikuwa kitu cha kawaida kwangu.

    Kilichonishangaza sehemu ile kuwa tofauti na hoteli nilizozizoea ilikuwa kama nyumbani kwa mtu.

    Baada ya kuingia sikutaka kukaa mapema kwa vile sikujua pale ni wapi, Mzee aliponiona nimesimama bila kukaa aliniuliza.

    "Vipi mjukuu mbona hukai?"

    "Kwanza hapa wapi?" nilimuuliza sikutaka kukaa kichwakichwa, ,siyo unaingia nyumba ya mtu hujui anakaa na nani unajiweka kama kwako utajikuta unakobolewa na maji ya moto cha mtu mavi.

    "Aah mjukuu hapa ni kwangu."

    "Na mkeo yupo wapi?"

    "Ningekuwa naye ningekuleta hapa?"

    "Ni mara ngapi nimeona wanaume wanawapeleka mahawala wao majumbani kwao na kumteremsha mkewe kitandani?"

    "Siyo mimi, sina mke."

    "Muongo babu! Mtu mzima kama wewe tena mwenye pesa ukose mke?"

    "Ni kweli nilikuwa na mke ambaye alifariki miaka mitano iliyopita."

    "Nini kilichomuua?"

    "Ajali ya gari aligongwa akiendesha."

    "Ooh! Pole sana, kwa nini muda huo hujaoa?"

    "Nimejitahidi kutafuta mwanamke wa mfano wake wengi wamekuwa wana tamaa ya mali yangu si mapenzi ya kweli."

    "Na wote uliwaleta kwako?"

    "Hapana wewe ni wa kwanza"

    "Kwa nini umenileta mimi?"

    "Una tofauti kubwa na wanawake wengi una tabia ya tafauti kubwa, ni msikivu mwenye huruma mwenye uelewa."

    "Kwa hiyo umenileta hapa ili iweje?"

    "Kukuleta hapa ni heshima kubwa kwako vile vile ni kulilinda penzi lako ambalo kwa kipindi hiki kwangu ni muhimu sana."

    "Kwa hiyo unataka kunioa?"

    "Ndiyo maana yake."

    Mmh! Kauli ile ilinifanya nijiulize nini kinachofuata kwani siku zote upatapo neema lazima kuna balaa linakuja mbele.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/



    ***********

    Kama kawaida yangu nilijikuta nikiangukia mikononi mwa mikono ya mzee Kupe. Kuanzia hapo ile kazi ya kulinda usiku niliachana nayo na kuwa mke mtarajiwa wa mzee Kupe aliyekuwa na ana kila kitu kwa maisha ya mwanadamu.

    Kutokana na utajiri ya yule mzee na mihangaiko yangu ya kuhatarisha maisha yangu katika biashara ya ukahaba nilikubali kuolewa. Mzee Kupe hakutaka makubwa alinioa baada ya miezi miwili na kuwa mkewe wa halali kwa sherehe uliyohudhuliwa na watu wasiopungua hamsini.

    Niliyaanza maisha kama malkia kwa kupata kila kitu nilichokikosa katika maisha yangu. Pamoja na pesa na utajiri wa mzee Kupe niligundua alikuwa na mapungufu makubwa kitandani. Alikuwa mtu wa kunywa dafu moja, zaidi ya hapo hulala kama gogo hata jogoo huwa amelala wakati ndiyo kwanza kumekucha.

    Nilijikuta kila siku kila mnilipokutana na mzee Kupe ilikuwa sana na kuchambia pilipili kutokana kuacha njiani kila siku. Mtoto wa kike nilikuwa napata taabu kwa kukasa usingizi kufikia hatua ya kujikanda na maji ya moto kama nimetoka kujifungua.

    Mzee Kupe alijitahidi kunipa kila nilichokitaka lakini kwenye majambozi alikuwa mchovu wa kutupa. Nilijikuta nikipata taabu kila siku kwa kuachwa njiani wakati mwenzie mambo ndiyo kwanza yalikuwa yakianza.

    Mateso yalipozidi nilijikuta nikipata wazo la kutafuta mtu wa nje kunipunguzia mateso. Kutokana na kuwa na uwezo niliona ni upumbavu kuendelea kuumia kukosa chakula cha nafsi.

    Niliamini kupitia pesa nilizopewa na mume wangu ningepata kijana mmoja shababi ambaye angenikamua vilivyo na kumlipa pesa zake. Kama kawaida nikiwa kwenye gari langu la kifahari nilisimamisha kwenye kijiwe ambacho vijana wengi hukaa kwa ajili ya kupiga porojo bila kazi yoyote. Nilipofika pale kijiweni nilisimamisha gari na klumtafuta kijana aliyeonekana mtanashati.

    Baada ya kuridhika na kijana mmoja niliteremsha kioo na kupiga honi, waliopogeuka niliita wote waliuliza

    "Nani?"

    "Huyo mwenye mkanda nje," nilimchagua kijana mmoja.

    Kijana mmoja alikuja hadi kwenye gari alipofika nilimfungulia mlango. Naye bila ubishi aliingia kwenye gari.

    "Naomba ufunge mlango," nilimwambia.

    Yule kijana alifanya kama nilivyo muelekeza nami nilikanyaga mafuta.

    "Samahani unafanya kazi gani?"

    "Sifanyi kazi yoyote" alinijibu akinitazama usoni.

    "Mbona umependeza hela unapata wapi?"

    "Napewa na wazazi."

    "Sasa sikiliza kuna kazi moja nataka kukupa ya muda mfupi ukifanya vizuri nitakupa pesa nyingi ambayo itakufanya uachane na kuwategemea wazazi wako."

    "Ni kazi gani?"

    "Utaiona si tupo pamoja."

    Wakati huo nilikuwa napiga honi kwenye geti la nyumbani kwangu. Baada ya kufunguliwa na mlinzi Mmasai, niliingiza gari mpaka sehemu ya kuegeshea magari niliteremka na yule kijana ambaye alionekana hajiamini.

    "Ondoa hofu jisikie kama upo nyumbani" nilimuondoa hofu

    "Hakuna tatizo sister."

    Nilimkaribisha sebuleni na kumuuliza kinywaji gani anatumia, sikuwa na wasi kutokana na mzee wangu kunijulisha atakuwa na kikao kitakachomfanya arudi usiku. Hakuwa mtu muongo wa kusema uongo akisema atarudi saa fulani basi muda ule ule hurudia au kukupigia simu kukujulisha dharula yoyote.

    Siku zote si wanaume ambao hutege tetele kwa kumwaga mtama mwingi ili kunasa kwa urahisi. Akiwa anapata kinywaji nilimuuliza:

    "Hivi katika maisha yako ya kila siku lini ulipata pesa nyingi?"

    "Mmh hata sikumbuki."

    "Kiasi gani?"

    "Mmh kama elfu 50."

    "Kwa kazi gani"

    "Kwa kazi za kupewa na dingi."

    "Sasa mimi leo nina kazi ndogo ambayo naimani utaifanya kwa masaa mawili hata moja kama utaifanya vizuri na malipo yake ni laki moja."

    "Ha! kwa kazi gani hiyo?" alishtuka.

    "Naomba unifuate."

    Niliongozana naye hadi chumba cha wageni, baada ya kuingia chumbani nilivua nguo zote na kubakia mtupu mbele ya yule kijana ambaye alionekana kunishangaa. Mkononi nilikuwa nimeshikilia laki moja taslimu na kumkabidhi.

    Akiwa bado ameshangaa nilianza kumvua nguo, niliyasikia mapigo ya moyo ya yule kijana yakifuatiwa na jasho jingi. Kutokana na kuwa na uzoefu nilijua kijana alipoteza uwezo wa kujiamini.

    Huenda ulitokana na kuamini mwanamke mzuri kama mimi ni chakula cha watu wenye pesa na kuisahau mwanamke yoyote ni nyama kwa mwanaume mwenye kisu kikali. Japokuwa kisu cha mume wangu kilikuwa butu kama utachinja mnyama basi lazima utakula kibudu.

    Kwa sauti iliyohitaji huduma ya haraka ambayo ingeokoa maisha yangu nilisema

    "Naomba unikate kiu nitakuongezea zaidi ya hizi."

    Mtoto wa kiume hakuwa na muda wa maandalizi aliudandia mnazi kama mwizi aliyevamia shamba la mtu kuogopa kukamatwa.

    Alianza kuutikisa mnazi ambao haukuchelewa kuangusha dafu lililoniangukia kichwani na kunifanya niamini nilichokitafuta ndicho chenyewe. Nami kama kawaida sikuwa nyuma nilikwenda naye sambamba.

    ******

    Kila dakika zilivyozidi kwenda nilitamani kulia kwa raha kutokana na yule kijana kuonekana kunimudu vilivyo. Maruhani yangu yalianza kupanda na kutakiwa yateremshwe, lakini ajabu kijana wa watu ndio kwanza alianza kupunguza kasi na kunifanya nifoke kwa sauti

    "Pumbavu utaniuzi jitahidi unifikishe angalau safari moja nyingine."

    "Sister nimechoka," alisema kwa sauti ya mtu aliyebeba mzigo mzito.

    "Kwa hiyo unataka kuniambia nini?" nilimuuliza kwa hasira.

    "Kwa leo inatosha."

    "Nooo! Haiwezekana kama ulijua huwezi kuniukuna kwa nini umenichambia -----, sikwezi kukuruhusu uondoke lazima unikune," nilisema kwa hasira.

    "Labda kesho, hapa nilipo siwezi kuendelea zaidi ya hapa hata leo nimejitahidi, mimi mwisho madafu matatu lakini leo nimeangusha madafu matano."

    "Madafu gani hayo si vidaka dafu gani halina maji, ili tuelewane naomba unisindikize nami nimwage trip moja ya mchanga."

    "Siwezi utanisamehe kama hela yako baki nayo."

    Mmh! mtoto wa kike mimi ndio naanza kuchanganya mwenzangu kamaliza na kuendelea hawezi tena. Nilijitahidi kumbembeleza huku nikimlilia. Najua mtacheka au kuniona mtu wa ajabu.

    Nilimpigia magoti abadili msimamo wake na kumuahidi kumuongezea laki nyingine

    "Sio kwamba sitaki siwezi tena kuendelea naomba niondoke."

    Nilijitahidi kumrudisha kwenye hali ya kawaida kwa kutumia ujanja wangu wote na ujuzi wangu kwa kuweza kumgusa sehemu zenye msisimko. Mtoto wa kike nilihaha huku jasho likinitoka kama maji nikijitahidi kumtoa nyoka pangoni alipogoma kutoka.CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Simu yangu ya mkononi ililia niliichukua nikiwa sina nguo yoyote mwili labda ingeamsha hisia za kuutamani mnazi wangu ambao ulikuwa na kila sifa ya kupandwa na mkwezi mzuri.

    Nilipoangalia namba zilikuwa za mume wangu, moyo ulinishtuka kidogo. Nilitoa hofu na kujirudisha kwenye hali ya kawaida kabla ya kuipokea

    "Hallo honey"

    "Ooh! My Sweet vipi upo nyumbani?"

    "Nisiwepo nyumbani niende wapi mpenzi wangu, upo wapi?"

    "Sipo mbali na nyumbani nipo hapa jirani kwenye super market, nikuletee nini mpenzi wangu."

    Kauli ile nusra simu iniponyoke kwa mshtuko na kujikuta nikiuliza tena ili nimuelewe vizuri."

    "Nipo hapa jirani na nyumbani au nikufuate uje uchague ukitakacho?"

    "Mmh! Hebu subiri," nilikata simu na kumuomba yule kijana avae haraka na kutoka.

    Baada ya kuvaa nilimtoa hadi mlangoni na kumuomba atoke, naye alifanya vile na mimi kukimbilia bafuni kuoga. Nilioga haraka na kurudi hadi ndani ambako nilivaa gauni langu jepesi la usiku na kutoka kuelekea super market.

    Nilimkuta akiwa amekasilika akijitayalisha kutoka ndani ya super market. Aliponiona aliniuliza kwa sauti ya juu kidogo.

    "Mpenzi muda wote ulikuwa wapi au haukuwepo nyumbani?"

    "Mmh! Mpenzi muda unanipigia nilikuwa nimelala, hivyo nisingeweza kuja bila kujimwagia maji ili kuondoa uchovu."

    "Mbona hukunijulisha?"

    "Nilifanya vile ili kukuwahi nisamehe mpenzi wangu kama nimekuudhi," nilijifanya kuomba msamaha.

    Tuliyamaliza na kununua vya kununua na kurudi ndani mwetu, mtoto wa kike japokuwa nilijua safari nusu niliyokwenda haitafika kamili zaidi ya kuniongezea robo.

    Usiku mambo yalikuwa yale yale na kunifanya nizidi kuwa kwenye wakati mgumu na kujuta kuolewa na mzee kama yule.

    ****









    Siku ya pili kama kawaida yangu baada ya mume wangu kwenda kwenye mihahaiko yake nilitinga tena kijiweni kumfuata kijana mwingine na kuondoka naye hadi kwangu.

    Mmh! Si ya kusema yaani nilijuta kumchukua ilikuwa sawa na kunichambia pilipili. Sijui niseme nini ili mnielewe, yaani mwenzie nikiwa na kimuhemuhe cha kupandishwa juu ya mnazi.

    Sikuamini yaani wakati ndio najiandaa kupandisha mashetani ili ayapunge vizuri, mwenzangu ndio kwanza alikuwa akimwaga mzigo na kutulia.

    Kibaya zaidi baada ya kumwaga mzigo mnazi ulilala dolo, mwanzo nilidhania labda ni kupasha mwili nguvu kumbe mwenzangu ndio kamaliza kila kitu.

    Kila niliponyanyua mdomo na kifaru ili kinipige lakini wapi mkonga ulikuwa umelala chini na haukuwa na dalili zozote za kunyanyuka.

    Mtoto wa kike sikukubali kirahisi kupakwa shombo nilimchezea niwezavyo kwa mikono na mdomo wapi niliishia kunyonya mafuta lakini gari liligoma kuwaka. Nilihangaika kwa kila mtindo nilijua hata wa kugusanisha positivu na negativu labda umeme ungeshtua lakini wapi.

    Wakati huo nilikuwa kwenye hali mbaya kwani maji yalikuwa yamejaa kisimani mpaka yanamwagika na kuweka michirizi kwenye mapaja. Nilijikuta nikilia peke yangu huku nimekaa pembeni ya yule kijana ambaye naye aliangalia chini kwa aibu.

    Baada ya kuhangaika bila mafanikio kumuamsha jogoo aliyegoma kuwika kwa zaidi ya masaa matatu. Nilikata tamaa na kukubali matokeo kwa kujiona mwanamke nimeingia choo cha juu cha kiume nitajisaidia vipi?

    Nilimuamuru avae na kuondoka kwa vile hakuwa na faida kama mti wa mpapai dume ambao hauzai matunda haufai kwa kuni haufai hata kwa kivuli.

    **********

    Nilijikuta nikijiingiza kwenye tabia ya kuwa mama huruma kwa kutafuta vijana mtaani kugawa uroga kwa kuwapa pesa ili kuhakikisha nakidhi haja zangu. Lakini nilikuwa sawa na kubeba maji kwenye gunia, kila niliyemgusa alishindwa kuniridhisha kikamilifu.

    Lakini kidogo njia ile ilinisaidia kupunguza maumivu ya wadudu wadogo wadogo. Najua mwenzangu kila ninachokisema unakunja uso na kunionea huruma eti mwanamke kama mimi mwenye uzuri wa kusifika pia kazi naijua ya kumtoa kamasi mwanaume.

    Pia nina mwanaume mwenye uwezo wa pesa ambazo ninaweza kuzila mpaka nakufa na wajukuu zangu wasingeweza kuzimaliza. Lakini lazima niwe mkweli toka moyoni mwangu kuwa nimekuwa mtumwa wa ngono kutokana na kuifanya biashara ya ukahaba kwa muda mrefu.

    Lakini kibaya zaidi kilichonifanya niwe mtumwa wa ngono ilitokana na kutumia wa dawa za kuongeza nguvu kitu kilichonipelekea kutaka kukutana na mwanaume aliyeshiba na si mzee wangu.

    Ni kweli mume wangu ana uwezo wa kipesa lakini alikuwa hana kitu muhimu ambacho ndiyo ugonjwa wangu. Mzee Kupe alikuwa kama bata akigusa hanyanyuki tena na kunipa mateso kila nilipokutana naye na kunilazimisha nijikande na maji ya moto kama nimejifungua.

    Kwa upande wangu uamuzi wangu niliuona una maana kubwa kwangu kwani kama shamba lilimshinda babu Kupe wapo vijana wenye nguvu za kuweza kumsaidia kupitia pesa zake mwenyewe.

    Kwa maisha niliyo yazoea hata mwanaume asiwe na kitu lakini akinishika nikashikika moyo wangu unajaa furaha na kujiona nina raha kuliko kiumbe chochote nikikohoa naitikiwa.

    Niende wapi zaidi ya kumlinda mume wangu kwa kumpa mahaba motomoto ambayo yatamchanganya akili kwa kujituma muda wote wa mchezo huku nikimpa maneno matamu ya kumtoa nyoka pangoni.

    Nilijiona sawa na gari zuri lililokosa dereva mzuri mwenye kujua kulikimbiza bila huruma wakati barabara inaruhusu. Sikuwa na njia nyingine ya kutoka nje ya ndoa ili kukidhi haja zangu.

    Na haya nisemayo ni yangu peke yangu unisifuate kwani ndoa ni muhimu ndugu yangu.

    *******************

    Siku moja mume wangu alirudi nyumbani akionyesha kuna kitu kinamsumbua akilini mwake, lakini kila nilipomuuliza alisema yupo kwenye hali ya kawaida japokuwa niliamini hakuwa kwenye hali yake ya kawaida.

    Sikutaka kujisumbua kwa kuuliza kitu kisicho nihusu kwa kuamini huenda ni kwenye shughuli zake. Japokuwa nilitakiwa mkewe kujua na kumliwadha, lakini kwa vile nilijitahidi kumuuliza kwa kumbembeleza lakini alikataa ningemfanyaje nami nilitulia tuli kwa kujua nitampata sehemu gani.

    Nilipanga wakati wa kuukwea mnazi wangu akifika karibia na madafu hapo ndipo nitakapohoji kitu gani kinachomsumbua lazima asema kuanguka juu ya mnazi mchezo!. Baada ya chakula ambacho vile vile hakula vizuri.

    Wasi wasi wangu huenda anaumwa vile vile nilipomuuliza alisema haumwi. Nilijiuliza mume wangu ana tatizo gani ambalo lilianza kunitia wasi wasi na kunikosesha raha.



    Nilipanga wakati wa kuukwea mnazi wangu akifika karibia na madafu hapo ndipo nitakapohoji kitu gani kinachomsumbua lazima asema kuanguka juu ya mnazi mchezo!. Baada ya chakula ambacho vile vile hakula vizuri.CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Wasi wasi wangu huenda anaumwa vile vile nilipomuuliza alisema haumwi. Nilijiuliza mume wangu ana tatizo gani ambalo lilianza kunitia wasi wasi na kunikosesha raha.

    Nilianza kujiliza nami kususa kula na kuanza kulia na kukimbilia chumbani kitu kilichomfanya mume wangu anifuate na kuniuliza:

    "Sweet una lina nini?"

    Sikumjibu nilijilaza kitandani huku nikilia kikweli kitu kilichomshtua mume wangu.

    "Mpenzi unalia nini?" aliniuliza huku akinipapasa mgongoni

    "Moureen mpenzi hebu nyamaza mpenzi uniambie nini kinakuliza?"

    "Hunipendi bora niondoke," mtoto wa kike nilitishia.

    "Mbona umefikia mbali mpenzi wangu kwani tatizo nini?"

    "Nikuulize wewe kama unaona sina umuhimu kwako kwa nini kunipotezea muda."

    "Unajua mpenzi kuna maneno juu yako yameniumiza moyo wangu nisiamini kama ni kweli," mwanaume alianza kufunguka.

    Kauli ile ilimshtua moyo wangu na kujua mtoto wa kike nimeumbuka, lakini sikutaka kujihukumu niligeuka huku macho yakiwa yamejaa machozi na kuuliza.

    "Ni habari gani hizo mume wangu?"

    "Eti umekuwa jamvi la wageni mama huruma hapa mtaani, Moureen kitu gani ambacho umekosa hapa ndani kufikia hatua ya kunidhalilisha mtu mzima kama mimi mwenye pesa na mwenye heshima kubwa mbele za jamii.

    Siamini kama umekuwa ukiugawa mwili wako kama pipi kwa kweli jambo hilo siwezi kulifumbia macho wala kulivumilia kweli kunguru hafugiki."

    Mmh! Kauli ile ilinishtua na kujua nimeula wa chuya kwa uvivu wa kuchangua. Moyo ulinilipuka na kujua kama nitafukuzwa na mzee Kupe nitauelezeaje umma. Hata mashoga zangu ambao kwa namna moja ama nyingine walipata unafuu wa maisha, niliamini kwa kauli ile lazima amefikiria kuniacha.

    Leo hii nirudi kijiweni na kuanza tena maisha ya kuwinda kwa kupigwa na baridi na kuliwa na mbu. Niliamini nimeumia lakini sikukubali kufa kikondoo japo moyo ulikuwa umekufa ganzi.

    Nilinyanyuka kitandani kama nguruwe aliyekurupushwa shambani na kusimama huku nikimuuliza kwa sauti kavu:

    "Mume wangu ni maneno gani ya kuniambia, kama umenichoka we nipe talaka yangu sio kutafuta kisingizio au kwa vile umenikuta nauza mwili. Kwa taarifa yako wewe ndiye mwanaume wa kwanza na nilikwenda kwa shinikizo lazini kazi ile sikuzoea.

    “ Hivi huu mwili unauonaje yaani nimepungukiwa nini mpaka nifikie hatua ya kuugawa nje nini nakikosa kwako?" Nilisema vile bila kusema ukweli nini nakikosa. Pia nilipanda juu ya kitanda nikiwa mtupu na kujizungusha kila kona kuuonyesha mwili wangu kama mlimbwende anajinadi mbele ya majaji.

    "Sikiliza Kupe usipoteze muda wako kutunga uongo mwili huu ni ghali tofauti na unavyo fikiria wewe niache tu wala usitafute sababu."

    Baada ya kusema yale niliondoka hadi kwenye kabati la nguo na kuanza kukusanya nguo zangu na kuziweka kwenye begi ili niondoke. Mkwala wangu ulisaidia kwa mume wangu kunifuata na kunipigia magoti

    "Moureen mke wangu ni uamuzi gani huo?"

    "We si hauna shida na mimi na ulinichukua kimakosa," alizungumza huku nikiendelea kulia.

    "Sio mimi mke wangu ni watu ndio wamesema wamekuona ukifanya uchafu huo."

    "Kama una waamini endelea nao mimi naondoka, kama ingekuwa kweli kwa nini wasikuite ili unikamate?"

    "Lakini mke wangu mimi naamini huo uongo wewe huwezi kufanya kitu kama hicho kwani umepungukiwa na nini,” mzee Kupe aliniomba msamaha.

    "Ndio unajua sasa, nashukuru wacha tu niondoke ili wapate nafasi labda wanaona nafaidi," mtoto wa kike kesi niliigeuza mshitaki kuwa mshtakiwa mbona uwanja ulikuwa wangu kwa kudeka nikijua ushindi ni wangu.

    Mzee wa watu alimaliza maneno yote kuniahidi vitu vikubwa kuhakikisha siondoki.

    “Basi mpenzi nisamehe sema chochote utakacho ili unisamehe”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog